KKKT NJOMBE WAELEZA UHALALI WA KUMILIKI MAENEO YENYE MGOGORO LUNYANYWI

  Рет қаралды 2,800

NJB TV NEWS

NJB TV NEWS

Күн бұрын

Kumekuwa na mvutano mkali baina ya kanisa la KKKT dayosisi a kusini na baadhi wananchi mjini Njombe juu ya umiliki halali wa eneo la Lunyanywi kilipo chuo cha Amani pamoja na shul;e ya sekondari ya halmashauri ya mji njombe Lunyanwi ambapo hivi karibuni waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Mh Jerry Slaa alifika na kusikiliza mkasa huo ambao hata Hivyo ameuweka kiporo mpaka january 2024

Пікірлер: 6
@happyshauritanga3017
@happyshauritanga3017 8 ай бұрын
Mlinunua sh ngapi mwaka gani Kama si janjajanja zenu na Njodeko ?
@sebastianthadeus5270
@sebastianthadeus5270 8 ай бұрын
Mtachukuaje maeneo ya Wana chi kwa kigezo Cha kanisa ?? Shindwa katika jina LA yesu!!
@user-qd1fc4mq6o
@user-qd1fc4mq6o 4 ай бұрын
Hapo ndio wanapo kosea kusema muhende mahakamani sababu kuu ni kuwa huliza manispaa wame. Pata wapi hilo eneo. Hutapeli wa manispaa ndio hunao sababisha watu Wa manispaa wamezulumu Wananchi ardhi Yao wamekwenda kuwa huzia watu wa kanisa. Wale Wananchi hawana hati huki waambia waende mahakamani wata shindwa tuu sababu mahakama hawana. Muda wa kuhangalia root cause wao Wana hangalia mwenye hati kaipataje hawana muda huo. Shida ardhi hanazo huza manispaa kazipataje hiyo ndio root cause. Msihangalie sana hati ndio maana Wananchi hawana Imani na mahakama wanajazana Kwa makonda
@user-ug9mt5cl1s
@user-ug9mt5cl1s 8 ай бұрын
Mlinunua sh ngap? Mmezidi kuzurum sana haki za watu nyinyi tunawajua
@dismaslalubare4196
@dismaslalubare4196 8 ай бұрын
Hivi.wanavyouza viwanja wanalipa kodi ya serikali ?
@happyshauritanga3017
@happyshauritanga3017 8 ай бұрын
Mlinunua sh ngapi mwaka gani Kama si janjajanja zenu na Njodeko ?
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 33 МЛН
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 16 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 22 МЛН
DC NJOMBE  AWAPA MASAA 48 VIJANA 80 KUHAMA  WILAYA YA NJOMBE
10:35
NJB TV NEWS
Рет қаралды 27 М.
MAGUFULI AMTUMBUA OCD NJOMBE, AMREJESHA BAADA YA SALA YA TOBA
5:27
Mwananchi Digital
Рет қаралды 52 М.