Kitila Mkumbo: CCM ni Chama cha Siasa Ambacho Kinaingia Katika Uchaguzi Kusaka Dola

  Рет қаралды 7,411

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Taasisi ya Maalim Seif Foundation leo imeandaa mkutano wa tatu Zanzibar katika kuuenzi mchango wa Maalim Seif Hamad katika uongozi Tanzania. Kauli mbiu ya mkutano huu ni Siasa, Uongozi na Utawala:Tumekosea Wapi, Tujisahihishe Vipi?
Kiongozi wa chama cha upinzani cha South Afrika Build One South Africa, Mmusi Maimane ni mgeni mwalikwa katika tukio hili.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2023 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 36
@immanuelinvocavith1498
@immanuelinvocavith1498 10 ай бұрын
Dah hivi professor anaweza kuwa huyu kweli
@kombidin..2583
@kombidin..2583 10 ай бұрын
Spot on professor!
@deuskamugisha3627
@deuskamugisha3627 10 ай бұрын
Mm simjui huyu baba lkn Hana majibu ya maswali Bali ni mpambe
@jonasmushi5145
@jonasmushi5145 10 ай бұрын
Huyu ni miongoni mwa wasomi wabovu kuwahi kupewa madaraka hapa kwenye nchi ambayo wanamuona rais kama mungu wao!
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 10 ай бұрын
Alikua msomi alipokua anafundisha chuo kikuu alipoingia kwenye siasa kawa kibaka tu.
@fredyfile623
@fredyfile623 7 ай бұрын
Hapo Prof unaaibisha maprof wenzako bcz hujui kujibu maswali unaruka ruka tu kama kuku aliyekatwa kichwa.
@haroubhbm5728
@haroubhbm5728 10 ай бұрын
Hamna kitu hapa😅
@henrymassawe699
@henrymassawe699 10 ай бұрын
Njaaa haijawahhi kumuacha binadamu salamaaa
@augustinonestorysasi3683
@augustinonestorysasi3683 10 ай бұрын
C Tangu vyima 1995 matokeo hayatangazwa kwenye Gazetila Serikali mpaka Leo matokeo ya Rais hayatangazui vituoni huo ni wizi kwa kutumia vyimbo vya Usalama kuilinda CCM kubaki madarakani mpaka profesa kitila hajui anatetea tumbo lale tu !!!
@RoseKipimo-e4g
@RoseKipimo-e4g 10 ай бұрын
Yaaani uyu kitila ni fala ,roda,kibaka,chawa wa Samia pumbavu ,msomi gani asiyejielewa? ivi kweli mwanaume mzima anaongea pumba kama ivi unajipendekeza yaani unaoufanya ni umalaya umalaya kwa kumkis easy Samia kisa kulinda tumbo lako? kweli tumekosa wanaume wa kusimama kama mwanaume
@ramadhanishabani807
@ramadhanishabani807 10 ай бұрын
Elimu inatumiwa vibaya sana
@davidpallangyo114
@davidpallangyo114 10 ай бұрын
Kama Elimu haiwezi haitumiki kutetea haki na kuilinda.Kama Viongozi wetu wanasiasa wanatetea wizi wa kura,watadhibiti vipi wizi Serikalini na kwenye Nchi kwa Ujumla wake?
@fadhilimoshi5754
@fadhilimoshi5754 10 ай бұрын
Hivi mtatudanganya mpaka lini? Bwana kitila achaupotoshaji ww ni professor ila umesharogwa na ccm tafakari chukua hatua Angalia mjinga akierevuka mwerevu yuko mashakani siku itafika ccm mtaondoshwa kwa aibuuuuu
@fredyfile623
@fredyfile623 7 ай бұрын
Kama unajua vyama vinatakiwa kupambanisha sera kwanini mnaiba uchaguzi na kupita bila kupingwa?
@yaronaWilliam
@yaronaWilliam 10 ай бұрын
Shida huyu profesa ni njaa Kali, taaluma za wasomi wa nchi yetu ni za kuganga njaa, ulipokuwa Chadema na hatimaye Act Wazalendo ulikuwa mkosoaji wa chama unachokitumikia Sasa, Leo unawashangaa wale mliokuwa mnakosoa nao aibu kwa wasomi kama hawa. Kuwa na viongozi kama hawa ni rahisi kuigeusa Taifa kuwa nchi, waliojenga Taifa hili hawakuwa waganga njaa kama wewe wale ni wazalendo wa kweli si wazalendo uchwara kama wewe.
@pmnyabaturi4484
@pmnyabaturi4484 10 ай бұрын
Huyu hata hafai kutoa hoja kwa watu wazima na hafula ya kitaifa maana hata akija kwangu nikamtwanga maswali atabwabwaja tu. Shida tumbo linamsumbua
@elioimer8423
@elioimer8423 10 ай бұрын
Kabisa, umepingia kwenye msumari wa moto.
@ramadhanishabani807
@ramadhanishabani807 10 ай бұрын
Mbovu uyu, kwahio unaunga mkono rushwa
@mussaelisha3733
@mussaelisha3733 10 ай бұрын
Wanakushangaa wewe umekuweje hatari haibu
@solutionprovider7155
@solutionprovider7155 10 ай бұрын
Kumbe kuna Tanzania na Zanzibar, mkumbo kanifungua,hakuna muungano kuna Tanzania, na kuna Zanzibar, sisi tuliamua tu kubadilisha jina toka Tanganyika mpaka Tanzania. Nanukuu alivyosema"Tanzania huoni ila Zanzibar unaona"
@gangmore9091
@gangmore9091 10 ай бұрын
Hivo ndivo ilivo limebadilishwa jina
@venantrugabela6798
@venantrugabela6798 10 ай бұрын
Kwa hiyo prof unakubali kwamba watu wengine walaumiwe kwa kuifanyia kazi CCM na KUIGAWIA DOLA?
@frankcharles3980
@frankcharles3980 9 ай бұрын
HIRI JAMAA LINAKERA SANA SIJUI NIRISOMI LAWAPI
@kyaro5945
@kyaro5945 10 ай бұрын
Mkumbo you are a puppet
@omaryyusuph7877
@omaryyusuph7877 10 ай бұрын
😂 eti professor duuh hii nchi kwa staili hii maendeleo yesu arudi .
@samwelkavwanga4491
@samwelkavwanga4491 10 ай бұрын
Le professor 😂😂😂aibu sana kwa huyu mtu anatumia elimu yake kupotosha umma ila wajinga pekee ndo wata mwamini
@RoseKipimo-e4g
@RoseKipimo-e4g 10 ай бұрын
yaani ni kumwita kibaka maana sioni usomi wake,mwanaume Kawa chawa pumbavu uyu
@DavidDanken-uf7kp
@DavidDanken-uf7kp 10 ай бұрын
Ukiwa kiongoz mkubwa mwenye elim na nafas ukifanya kosa ,kosa linakua kubwa na madhara yake ni makubwa sana sio siri kitira unatuumiza sana.sasa sisi tunakuombea Kwa mungu ilajiulize tunakuombea nn?
@ndimuelias6183
@ndimuelias6183 10 ай бұрын
Maprofesa wetu Ni wapuuzi
@immanuelinvocavith1498
@immanuelinvocavith1498 10 ай бұрын
Kitila unaongea nini alipokuwepo mahali hakusema hayo ya kumsifia wizi tu
@mussaelisha3733
@mussaelisha3733 10 ай бұрын
Wasomi wabovu
@joshuarose6756
@joshuarose6756 10 ай бұрын
Mim simuelew kabis huy mtu
@muhsinikoki4060
@muhsinikoki4060 10 ай бұрын
waizinyie achalongolongo mabavu waizinyie
@mohamedhussein3583
@mohamedhussein3583 10 ай бұрын
Professional Mkumbo Ni hodari sana hoja ni kwa wale tu ambao tayari wamechagua upande ndio hawamuelewi ukiwa neutral utamumuelewa vizuri
@onetoanotherglory2024
@onetoanotherglory2024 10 ай бұрын
Pamoja na kumuelewa nimebaki namshangaa. Professor bado anaamini watu wanaishi leo, na sio kesho. Professor anasahau kuwa kesho inakuja na mambo yake
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4,1 МЛН
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 116 МЛН
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 7 МЛН
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4,1 МЛН