Mbunge wa Mbogwe amwaga machozi bungeni

  Рет қаралды 132,642

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

2 жыл бұрын

Mbunge was Mbogwe Nicodemus Maganga amemwaga machozi bungeni akisema wananchi wake wanauawa bila sababu za Msingi tangu ilipotokea kifo cha John Magufuli.
"Wananiita kichaa, kila nikitaka kusema naambiwa Sina akili, Mheshimiwa Spika nimezaliwa mwaka 1980, nina akili timamu na sijawahi kufeli, lakini mnaweza kukuta tumeuana huko msishangae," Maganga.

Пікірлер: 156
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 2 жыл бұрын
Mbunge nmependa confidence yako,msg imefika na umetetea watu wako..wapo wengi wanajua kusoma na wanaelimu kubwa ila kuzungumzia watu hawawezi KABISA waoga..big up kwako Maganga
@enighenjamzava4403
@enighenjamzava4403 2 жыл бұрын
P8pjom9kopìmp
@mwenem8130
@mwenem8130 2 жыл бұрын
Duu wawekezaji/WEZI wanaingia kwa kasi SANA. Rest in Power JPM#hapa Kazi Tuu
@denyu9975
@denyu9975 2 жыл бұрын
Lala baba jpm yanii mimi roho yangu inaumaa sana Mungu tuonee Mungu tunakutegemeaa Mungu shukaa Mungu shukaa ujiziilishee Mungu jpm katuachaaa tunaliaaa sanaaa 🥲🥲🥲
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 2 жыл бұрын
Asante Job Ndugai
@isackakyoo6446
@isackakyoo6446 2 жыл бұрын
Pole Mbunge,hii ndiyo dunia
@josephjohn2114
@josephjohn2114 2 жыл бұрын
Ndo shida ya kupitisha wabunge vilaza...hoja nzuri sana lakini uwasilishaji sasa.....unazungumzia watu sio afya kutaja kabila lako au kuja kusema bungeni kisa tu ndugu yako ameguswa..hongera lakini kwa kufikisha ujumbe.
@LigillahLigillah-jo5qo
@LigillahLigillah-jo5qo Жыл бұрын
Nakubal sana Mwakilishi wangu bungen
@peterbulugu1582
@peterbulugu1582 2 жыл бұрын
Hatari sana. Uhujumu uchumi unafanywa na serikali yenyewe. Ila akijaribu mtu binafsi anakamatwa sana
@baracksaidnkoba9108
@baracksaidnkoba9108 2 жыл бұрын
Hongera
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 2 жыл бұрын
Hii ndo nchi yetu baba pole sana
@marcobulili4341
@marcobulili4341 2 жыл бұрын
Usilie, hzo ndo siasa a bongo! Ukiwa mkweli we mjinga tu. Jamaa hawez kujieleza ndo shida, lkn ana kitu cha kusema cha msingi. Asikilizwe!
@robertmgore3653
@robertmgore3653 2 жыл бұрын
Jpm milele
@dchacha4
@dchacha4 2 жыл бұрын
Na mimi naomba kumuona waziri mkuu kule mkuranga wamechukua shamba la mama yangu, na polisi wanamlinda Kenya ambaye sie mzaliwa wa TZ. Mama yangu tangu 90s anasota na shamba lake la mchanga. Wizara ya madini Wala miaka 30 sahivi wanamzulumu. Eeh, magufuli naomba urudi utusaidie
@aishaaisharagp9381
@aishaaisharagp9381 2 жыл бұрын
Mtafute waziri wa Ardhi ndio mwenye mamlaka ya Ardhi ambae no waziri lukuvi
@salomemchewa5187
@salomemchewa5187 2 жыл бұрын
Pole dada mtu akiendaga huwa harudi, mungu atakupa njia nyingine
@omarykatongo4943
@omarykatongo4943 2 жыл бұрын
Ruka nao hao,,, ngedere hapelekewi kesi za nyani
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 2 жыл бұрын
My pole sana ila nasikitika kusema hivi mtetezi wetu alikuwa ni magufuli tu huku mwingne sio kwa kutegemea Sana hapa tutegemee mwenyezmungu pekee basi magufuli kashaondoka na mtu akishakufa ndio imetoka my 😭😭😭magufuli ndie aliekuwa anatupa tu maini ila huku hapana hapa bila mungu hatuwezi kupata haki zetu, hivyo basi muombe mungu mtegemee mungu atawasaidia kupata haki yenu mungu akupe njia yoyote Ile awezavyo ili mufanikishe hyo shida yenu namini mungu hashindwi kikubwa Imani tumuiamni kuwa Anaweza basi mungu asiwache pambana tu mungu yupo atakupa njia ya jinsi yakupata haki yenu
@ambwenedaniel358
@ambwenedaniel358 2 жыл бұрын
Nitafute dadaangu hatuwezi kuruhusu huo ujinga kwamba mgeni apewe kipaumbele kuliko raia.....
@abdallahmuttaq7306
@abdallahmuttaq7306 2 жыл бұрын
Wenyewe wenye nchi wamekwisha anza kuchanua makucha hakuna mwenye kukemea Kwa nguvu na kufuatilia
@kambiyusufu7709
@kambiyusufu7709 2 жыл бұрын
Nice
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 2 жыл бұрын
Pole Sana kaka😭😭😭
@denyu9975
@denyu9975 2 жыл бұрын
Tunaonewaaa sana sku hizi
@majutokwenyemsafarawamamba8815
@majutokwenyemsafarawamamba8815 2 жыл бұрын
Mungu amlaze Mahala pema peponi jpm
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 2 жыл бұрын
Daaa mtihani
@peterbulugu1582
@peterbulugu1582 2 жыл бұрын
Kama ndivyo serikali mnafanya basi nchi inaenda kuwa na uvunjifu wa amani. Wanachi wanalia sana mpaka sasa. Nchi hii ni imekuwa ya viongozi2
@chobaroko3913
@chobaroko3913 2 жыл бұрын
Daaahhaa ,😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@rasammudmar5455
@rasammudmar5455 2 жыл бұрын
Wabunge nyinyi mnatakiwa mutumie mamlaka yenu ipaswavyo bila kuionea serikali aibu la si hivyo sera na sheria mtakazozipitisha zinawasubiri mtaani Kuna watu wanajiandaa kuwang'oa tena msizani ni upnzani. Wakati wa kura za maoni ujamaa unangia mitini. Wabunge ilazimisheni serikali kwa kuitungia sheria ya kua mikataba yote mikubwa ije bungeni ijadiliwe kwa haki na uwazi ndio isainiwe na rais. Baraza la mawazir halitosh Kupitisha mikataba ya nchi nzima. Hemu jiulize rais anateua mawazir mwenyewe anaemtaka kwa kushauriana na wazir mkuu. Wakati wari mkuu mwenyewe anateuliwa na rais. Mtu pekee uliebaki ni spika ila wakati huo huo rais ni kiongoz wako wa chama. Nakusudi kusema nn. Pindi akitokezea mtu akimteka rais kwa namna yoyote ile ameiteka nchi nzima.
@mwakisukuli2124
@mwakisukuli2124 2 жыл бұрын
Mh. Jenista mhagama umeongea point sana, kwani mwenye wizara Kwanini asiseme Kwanini kutetea majipu hayo
@frbm1729
@frbm1729 2 жыл бұрын
Ulale salamaaa, ulala salamaaaaa Jpm
@abuuthauran9933
@abuuthauran9933 2 жыл бұрын
Duh!!!
@alluminiumexperttz.12mview13
@alluminiumexperttz.12mview13 2 жыл бұрын
Hakuna kitu nachukia kama kusikia wabunge wakicheka wakati mwenzao anazungumza tena ishu serious kabisa.
@briankatani8765
@briankatani8765 2 жыл бұрын
Hili bunge linasaidia nn has a!!!,lina faida gani
@habibumussa7712
@habibumussa7712 2 жыл бұрын
Dah😭😭😭
@jelemiakalidushi.mkovizuri6763
@jelemiakalidushi.mkovizuri6763 2 жыл бұрын
Mpakali hoye
@BonifaceRobathi
@BonifaceRobathi 3 ай бұрын
Kweli jmn
@halimamasai2234
@halimamasai2234 2 жыл бұрын
Na kweli ataua mtu anaonekana amekasirika sana anauchungu
@lucasmhepile5431
@lucasmhepile5431 2 жыл бұрын
Inauma sana naona Kuna wabunge wengine umo n kugonga meza tu Yan Kama fata upepo tu
@johnmpanduli5390
@johnmpanduli5390 2 жыл бұрын
ha hahahahaaaa!! mimi nacheka tu, ndiyo faida ya bunge la kuteuliwa na si la kuchaguliwa
@ndogoroedson9438
@ndogoroedson9438 2 жыл бұрын
Hayo hata huku mbarali yapo tanapa wamekuwa Mungu watu!
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 2 жыл бұрын
Duuuu jamani
@negelowile441
@negelowile441 2 жыл бұрын
Wawekezaji
@jamessimba749
@jamessimba749 2 жыл бұрын
R.I.P JPM
@stephanlayzer7196
@stephanlayzer7196 2 жыл бұрын
Kwa kweli Magufuli alikuwa jembe hakuna rais mwny maamuz kama Magufuli
@tumainilubua824
@tumainilubua824 2 жыл бұрын
Alipita bila kupingwa huyooo
@elispiuselias1339
@elispiuselias1339 2 жыл бұрын
duuuuuh!!
@paulinamassay5122
@paulinamassay5122 2 жыл бұрын
Wanasiasa hawana utu jamani ndo maana watu wanafika pabaya.
@meshackbenedicto5741
@meshackbenedicto5741 2 жыл бұрын
Tutapigwa mno na kuuwawa maana maandiko yanasema watu wangu wanaangamia Kwa kukosa maarifa maarifa ya wabunge yapo ya kutetea masilahi Yao sio uhai wa wananchi wa majimbo yao
@peterbulugu1582
@peterbulugu1582 2 жыл бұрын
Kama ndivyo serikali mnafanya basi nchi inaenda kuwa na uvunjifu wa amani. Wanachi wanalia sana mpaka sasa. Nchi hii ni uaviongozi2
@jacksonmajuto7859
@jacksonmajuto7859 2 жыл бұрын
R.I.p.magufuli
@meckymwandambo6478
@meckymwandambo6478 2 жыл бұрын
B
@fadhilimwasumle124
@fadhilimwasumle124 2 жыл бұрын
Daaaaaa hata kusoma hajui jaman
@rehemamaduhu5642
@rehemamaduhu5642 2 жыл бұрын
Kusoma anajua ila nahisi ni kitete maana ni mgeni
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 2 жыл бұрын
Anajua ila anahasira Na jaziba ta watu wake
@emanuelshayayi54
@emanuelshayayi54 2 жыл бұрын
Jazba waweza hata kutukana.
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 2 жыл бұрын
@@emanuelshayayi54 sana.acha tu.kitu kikukuzingua daaaaa
@alcherausmalinzi2033
@alcherausmalinzi2033 2 жыл бұрын
Kiongozi gani hana uwezo wa kuvumilia kusimamia hoja yake?
@paulzeno102
@paulzeno102 2 жыл бұрын
Paul zeno 99
@mwalongojulius1755
@mwalongojulius1755 2 жыл бұрын
Toeni madrama yenu mbuzi wa bwana heri na shamba la kwao endesheni nchi mnavyotaka ndiyo matokeo mliyotaka.
@simonidibili555
@simonidibili555 2 жыл бұрын
Wapizanii waliwaambiaa cyoo waoo tuu wanaootesekaa hayaa sasaa Leo kwenii shangilieeni tuonee
@mzongekibwana838
@mzongekibwana838 2 жыл бұрын
Unyonge ukizidi unazaa uasi one day...
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 2 жыл бұрын
Huyo raisi mwenyewe kutwa kusafili tuuu wananchi wanaumia
@emmanuelwankururyoba2635
@emmanuelwankururyoba2635 2 жыл бұрын
Hapa kuna rais kuna mzururajituu
@bilioneamwegole5138
@bilioneamwegole5138 2 жыл бұрын
Kanuni ya 54 hmmmm endeleeni kuturushia vitu vizito
@elispiuselias1339
@elispiuselias1339 2 жыл бұрын
wameanza sasa
@timboxlee919
@timboxlee919 2 жыл бұрын
Mbunge anatoa hoja ya msingi,mabunge mazuzu yanakebehi hoja
@annamrsmoses7413
@annamrsmoses7413 2 жыл бұрын
Yaani mkusanyiko wa watu waliopita bila kupingwa ni hasara sana kwa taifa hili
@yudahsanja9072
@yudahsanja9072 2 жыл бұрын
aki shetani anapotosha
@denyu9975
@denyu9975 2 жыл бұрын
Jpm ndie alikuwa kamanda wa kwelii
@e-mzambuli6647
@e-mzambuli6647 2 жыл бұрын
Hamza
@abdallahm86
@abdallahm86 2 жыл бұрын
Nchi ya kitu kidogo nchi ya watu wanyonge.
@rehemamwakinyaka3167
@rehemamwakinyaka3167 2 жыл бұрын
Yani mibunge mingine ivyo kabisa kiboko yenu alikiwa Magufuri
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 2 жыл бұрын
Umbumbu ni mzigo
@mbwanarajab4756
@mbwanarajab4756 2 жыл бұрын
Yaani hawa wabunge waliopewa nafasi za kupitia kuharibu uchaguzi ni sawa na wale wafanyakazi hewa mliowaondoa.. Hawa ni wabunge hewa na hakuna cha maana watakachokifanya juu ya wananchi
@akidajulius8397
@akidajulius8397 2 жыл бұрын
Yani Hawa wabunge wengine sijui ndio waliopitwa bila kupigwa mbona siwaelewi elewi
@ambakisyemwanjemba5787
@ambakisyemwanjemba5787 2 жыл бұрын
Biteko hii inaweza kupita na yeye
@rasammudmar5455
@rasammudmar5455 2 жыл бұрын
Hasira zimezid kimo mpaka unaongea hivyo. Spika umekua mshauri nasaha na bunge lenu la uchaguz wa 2020.
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 2 жыл бұрын
Mtukome mnajilinda wenyewe nasisi tunajilinda wenyewe
@simonisafu5404
@simonisafu5404 2 жыл бұрын
Nilikua simwelewi ulimwengu, sasa nimeanza kumwelewa
@mkushiandikayakoachananaya7944
@mkushiandikayakoachananaya7944 2 жыл бұрын
Tumeshafika nchi ya ahadi aliyotaka kutufikisha yule wa awamu ya 4, huu ndio muda tunaoenda kasi kufika huko!
@evansibujiku8249
@evansibujiku8249 2 жыл бұрын
Naona baazi ya wabunge wanacheka kweli sasa najiuliza furaha yao nn katika hili? Baazi ya wabunge mizigo kweli!!
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 2 жыл бұрын
@@evansibujiku8249 tutakutana nao 2025 tuseme inshalah panapomajwaliwa hao wapo kwa ajili yakutete uwovu basi, akitokea mtu akamkandamiza spika huyo atashambuliwa mpaka atajuta nahuku ukweli ukiwa wazi, sasa niambie hicho nichakucheka kweli au ndio kwavile haja wakuta
@maelezomaelezo9057
@maelezomaelezo9057 2 жыл бұрын
Dugai leo umeogea poit na umemlinda maganga
@mashimbazephania3511
@mashimbazephania3511 2 жыл бұрын
Jpm tutamkumbuka
@alcherausmalinzi2033
@alcherausmalinzi2033 2 жыл бұрын
Jambazi tu uliiba kura kuja kulia lia.
@mbwanarajab4756
@mbwanarajab4756 2 жыл бұрын
Nakumbuka lile bunge la Samwel Sitta , kweli bunge limesha poteza mwelekeo na linajali makabila .. Yaani akaja mtu hata na jambo la ajabu akasema ni Msukuma bunge linatulia linamsikiliza hata km anaongea mambo yaliyopo nnje ya mada..
@hajilolo6440
@hajilolo6440 2 жыл бұрын
Bunge la wapiga makofi bunge la darasa la tatu bunge la mazuzu bunge la wasaka tonge.
@baysuraoman7910
@baysuraoman7910 2 жыл бұрын
Nimecheka
@nyaticarriersllc3075
@nyaticarriersllc3075 2 жыл бұрын
Huyu Speaker ni Ovyo Kabisa
@ambakisyemwanjemba5787
@ambakisyemwanjemba5787 2 жыл бұрын
Na bunge limempania
@isayakipoi493
@isayakipoi493 2 жыл бұрын
MUNGU wa mbingu na nchi akulinde na majimbo yako yote saw a sawa na Isaya 37:35 Na wale wote wala rushwa MUNGU atume malaika wake wafyekelee mbali katika arthi hii ya Tanzania sawa sawa na neno lake Isaya 37:36 Katika jina la Yesu kristo amen
@elispiuselias1339
@elispiuselias1339 2 жыл бұрын
unataka tume gani tena humuamini au?
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Haya kuna nini mpaka analia
@humphreyvidonyi253
@humphreyvidonyi253 2 жыл бұрын
Biteko na mbunge wa gongwe Nina wasi wasi
@yudahsanja9072
@yudahsanja9072 2 жыл бұрын
wasaliti hawataisha
@japhetbarton8268
@japhetbarton8268 2 жыл бұрын
BUNGE
@zariadunia6328
@zariadunia6328 2 жыл бұрын
Mimi kila siku nasema mama yupo kwa ajili ya maslahi ya zbar na ya msoga tu mambo yamekuwa mengi hakuna matamko wala nini
@hellenpatrick3041
@hellenpatrick3041 2 жыл бұрын
Acha inyeshe tuone panapo Vujaa inaumaa
@muhammadbamba9445
@muhammadbamba9445 2 жыл бұрын
Sura inayojengeka ni kama vile mama Hakun kitu anafanya propaganda za kutaka kumuharibia
@fimboezekiel9654
@fimboezekiel9654 2 жыл бұрын
Amelia wap
@mussamabuga1716
@mussamabuga1716 2 жыл бұрын
Naapa Biteko lazima uondoke,JPM lala salama tutakumbuka hadi mbadala wako utakapopatikana
@lutalemwatindos1342
@lutalemwatindos1342 2 жыл бұрын
Ushawahi kuapa usiwe na akili ndogo?
@tumuhadam8963
@tumuhadam8963 2 жыл бұрын
Niuwonevu2
@nixonjohnson6346
@nixonjohnson6346 2 жыл бұрын
Hivi hao wabunge wote ni wajinga au ni nini sasa kicheko mwenyewe anaumia
@ambakisyemwanjemba5787
@ambakisyemwanjemba5787 2 жыл бұрын
Ugomvi wa wabunge Hawa majirani Sasa nimeuelewa vizuri ,hili Jimbo la maganga ndilo Jimbo aligombea pacha wa Waziri wa madini Biteko na marehemu Magufuri akamchomoa kwa nguvu kwa Sasa pacha mwenzie anapambana kufa na kupona kumtengenezea mazingira mwenzake nadhani!
@Kituliko
@Kituliko 2 жыл бұрын
Sio kweli
@shadymoses5813
@shadymoses5813 2 жыл бұрын
Unavamia jambo usilolijua, Huyo unayemsema aligombea Busanda
@reganmartin5485
@reganmartin5485 2 жыл бұрын
Kama hujui Jambo kalale chakula Cha usiku kioungue ,tambua Kuna majinbo 3 tofauti
@Kituliko
@Kituliko 2 жыл бұрын
@@reganmartin5485 mimi nyumbani jimbo la mbogwe nafanya kazi jimbo la bukombe sasa kipi nisicho kijua, we acha kudanganya watu
@Kituliko
@Kituliko 2 жыл бұрын
@@shadymoses5813 👍👍
@chobaroko3913
@chobaroko3913 2 жыл бұрын
Hapo ndo wabunge wanaanza kuwa wanyonge Sasa ,ndio wabunge watamkumbuka kwamema sio MABAYA
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 2 жыл бұрын
Spika uyu vip?
@mohamedijuma5845
@mohamedijuma5845 2 жыл бұрын
Kafanya kipi kibaya? mbona kafanya vizuri kumkutanisha mlalamikaji na waziri Mkuu au we ulitaka afanyeje
@habibumdetele6530
@habibumdetele6530 2 жыл бұрын
Nimejaribu ku bonyeza translate daa ulichoandika hahahah
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 2 жыл бұрын
Sasa hao wapumbavu wanacheka nini?
@DrRichardMPhD
@DrRichardMPhD 2 жыл бұрын
Haya ni makosa kutuma wawakilishi wakulia hovio,Hata kusoma anashindwa .tunataka wawakilishi wenye njia ya kuleta mabadiliko maana machozi yake hayata tusaidia
@King_186
@King_186 2 жыл бұрын
Huyu ndio muwakilishi wa kweli anayeguswa na matatizo ya watu, kulia ni hisia tu na sio kulia tu Kiongoz awe radhi kufa Kwa ajili ya watu wake
@saluwatimalyeta5587
@saluwatimalyeta5587 2 жыл бұрын
Nakushangaa wewe unayeangalia kusoma wasomi wangapi wamo humo wenye uwezo wakusimama kwa hisia na machungu ya wananchi wake wanayofanyiwa
@leonardodavinci878
@leonardodavinci878 2 жыл бұрын
Wacha ujinga uo kinacho thamani zaidi kwa mbunge ni vile anavo pambana na shida za wananchi wake si ukubwa wa elimu yake,ata umalize vyuo vyote ikawa hujali shida za wananchi wako inakuwa elimuless.
@oyay2821
@oyay2821 2 жыл бұрын
Hii ni laana ya kuwa dhulumu wapinzani. Ile chuki ya kuwaua na kuwadhulumu wapinzani sasa inawamaliza wao wenyewe ma ccm
@amrimwingwa994
@amrimwingwa994 2 жыл бұрын
Speaker unafeli wapi... Yaaan unamwambia waziri mkuu kwa Wakati wako.... Hujui kama ushashudha thamani yako, wewe ni Mhimili ukiwa kama Speaker una haki ya Kumuagiza PM.
@smjunior4354
@smjunior4354 2 жыл бұрын
ulisoma civics vzr kaka hakunaga scenario kama hiyooooo duniani
@malmavoice8989
@malmavoice8989 2 жыл бұрын
Hawa ubunge walipewa tu ila hawajakidhi vigezo vya ubunge. Bunge zima limejaa wasukuma awamu hii. Haya mambo mliyabariki mwenyewe na sasa yanawarudia mwenyewe. Lisu alinusurika kifo mliwahi kujadili,nduguyake heche alivyofia police wabunge mlisadia nn. Leo mtu anapanick kiasi hichi lkn nn...mazito yenu sasa ya upinzani hayakuwa sensitive eti?
@halimamasai2234
@halimamasai2234 2 жыл бұрын
Kwani tanzania ni wasukuma tu mbona kuna wabunge wa mikoa mengine na ni makabila tofauti wacha uhasama wewe nadhani wewe ni wa upande wa pili
@msafirinyebunga4078
@msafirinyebunga4078 2 жыл бұрын
Shida sio kujua kusoma lakini ujumbe umeshafika Kwa walengwa
@msafirinyebunga4078
@msafirinyebunga4078 2 жыл бұрын
Kikubwa wamsaidie lakini sio kuanza kumdhiaki kikubwa anajaribu mahali pakutafuta msaada.
@denistarange5580
@denistarange5580 2 жыл бұрын
Hujui hata ulichokiandika
@malmavoice8989
@malmavoice8989 2 жыл бұрын
Hujui kusoma au?
@EK-kp2np
@EK-kp2np 2 жыл бұрын
Migodi🤷🏼‍♀️, kuongea bila utaratibu ikulu🙆🏻‍♀️, Vifo vya watu hapo Jimboni kwako🙈, sijaelewa mbunge mgeni anataka nini😳🤔, pia amefaulu masomo yote shuleni??
@ngoloally2596
@ngoloally2596 2 жыл бұрын
Makaburu tu
@lucasmhepile5431
@lucasmhepile5431 2 жыл бұрын
Inauma sana naona Kuna wabunge wengine umo n kugonga meza tu Yan Kama fata upepo tu
@ukweli255
@ukweli255 2 жыл бұрын
Watu wanaomilili Media/Vyombo vya Habari huwa wakipewa Tarifa kama aliyoitoa huyo Mbunge huwa ni ngumu sana kwenda kuzifanyia kazi
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 20 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 17 МЛН
THEY WANTED TO TAKE ALL HIS GOODIES 🍫🥤🍟😂
00:17
OKUNJATA
Рет қаралды 21 МЛН
"KISUKUMA IWE LUGHA YA KUFUNDISHIA" - MBUNGE ALIVUNJA MBAVU BUNGE
7:05
Aeleza walichozungumza saa chache kabla ya kutoweka mchumba wake
4:41
Mwananchi Digital
Рет қаралды 1,4 М.
MBUNGE Aliyemwaga MACHOZI Bungeni LEO! "Waziri Usikanyage MTWARA"
5:10
Global TV Online
Рет қаралды 237 М.
CANADA EYONGEDDE OKUKUBA BANNAUGANDA BAANI ENSONGA ZIIZINO
53:18
Gossip Live
Рет қаралды 13 М.
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 20 МЛН