KIMEUMANA! MPINA VS MWIGULU BUNGENI "HUO NI WIZI NA UFISADI, MWIGULU, MBARAWA WAKAMATWE!"

  Рет қаралды 281,495

Wasafi Media

Wasafi Media

8 ай бұрын

KIMEUMANA! MPINA VS MWIGULU BUNGENI "HUO NI WIZI NA UFISADI, MWIGULU, MBARAWA WAKAMATWE!"
www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 681
@enoszaka-tx8qw
@enoszaka-tx8qw 8 ай бұрын
mbunge wangu wa nguvu mtu makini ruhaga mpina 💪🙏
@mwandisimfukwe326
@mwandisimfukwe326 8 ай бұрын
alikuwa wazir alifanya nini🫣
@toney..
@toney.. 8 ай бұрын
Mbunge bora WA mwaka.... Kuwe na tuzo za wabunge bora kila mwaka jamani....
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 8 ай бұрын
Daaah huyu mwamba namkubali sana yuko smart kuanzia mavazi mpaka point zake
@user-go2op5ql4y
@user-go2op5ql4y 8 ай бұрын
Mpina kutoka moyoni Mungu anisamehe dhambi zangu ili akubali maombi yangu kwakweli mpina Mungu akulinde sana
@adamukidua962
@adamukidua962 8 ай бұрын
Awe makini, wasiojulikana hawapo,mbali 😭😭😭
@tusajigwe7491
@tusajigwe7491 8 ай бұрын
Amina kwa ajili yake
@francismigongwa4146
@francismigongwa4146 8 ай бұрын
Mh Mpina pokee 🎉🎉🎉🎉💐💐💐💐 yako ukweli utabaki ukweli maana Kila point unapigwa taarifa ili uzibwe mdomo muuu, Mungu wetu tushike mkono peke yetu hatuwezi RIP MH JPM .
@MkoiTvTz
@MkoiTvTz 8 ай бұрын
MTANZANIA ALIYEOLEWA NIGERIA ALIVYOMZIKA MAREHEMU MUMEWE NDANI YA JUMBA LAO LA KIFAHARI HUKO.! kzbin.info/www/bejne/b5O7hZyta7aeosU. MSICHANA MREMBO WA KITANZANIA ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA TED JOHN ALIYEKUWA AMEOLEWA NCHINI NIGERIA NA TAJIRI MKUBWA. AELEZA ALIVYOMZIKA MAREHEMU MUMEWE NDANI YAJUMBA LAO LA KIFAHARI LILIPO NCHINI HUMO KISHA KUKIMBIA NA WANAE. UBALOZI WA TANZANI WAMUOKOA NA KIFO KWA KUMTOROSHA USIKU NA KUREJEA TANZANIA NA WANAE WATATU, AMUOMBA RAISI SAMIA. WATANZANIA WOTE NA DIASPORA KUMSAIDIA KUHUSU WANAE AMBAO HAWAJUI KISHWAHILI HATA. CHEMBE. AONGEA NA MKOI TV, VIDEO HII HAPA, SHARE KWA KILA MTANZANIA DUNIANI KOTE ILI WAMSAIDIE DADA HUYU. COMMENT NA SUBSCRIBE MKOI TV ONILI AU KAMA UNA MAONI TUTAFUTE WHATSAPP NO +255713575718. KARIBUNI SANA
@georgesemakula1063
@georgesemakula1063 8 ай бұрын
😊😊
@merygodfrey3709
@merygodfrey3709 8 ай бұрын
Kwa nini mnaingilia taarifa mmeshaona anaonyesha nja za upigaji.Hongera Mpina Songa mbele.
@user-jt4lo1og8w
@user-jt4lo1og8w 8 ай бұрын
Congration mr.mpina mungu akulinde sana mpina,kwasababu nchi msema kweli hadumu.
@nestor384
@nestor384 8 ай бұрын
Hii ndiyo tafsiri halisi ya mwakilishi wa wananchi. Wenye akili wamewekwa kando wapumbavu watuongoze!!!💔
@bockerbocker8495
@bockerbocker8495 8 ай бұрын
Ndilo lipo kwa sasa,akili ndogo kuongoza akili kubwa
@clarencelazaro9600
@clarencelazaro9600 8 ай бұрын
Duuuu kweli tunaongonzwa na vilaza waliopelekwa bungeni kwa wizi
@jacksonchaula6010
@jacksonchaula6010 8 ай бұрын
Mungu akulinde mpinaa
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 8 ай бұрын
Very true
@georgesemakula1063
@georgesemakula1063 8 ай бұрын
P0😊
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 8 ай бұрын
Ndo namkumbuka kauli ya ndugai iv uh wizi mpaka lini mbunge wangu bola ni mpina tu mungu akulinde sana
@user-gb4yp3um8o
@user-gb4yp3um8o 8 ай бұрын
Hongera Sana mpina mungu akusimamie ktk uwakilishi wa nchi,wewe ni mzalendo
@kumekuchaonlinetv
@kumekuchaonlinetv 8 ай бұрын
Wabunge wetu hongereni sana kwa angalau kuonesha Uzalendo kwa nchi yetu!
@Nyanda506
@Nyanda506 8 ай бұрын
Wabunge wanacheka nakushabikia bila kujari masirahi ya taifa yaani ni upuuzi tu .Safi Mpina wabane kabisa hao
@janetsemahimbo8083
@janetsemahimbo8083 8 ай бұрын
Mungu amlinde kwa kweli
@bernadethashiduki6936
@bernadethashiduki6936 8 ай бұрын
Mungu wa mbingu na nchi akulinde na kukutunza Mpina
@jilalamaligisa4854
@jilalamaligisa4854 8 ай бұрын
Nilizoea sana kuangalia taarifa ya habari kufahamu yaliyojili na nchi inavyoenda lakini siku hizi hata hamu tu ya kuangalia taarifa ya habari sina kwa sababu najua kabisa naenda kupata maumivu ya moyo, hakika ipo siku wachache hawa walioamua kupuuza thamani ya jasho la wanyonge watalipa maumivu haya, iwe kwa Mungu kuwapa magonjwa yasiyotibika pamoja na wingi wa pesa zao haramu, watoto, wajukuu na vizazi vyao vyote kupata matatizo mbalimbali hapa duniani. Huwezi kupuuza maumivu na thamani ya binadamu mwenzako ukabaki salama.
@user-gb4yp3um8o
@user-gb4yp3um8o 8 ай бұрын
Wabunge wenzenu wakichangia ya maana musiwe wa kupiga makofi bila kujua mwenzenu anaongea Nini Sasa mnafurahi Sana tunapoambiwa uongo kumbukeni huyo ni mbunge anaye jitabua
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 8 ай бұрын
Pole sana, kweli tunabeba maumivu mioyoni nwetu!
@omaryyusuph7877
@omaryyusuph7877 8 ай бұрын
Tupo wengi atuangalii habari
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 8 ай бұрын
bora kuangalia tamthiliya tyu kuliko habari mijizi tyu inaoa wanawake kila siku 😂
@bahatikyomo4067
@bahatikyomo4067 8 ай бұрын
Kweli shauku ya kuangalia taarifa ya habari kama Kwa Magufuri haupo
@gwamakagwamaka
@gwamakagwamaka 8 ай бұрын
Ndugu yangu mpina ww unamoyo mzuri naunaipenda nchi yetu mungu akuwekemaisha marefu Huyu mwinguru na naibu waziri hawanauruma nanchi niwezi tu
@user-eg8yq7nf2m
@user-eg8yq7nf2m 8 ай бұрын
Harafu wengine wanacheka baada ya kusikitika Bungeni nomaa
@BonepherceMichael
@BonepherceMichael 8 ай бұрын
Huyu mbunge ni hazina🎉 ya nchi, Watanzania wema na wenye mapenzi mema na Taifa letu la Tanzania tumwombee kwa MUNGU amwagizie Malaika walinzi wamulinde usiku na mchana,MUNGU AKUBARIKI AKUTUNZE NA KUKULINDA.AMINA.
@user-rs4vz2vt9z
@user-rs4vz2vt9z 8 ай бұрын
Ashukuriwe mungu Hapo hakuna upinzani.
@hassaniulende-sp6io
@hassaniulende-sp6io 8 ай бұрын
KWA KWELI MPINA NDIO KATIKA WAZALENDO WALIOBAKI NCHI HII , NI WACHACHE SANA , HONGERA SANA MPINA ,SISI WATANZANIA TUNAPOKUONA NI LAZIMA TUKUSIKILIZE SPICH ZAKO , HATUSIKILIZI MADUNDUKA SISI ,
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 8 ай бұрын
Nilikuwa naomba kuwe na kura za maoni kuhusu mwigulu hebu jaribuni
@toney..
@toney.. 8 ай бұрын
Mwigulu kuwa waziri WA fedha ni dharau Kwa taifa......
@emmanueliman7408
@emmanueliman7408 8 ай бұрын
Shangaa anajitetea kulinda upigaji alafu eti baadhi ya wabunge wanamshagilia eti.
@tusajigwe7491
@tusajigwe7491 8 ай бұрын
😂😅
@kisabihamadi7555
@kisabihamadi7555 8 ай бұрын
​@@emmanueliman7408dah hatari sana
@sadokibrasio4777
@sadokibrasio4777 8 ай бұрын
Big up mpina,unamachungu na nchi hii
@user-xn3gs9qc8u
@user-xn3gs9qc8u 8 ай бұрын
Muda wake ulikuwa haujaisha ukiondoa muda wa hizo taarifa big up muheshimiwa Mpina kwa uthubutu wa kusimamia rasilimali zetu za nchi
@eliakanyika4921
@eliakanyika4921 8 ай бұрын
Mpina Mungu akubariki
@reubendofu1760
@reubendofu1760 8 ай бұрын
Keep it Up Mheshimiwa Luhaga MPINA Mchango mzuri wenye hoja na uthibitisho wa kutoka Kilichobaki ni serikali kuyafanyia Maamuzi yanayosemwa
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 8 ай бұрын
Luhaga mpina wewe ndio mzalendo wa kweli MUNGU AKULINDE YEYE NDIE AJUAE
@geraldlyimo2859
@geraldlyimo2859 8 ай бұрын
Nina wasiwasi bunge lijalo watamwacha kwa kuwa hawataki mseji mkweli
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 8 ай бұрын
@@geraldlyimo2859 😂😂😂 hawawez coz wakimuacha akihamia CHADEMA anapata Jimbo coz wananchi wanamkubali
@osumsafi2095
@osumsafi2095 8 ай бұрын
Daah mpina wewe kweli mwamba MUNGU akulinde Sana
@Gamba177
@Gamba177 8 ай бұрын
Wezi watupu mijizi ccm kazi ya kulala bungeni na kujamba ovyo bila ya kusaidia walalahoi.
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 8 ай бұрын
😂😂😂🤮🤮
@stellakaguo8728
@stellakaguo8728 8 ай бұрын
Safi sana mpina sema kweli mafisadi wamezidi kuitafuna nchi.
@GraceShayo-mj3oc
@GraceShayo-mj3oc 8 ай бұрын
Mungu akuinue kukuweka nafasi ya juu ktk jina la Yesu
@sethdaniel5560
@sethdaniel5560 8 ай бұрын
Amen
@elisifajoshua6155
@elisifajoshua6155 8 ай бұрын
Kwann taarifa nyingi sana mwachen aongee. Mungu akulinde usiogope mtetezi wako yuu hai
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 8 ай бұрын
Mpina ni mtu na nusu..Big up sanaaa...The Next president
@user-iq4px2te4o
@user-iq4px2te4o 8 ай бұрын
Mheshimiwa Mpina Mwenyezi Mungu akupe ulinzi.
@sospetermigera685
@sospetermigera685 8 ай бұрын
Kwa Sasa Mpina duhh ndo Mbunge wangu wa mwaka . Makini sana jamaa
@emmanuelndone4767
@emmanuelndone4767 8 ай бұрын
Mpina much respect
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 8 ай бұрын
Akika mpina tunakuombea sana awa wezi tunawasubili sana 2025
@user-qp2pq1uq4k
@user-qp2pq1uq4k 8 ай бұрын
Naliona giza katika nchi yetu ukweli utaongea daima, RIP Rais Magufuli
@georgemassebu2083
@georgemassebu2083 8 ай бұрын
Mi nikimuona Mwigulu nasikia kama aibu ya Taifa
@hilalmohd8941
@hilalmohd8941 8 ай бұрын
😢😢yani
@fredrickipembe8188
@fredrickipembe8188 8 ай бұрын
Mpina safi sana keki watu wanakula wachache sana
@bwilumarigo
@bwilumarigo 8 ай бұрын
Mwiguru anasitahiri kufungwa maisha ana nimwizi wa kupitiriza
@AbdillahSOthman
@AbdillahSOthman 8 ай бұрын
Muda wake mume uchukua kwa mitaarifa yenu mlipaswa mkae kimya tusikie aibu zenu mnatusababishia gharama za maisha kuwa juu kumbe pesa mnazibeba...
@bockerbocker8495
@bockerbocker8495 8 ай бұрын
Mpina anachokiongea anakijua,hawa wengine wanaleta porojo tu na fujo
@aloycesamba998
@aloycesamba998 8 ай бұрын
Mpina pokea🎉🌹🥀💐🌹yako mapema maana umeongea point sana
@Keyjop
@Keyjop 8 ай бұрын
Nliposikia mwigulu anaingi hiki kitengo daah ... 😢😢 Kwanchi kama Tz kuwa na kiongozi kama mh.mwiguru niaibu kwetu kama watanzania Kiukweli viongozi wetu mnatuangusha saana ... Eti transaction sio uhamisho kwahiyo English ndio lugha sanifu ya nchi now daaah ...🤣😄😄🙌
@tumainikomba9008
@tumainikomba9008 8 ай бұрын
Anafikiri tuko mbumbumbu!!! Transaction na uhamisho,,,anasujudu lugha za watu kuliko anaowaita watanzania wakat alishatuhamishia Burundi kitambo,,, shameless
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 8 ай бұрын
Mwigulu hana nyota Wala leli,yaani haoendeki jizi tu mungu atusaidie ila awaangamize majizi
@fredimtaze9982
@fredimtaze9982 8 ай бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿Lissu alisema hawa jamaa wana tupiga kwenye mradi leli kwa kuongeza kilo mita
@andreampemba1465
@andreampemba1465 8 ай бұрын
Kimeumana wazalendo bado wapo
@alikokibona1583
@alikokibona1583 8 ай бұрын
L
@stevenmeshack467
@stevenmeshack467 8 ай бұрын
Mwiziiiiiii uyoooo
@maryfranknamkumba9182
@maryfranknamkumba9182 8 ай бұрын
The only man with balls CCM Penda sana wewe kaka na Ahsante from the bottom of my heart ❤️🙏🏾
@sikuzamwishotutaonamengira6788
@sikuzamwishotutaonamengira6788 7 ай бұрын
Hongera sana mh Mpina kwa uzalendo wako kwa taifa letu la tanzania... Nchi inajengwa na wanyonge inaliwa na familia za wachache serikalini inauma sanaaaaaaa
@alphoncekagezi4950
@alphoncekagezi4950 8 ай бұрын
Taarifa,za nini? Waziri wa fedha unapaswa usikilize hoja wabunge maana nao wana ufahamu pengine kuliko hata wa kwako. Wizi ukiwepo acha ujengewe hoja huo wizi. Mkaguzi wa hesabu za Selikali hata hujui anachochsngia mbunge Luhaga Mpina ww ni Waziri gani wa fedha ss? Kiatu kinakupwaya ebu Mh Raid aangaze nn anafaa kuendelea kukusaidia ktk maswala ya fedha kwa uwazi zaidi hasa tunahitaji kuingia uchaguzi wa Selikali za mitaa bila maswali tata kuhusu taarifa za ukaguzi wa mkaguzi mkuu wa hesabu za Selikali.
@benedictmabuga8707
@benedictmabuga8707 8 ай бұрын
L
@antonywilliama2868
@antonywilliama2868 8 ай бұрын
mnafany janja janja ya tarifa za wizi wa mda pia mna ufisadi
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 8 ай бұрын
Mwigulu mwizi ndoana anaingilia hoja wt wasiapate kumuumbuwa
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 8 ай бұрын
Hao wanao mpigia makofi mwiguru viraza kila hoja ndio mpina nakukubali sanaaa
@BernadethaSimba-qi4dw
@BernadethaSimba-qi4dw 8 ай бұрын
Asante sana M/Mungu anatenda sasa Mama Mh Samia ona mama madudu hayo walikuwa wanakudanganya hao ndiyo maana wananchi mioyo yetu inavuja damu wakati sisi hali huku mbaya wenzetu Maisha Raini vitambi vinakua kwa kodi zetu walala hoi Siyo hao tu wapo wengi tunakupigia magoti mama tenda kazi yako kwa mamlaka uliyopewa hao watu kama hao wanakuchafua sana funga hao hata kumi tu heshima yetu itarudi
@DoriceSawaki-vg4sb
@DoriceSawaki-vg4sb 8 ай бұрын
Waziri wa fedha Mwizi anaimaliza nchi hii cjui kwann mama anamng'ang'ania atatufnya tuamini Wanashirikianaaa
@mohsixtus7048
@mohsixtus7048 8 ай бұрын
Wanabebana
@samwelililenga
@samwelililenga 8 ай бұрын
Nafasi ya kiongizi wa juu ifanye kazi wananchi tunaumizwa sana sana
@user-ss1ph9vp7h
@user-ss1ph9vp7h 8 ай бұрын
Bunge hili sasa lina wabunge wawili tu wengine chenga tu. MPINA ❤+ MSUKUMA❤
@Mwalimuchannel208
@Mwalimuchannel208 8 ай бұрын
Watu wenye akili na fact wamewekwa kando ila waliopewa nafasi ni akina naniii. Very sad😢
@BenjaminJambo-oy5ce
@BenjaminJambo-oy5ce 8 ай бұрын
Mwazo nilikuwanga sikwelew kwa sasa nakwerewa sana mbunge wetu wa kisesa tunakpa tena miaka 5
@angenyalusischmidt2321
@angenyalusischmidt2321 8 ай бұрын
TRUE
@yyprint8263
@yyprint8263 8 ай бұрын
Wakipewa nafasi wanabadilika pia
@benjaminsendula7503
@benjaminsendula7503 8 ай бұрын
Sema wasukuma tunaongoza kuwa na viongozi wenye uelewa saana bungeni
@TECHTZTV
@TECHTZTV 8 ай бұрын
Huyu mpina atasababisha mwigulu ajinyonge
@elidiustudoy2640
@elidiustudoy2640 8 ай бұрын
Mwingulu akamatwe
@shabanimasue6546
@shabanimasue6546 8 ай бұрын
Mpina Mungu akulinde. You are excellent 👏
@mcmetroboom530
@mcmetroboom530 8 ай бұрын
Watu wa jimboni kwa mpina uyu jamaa anawawakilisha vyema ❤️ aisee
@kambalakafuko7695
@kambalakafuko7695 8 ай бұрын
Hongera Mpina, lakini kwa serikali hii karibia watakupeleka kuwa balozi Msumbiji
@user-fb6dh6sz2g
@user-fb6dh6sz2g 8 ай бұрын
😂😂😂😂 ama kweli
@erickdioniz8277
@erickdioniz8277 8 ай бұрын
Aisee mpina Mungu akulinde sana
@ZulfikaHussein-fl9gt
@ZulfikaHussein-fl9gt 8 ай бұрын
Wazir wa fedha ni mwizi mnambeba sana afukuzwe
@jalaryababilasi1562
@jalaryababilasi1562 8 ай бұрын
Cyo kufukuzwa tu akamatwe Kwa kuhujum uchumi
@kambamazig02024
@kambamazig02024 8 ай бұрын
transaction ni uhamisho wa fedha, hapo waziri umekula pabaya. Transaction = uhamisho wa fedha kielectronic.
@EzraKwili
@EzraKwili 8 ай бұрын
Duh My country 😂
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 8 ай бұрын
Mwenyezi mungu mwingi wa rehema, utukufu ni wako mwenyezimungu, naomba umlinde mbunge mzalendo mh. Luhaga Mpina na unusuru taifa letu dhidi ya mafisadi wa rasilimali zetu😭😭.
@gracemwakibolwa7910
@gracemwakibolwa7910 8 ай бұрын
Mungu amlinde huwa hawatakiwi watu kama huyu.❤
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 8 ай бұрын
Mtu anaongea ukweli mara taarifa mnatuona hatuna akili
@user-cz7bd9tc5k
@user-cz7bd9tc5k 8 ай бұрын
Hapa ndio Makonda na Chongolo Waingilie kati Kama kweli Wamepewa Meno ya kung’ata
@mauleenkiwia6022
@mauleenkiwia6022 8 ай бұрын
Ifike mahali hii report ya CAG itusaidie katika ushahidi wa watu kuswekwa rumande/jela...tumechoka kuambiwa Kuna upigaji halafu wapigaji Bado wako kwenye nafasi zao za madaraka...hii inauma Sana Watanzania tunaishi maisha magumu ambayo hatukupaswa kuyaishi Kwa ajili ya manyang'au wachache. Tumechoka bhana. Tukianzia elimu na tukija kwenye afya madudu yanafanyika hii yote Kuna mshenzi mmoja anajua kutafuna Hela za wananchi walipa kodi halafu anaachiwa kuendelea kupeta...hili hata Mungu hawezi kutusaidia katika Hali hizi ngumu kwani anajua wazi ni ujinga wetu
@crershawmafia1009
@crershawmafia1009 8 ай бұрын
Jina haifi, ila jinai hio ikihusisha ufisadi inakuwa kama kipaimara tu. Inakera mno
@user-ez9qc2jo1x
@user-ez9qc2jo1x 8 ай бұрын
kama tumechoka tutumie kura zetu kuwatoa wananchi wanapiga kelele ccm wezi mara mafisadi lakini ukifika uchaguzi mnaichagua tena kwa kishindo ndyo maana wabunge wanaingia vijana wanatoka wazee kukinga posho na mishahara mikubwa
@nsajigwamwakalonge5702
@nsajigwamwakalonge5702 8 ай бұрын
Mbona inaushahidi ndugu yangu kama wanakutajia mpaka akaunti namba unataka ushahidi gani? Shida mnakesha kwenye vijiwe kubishana mambo ya akina simba na yanga huku nchi inafilisiwa na inaibiwa vizazi vyenu vitakuja kuwalaani sana maana intaneti inatunza haya
@ikouwasi7644
@ikouwasi7644 8 ай бұрын
​@@user-ez9qc2jo1xharafu unawaweka chama gani kura hazipigwi eti tuitoe ccm
@user-wt7lx5hp6f
@user-wt7lx5hp6f 8 ай бұрын
​@@user-ez9qc2jo1x una uhakika wanachaguliwa au wanapitishwa? Umewahi kusikia watu wanapita bila kupingwa? Unajua namna kura zinavyohesabiwa? Una uhakika uchaguzi uliopita wapizani walioshinda ni wawili km sio mmoja tu😂😂😂
@humphreynyiti516
@humphreynyiti516 8 ай бұрын
Huyu mbungehaki ya mungu nawambia ni zaidi ya wabunge 200 wa ccm namfananisha na marehemu deo philikunjombe huyu jamaa asee mungu amlinde
@Brama_A37
@Brama_A37 8 ай бұрын
Natamani hapo angekuwepo John Heche, Tundu Lissu
@ZeraGeofrey
@ZeraGeofrey 8 ай бұрын
😂acha kutaman tumia ulichonacho
@edwintouches
@edwintouches 8 ай бұрын
Jamaa hana muda na taarifa zao, "muheshimiwa mwenyekiti akae na taarifa yake". 😂 🙌
@nsajigwamwakalonge5702
@nsajigwamwakalonge5702 8 ай бұрын
Na unaweka na emoji ya kicheko?
@edwintouches
@edwintouches 8 ай бұрын
@@nsajigwamwakalonge5702 Ulitaka niweke ya mkundu wa mamaako? Pumbavu.
@simonibonifasi3131
@simonibonifasi3131 8 ай бұрын
Safi sana mpina namungu akulinde vyakutosha
@neemamajana3078
@neemamajana3078 8 ай бұрын
Wabunge simameni imara Wananchi tumechoka sana, Majizi wametuchosha sana, tusaidieni msiogope kuuawa.
@novathmsanyamsanya7702
@novathmsanyamsanya7702 8 ай бұрын
Hakuni nchi inaweza endelea kwa kufanya Importation zaidi kuliko export
@ommymsangi9182
@ommymsangi9182 8 ай бұрын
Kuna genge la upigaji hapa TZ.Inapaswa kuwe na uwajibikaji kunakotokea kuna dosari kwenye kuendesha ofisi za umma.
@patrickmfundiri8669
@patrickmfundiri8669 8 ай бұрын
Mbunge wa ukweli hongera mpina
@healingsschool4630
@healingsschool4630 8 ай бұрын
Our Father which art in heaven. Hallowed be thy name. 10 Thy kingdom come. Thy will be done in earth, as it is in heaven. 11Give us this day our daily bread. 12 And forgive us our debts, as we forgive our debtors. 12 And led us not into temptation, but deliver us from evil: For thine is the kingdom, and the power, and the glory for ever. Amen.
@meckmussa1840
@meckmussa1840 8 ай бұрын
Ameen
@ChristineElias-bn4dw
@ChristineElias-bn4dw 12 күн бұрын
Chukuwa maua yako 🎉🎉🎉 kazi unaweza xnaaaa na mungu akulinde
@pascarmwatosya5855
@pascarmwatosya5855 7 ай бұрын
Daaa Mungu akubariki mpina aendelea kitupambania
@simonsonda5363
@simonsonda5363 8 ай бұрын
MZEE WA TRABU AND TRAT ANAPIGA HELA TU MPK NDEVU KASAHAU KUNYOA BADO TOZO AMEKUSANYA
@eliudntabusi9712
@eliudntabusi9712 4 ай бұрын
Namkubali sanaa MPINA
@jimmymbella997
@jimmymbella997 8 ай бұрын
😂😂😂 nimependa mapendekezo yako safi sana kijana, ruhaga mpina unafaa sana. mafisadi wakamatwe washitakiwe, hasa huyo mwigulu nchembe sipendi kabisa Kazi yake!
@anosiata8242
@anosiata8242 8 ай бұрын
Wow! Hatari watu wanapinga pesa . Kweli kweli.
@eliakanyika4921
@eliakanyika4921 8 ай бұрын
Huyu mpina ni mbunge pekee bunge lote la 2025
@rwehumbizajonathan8689
@rwehumbizajonathan8689 8 ай бұрын
Naaaaam Haya ndio mambo tunataka,sio kufichiana fichiana tu.
@rashidally1149
@rashidally1149 8 ай бұрын
Huyu waziri wa fedha kuna mtu nyuma yake maana kila siku analalamikiwa lakn bado yupo hatumbuliwi 😢😢😢
@jacklineslem5331
@jacklineslem5331 8 ай бұрын
Kabisa
@jumannerajabu8259
@jumannerajabu8259 8 ай бұрын
wasipo tajilika kipndi hiki cha Samia ndo bx acha wale ulefu wakamba zao bn washapewa luhsa namama
@annapeter-wb6iv
@annapeter-wb6iv 8 ай бұрын
Mungu akubariki mpina
@user-gx2do8ls8z
@user-gx2do8ls8z 8 ай бұрын
Africa bado sana mungu alitunyima akili katupa tamaa mtu yupo Tyr apewe pipi2 anatoa Cha thamani,na wengine mkashangilia
@victoriamefya6287
@victoriamefya6287 8 ай бұрын
Mpina hoyeeee Mungu akulinde
@user-xx1jb5fq5p
@user-xx1jb5fq5p 8 ай бұрын
Usipotajirika kwenye hii serikal basi wew nimasikin wakufa
@masweto
@masweto 8 ай бұрын
congratulations mpina
@user-ky7qi7ud3u
@user-ky7qi7ud3u 8 ай бұрын
Kanda ya ziwa kuvichwa hatar genius
@user-dp9xo2jo4p
@user-dp9xo2jo4p 8 ай бұрын
Hongera 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 nyingi kwako mpina
@fatumahassanduale4701
@fatumahassanduale4701 8 ай бұрын
Huyu ni mgonjwa, sasa bujeti ya nchi ni trilioni 42,ikiibiwa 30 inamaana hela iliyobaki ni mshahara ya watumishi, sasa hiyo kazi zingine za serikali hazikufanyika.
@rehemakarafuu-xi1py
@rehemakarafuu-xi1py 8 ай бұрын
mungu akulinde kamanda
@jumamakamba2212
@jumamakamba2212 8 ай бұрын
Hakunaga msukuma boya hongera wapoti
@teophilmbalamwezi
@teophilmbalamwezi 8 ай бұрын
Mpina Mungu akulinde bro,,
@abdultandala6576
@abdultandala6576 8 ай бұрын
Mhhhhh! Tanzania nchi yangu
@simonjnrmabula3785
@simonjnrmabula3785 8 ай бұрын
Mhe. Mpina 👏👏👏
@mweyoms5548
@mweyoms5548 8 ай бұрын
Bunge hili tangu lianze ni kashfa za wizi kila mahali.Ni wizi,wizi juu ya wizi.Ewe Mwenyezi Mungu tunusuru Watz masikini,hakuna mwingine wa kutunusuru isipokua wewe.
@feliciarfrancis2388
@feliciarfrancis2388 8 ай бұрын
CCM inafaa kabisa kabisa ( Jibu Horn Mwigulu)
Я нашел кто меня пранкует!
00:51
Аришнев
Рет қаралды 4,7 МЛН
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 100 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 57 МЛН
MWALIMU MGENI ❤️ /14/
17:46
BabaJoan
Рет қаралды 810 М.
Я нашел кто меня пранкует!
00:51
Аришнев
Рет қаралды 4,7 МЛН