Mbunge Maganga Alivyowavunja Mbavu Wabunge I Waziri Mkuu Ashindwa Kujizuia I Rushwa Imepanda Bei

  Рет қаралды 173,261

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

3 жыл бұрын

"Kila mmoja anatamani tuwe Mabilionea, lakini mimi (binafsi) ninaona hatuwezi kuwa Mabilionea kwa sababu rushwa imezidi na imepanda bei, nikiwa dereva kwenye mabasi tulikuwa tunatoa rushwa shilingi 2000 lakini sasa hivi rushwa ni 10,000 na kuendelea. Sioni kama mhusika anafanya kazi kumsaidia Rais kwenye masuala ya rushwa" Nicodemus Maganga-Mbunge wa Mbogwe"
#KutokaBungeni Powered by @UhuruHospital
#CloudsDigitalUpdates

Пікірлер: 64
@beatricesamwel8161
@beatricesamwel8161 2 жыл бұрын
Hakunanga msukuma akapata uongozi halafu akawa bulula💪
@allykassim3145
@allykassim3145 3 жыл бұрын
Huyu mbunge ana confidence sana hongera yake kwakweli
@abdulysharunaharuna3261
@abdulysharunaharuna3261 2 жыл бұрын
Mbunge Kama huyu watamuona kama hafai,lakin anaongea point saana
@nyamwekomatoke9951
@nyamwekomatoke9951 2 жыл бұрын
Dah Maganga Uko vzr sanaa Uliyasema haya kbl maguli hajafa, lkn haya ndo yanatokea Sasa Hivi Walimuunga mkono wakiwa wote lkn walikuwa na connections za wizi Now tunaona wanakolipeleka taifa
@stevenmlangai4798
@stevenmlangai4798 2 жыл бұрын
Asante sana mbunge Maganga kwa kusema ukweli. Wabunge wote wangekuwa kama wewe nchi imepiga hatua sana sana. Wapo wabunge hata mawaziri shida yao ni kujaza matumbo yao tu. Mungu akulinde sana mbunge Maganga.
@justinemassawe3622
@justinemassawe3622 2 жыл бұрын
🙏
@happynessjohn3904
@happynessjohn3904 2 жыл бұрын
Hongera Sana jilani yangu kwa kuchangia hoja inapoiti Sana🔥🔥🔥🔥
@mujunigoodluck9648
@mujunigoodluck9648 3 жыл бұрын
Mbunge amejitahidi Sana kujenga hoja zake za kibunge Safi Sana
@mwanamvuakalugula8848
@mwanamvuakalugula8848 2 жыл бұрын
Naona wabunge wa ZANZIBAR Wanacheka tu badala ya uganya kazi kama wao
@matesomasele1216
@matesomasele1216 2 жыл бұрын
Kweli Mheshimiwa Maganga wasomi wanataka kurudisha kwanza gharama zao walizotumia kusomeshwa hao nao ni wezi tu mafisadi wakubwa
@josephmkongwi2323
@josephmkongwi2323 3 жыл бұрын
Mungu hana upendereo
@kumwembedanford9049
@kumwembedanford9049 3 жыл бұрын
Safi sana mbunge wa mbogwe
@abdulmajidiibrahimu3338
@abdulmajidiibrahimu3338 2 жыл бұрын
Muogope mungu kuliko kuwaogopa binaadam tujifunze kusema ukweli
@gibrinrashid8746
@gibrinrashid8746 3 жыл бұрын
Nakubali snaaa mkuuu boss wangu zaman masumbwe hukoo
@essyrugomora4561
@essyrugomora4561 2 жыл бұрын
Mweshimiwa ussi kawaida yako furaha mwenyez mungu awalinde
@bugybuster5788
@bugybuster5788 2 жыл бұрын
Huyu kweli mzalendo ila huwa wanakatishwa Tamaa na majizi na kupewa vitisho
@sadockalfred1710
@sadockalfred1710 3 жыл бұрын
Safi sana aise
@samwelkadeghe2522
@samwelkadeghe2522 3 жыл бұрын
Rushwa ilikuwa sh 2000,sasa ni zaidi ya sh.15000,barabarani
@bugybuster5788
@bugybuster5788 2 жыл бұрын
Nchi hii wazalendo wako wengi sanaa tatizo hao wanaojiita wasomi ndy wanaotuangusha kwakweli wanaangalia matumbo yao tuu MUNGU awalaani
@hl8755
@hl8755 3 жыл бұрын
Hii ndo serekari tunapenda mtu anaanzia chini mpaka akawa mbunge
@jaydon3361
@jaydon3361 3 жыл бұрын
Kidogo hili linaakili kwenye bunge hili
@mwanahamis5487
@mwanahamis5487 3 жыл бұрын
Point
@kumwembedanford9049
@kumwembedanford9049 3 жыл бұрын
Daah
@kisetumbise4355
@kisetumbise4355 3 жыл бұрын
Uko ,vzr maganga
@belishazakasasa6060
@belishazakasasa6060 2 жыл бұрын
Sawa sawa mheshimiwa
@mduduemmanuel4585
@mduduemmanuel4585 3 жыл бұрын
Bunge halina amshaamsha, hapo ungesikia taarifa
@ryanaisrael9151
@ryanaisrael9151 3 жыл бұрын
Mwaka huu hili bunge ni hatari
@mamahustru
@mamahustru 3 жыл бұрын
Huyu mbunge nimemkubali.
@emanuelsamson-hq2jv
@emanuelsamson-hq2jv Жыл бұрын
Mweshimiwa ukosawa
@sembuakimbosho3319
@sembuakimbosho3319 2 жыл бұрын
Umepiga kwenye bull mbunge
@veronicamabinamasuka1755
@veronicamabinamasuka1755 2 жыл бұрын
Ukosawa maganga
@jumaigoti8638
@jumaigoti8638 2 жыл бұрын
Uko sawa
@emmanuelmihayo1663
@emmanuelmihayo1663 2 жыл бұрын
Mheshimiwa hongela Sana endelea kutetea wanyonge
@tatumashauri6589
@tatumashauri6589 2 жыл бұрын
Uko vizuri sana
@shaddybmc8342
@shaddybmc8342 2 жыл бұрын
Saf sana
@user-vp3lm9le3f
@user-vp3lm9le3f Жыл бұрын
Mbunge mjuaji
@zawaddauda5521
@zawaddauda5521 2 жыл бұрын
Maganga tunakupenda unaongea ukwer toka magufuri afe nchi umebadilika wat wanateseka tunaenda wap
@wangwemseti7592
@wangwemseti7592 3 жыл бұрын
Naunga mkono hoja wateule wa rais walio wengi ni wanafiki hawaendani na maelekezo ya magufuli ya kusimamia na kuhakikisha mapato yanafanya kazi husika wamekua wapigaji mh magufuli pia wateule upya utabaini huu upigaji
@emmanuelmihayo1663
@emmanuelmihayo1663 2 жыл бұрын
Hongera kaka
@joshuamwambene6041
@joshuamwambene6041 2 жыл бұрын
Sawa
@adamfundikira3554
@adamfundikira3554 Жыл бұрын
Was Wasukuma hawajawahi kuferi
@barakamusapolekidoti957
@barakamusapolekidoti957 2 жыл бұрын
Nakufatilia mno mh shabibu unaongea point mno tungepata kama wewe watu 10 labda mabadiliko yangeonekana
@abdulmajidiibrahimu3338
@abdulmajidiibrahimu3338 2 жыл бұрын
Asant
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 2 жыл бұрын
Jamani uyoo mbunge wa chumbuni anafanya nn apo
@tatoorashedi1787
@tatoorashedi1787 2 жыл бұрын
Tatizo la Tz ukiwa mkweri ndio adui wa viongozi
@rebekadottomichael9340
@rebekadottomichael9340 3 жыл бұрын
Kazi ipo
@awesosiri5171
@awesosiri5171 3 жыл бұрын
Kazi ipo kweli
@victorsanga2229
@victorsanga2229 2 жыл бұрын
Wabunge wenu
@wilsonletiet7852
@wilsonletiet7852 3 жыл бұрын
Afadhali una akili lakiji mtoto wa nyoka ni nyoka tu
@musasabuu2808
@musasabuu2808 2 жыл бұрын
Kwanzia chini Hadi juu majizi yte ni haya masomi wale wnye elimu ndo wachapa kazi
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 2 жыл бұрын
Nani kakupigieni kura nyie Hampo apo kwa rizaa yetu ss wananchi mpo apo kwa wizi na dhulma Na dhulma daima haidumu
@mamahustru
@mamahustru 3 жыл бұрын
Acha kujishika shika pua. Hujui jinsi CORONA inavyoambukizwa?
@kazizaidi1695
@kazizaidi1695 2 жыл бұрын
Dawa zabule hakuna
@emmanuelmihayo1663
@emmanuelmihayo1663 2 жыл бұрын
Naomba namba ya cm yako
@errydeo8865
@errydeo8865 3 жыл бұрын
facts tupu,wanacheka lakini wengi wanamuona rais kituko tu...wanafanya tofauti na wasemayo majukwaani.Rais nyoosha punda wako
@josephmkongwi2323
@josephmkongwi2323 3 жыл бұрын
Dereva mwenzetu umetoa siri ya kazi
@athanaselazarongumusn3076
@athanaselazarongumusn3076 3 жыл бұрын
😁😁😁😁
@millanzishaibu6121
@millanzishaibu6121 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@richardibrahim5609
@richardibrahim5609 3 жыл бұрын
Kiswahili zero. Wasukuma bana daah
@spidermagufulijembeletuale2903
@spidermagufulijembeletuale2903 2 жыл бұрын
Mbunge huyu yupo vzr sana
@edwardmihale6579
@edwardmihale6579 2 жыл бұрын
Acha utani kwenye kweli tulia angalia point zake acha wehu
@sembuakimbosho3319
@sembuakimbosho3319 2 жыл бұрын
Anataka akiajiriwa leo anataka apate nyumba ,gari malaya mzuri awe wake duh
Jumanne Kishimba: Hauwezi kuoa kwa friji au TV
10:35
Mwananchi Digital
Рет қаралды 27 М.
Mbunge aishauri serikali kuanzisha chuo cha wizi
5:41
Azam TV
Рет қаралды 154 М.
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 59 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 7 МЛН
Mbunge Kishimba awavun ja mbavu wabunge "Kwani akili ni Bando?"
10:05
Mwananchi Digital
Рет қаралды 31 М.
SUGU: "Please Don't Shut Me! Tubishane kwa Hoja na Siyo Bunduki"
11:24
Global TV Online
Рет қаралды 466 М.
DUKANI KWA MEKU
11:05
Joti TV
Рет қаралды 297 М.
Хитрый и умный ход #boxing
0:17
Эффект MMA
Рет қаралды 1,7 МЛН