HISTORIA ZA WALIOANDIKA VITABU VYA BIBLIA.... WALIVYOVIKATAA WANAVITUMIA KWA SIRI HAWATAKI TUJUE

  Рет қаралды 75,993

Tricod Media

Tricod Media

Күн бұрын

HISTORIA ZA WALIOANDIKA VITABU VYA BIBLIA.... WALIVYOVIKATAA WANAVITUMIA KWA SIRI HAWATAKI TUJUE
Bonyeza Hapa KUSUBSCRIBE www.youtube.com...

FOLLOW TRICOD SKILLS on Instagram!
/ tricodmedia
LIKE TRICOD SKILLS on Facebook!
/ tricod-skills-11524157...
FOLLOW TRICOD SKILLS on Twitter!
/ tricodskills
#ukristo
#upagani
#freemason

Пікірлер: 175
@mustafayahyarunigangwakani6037
@mustafayahyarunigangwakani6037 4 жыл бұрын
amani ya Mungu (ALLAH) iwe nanyi!!! Dah!!! najifunza mengi humu ndani!! umalikiwe uliepata wazo la kuanzisha channel hii!! nimegundua wangu tunampenda sana Mungu ila njia ya kumuendea unachanganya kwani wengine wamechafua ramani!!!
@juliusdominic-uk4bu
@juliusdominic-uk4bu 9 ай бұрын
Amina kalibu kwa Mungu wa haki na wema umtumikie
@VictorSowa
@VictorSowa 2 ай бұрын
Unashindwa kujitambua kuwa kuna roho mtakatifu
@VictorSowa
@VictorSowa 2 ай бұрын
Kingine Paulo hakuwahi kukengeuka baada ya kumpkea yesu kristo napia hakuhubili njili nyingine tofauti nainjili walio hubili mitume wenzake endelea kufanya utafiti c kwahicho ulichokieleza
@AnithaButita
@AnithaButita Жыл бұрын
Kajifunze vzur historia bado hujui kitu mdogo wangu
@ufc-ultimatefightingchampi8456
@ufc-ultimatefightingchampi8456 2 жыл бұрын
Great Knowledge Thank you.Wale wabishi shauli yao na maisha yao.
@ima-fc3fm
@ima-fc3fm Жыл бұрын
nitaipata.vip.hiyo.elim.nahitaji.mno
@pasfikoMkalawa
@pasfikoMkalawa 9 ай бұрын
Kaka napenda Sana izisili
@samuellonudeweythomas8705
@samuellonudeweythomas8705 4 жыл бұрын
Ubarikiwe
@youngjun8098
@youngjun8098 4 жыл бұрын
Kazi nzur big up tricod
@ndomimimkaliwadonta5715
@ndomimimkaliwadonta5715 4 жыл бұрын
Umejitahidi lkn bado soma vizuri kuna watu wanasikia kama wewe ulivyo sikia na ulivyo wahadisia lkn rudi ukasome sasa wewe mwenyewe vizuri sababu Yesu anasema hakusema kitu silini kilakitu alisema hazalani
@dullythegreat3202
@dullythegreat3202 4 жыл бұрын
Big up bro
@abuuhaamidpaulo5506
@abuuhaamidpaulo5506 4 жыл бұрын
Dah kk nipo pia nakufatilia San ila nasikitik kwaupande mwingine
@gyankisanga6790
@gyankisanga6790 4 жыл бұрын
Mzee big up san ...SALute kwako
@Deeja_Knife
@Deeja_Knife 2 жыл бұрын
Waislam dhini lao lilitoka kwa warume kupitia Khadija... Mohamed alifanywa kutumiwa kupitia uchawi ambao alirogwa,hata pale pangoni yy Mohamed alisema alichezewa na shetani maana hakukuwa na malaika Gabriel.Mchezo mzima uko na Khadija juu yy pia ndie alisema ni malaika Gabriel
@TricodMedia
@TricodMedia 2 жыл бұрын
Kuna story huwa inabidi niwe mpole kuzifanya hasa hizi za hawa jamaaa maana wanakuaga na hasira sana
@uvitazuvitaz4577
@uvitazuvitaz4577 Жыл бұрын
acha kuongea kama umevaa pampers hizi taarifa umezipata wapi.?
@Commentsplus
@Commentsplus 2 ай бұрын
@@uvitazuvitaz4577 chokonoa na usome sana vitabu vya kale
@brillianhappiness167
@brillianhappiness167 Жыл бұрын
Watu wa Muhammed msidanganywe eti quran imeandikwa na malaika ni Muhammed ndiye aliandika akiwa pamoja na mashetani zake ndio zilikuwa zinamsaidia, mm nikawa najiuliza swali mbona majini wana ukoo na waislamu? Mtume Muhammed ni mtume wa uongo hakuwa wa kweli
@MarzouqOmar-nm4he
@MarzouqOmar-nm4he 11 ай бұрын
We wajua shingo yako ni halal we fala.Iwapo Huna la kusema nyamaza Maluuni wewe
@MarzouqOmar-nm4he
@MarzouqOmar-nm4he 11 ай бұрын
Sukhala la kumtusi Mtume Muhammad S.A.W Utatuona wabaya waislamu.Waislamu wanapenda Amani ila ukituchafua mutatuona wabaya Ulimwengu unatutambua kwa hiyo chunga kauli zako Nguruwe wewe
@simonmakoba85
@simonmakoba85 8 ай бұрын
😊
@tazbmanda759
@tazbmanda759 7 ай бұрын
Uwaneni kwa ujinga wenu wazungu na walabu wametuvuluga
@HamzaMahundu-l2v
@HamzaMahundu-l2v 4 ай бұрын
bangi sio chai
@stephenndagalla8183
@stephenndagalla8183 Жыл бұрын
James hakuzaliwa na Mariam,bali alikuwa mtoto wa Yusuf (mmewe na Mariam, kwa mke aliye muoa kabla ya kuwa na Mariam). Rejea maandiko ya Protoevangelion (vitabu vya Biblia ya kale).
@allykutenga2862
@allykutenga2862 4 жыл бұрын
Asante TR. M. leo umenikoshaaa..na hasa hilo neno la mwisho kama fumbo fulani hv mwenye macho na mwenye masikio ???? (wanojifanya kuponya wa2).
@BigZhumbe
@BigZhumbe 4 жыл бұрын
Haya mambo haya dah 😭😭😭😭 waafrica tunachamganyiwa madawa
@alimohammed5127
@alimohammed5127 4 жыл бұрын
Tumejichanganya wenyewe coz bibilia ipo waz kuna mambo mengi katika bibilia yanaonesha uislam ndo dini hata matendo ya Yesu pia... Pia maneno mengi yameandikwa yana mahusiano na uislam km neno KADHI,SANDA, SINAGOGI, ASALAMU ALAYKUM... so waafrika mlijichanganya wenyewe coz... Hakujawah tokea papa au kiongozi mkubwa wa kanisa duniani akawa mtu mweusi.... Lakin ukweli alioueleza MWENYEZI MUNGU kupitia kinywa cha mtume MUHAMMAD S.A.W... ni kua YESU ALIKUA MWEUSI UZURIWA SURA YAKE MACHO NA NYWELE ZAKE MUHAMMAD ALIVISIFIA KW KUSEMA HAJAWAH KUONA KIUMBE MZURI KM YESU... nyny wakristo mko wap hamjui kmYesu alikua mweusi??? Utu wa watu weus umepotezwa na wazungu wakamfanya Yesu mweupe kw pich ya kutengeza...na si yesu tuu MUHAMMAD S.A.W ktk kumpa sifa njema mtu mweus pia kamtaja ALEXANDER,ABRAHAMU,SOLOMONI,DAUDI NA MUSA kua walikua weusi njooni kwenye dini yenu ya asil UISLAM ndio dini ya MITUME wote.... Haibagu rangi km mnavoona viongoz wa dini weus wanavowaongoza waarabu na wazungu ktk ibada coz ktk uisla mbora ni yule anaejikaribisha kw MUNGU na sio mzungu km mlivotengenezwa na wazungu....
@BigZhumbe
@BigZhumbe 4 жыл бұрын
@@alimohammed5127 Yaani unafaa kuzinduliwa kwenye usingizi wa kifikra km unaamini dini ya watu weusi ni Uislamu..... hao mitume uliowalist apo unaosema weusi walitumwa kwa waafrica ama walitumwa kwa makabila yao husika huko middle East.......... Uislamu ni km dini nyingine tu za kikoloni dini yenye Mungu mwarabu. Dini yenye Mungu anaepiga vijembe na vitisho kuliko dini zote duniani..... Eti Mungu anafurahi kumuangamiza Abu Lahab wakati kamuumba yeye 😅🤣 Wake up buddy..... Muafrica hahitaji dini kumjua Mungu
@alimohammed5127
@alimohammed5127 4 жыл бұрын
@@BigZhumbe ni mekujibu kw adabu ss unanivunjia heshima.... Ila sisi waislam tumeambiwa tufikishe tu kweli na ungongo utakwenda kujua pale tu malaika mtoa roho atapokujia.. hapo ndo utamjua Mungu wa kweli au wa vijembe.. watu km nyny walikutana na mitume pia.... Cku utaulizwa je hakuja muonyaji utasema alikuja ila nilimkadhibisha... Mana km ungekua karibu ningekufahamisha uislam positive km mm nnavoufahamu ukristo positive... Ila nyny wakristo mnanyweshwa uislam negative... Hilo ndo kosa la viongoz wenu coz wanajua wakiwapa maelezo ya uislam positive mtajua ukweli..... Mm naishia hapo.... Mana ukitaka maandiko ntakupa maandiko ya vitabu vyote mpaka utafurahi....
@oskawilliam5194
@oskawilliam5194 3 жыл бұрын
@@alimohammed5127 I inalilahi soma mwanzo utaona yakobo alizaliwa langi gani na sauli hio elimu tena hicho kitabu cha Koroan siunakiamini unajua hukumu ya kusema Muhammad ni mweusi
@brillianhappiness167
@brillianhappiness167 Жыл бұрын
Mimi nawezasama wewe ni nabii wa uongo, umekuja kuua imani ya watu Ni kama unajaribu kusema Mungu hana uwezo wa kutenda miujiza Naomba mvua iliyonyesha Brazil wakati walipomshitaki Yesu pia ikanyeshe kwako
@FarajiiAlly
@FarajiiAlly 6 ай бұрын
Tua tuambiwe habari za wakoroni
@r14kgroup68
@r14kgroup68 3 жыл бұрын
Kweli
@Jabaman207-ue6sk
@Jabaman207-ue6sk 4 ай бұрын
Uliza DR SULE
@godfreypetro-ib2zt
@godfreypetro-ib2zt 3 ай бұрын
Duh uongo mwingi😢
@hassanabdalla2741
@hassanabdalla2741 4 жыл бұрын
Paulo alizaliwa miaka mingi ssn baada ya Yesu kuondoka duniani, hapo uliposema alizaliwa kipindi cha Yesu huo ni uzushi na uongo. Fanya marudio vizuri
@safeworldwide9929
@safeworldwide9929 4 жыл бұрын
Wewe ndiyo haujaelewa ndugu, isome Biblia uelewe. Paulo alikuwepo kipindi Yesu alikuwepo duniani na ndio sababu Paulo alipopata maono ya kuwa Mtume wa Yesu alianza kufanya kazi na Mitume wengine ambao NI Kuna Petro. Paulo alianza kuwa Mtume baada ya kifo Cha Yesu,hii haimaanishi kuwa wakati wa uhai wa Yesu Paulo hakuwepo
@allykeita704
@allykeita704 3 жыл бұрын
@@safeworldwide9929 mmmmmh na wew umenidanganya hahaha
@edwardhoja
@edwardhoja 3 жыл бұрын
Paulo (Saul of Tarsus) alitiwa upofu baada ya kuwapiga sana vita wanafunzi na waliomuamini Yesu. Hii inaonyesha wazi aliishi wakati wa Yesu
@FarajiiAlly
@FarajiiAlly 6 ай бұрын
Wewe uli kuwepo
@GerrardKelvin
@GerrardKelvin 2 ай бұрын
Nimelud
@zenassylvester125
@zenassylvester125 4 жыл бұрын
Biblia ni msingi wa maisha ikiwa utaifwata na ndio maana hawa jamaa wanatumia ili kwa maslahi yao
@sawdaasawdaa7903
@sawdaasawdaa7903 3 жыл бұрын
Yes nimusingi wa maisha ya kishetwani watu wanamwaga mamiliyoni iwa dini ya fake na dini ya kweli ipo subhanalah
@bryson0772
@bryson0772 Жыл бұрын
@@sawdaasawdaa7903 ww mwenzetu dini ya kweli n ipi tuanzie hapo? Hujielewi na unajipatia dhambi tu huyo muhamed wako mwenyewe anamjua na kumkiri yesu na ujaji wake mara ya pili humo kwenye quran yenu imeandikwa pia haya ww n nan kujifanya wajua dini ya kweli? Jiepushie dhambi ndogondogo
@SamuelErnest
@SamuelErnest 3 жыл бұрын
Siri ya kufanya miujiza ya Yesu Kristo ipo kwenye Biblia ya kawaida wala haipatikani huko mliposema! Huu ni uongo ulioelezwa kwa kutumia vitu na matukio ya kweli!
@sawdaasawdaa7903
@sawdaasawdaa7903 3 жыл бұрын
Yesu hajaaca bibilia iyo ni maagizo ya wanadam nakuwakejeli watu kwanguvu eti nambie ivi na sema ivi vip kufuta amri za Allh na taurati ya isingekua sijuwi mungeandika nini afu pili kwanini wanafica siri na kwanini mawe mpaka wanayaiba yaloteremshwa eko maneno ya Allah
@azizihfarijala5307
@azizihfarijala5307 Жыл бұрын
Hivi ni mtume ganni aliyesoma na shule gani. wote waliletewa wahai (ndoto) si mussa wala mohamadi
@awardenock7173
@awardenock7173 7 ай бұрын
Mariam mtoto wake wa kwanza ni yesu sio jemsi
@KeiFerouz-fn9oc
@KeiFerouz-fn9oc Ай бұрын
Kwani yesu alikuwa ni mtoto wa kwanza wa Yusuf na mery au
@fadhirimarko7427
@fadhirimarko7427 2 жыл бұрын
Kwa.mwenye akili atakuelewa nia yako hasa,,,kuna wengi wanao kusiliza wanakuona huna akili
@mustafayahyarunigangwakani6037
@mustafayahyarunigangwakani6037 4 жыл бұрын
kaka jose!! pengine nigusie kidogo kuhusu vitabu vipo vingi kutoka kwa M MUNGU! ila vikuu ni vi4 (1) ZABUNI-DAUDI (2) TORATI - MUSA (3) INJILI -YESU (ISA) (4) QURAN- MUHAMAD (SAW) KUHUSU QURAN TUKUFU ni maneno ya Mungu (ALLAH) yaliyo hifadhi wa kwenye kitabu!! kutoka kwa maswahiba kutoka kwa mtume(SAW) kutoka kwa malaika( jiblii) kutoka kwa M MUNGU (ALLAH) JOSE kuhusu biblia naona ni maoni ya watu kuhusu waliyoyatoa au kuyasikia kwa yesu na nukuu chache sana za yesu!!! M MUNGU (ALLAH) NI mjuzi zaidi!!!
@omarbakarngwili4775
@omarbakarngwili4775 4 жыл бұрын
F77
@zenassylvester125
@zenassylvester125 4 жыл бұрын
Quran sio maneno ya Mungu ila muhammad alichanganya maneno ya MUNGU toka kwenye Biblia na maneno yake yeye na vyanzo vingine
@alikhamis6326
@alikhamis6326 3 жыл бұрын
@@zenassylvester125 toa ushahidi Kama Quran si maneno ya mungu pia toa ushahidi kama muhammad ametoa maneno ktk biblia
@jeunajuatv817
@jeunajuatv817 2 жыл бұрын
mungu amwambie malaika malaika amwambie Mohammed naye pia awasimulie maswahaba duuuuu hapo kuna mianya ya rushwa
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 Жыл бұрын
Umepotea ndg Quran haipo kwenye historia ni mipango ya watu
@benjaminbatano698
@benjaminbatano698 Жыл бұрын
Ninaomba ututajie hata kitabu kimoja
@ramazubery8396
@ramazubery8396 4 жыл бұрын
Yani wejamaa nimkristo umeonauongo wa bibili nauisilamu huutaki unaonabora kwanza uropoke uvuruge qur an alafu urudi kwenye kusudio lako kama uliona siomada yakuongelea mbonaushangea?ivi uwezi kuita khalifa utaweza kujua qur an ilitoka wapi?
@Jabaman207-ue6sk
@Jabaman207-ue6sk 4 ай бұрын
Quraan inajitetea enyewe Ikisema. Haina shaka yoyote
@bantwamwasakapiga4941
@bantwamwasakapiga4941 3 жыл бұрын
Nahitaji kujuwa historia ya Quran pia
@pascalerick3525
@pascalerick3525 2 жыл бұрын
Yesu amezaliwa na Bikira huyo kaka yake James ametokea wapi bro😂😂
@TricodMedia
@TricodMedia 2 жыл бұрын
Joseph kabla ya kumuoa maria alikua na mke na maria baada ya kumzaa yesu alizaa watofo wengine hahaha
@vincentmunyao4911
@vincentmunyao4911 Жыл бұрын
Labda alikuwa second born
@joely58
@joely58 Жыл бұрын
Usipotoshe watu hadithi za kweye bibilia wagiliki waliziiba nasubiti kwa sasa ni misiri
@pauljumanne5204
@pauljumanne5204 3 жыл бұрын
Acha kudanganya yesu hakuwa na kaka wala mdogo wake wa tumbo moja na maria hukuelewa vizuri
@janeasuma5238
@janeasuma5238 2 жыл бұрын
Kule mbinguni yesu alikua na brother yake mkubwa lakini duniani akukua na brother lakini tukisoma tunambiwa alikua na brother yake mbinguni
@hamisikitwana7957
@hamisikitwana7957 Жыл бұрын
YESU ALIKUWA NA WADOGO ZAKE WALIOZALIWA NA MAMA MMOJA ALIZAA NA YUSUPH
@ijueimanikatoliki980
@ijueimanikatoliki980 4 жыл бұрын
Hakuna wadogo zake na Yesu aliozaliwa na Maria na yoseph kamwe
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Huna unachokijua nyamaza kina Andrea walikua ndg zako? Mariam na yusuph walikaa pamoja bila kukutana kimwili mpk alipomaliza kumnyonyesha yesu akawazaa wadogo zake wngne acheni kukalilishwa ushetani wenu huo wa sanamu
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 Жыл бұрын
BIKIRA MARIA hakuzaa mtoto mwingine zaidi ya YESU ndiyo maana tunamwita Bikira MARIA Hadi leo
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 Жыл бұрын
Gosbert munta alizalishwa nani wakati mimba ya YESU ilitungwa Kwa uwezo wa ROHO MTAKATIFU hiyo nyingine ya nani
@hanskidd2290
@hanskidd2290 Жыл бұрын
@@audifansisafari5587 alizaaa watot wengn baada ya yesu ban acha ubishi
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 Жыл бұрын
@@hanskidd2290 kazaa wengi Dunia nzima sisi ni watoto wake ukombozi wa ulimwengu ulifanyika kupitia yeye
@flamyoo
@flamyoo 4 жыл бұрын
Roho yangu ina huzunika toka asubuhi juu ya maongez uliyoyaongea kuhusu Biblia.utapata pesa lakini pepo utaisikia tu si kuhukumu ila kutokana na maongezi yako ya kuipotosha bible.MUNGU WA MBINGUNI AKUSAIDIE MASKINI WA ROHO.KAMA UNA SIKIO NA USIKIE
@rogersbarnabas7110
@rogersbarnabas7110 4 жыл бұрын
Fungua akili wewe. Wa Africa wameanza kuamka lakini wewe bado unavuta blanket. Bible na Quran izo ni story za wazungu ndio waeze kututawala kirahisi
@antonmallya7818
@antonmallya7818 4 жыл бұрын
@@rogersbarnabas7110 usituchanganye,yesu Hana kaka.
@Commentsplus
@Commentsplus 2 ай бұрын
@@rogersbarnabas7110 a geti yu
@Ahungu
@Ahungu 4 жыл бұрын
Naomba Msimlizi wa Tripod asipotoshe ufahamu wa QURAN. Pata ufafanuzi wa wahusika (Maulamaa au wasomi wabobezi wa Kiislam). Uislamu hauna longo Longo. Kila kitu kiko bayana.
@rogersbarnabas7110
@rogersbarnabas7110 4 жыл бұрын
Bro nakuomba tu fuatalia kuhusu historia ya mwafrica kupitia price katege wa pili kupitia Chanel yake ya KZbin
@geradtungu9100
@geradtungu9100 3 жыл бұрын
Umechanganyikiwa
@rehemakatunda6852
@rehemakatunda6852 3 жыл бұрын
Injili pia alipewa Nabij uzeir kabla ya Isa wa maryam
@sawdaasawdaa7903
@sawdaasawdaa7903 3 жыл бұрын
Apana injili ilipewa yesu peke isipokua ametabiria wote na yohana na Mutume Muhamad uzeir alirudia emo taurati muda Allah amemuamusha myaka miya akairudia na akaiweza jinsi ilivyo
@francismkenda
@francismkenda Жыл бұрын
Hii historia n upoyoshaji mkubwa sana
@Commentsplus
@Commentsplus 2 ай бұрын
Wewe unaimani huna Elimu
@francismkenda
@francismkenda 2 ай бұрын
@@Commentsplus jifunze kuandika kwanza ndio uje
@josephmosha6921
@josephmosha6921 4 жыл бұрын
Nieleweshe kidogo juu ya hiyo Elimu kwa mitume.?
@francismkenda
@francismkenda Жыл бұрын
Histiria nzuri ila ina uongo ndani yake. Yesu hakuwa na ndugu wa kuzaliwa toka kwa Mama yake kwa hyo kuhusu James kuwa kaka wa Yesu huu ni upotoshaji.
@EmirjerryKozjo
@EmirjerryKozjo Жыл бұрын
apana akuna yesu na ukiangalia Ata kuumbwa KWA adam na hawa umefichwa Adam alikua na wake wa 2
@hanskidd2290
@hanskidd2290 Жыл бұрын
Jomba mariam alizaa watot wengn Na yusuph baada ya yesu
@lovenesscollings583
@lovenesscollings583 2 жыл бұрын
Nimejifunza kitu
@patrickmsekwa7773
@patrickmsekwa7773 2 жыл бұрын
Mada ni nini mkuu!????
@odhiaodhia9898
@odhiaodhia9898 4 жыл бұрын
Ulitoa angalizo kwamba ukisikilizwa mtu anaweza kwenda kufungua kanisa, hapo kuna nn kipya cha mtu kwenda kufungua kanisa
@bennjanja2382
@bennjanja2382 3 жыл бұрын
jamaa hajijui
@fattahshabani6262
@fattahshabani6262 4 жыл бұрын
Ungejaribu kuainisha kila kitabu kiliandikwa mwaka gani ? Mfano Luka mwaka fulan Marko mwaka fulani Yohana mwaka fulani ili tujue vizur Na quran mwaka gani mpaka mwaka flani? Au bible yote iliandikwa kwa pamoja ili history yako iwe imekamilika vizur zaidi
@balozichalamila4034
@balozichalamila4034 4 жыл бұрын
Miaka ni AD yaani baada ya kuondoka kristo lakini biblia iliyafsiriwa na mababa wa kanisa karne ya 4
@TricodMedia
@TricodMedia 4 жыл бұрын
Biblia ilitangulia zamani sana
@balozichalamila4034
@balozichalamila4034 4 жыл бұрын
@@TricodMedia naongelea waliotafsiri kutoka maandiko ya hao waandishi uliowaeleza nakuja katika kitabu kimoja cha biblia ambacho tunatumia kwasasa kumbuka hao waandishi vitabu vyao viliitwa injili nasio biblia,unaposema biblia manake ni mkusanyiko wa vitabu vyote vilivyoandikwa na uliowaeleza na kuekwa pamoja baada ya kutafsiriwa na kazi hiyo ilifanywa na watawala wa kirumi ambao ndio walikua mababa wa kanisa la mwanzo katika karne ya nne ili kufanya waumini wasome waelewe katika lugha zao mfano kigiriki,Hadi,lugha zingine (hapa ni agano la kale nazungumzia)
@fattahshabani6262
@fattahshabani6262 4 жыл бұрын
Je huyo marko,yohana,luka na Mathayo walio andika hivyo vitabu walikuwa wakati mmoja yaani mfano Unaweza kusema hawa wanne waliandika hivi vitabu kuanzia mwaka 2018 mpaka 2019 kwa mfano. Nazani umenielewa?
@thepresidenttobe5481
@thepresidenttobe5481 4 жыл бұрын
Nadhani mngerudi kusoma ili mjue akina nani walichambua vitabu. Utawala wa Rumi haukuwahi kupitisha vitabu vya Biblia. Kwa nini mnapotosha? Mjue vigezo vilivyotumika kukikubali au kukikataa kitabu husika. Msidhani biblia ni novel. Upo mkono wa Mungu juu yake. Usipotoshe kwa kutimiza lengo lako. Hakuna mtu yoyote anaweza kupata nguvu ya miujiza kwenye kitabu. Huo ni uongo. Hata leo biblia tuliyo nayo haitoi miujiza simply kwa kusoma. Jifunze ujue kwa nini apocrypha books havikubaliki kama sehemu ya Biblia. Tafuteni Thompson's chain reference Bible itawasaidia kujua mengi pamoja na The New Strong Expanded Exhaustive Concordance of the Bible. Someni mpate kujua ili mtoe taarifa za Kimungu na sio kama mlivyofanya
@lamek6808
@lamek6808 3 жыл бұрын
Mimi napenda history za siri kama ninge vipata ingekua poa
@zenassylvester125
@zenassylvester125 4 жыл бұрын
Quran ilikua inaandikwa na Waraqa bin hauf alipokufa muhammad alitaka kujiua kwa maana kipindi hicho wasomi kwa waarabu walikua wachache sana
@bbablack9080
@bbablack9080 4 жыл бұрын
Nimekupata mze
@hamzayusuf1894
@hamzayusuf1894 Жыл бұрын
Sikweli manenoyao
@hilaliusmusa3657
@hilaliusmusa3657 4 жыл бұрын
tuchambulie quan
@alimohammed5127
@alimohammed5127 4 жыл бұрын
Hajui wala hatojua atakudanganya km unataka kujua Quran mtafute dr Sule utaelewa
@simbajuma9971
@simbajuma9971 4 жыл бұрын
Injili ya barnaba vip?? Alafu Paulo hakuzaliwa mwaka mmoja na yesu. Acha uongo
@alimohammed5127
@alimohammed5127 4 жыл бұрын
Ivi luka kashakua bora kuliko King James ndugu yake Yesu? Au barnaba? Tafta ukweli wa haya....
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
King James hakua nduguye yesu
@Alexander-up5rv
@Alexander-up5rv 2 жыл бұрын
Tutajie majina ya ivyo vitabu
@dinocastico8495
@dinocastico8495 4 жыл бұрын
Mtume paulo😂😂😂😂😂😂 Kasome tena uwanja huu ni mpana zaid kinyume na hivyo ni kituko.
@sawdaasawdaa7903
@sawdaasawdaa7903 3 жыл бұрын
Uyo mutume ni escro sana uyo paulo anasema katumwa na shetani ila wanamungangania
@edwardhoja
@edwardhoja 3 жыл бұрын
@@sawdaasawdaa7903 imesemwa wapi
@daniellyimo378
@daniellyimo378 2 жыл бұрын
Huyu mwongo.Maria hakuwa na mtoto mwingine.mpuuzi
@alukweKopite
@alukweKopite Жыл бұрын
Alikuwa na watoto na Yusufu soma biblia
@linturenatus3549
@linturenatus3549 Жыл бұрын
Kk tufunulie ivo vitabu,,
@bennjanja2382
@bennjanja2382 3 жыл бұрын
wee mzee uku na uongo pia kwa hiii story yako................JESUS HAD NO BROTHERS ....VIRGIN MARY GAVE BIRTH TO JESUS ONLY,,,,,,,,,,,WACHA UONGO WA KI PROTESTANTI
@abuuhaamidpaulo5506
@abuuhaamidpaulo5506 4 жыл бұрын
Mi nakuomba utupatie khabar ya injir ya barnaab
@76update7
@76update7 3 жыл бұрын
Hio kitu HATARI SANA KIMEMTAJA AHMAD KUWA NI MTUME WA MWISHO
@madetetv6576
@madetetv6576 Жыл бұрын
Hiyo sio injili ni Quran part 2
@alimohammed5127
@alimohammed5127 4 жыл бұрын
Na huyu paulo c ni yule alieitwa shetani na Yesu? Kisha shetani akawa mtume duh?
@jumannemwanga1029
@jumannemwanga1029 4 жыл бұрын
Aiseee mhhh kumbe hivyo
@ijueimanikatoliki980
@ijueimanikatoliki980 4 жыл бұрын
Alikemewa tu Bali hakugeuka shetani na siyo Paulo alikuwa PETRO
@sawdaasawdaa7903
@sawdaasawdaa7903 3 жыл бұрын
😂😂😂😂 minawazaga wacristo hawana akili sio yesu tu ata yemwenyewe kajisemeya kuwa ametumwa na shetani ila bada anadatwa kuliko nabi wakweli pope sio kitu rahisi kweli yani uyo jama alikua anabadili maneno ya Allah kwa utalam wa yeye na shetwani hatari sana ni escro mubaya sana
@floraezekiel9089
@floraezekiel9089 4 жыл бұрын
Eti usije ukaenda kufungua kanisa,wewe unafikiri kanisa ni rahisi kama unavyofikiri,hata sijaelewa hata unaongea nini historia ni ileile.
@hamadibabu6384
@hamadibabu6384 4 жыл бұрын
Katika history umechemsha
@kakulekagheni516
@kakulekagheni516 4 жыл бұрын
Salam swali langu ni. Kweli Jésus alikufa na kufufuka?
@zenassylvester125
@zenassylvester125 4 жыл бұрын
Ndio alikufa na alifufuka
@user-nh5hi7wr4g
@user-nh5hi7wr4g 4 жыл бұрын
Cicilia iko Italy sio uturuki
@bennjanja2382
@bennjanja2382 3 жыл бұрын
iko italia hata naishi huko
@76update7
@76update7 3 жыл бұрын
Isipoteshe watu KUWA Qur-an inaandikwa wakati Mtume akiawa bado yupo hai ila Othman r.a yeye aliipanga kwenye mpangilio wa juzuu baaada ya kufa Mtume
@Commentsplus
@Commentsplus 2 ай бұрын
r. a written R. A
@georgejoshua8514
@georgejoshua8514 4 жыл бұрын
hizi ni propaganda,, kuna vitu naona ni pumba kabisa,na mambo mengine yaelezwa kinyume na fasili mbovu za kibiblia,,kama huy jamaa anaelewa anachokifanya atakuwa na anganda ya siri bila shaka ;; ona anavyodanga kuhusu miujiza hahaaaaaaa,
@rogersbarnabas7110
@rogersbarnabas7110 4 жыл бұрын
Kiukweli kwa anavyo adisia ni ngumu kumuelewa. Lakini embu mtafute prince katege wa pili kwenye KZbin
@mauazahor7803
@mauazahor7803 2 жыл бұрын
azali kunu fayakunu
@aldakerobe3853
@aldakerobe3853 4 жыл бұрын
Very unprofessional
@Jabaman207-ue6sk
@Jabaman207-ue6sk 4 ай бұрын
Uliza DR SULE
@Alexander-up5rv
@Alexander-up5rv 2 жыл бұрын
Tutajie majina ya ivyo vitabu
@samiraomar2645
@samiraomar2645 Жыл бұрын
Karika kuelezea namna yakukusanywa quran baada ya mtumi kufa maelezo yako yana makosa mingi sijui umetegemea vitabu gani kukuilimisha juu yahilo
@Jabaman207-ue6sk
@Jabaman207-ue6sk 4 ай бұрын
Uliza DR SULE
VITABU VYA BIBILIA NILIVYO TAKIWA KUEPO KWENYE BIBLIA ILA HAVIPO NA INASEMEKANA VIPO VATICAN.
15:13
THE STORY BOOK : MFALME SULEIMAN, NABII ALIYEPENDELEWA KILA KITU NA MUNGU
44:18
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 149 МЛН
Офицер, я всё объясню
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 13 МЛН
HISTORIA YA WIMBO MWAMBA WENYE IMARA
4:21
Buretta Tv
Рет қаралды 32 М.
The Story Book:Ukweli Wote Kuhusu PEPONI.
48:39
Wasafi Media
Рет қаралды 665 М.
Simulizi ya MUSA ina VIUMBE toka SAYARI Nyingine (ALIENS)
20:40
Tricod Media
Рет қаралды 25 М.