Prof Kitila aionya Serikali na mikataba inayoingia "Marekani imeshtushwa.., ..Imetawaliwa na China"

  Рет қаралды 21,073

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Пікірлер: 48
@jonesmarwa4913
@jonesmarwa4913 Жыл бұрын
Mama aambiwe pia aachane na swala la kuweka muwekezaji Bandari ya Dar es salaam kwa ajili ya kuku sanya mapato. Ni wazo la mwenda wazimu
@hawahabibu3881
@hawahabibu3881 Жыл бұрын
😅😅
@froma3732
@froma3732 Жыл бұрын
Yeye anawaongoza wenda wazimu ndio inabidi iwe hivo
@shakaurembo477
@shakaurembo477 Жыл бұрын
We kweli kiongozi ✊🏾
@georgembise7234
@georgembise7234 Жыл бұрын
Hongers prof kitila mkumbo!!
@ashirafukitololi540
@ashirafukitololi540 Жыл бұрын
Duh kweli we prof kitira, akili nyingi sanaa
@karimmunis8302
@karimmunis8302 Жыл бұрын
Kitila anajisumbua tu mama yetu samaia ni mvivu sana kila kitu anataka kubinafsisha .hata bandari anataka sekta binafsi
@superangeltv4615
@superangeltv4615 Жыл бұрын
Marekani ni wanna support ushoga
@Worldunite
@Worldunite Жыл бұрын
Kwani hiyo mikataba ilishawahi kujadiliwa bungeni? maana naona mnajadili hiyo mikataba baada ya kutiliana saini hiyo mikataba, kwanini sasa haikujadiliwa bungeni kabla??
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 Жыл бұрын
Sawi kabisa mheshimiwa Mkumbo.Ila usisahau sikio la kufa halisikii dawa. Ngoja tusubiri huu muujiza, huenda sasa likasikia dawa uliyoliwekea
@PeterNMzee
@PeterNMzee Жыл бұрын
😅 Sidhani kama Tanzania ina kiongozi wa kuchukua hatua hizi kwa sasa
@jonesmarwa4913
@jonesmarwa4913 Жыл бұрын
Hapa Russia; oil , wanamiliki wa Rusi wenyewe. Huwezi mpa hazina yako mgeni akusimamie
@yayananajota5838
@yayananajota5838 Жыл бұрын
Tz imezaliwa tajiri inakufa masikini RIP 🇹🇿😏😏 uongozi 🙄😏😏
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Жыл бұрын
Kwa ushauri uko vizuri lakini wabinafsishe ama warudishe Stamico ni yaleyale,serikali ya ccm ni ileile ya mikataba ya siri isiyojadilika bungeni!
@PaulHaule-b5y
@PaulHaule-b5y Жыл бұрын
Indeed Professor Mkumbo
@kambamazig02024
@kambamazig02024 Жыл бұрын
Tumeuza nchi kwa sasa tuna kazi kubwa sana, watu hawaoni umhimu wa kuwa wazalendo na kutoa ushauri mzuri unaolenga sayansi.
@avitimushi1541
@avitimushi1541 Жыл бұрын
Mbunge mwenye akili akichangia kwa akili kubwa sana.
@BrownBuretta
@BrownBuretta Жыл бұрын
Uko poa
@benmuberwa2092
@benmuberwa2092 Жыл бұрын
Nakubaliana na Professor Kitila kwa asili mia zote. Inatia aibu kuona madini hadimu tunayagawa bure. Kama tungewekeza kwenye madini ya chuma tungeokoa hela nyingi katika ujenzi wa reli mpya kwetu sisi na majirani. Zaidi ya asili mia 60 za ujenzi wa reli unahitaji chuma.
@benmuberwa2092
@benmuberwa2092 Жыл бұрын
It is madness kuruhu madini adimu yachukuliwe at a giveaway price. Kwa nini tusiwekeze kwenye madini hayo sisi wenyewe. Faida ni nyingi ikiwemo most ukuzaji wa ajira, pili kipato kikubwa, tatu kuongezea ujuzi, nne kujitawala kiuchumi, tano usalama wa nchi yetu, kupunguza tenement etc. Mfano kama tungewekeza wa madini pale mchuchuma, liganga coal/ iron, tusingetumia gharama kubwa ku import vyuma vya ujenzi wa sgr. Kusema ukweli tumeuza nchi yetu.
@Fanikiwa_leo
@Fanikiwa_leo Жыл бұрын
Great my prof.
@faridsalehmohamed1230
@faridsalehmohamed1230 Жыл бұрын
Kwahio tunatakiwa wanavyotaka waamerika
@johnmsambuzi9094
@johnmsambuzi9094 Жыл бұрын
9:51 😅
@bamurwakana7277
@bamurwakana7277 Жыл бұрын
Wenda mhe .kitila mkumbo unaongea hoja ila kuna vitu unajisaulisha kama wakurugenzi wanakwapua hela wawezavyo leo hii utamuweka nani asinamie huo mradi kama sio kuleta mianya ya wizi tena . Stamico gold kila mwaka wanahasara sasa hiyo chuma itakuwaje
@smallscaleminingsupplies9670
@smallscaleminingsupplies9670 Жыл бұрын
Serikali ya Tanzania iendeshe migodi, iunde shirika la kiendesha migodi?? Kwani hii Stamico haipo inafanyeje, CAG katoa report hakuna shirik linalofanya vizuri hili shirika jipya litakalo undwa litakuja na miujiza gani, tuache kujidanganya,bora mngesema serikali iongezewe ubia kwenye hizo kampuni
@michaelmwadete8078
@michaelmwadete8078 Жыл бұрын
Uko sahihi kiongozi ,kitila acheni kuishauri serikali vibaya au kama labda na nyinyi mnatafuta sehemu za kuja kupiga hapo sawa
@mshangimasanja6171
@mshangimasanja6171 Жыл бұрын
Tuamke tanzania,,,tukitaka kufanikisha haya yote,,,serikali ipitie Mikataba upya,,,then ione wapi tulikosea,,wapi tuvunje then 10years,,,nasi tunufaike
@kakuruchiganga507
@kakuruchiganga507 Жыл бұрын
Watu wanazarau wasomi lakini ukisikiliza kwa umakini uchangiaji wa wabunge wetu ndo utagundua tofauti ilipo, watu wanadhani kufanikiwa ni kuwa na utajiri wa binafsi wa mali, lakini utajiri wa utafiti na uchambuzi wa taarifa na maendeleo ya Teknolojia yanayopaswa kufanywa kupitia Wasomi ni muhimu sana, vinginevyo tukibeza Dunia itatuburuza hatari.
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Жыл бұрын
Ni Africa tu ndio unaweza kuta serikali zake vitu muhimu hasa vya kimikakati badala wawekeze Kwa nchi ili wapate faida kubwa mnoo sasa Africa inaonekana kichwa mwendawazimu tunawaza two percents.
@kubwaichebestfriend8673
@kubwaichebestfriend8673 Жыл бұрын
Kazi zote na maamuzi yote siku hizi anafanya Rais kwahiyo hahitaji tena wasaidizi. Ikimbukwe mtu anapotimiza wajibu wake hastahili kupongezwa lakini asipo timiza wajibu wake anastahili lawama
@staphanonnko8571
@staphanonnko8571 Жыл бұрын
Kinacho nishangaza tunamadini lakini nchi kumi tajiri Africa Tanzania hatupo sasa mnafanyaga nini nyie tulip wachagua mtuongoze?
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Жыл бұрын
Tunawaita dunia nzima waje.kuwwkeza mbali na utumwa tulioko ndani ya kumi na nane zao kinafuata ni kutuamrusha nataka hicho hicho Sasa kunatofauti gani na ukoloni nataka mfunge ndoa ya jinsia Moja
@saidimafu9524
@saidimafu9524 Жыл бұрын
Viongozi wetu vilaza mbaka wanachefua nchii watu wana saini mikataba ikiwa kasha katiwa fungu lake lakum please asaini atakama kunamapungufu ata saini sababu kashagewa fungulake
@alphoncehanura3255
@alphoncehanura3255 Жыл бұрын
Prof Botswana ni Almasi siyo dhahabu😂😂
@johnmsambuzi9094
@johnmsambuzi9094 Жыл бұрын
😅
@MushuRwega-qp4zm
@MushuRwega-qp4zm Жыл бұрын
Ushauri wa kitaalamu sio ule unaoogopa kuiweka jamii matatani ikiwa tu kwa ujinga wetu tuliiingia mkenge bali ni ule unaoiweka matatani kwa nia ya kutafuta suluhisho.
@salimukimwaga
@salimukimwaga Жыл бұрын
Sio kujenga barabara ya kwenda Zanzibar tukope tuchimbe chuma twende Zanzibar tukachukue uchumi gani huko kwa walalamikaji wa kila siku tutabaki na madeni tu
@isaacndashuka5959
@isaacndashuka5959 Жыл бұрын
Profesa?
@issakwisamwasanjobe541
@issakwisamwasanjobe541 Жыл бұрын
Wawekezaji wanatiahasaramara100 kuliko viwanda vyetu vilivyouzwa badala ya kulimarisha shirika la stamico mnakurupukia wawekezaji nchi inawasomi WA kutosha ifike wakati tutumie akili zetu tumepigika vya kutosha hata wakikataa mkopo tufanye kwa vyanzo vyetu tubanane
@makongorowassira6593
@makongorowassira6593 Жыл бұрын
Yaani Kitila ameongea kama ninavyofikiria kila siku, sector ya Madini haihitaji uwekezaji wa mataifa au makampuni ya nje, bali tuwekeze sisi wenyewe na tukihitaji wataalamu zaidi basi tuwaajiri hao wataalamu kama waajiriwa na sio vinginevyo. Haya mambo ya kuita watu wawekezaji huku wanachukua kila kitu ni ujinga mtupu. Wawekezaji walete viwanda au wajikite kwenye kilimo na sio kwenye rasrimali zetu za asili.
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Жыл бұрын
Nakuunga mkono kwahayo uliyosema hata kwenye uwekezaji wa kilimo hakuna haja ya kuwaalika watu kutoka nje kuna vijana wengi hawana ajira wawatawanye wakalime badala ya kuletawatu wengine
@salimukimwaga
@salimukimwaga Жыл бұрын
Heko kutoka ushauri wako kwa serekali huo ndio uzalendo wa kuipenda nchi yako kwa kutoa ushauri wa shule yako ili watanganyika wasogee kutoka hapa walipo kutokana neeme zao walizopewa na jalali
@issaoyaathuman8584
@issaoyaathuman8584 Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍👍👍👍🙏🙏🙏🤌🤌🤌🤗🤗🇹🇿🤲🤲💎💎💎💍
@patricknyiti5303
@patricknyiti5303 Жыл бұрын
Ulimshauri Mwendazake ?? Wewe si ulikua kwenye Baraza lake
@hoseastephen4508
@hoseastephen4508 Жыл бұрын
Serikali ni ya chama kilekile toka uhuru cha kushangaza kila akiingia rais mpya mnamkosoa aliyepita kana kwamba nyie hamkuwepo wakati kazi yenu huwa ni kushangilia mipango na maamuzi ya kukurupuka.
@michaelmwadete8078
@michaelmwadete8078 Жыл бұрын
wewe selikali haiwezi kusimamaa Kwa sababu wapigaji watafanya shamba la bibi
Tazama Prof Kitila alivyoshusha NONDO hadi akapewa dakika 14 aongee
13:33
Mwananchi Digital
Рет қаралды 10 М.
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,9 МЛН
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 1,5 МЛН
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 11 МЛН
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН
How to win a argument
9:28
ajaxkmr (ajaxkmr1986)
Рет қаралды 621 М.
USINUNUE CCTV CAMERA KABLA YA KUJUA HILI
4:32
FUNDI CCTV CAMERA
Рет қаралды 1,7 М.