Рет қаралды 8,319
Uzinduzi wa Kitabu: Hukmu ya Kuwatumia Majini wema katika Ruqyah.
Katika kitabu hiki kimeweka wazi mjadala kuhusu wanaotibu kwa kusoma Ruqyah kutumia Qur’ani peke yake na wanaotumia Qur’ani na kutegemea pia msaada wa majini.
Kitabu kinajibu suala: Je! inajuzu kuwatumia majini(wema) katika Ruqyah ? Je! inajuzu mwislamu kukubali kuishi na majini?