SAMAHANI ASANTE | ep 19|

  Рет қаралды 108,700

KitaleMkudeSimba

KitaleMkudeSimba

Күн бұрын

#KitaleMMkudeSimba
#SamahaniAsante
#Tamthilia #Movie #Comedy # Film # Drama #series #congo #fightcongo #m23 #vitayacongo #usa #marekani #nigeria #kenya #zambia #Rwanda #Mozambique #Dubai #Southafrica #botswana #Malawi #Uganda #DrcCongo #Uae #Oman #Mali. #Zuchu #Mbosso #DiamondPlatnumz #Alikiba #Harmonize #Marioo #ChinoKid #wemaSepetu #Whozu #Kajala #Rayvanny #Aslay #BabaLevo #Mwijaku #DotttoMagari #WasafiTv #CrownTv #Yanga #Simba #Manara #Uchambuzi #Udaku #Habari #Michezo #MillardAyO #GlobalTv #SamiaSuluhuHassan #TunduLissu #Ccm #Chadema #Mbowe

Пікірлер: 900
@KitaleMkudeSimba
@KitaleMkudeSimba Ай бұрын
Maoni Yako Tafadhali 0733 999 999
@JescaMgallah
@JescaMgallah Ай бұрын
Tuongezee dk
@getrudakalenzi
@getrudakalenzi Ай бұрын
Ni nzuri ila muwe mnatowa kila siku vipende mana tunakaa mda mrefu wiki parefi
@Adela-jx1zv
@Adela-jx1zv Ай бұрын
Usichelewe kuachia movie
@robsondalink6206
@robsondalink6206 Ай бұрын
Ndo mambo tunayoyataka sasa hampoi kitu hewani❤❤❤❤❤
@Didakimosa
@Didakimosa Ай бұрын
Ongez dakik mkubwa
@remiomar7154
@remiomar7154 Ай бұрын
😂😂😂 huyu ndie Mzee kama gonga like kama wa mkubali mzee moto wakeotea mbali
@AishaZuber-z6g
@AishaZuber-z6g Ай бұрын
Mzeee Ramadhan popote ulipo Allah akuweke maisha marefu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@zainabalex9810
@zainabalex9810 Ай бұрын
Amiin 🙏
@ZulekhaIssa-o3x
@ZulekhaIssa-o3x Ай бұрын
Ameen 😂
@billylovebillybillylovebil580
@billylovebillybillylovebil580 Ай бұрын
Amiin yarabi 🤲
@tatoo0098
@tatoo0098 Ай бұрын
Aamin yaraby ❤❤
@aishaseif4218
@aishaseif4218 Ай бұрын
Amiiin yarab
@DeboraLufingo
@DeboraLufingo Ай бұрын
Mzee Kama Anajua Mpaka Anajua Tena wanaopendezwa nae gonga like apa
@gayanestory4357
@gayanestory4357 Ай бұрын
Mzee KAMA anagusa Anaachia Anaenda Kwaoooo😊 Nakubal sana Mzee KAMA Ramadan KAMA
@RamadhaniOmary-e3d
@RamadhaniOmary-e3d Ай бұрын
@@gayanestory4357 shukran sana mjukuu
@husseinsalehe2832
@husseinsalehe2832 Ай бұрын
Samahaani samahani oooh oohh asante kwa tamthilia yako... yanitoa mawazo.....oooh oooh aya ayaaya..... 😘
@HassanHassan-ix7cj
@HassanHassan-ix7cj Ай бұрын
Mzee Kama kaupiga mwingi 😂😂sana aisee Ubaya Ubwela
@RamadhaniOmary-e3d
@RamadhaniOmary-e3d Ай бұрын
@@HassanHassan-ix7cj shukran sana mjukuu wangu
@Gloriazawad
@Gloriazawad Ай бұрын
❤❤❤❤babu kumbe upo hapa kongole kwako yani unajua paka unajua tena maua yako jaman 🎉 ❤❤❤❤​@@RamadhaniOmary-e3d nakufwatlia nikiwa 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Fatima1234-wl1nu
@Fatima1234-wl1nu Ай бұрын
😂😂😂​@@RamadhaniOmary-e3d
@RamadhaniOmary-e3d
@RamadhaniOmary-e3d Ай бұрын
@@Fatima1234-wl1nu wacheka nn mjukuu wangu
@Fatima1234-wl1nu
@Fatima1234-wl1nu Ай бұрын
@@RamadhaniOmary-e3d nimefurahi Babu kama Ramadan kama
@issahamisi1317
@issahamisi1317 Ай бұрын
Mama Aisha unaweza saana mungu akupe afya na umri ufike mbli zaid na kipaji chako mm ni shabiki yako mkubwa saana kutkea Canada 🇨🇦 ww na mzee kama nawaelewa saana
@IreneMsile
@IreneMsile Ай бұрын
Yeah anajua sana kwakweli ❤
@JumanneIddi-x9c
@JumanneIddi-x9c Ай бұрын
Kipindi hii move inaanza alikuwa muoga wa camera now kaiva🙌
@falajaNombo
@falajaNombo 28 күн бұрын
Jaman Mzee anayeshirikiana na wachawi anaitwa nani?
@Najmahnyangasi
@Najmahnyangasi Ай бұрын
Wow wa tatu jaman naombeni like jaman kazi nzuri sana kitale❤❤❤ mzeee kama good babu wanao kubali Ramadhan kama like hapa 😂😂😂😂😂😂😂 good babu❤❤❤ daah kikolelo amerudi babu moto wewe mashallah salma pole dadaa
@MealiiOmar
@MealiiOmar Ай бұрын
Tunafurahai sana Babu na kazi zenu zur🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@mshambaused3840
@mshambaused3840 Ай бұрын
Wanafunziiii mpo Wa darasa la kitale. 🎉🎉🎉
@Mpogozi
@Mpogozi Ай бұрын
APA SASA KAKA NDOUNATUPA VITU KWA MUDA HIVI NDIVYO TUNATAKA❤❤❤❤❤
@HajiMwadin-t9l
@HajiMwadin-t9l Ай бұрын
Nampend mzee kama yuko vizur na kazi yake❤❤
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 Ай бұрын
Mzee kama uko poaa sanaa 😂😂😂😂😂 wakomeshee daaaaaa😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@RamadhaniOmary-e3d
@RamadhaniOmary-e3d Ай бұрын
@@aminahhuawei1133 shukran sana mjukuu
@ZainabuMathias-x6p
@ZainabuMathias-x6p Ай бұрын
Waoooh mmewaisha safari hii mauayenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@sharonenson
@sharonenson Ай бұрын
Mkunde kiboko yao🎉🎉🎉🎉🎉 mzee kama babaangu nampenda❤
@NamagomaMohamedi
@NamagomaMohamedi Ай бұрын
Mzee kama nakukubali baba angu
@BeatriceMwakalindile-jf1ii
@BeatriceMwakalindile-jf1ii Ай бұрын
Daaah nimempenda uyo babu Jaman yani yupo vizuri sana aiseeee
@nasrinahirwete8111
@nasrinahirwete8111 Ай бұрын
Leo mapema sana home boy salute 🙏 😢 🎉🎉🎉
@MrsMariam-x2s
@MrsMariam-x2s Ай бұрын
Mzee mganga Kisha shidwa kukubali hawezi hhhhhhhh nimecheka mzee kama mauwa Yako baba na nyoote mliopo kwenye mv hii uyo ndio mzee kama nakubali kwenye maneno yakwa mbiwa ❤❤❤❤
@hidayaxuleiman3294
@hidayaxuleiman3294 Ай бұрын
Yaan kajuwa kuwazinguw
@FzvvzChhxgdgd
@FzvvzChhxgdgd Ай бұрын
Naipenda ii kitu asante kwakuitoa haraka mungu akuekee jmn
@NeriaMwaibako
@NeriaMwaibako Ай бұрын
Ahsante kwakuthamini na kujali maoni yetu mnatuwekea vipande kwa wakati❤
@Shadya-ju2el
@Shadya-ju2el Ай бұрын
Jmn mm leo wa kwanza mungu awabarik wote , mnao fatilia samahn asante, ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@NagibKhamis
@NagibKhamis Ай бұрын
Asante,Asante na Asante sana Mr kitale,kwa kutufurahishaaaa,,,,,,kazi nzuri,ya kupumbazaaaaa nyoyooo zetu,tumefurahia muendelezoooo huu ,gafla tu,ulipotuma ,,,,,tukopamoja, Mr kitaleee,natupo kwa ajili yakoooo,Asante kwa kazi nzuri,badooooo tupooo tunasubiria tena,muendelezoooooooo ujaooooo,,,,,(shukran sana) na mzidiiii kubarikiwa,
@mariamomari4521
@mariamomari4521 Ай бұрын
Babu sema kazi huwezi mtoto mchanga pia atatoka tu eti twende kwa ukubwa wangu 😂😂😂 ubaya ubwela twende nalo naona watu wakiadirika wadada na madaktari 😂😂😂😂
@HassanHassan-ix7cj
@HassanHassan-ix7cj Ай бұрын
Mzee hana nyuma ni mbele tu 😂😂😂😂
@MaryamMaryam-vl8lm
@MaryamMaryam-vl8lm Ай бұрын
Mzee kma mungu akupe maisha marefu Babu yngu❤love more
@HassanHassan-ix7cj
@HassanHassan-ix7cj Ай бұрын
Leo kimewaramba wachawi 😂😂😂😂hawana imani na babu yao😂😂😂
@Fatima1234-wl1nu
@Fatima1234-wl1nu Ай бұрын
amebaki tu mh.mmh.mmmh😂😂😅
@EstherMzungu-b4n
@EstherMzungu-b4n Ай бұрын
Aaah mzee hana nyuma anambele tuu😂😂😂 Lakini Mzee kama mauwa yako hayo baba ❤❤🎉🎉😢
@Dora-r7w
@Dora-r7w 15 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@ashahassanhiribae1527
@ashahassanhiribae1527 Ай бұрын
Nampenda sana mzee kama Ramadhan kama from kenya ❤😅
@Fatima1234-wl1nu
@Fatima1234-wl1nu Ай бұрын
Atakuja huko mwezi wa 6
@ashahassanhiribae1527
@ashahassanhiribae1527 Ай бұрын
@Fatima1234-wl1nu woow🥰
@SABURIMUTRA
@SABURIMUTRA Ай бұрын
Sasa hapa kitale umetuweza tushindwe sisi kuweka bando,naipenda sanaaa jamani naomba like jamani
@Fatima1234-wl1nu
@Fatima1234-wl1nu Ай бұрын
khaaa jamani 🙌 kumbe na wanaume wapo kwenye 👆 huu mchezo chukua zangu 10 😂😂😅
@SABURIMUTRA
@SABURIMUTRA Ай бұрын
@Fatima1234-wl1nu Sizioni
@SABURIMUTRA
@SABURIMUTRA Ай бұрын
Thanks
@CHITAKI.TV.TANZANIA
@CHITAKI.TV.TANZANIA 28 күн бұрын
Movie zenu ni nzuriii saana sema mnakuja kutukana mood/hamu ya kuangaliaa kutokana na kuchelewesha vipande/mwendelezo wenu.....
@Hurusla
@Hurusla Ай бұрын
Mzee kama mungu akupe maisha marefu umejua kutufurahisha wallah 😂😂😂❤❤❤
@MasauShida
@MasauShida Ай бұрын
Kazi nzuri sana Mr. Kitale🇹🇿
@Happyemmanuel-m4i
@Happyemmanuel-m4i Ай бұрын
Babu noma jaman naipenda san hii tamdhilia maombi yang msichulewe kutuma
@NasrahMoses
@NasrahMoses Ай бұрын
Yan anaefanya niangalie Samahi Ahsante ni mzee Ramadhani kama
@AlbertPhilipo-fi2br
@AlbertPhilipo-fi2br Ай бұрын
Sasa kwa mkubwa wake anasimamisha mpaka mbalamwez😂😂😂😂😂😅😅😂👉👉 Ngoja tumuone uyo mkubwa wake yaliomo yamo
@FatmaAlly-w7p
@FatmaAlly-w7p Ай бұрын
Yaaan hii tamthilia naipenda sn yaan ikitumwa nakuwa nafurah kweli haya wenye furaha km mm like bs
@Mbuyubiesha
@Mbuyubiesha Ай бұрын
nimefurahi sana
@lolotesasha6183
@lolotesasha6183 Ай бұрын
ila yako haizid yangu😅😅
@oirishgervas6603
@oirishgervas6603 Ай бұрын
Nataman iwe inaachiwa kila siku jaman
@KitaleMkudeSimba
@KitaleMkudeSimba Ай бұрын
0733 999 999
@MdMohammed-n7v
@MdMohammed-n7v Ай бұрын
Ombi letu TU...utuwaishie 😢😢😢😢km vipande.. kiukweli ni nzuri sn mashallah mashallah... Mungu akulinde na hasad.​@@KitaleMkudeSimba
@aikt.
@aikt. Ай бұрын
KITALE we love you bro. big job mzee
@EginithaMazengo
@EginithaMazengo Ай бұрын
Yan hivi ndo inavyotakiwa kitaleeee❤❤❤❤
@latifanasibu2089
@latifanasibu2089 Ай бұрын
MIM WA KWANZAA WEWEEE 😂😂😅🧘‍♀️Sasa nizime jiko kwanz niangalie hlf ntapik ten lunch
@sharifaahmedy6057
@sharifaahmedy6057 3 күн бұрын
Mzee kama unanikomeshea watu 😂😂😂😂🤣🤣❤❤❤❤
@AminajumaMbembetu
@AminajumaMbembetu 24 күн бұрын
Jamaniiii yote wazima mko poa Ila sio poa mzee Kama ramadhani Kama anajuwa c poa wazee Kama Hawa ndo wazurii kwa kwer apewe kopa zakeeeeee❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@AishaZuber-z6g
@AishaZuber-z6g Ай бұрын
Nyie huyu babu Ramadhan nitumien namba yake nimpe chochote kitu❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@RamadhaniOmary-e3d
@RamadhaniOmary-e3d Ай бұрын
@@AishaZuber-z6g mjukuu wangu Asante sana
@RamadhaniOmary-e3d
@RamadhaniOmary-e3d Ай бұрын
@@AishaZuber-z6g hahahaha
@RamadhaniOmary-e3d
@RamadhaniOmary-e3d Ай бұрын
@@AishaZuber-z6g my
@AishaZuber-z6g
@AishaZuber-z6g Ай бұрын
@@RamadhaniOmary-e3d kweli sio Utani jaman
@eneswaggy1835
@eneswaggy1835 Ай бұрын
Mzee kama noma 😂 ukirudi uku yumo ukienda uku yumo
@ramadhanikasim
@ramadhanikasim Ай бұрын
Nimefurahi kusikia Lugha ya Nyumbn hapa Kihehe noma sana
@Momramso
@Momramso Ай бұрын
Daah 😢hatimae merina karud kikolelo😂mzee kama Ramadhani kama🎉🎉🎉❤
@RamadhaniOmary-e3d
@RamadhaniOmary-e3d Ай бұрын
Asante mjukuu wangu
@DidaAlly-iz1it
@DidaAlly-iz1it Ай бұрын
Babu mzee kama nakuomba nioe mke wa piIi dini hinasema mwisho wa 4😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@SamiraAhmed-mw2qt
@SamiraAhmed-mw2qt Ай бұрын
😂😂😂
@mamaaanmar1261
@mamaaanmar1261 Ай бұрын
😂😂😂😂
@mshambaused3840
@mshambaused3840 Ай бұрын
😂🎉
@mshambaused3840
@mshambaused3840 Ай бұрын
Aliilliiiiiiiiiiii
@zainabalex9810
@zainabalex9810 Ай бұрын
Sai unajua anawagapi😂😂😂😂
@FgfgyGfyghhgft
@FgfgyGfyghhgft Ай бұрын
❤❤ Naburudika nikiwa oman kaz nzuri
@Nooorooa
@Nooorooa Ай бұрын
Tupo wengi tunafaidi tukiwa Oman mabelah
@jordanjonas8009
@jordanjonas8009 Ай бұрын
Mzee kama ramadhani kama 🙌🙌🙌🙌🙌 😂😂😂
@RamadhaniOmary-e3d
@RamadhaniOmary-e3d Ай бұрын
❤❤ mjukuu wangu
@QueenNelson-y8t
@QueenNelson-y8t Ай бұрын
Mama wa Aisha anajua sana ametulia anaongea kawaida haonyesh Kama yupo mbele ya camera 🎉🎉🎉🎉
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 Ай бұрын
Yaan ananikoshaa❤
@MhyKellow-dm1lt
@MhyKellow-dm1lt Ай бұрын
Asante waukae kweli samahani 🎉🎉🎉
@franktodory
@franktodory Ай бұрын
mzeee kama kama hatali sana 🙌🙌
@GustaveLajoya
@GustaveLajoya Ай бұрын
Asante sana kitale kwa kutupa épisodes mbili mfululu❤❤
@nasrymayenja
@nasrymayenja Ай бұрын
yani apo mpk sasa ilipo fikia EP ety kama ramadhani na mama Aisha nje ya uigizan wanavipaji binafs ✊✊Allah awape afya xf asee
@MussaMtambo-ig8vg
@MussaMtambo-ig8vg Ай бұрын
Mejua kunifurahisha ndani ya samahani asante😊😂
@alhajkhatib5597
@alhajkhatib5597 Ай бұрын
Ukisikia gusa achia twende kwao ndio hii ya mzee kama huyu mzee ni noma anaju na anajua sana
@WAHIDAMWALIMu
@WAHIDAMWALIMu Ай бұрын
Mchawi Hana Akili kbs Hii movie ilitakiwa iitwe BINADAMU😅 MAANA YAMOTOOO😂😂😂
@swaumuabdallah6886
@swaumuabdallah6886 Ай бұрын
Binadamu alishaitoa
@AbdallahRamadhanihemedyRamadha
@AbdallahRamadhanihemedyRamadha Ай бұрын
Mzee kama ndiee mzee mwenye uchawi wa kolelooo maana yeye na mizim ni ndugu kabisaaa 😂😂😂😂
@tanzaniahumanitycharityand4866
@tanzaniahumanitycharityand4866 Ай бұрын
Hapo sawa sasa @kilate Umetisha Kwenye movie wewe ndo unatakiwa uiteke KZbin ❤
@AbdallahRamadhani-u7z
@AbdallahRamadhani-u7z Ай бұрын
Mbuta rutama noma kama anasimamisha mpaka mbalamwezi 🎉🎉 kaka maua yako Kitale noma
@ANTHONIAKADOYI-l1v
@ANTHONIAKADOYI-l1v Ай бұрын
Asante San, Kwa kutujali mashabiki zenu Kwa kuwahisha kutoa muendelezo 🎉🎉😊
@DamarisDuuTausi
@DamarisDuuTausi Ай бұрын
Mzee kama ubarikiwe sana kwa kwazi nzuri unayo ifanya❤❤❤❤❤nakupenda sana.
@Asia-p5r
@Asia-p5r Ай бұрын
Ahsante kitale kwa kujali hisia za mashabiki zako episode hz mbili naona umefanyia kazi khs issue ya ucheleweshwaji
@MatridaAnthony-w2l
@MatridaAnthony-w2l Ай бұрын
Eeh bwana kawahi hivi ndoinavyotakiwaaa
@ZulekhaIssa-o3x
@ZulekhaIssa-o3x Ай бұрын
Eeenh afadhal Leo tumefurah san😂
@MassaKhamis
@MassaKhamis Ай бұрын
Hii muvi inafundisha saaana .nimeipenda.penda saaana babu aisha
@AmisiJunior-w4l
@AmisiJunior-w4l Ай бұрын
❤❤❤ nakumbali Mzee wangu mungu akujalie maisha marefu ❤❤❤❤
@JosephMbungani-u9u
@JosephMbungani-u9u Ай бұрын
Aaaaah wadau wasamahani Asante nipeni like jamani
@aminamgaya7511
@aminamgaya7511 Ай бұрын
Walah natamani angekuwepo mzee mmoja tu mtaani kwangu kama huyu mzee kama awanyooshee hii tamthilia inaongelea uhalisia kabisa wa maisha yetu aise
@ALIMOHD-bk9lr
@ALIMOHD-bk9lr Ай бұрын
Mzee kama wanyooshe hao vifaranga😂😂😂😂😂😂😂
@RamadhaniOmary-e3d
@RamadhaniOmary-e3d Ай бұрын
Sawa
@juniormembe688
@juniormembe688 Ай бұрын
Uyu ndo Mkude Lion nayemjua mimi umetixa sana mzee wangu, Gumlasenga, pijakazi mzee wangu, uliponipo🙌
@Real_ommy
@Real_ommy Ай бұрын
Anaitwa kama ramadhan kama mnoma sana salute zake Kwa like tafadhali
@mombazegreatest7633
@mombazegreatest7633 Ай бұрын
Daah hi kazi aiwezi nipita ila mzee wangu Ramadhan kama wewe auna wa kufanana nae mungu akuweke sana❤
@SanchezShedrack
@SanchezShedrack Ай бұрын
Nakubari sana kazi ya mzee kama
@Bimkubwamimi
@Bimkubwamimi Ай бұрын
Kiukweli nawakubali sana yani muko vizuri has a anaenikosha zaid no mzee kama yuko vizuri sana ktk sehemu yke kaitendea kazi vizuri sehemu yke
@nyukiperfect4671
@nyukiperfect4671 Ай бұрын
Kazi juu ya kazi Yani siku ukichelewesha natoka Dodoma nakufuata Dar
@AishaZuber-z6g
@AishaZuber-z6g Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@FilomenaRaymond
@FilomenaRaymond 4 күн бұрын
Tuelewane mzee kama hana nyuma ana mbele tu😂😂😂
@Casmirors
@Casmirors Ай бұрын
Samahani asante nibonge la dude kama unakubaliana na mimi weka like hapaaa🎉🎉
@ZakariaAhmed-i3o
@ZakariaAhmed-i3o Ай бұрын
Mwamba nazikubali sana kazi zako kamainawezekana tupia kilasiku
@muniazkader9057
@muniazkader9057 Ай бұрын
Gumila senga kazi anayo apo kwa uyo mzee kama😂
@DoganAlp-u2n
@DoganAlp-u2n Ай бұрын
Apa mmetuchexa san mjomba shafii alikuwa amenyoa walipokuwa kwa mzee kama huku hajanyoaaa hahaha gonga like n kwangu
@AishaJulie-k7c
@AishaJulie-k7c Ай бұрын
Naipenda san ❤❤❤
@AhmadiMmakoja
@AhmadiMmakoja Ай бұрын
Hahahaaaaa😂😂😂 ETY ANASIMAMISHA PAKA MBALAMWEZI 😂😂😂😂😂😂
@HappyRightgirl-u6o
@HappyRightgirl-u6o Ай бұрын
Wanao furahi kuongezewa dakika tujuana ili waendelee kuongeza zaidi
@SleepyDrink-sn1yy
@SleepyDrink-sn1yy Ай бұрын
jamani hii movie ni kali sana maua yenu🎉🎉
@mariamomari4521
@mariamomari4521 Ай бұрын
😂😂😂😂 mzee kama yani www hatari sijui uko wapi unirudishe mdogo wangu 😢😢😢
@RamadhaniOmary-e3d
@RamadhaniOmary-e3d Ай бұрын
Nipo mjukuu wangu
@mariamomari4521
@mariamomari4521 Ай бұрын
@RamadhaniOmary-e3d wapi wapatikana
@RamadhaniOmary-e3d
@RamadhaniOmary-e3d Ай бұрын
@mariamomari4521 wahitaj nipa nn mjukuu wangu
@wilsonjohn3397
@wilsonjohn3397 Ай бұрын
Mojaa ya mizigo safi kazi nzuri kitale
@Serious-h6d
@Serious-h6d Ай бұрын
😂😂 mze kama anageuka pandezote
@HadijaNzole
@HadijaNzole Ай бұрын
Ongeza dakika mzee baba unaifanya fupi sana❤
@batihubadiy3106
@batihubadiy3106 Ай бұрын
Kama Ramadhan Kama kwenye ubora Wake 🔥🔥🔥🔥
@RamadhaniOmary-e3d
@RamadhaniOmary-e3d Ай бұрын
Shukran sana mjukuu wangu
@ElisanteKira
@ElisanteKira Ай бұрын
Muvi nzuri sana paka mnanimalizia bando mnachelewa kutoka mwendelezo jamani
@sarasakambi7969
@sarasakambi7969 Ай бұрын
Anasimamish till mbalamwezi😂😂
@ZainabuAllyOg
@ZainabuAllyOg 23 күн бұрын
Hahahahahahahaha Iko kipande nimecheka sana mzee noma huyu nakupenda bule
@KenedSilayo
@KenedSilayo Ай бұрын
Mzee kamaa 🙌🙌🙌
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 Ай бұрын
Umenifurahisha kitale jana umetuma na leo umetuma safi
@harithmohd6318
@harithmohd6318 Ай бұрын
Nikingojea kwa hamu from Oman 🇴🇲 big up
@ShamsaFahad-n8v
@ShamsaFahad-n8v Ай бұрын
Huyu mzee kama nampenda na anajuaaaa❤❤❤❤
@AlonaAfc
@AlonaAfc Ай бұрын
Mkunde simba chukuwa from America 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@nuruchohora2300
@nuruchohora2300 Ай бұрын
Kitale safi sana, safari hii umetuwahishia,,saaaafi
@Zarethelovelady
@Zarethelovelady Ай бұрын
Mzee kama Ramadni kama❤❤❤❤❤❤❤❤😂
@RamadhaniOmary-e3d
@RamadhaniOmary-e3d Ай бұрын
Asante mjukuu wangu
@clalencemtewa7425
@clalencemtewa7425 Ай бұрын
Kaka tamthilia ni nzuri sana sema mda kaka tuongezee angalau iwe hataa nusu saa
@MadinaMohamedMohamed
@MadinaMohamedMohamed Ай бұрын
Leo umeongeza muda nini mzee 😂❤❤
@AminaTogorani-cp1mi
@AminaTogorani-cp1mi 9 күн бұрын
Kilocho nilifanya niangalie hii movie nimzee Ramadhan Kama❤ Wallah nampenda aje aniowe 😊😊
SAMAHANI ASANTE |ep 18|
17:24
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 97 М.
SAMAHANI ASANTE |ep 20|
18:47
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 106 М.
OCCUPIED #shortssprintbrasil
0:37
Natan por Aí
Рет қаралды 131 МЛН
-5+3은 뭔가요? 📚 #shorts
0:19
5 분 Tricks
Рет қаралды 13 МЛН
Ozoda - Alamlar (Official Video 2023)
6:22
Ozoda Official
Рет қаралды 10 МЛН
I Sent a Subscriber to Disneyland
0:27
MrBeast
Рет қаралды 104 МЛН
SAMAHANI ASANTE |ep 24|
17:36
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 54 М.
VITUKO VYA KWENYE DALADALA (EP1)
11:33
Steve Mweusi
Рет қаралды 757 М.
LAST CHANCE | 7 |
21:11
Chinga Media
Рет қаралды 457 М.
MASIKINI TAJIRI MFUPI EPISODE [4]
20:01
TAJIRI MFUPI FILM
Рет қаралды 3,9 М.
Buurta Dahabka ugu weyn ee aan Booqday - I visited the Biggest Gold Mountain in the Country
17:25
SAMAHANI ASANTE  EP 23
16:02
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 117 М.
QISADA RAASHID IYO XAMDAAN QISO CABSI AH!!@sawdamqaalib
1:08:08
Sawda Qaalib
Рет қаралды 114 М.
NDOA 《FINAL》
1:35:14
Boncena got Talent
Рет қаралды 31 М.
Premier Full Episode - Selina S1E1 | Maisha Magic East
28:19
Maisha Magic East
Рет қаралды 2,2 МЛН
OCCUPIED #shortssprintbrasil
0:37
Natan por Aí
Рет қаралды 131 МЛН