Kwa kweli nimeskitika sana kusikia shekhe anahamasisha majini watumike katika baadhi ya kazi nzuri , ABADAN , huwezi ukapata aya wala hadithi kuonyeaha dalili ya anachokisema si mtume mashaba wala tabiina tabi tabiina waliwatumia katika izo kazi nzuri alizozielezea hakuna katika uislam mafundisho hayo ya kuwatumia majini , shekhe amevuka mipaka WALLAHI ... Allah akusameh bado nakupenda na kazi unayofanya in kubwa ila binadamu hakosi mapungufu kwa hilo hauko sawa ...
@IzudinAlwyDin4 жыл бұрын
Shukran sana kwa nsaha yako mzuri lakini mm sijawahimiza mm nimesema kisharia yafaa kumtuma jini bt sijawambia watu watafte majini wawatume .
@musaolemollel47563 жыл бұрын
Majini ni haramu ni uongo wewe.ogopa.m mungu
@FridayMwassa6 ай бұрын
@@musaolemollel4756Niharamu kivipi wakati ni waislam wenzenu
@ramadhanwilbard81966 ай бұрын
Shida hata wanaokataa elimu hamna ndiyo shida hiyo,Huyu Sheikh anayo Elimu zaidi ndiyo maana anaongea, kwa mfano katika Quran yetu kwa sisi tusio kuwa na elimu tukiisoma hatuwezi kuona vitu tunavyovitumia hivi sasa ambavyo Mitume wa Allah hawakuvitumia kwa mfano,Wapi pameandikwa kwamba Mtume aliyatumia magari ya Chuma tunayoyatumia Sisi hivi leo?Wapi Mtume alikula chips na tomato sosi?Wapi Mtume alivaa suti?Wapi Mtume alitumia Tv,simu,firiji za umeme,train,ndege sa chuma,magorofa,rami na wapi Mtume alisoma digirii za elimu mbalimbali kama ilivyo hivi sasa?wapi Mtume alikula makuku wa kizungu munayokula hivi leo?Wapi Mtume alitumia Maroboti?Wapi Mtume alikula Ice cream?Wapi Mtume alicheza mipira?Kwahiyo elimu ya kutumikiwa na viumbe wasio onekana sio kila mtu anaweza kuwa na elimu hiyo ndiyo maana Wanazuoni wengi wanakataa kwa sababu watu wenye Ikhlas na Elimu za kuweza kutumia hao viumbe watu hawana na tatizo linaoweza kutokea kwa watu hawa wanaweza kuacha kumuabudu Allah kwa sababu watu wengi tunapenda dunia sana,Sasa kama ataona anawatumia majini wanamletea madini ya thamani kubwa na kuuza na kupata matilioni mengi imani za watu kwa Allah zinaweza kushuka mfano mzuri ni hao ndugu zetu Wazungu wanawatumia majini katika tekonojia mbalimbali ndiyo maana imani zao katika kumjua Mwenyezi Mungu mmoja zinayumba!
@FridayMwassa5 ай бұрын
Wewe Endelea kuwatumia hao ni ndugu zenu
@muniramohamed88877 жыл бұрын
Mashallah Allah akuzidishie elimu yenyee manufaa amin
@sheikh.abuusamuhath3 жыл бұрын
Asalam alaikum.. sheikh. Hapo kidogo kuna ikhtilafu,, kwa sababu wengi katika wanazuoni, hawasupport hayo mambo... ila hata aliyesema yafaa kulingana na masharti aliyotoa... ust. Hapo kidogo umekosea, naomba ujirudi katika maelezo yako toa clip kurekebisha hayo makosa, afuan lakini.. maana hata mimi ni mwalimu wa ruqya, kutoka hapahapa Kenya
@ramadigidigi19884 жыл бұрын
mashaallah mungu akupe mwisho mwema
@bahashachembea69223 жыл бұрын
Aamiin yaa Rabbi
@AmirOmar-vl9vc8 ай бұрын
Umezungumza bila Dalili tafadhali shekhe
@mesalimrashid63126 жыл бұрын
Mbona usifanye kazi ya kuvua samaki kuliko kutumia jini utampa nn . Ndio nyinyi mnaotusumbua mitaani.Mabati huvuja tu kwakugongwa.
@khamismaulidi45626 жыл бұрын
MashaAlhaa
@neemaabdul95536 жыл бұрын
Yanini kujitia shubhaa buree! Kuishi na viumbe kama majini shetani ni rahisi kuwa karibu sana na wewe ninavyoona mimi!
@FridayMwassa6 ай бұрын
Shetani alisha silimu siku nyingi kasome vitabu
@shabanisaidi88276 жыл бұрын
Mashaalh
@mlawaalliy8 ай бұрын
😢Hata angesema haifai pengine dalili vile vile isiwepo.wewe unayo dalili?tupe faida.
@antv55903 жыл бұрын
na je kuoa jini yafaa.assalam aleykum Sheikh
@AbdulRahmanAliy-sr7gw8 ай бұрын
Haifai ndugu
@Namanda4253 жыл бұрын
Tatizo wale hawafanyi kazi bure. Ushirikina unaingia wakati wa kuwalipa.
@adamududu12608 ай бұрын
hapo Sasa Sasa NDIO kwenye utataaa
@mohammedmhina39733 жыл бұрын
UNAPOTOSHA USTADH MAJINI HATUTAKIW KUSHIRIKI NAYO KIVYOVYOTE NDO MAAN WAO WANAULIMWENGU WAO N SISI N WETU ALAFU NYIE NDO MANCHAFUA DINI YETU MNAENZA PROPAGANDA MPK WSIO WAISLAMU WANAAAMN DINI ETTU Y MAJINI
@JannatTahmid Жыл бұрын
Kweli tusishirikiane nao lkn kvp?
@FridayMwassa6 ай бұрын
Ulimwengu wao ni upi? Wakati vitabu vya kiislamu vinasema hawana mtume isipokuwa Muhammad na hawana kitabu isipokuwa koran
@AbuuHaruna4 ай бұрын
VP Suleiman alikua anakosea
@joyceandrew56826 жыл бұрын
Sheikh serious Mimi nina jini ananisumbuwa mwili mwangu sina raha mume sipati wara fedha hazikayi nisaidiye miye
@sikitu89576 жыл бұрын
wewe auna jini ni tabia zako tu
@joyceandrew56826 жыл бұрын
@@sikitu8957 hayaja kufika yakikufika utasema
@joyceandrew56826 жыл бұрын
@@sikitu8957 naniko inje ya Tanzania kikazi sasa izo tabiya sijui umenifunza wewe ndugu yangu duuuuu binadam tupo kukosowana na sikupeyana moyo daaaaa ila safi tu
@namayeali60965 жыл бұрын
Fwatilia abalqaasim online TV, Iko na kisa kingine kizuri, chajiita "ukipendwa na jini, jiandae na haya " Huenda kikakusaidia
@mutomubaya5 жыл бұрын
@@joyceandrew5682 nadhani usisikize ya watu kwa kuwa baadhi ya majibu sio.sahihi na huenda yakawa ni maudhi bali utafute ushauri kwa huyu Sheikh usikie nasaha ile aliyonayo.
@abuubadru24037 жыл бұрын
Hyeeeh
@allyrashid87387 жыл бұрын
MashaAllah👏
@abdalashah32924 жыл бұрын
ndio maana haifai kushirikiana nao
@umikram67555 жыл бұрын
Mim bdo cjakuelewa kabisa majb yko. Majin hawana urafik nawanadam. Wao namishwar yao na wanadam yakwao. Dk wanageuka Et hamna shida kuwatumia jamani khaaa Allah atuhid
@nawwarsultwaan64044 жыл бұрын
Shekhe ebu kasome Tena kwanza usibishane na vitu vya kusoma hivi nivitu vyaelimu na kuwatuma majini si dhambi shekhe sawa
@ibrahimsudi59673 жыл бұрын
Um ikram jitahidi kusikiliza kwa makini darsa au majibu ya sheikh utaelewa tu.
@FridayMwassa5 ай бұрын
Eti majini hawana unafiki na wanadamu wakati mtume wako aliwasimisha,na kitabu chao ni hiyo hiyo koran yenu