Mhe. Wamalawi wameamka sana wanakuja sana kusoma vyuo vya zanzibar, pamoja na mambo mengine wanashauku na wanatafuta kujuwa lugha ya kiswahili hivyo basi nawashauri wanamsumbiji kusoma vyuo vyetu vya zanzibar
@barakabahati66002 жыл бұрын
Watu wengi wanapendaga sana Tanzania lakini watanzania ni wanafiki sana tena wenye wivu dhidi ya wageni
@douglasmodrax4608 Жыл бұрын
Sio kweli tembelea Tz utaona
@AmisseMwenetombwe5 ай бұрын
Tatizo Elimu
@thanksrjhood95085 ай бұрын
Mgeni uwe na wivu nae ili iweje, kusemea watanzania wote, ukisema baadhi utaeleweka, ndio tuseme na ww ni mnafiki