Hadi Raha Kwa YESU ni huru mimebarikiwa sana congratulations
@MellenaKansiimeАй бұрын
Nyimbo zako mutumishi wa Mungu zinanibariki saaanatena sana Mungu akuwezeshe kwauduma
@dominicambulimo362 жыл бұрын
Ndugu mtumishi una sura nzuri sana tutembelee kenya napenda nyimbo zako sana
@ابوفوادهطجخمخ3 жыл бұрын
Barikiwa mgogo kwa kazi nzuri
@catherinekilembe97952 жыл бұрын
Hongera sana mtumishi EMMANUEL ubarikiwe sana. Kongolee
@gloryeliyatitho-wo9kv Жыл бұрын
hongerenii na mungu aendeleeeee kuwa pamoja nanyi
@sifamado33833 жыл бұрын
Jamani vijana wamejipangakweli barikiwa sana kazi nzuri Brother
@presseg.63623 жыл бұрын
Ohhhhhhhhhh!!!! My God, wimbo mzuri Sana! Mungu akubariki Sana mtumishi %@
@susankageha54632 жыл бұрын
Am blessed with your songs brother be blessed
@Rebecca-d7l3 ай бұрын
Amen mubarikiwe❤
@delhidarling42853 жыл бұрын
Tamu sana kaka🌹🌹🌹🌹🌹. Mungu mwaminifu kweli pia hapa Kenya 🇰🇪🇰🇪 tunajulikana na Mungu 🌹🌹🌹🌹
@EliyaWilliamOfficial5 ай бұрын
Waooo Hongera Sana mkuu
@sammydzaro52623 ай бұрын
Keep it up Guys too ❤❤❤❤❤
@vitahenry42362 жыл бұрын
So lovely song Emmanuel God continue to bless you
@EnjoJb-cv6wl Жыл бұрын
Kazi nzuri Dana mtumishi wa mungu
@jamesteonast65673 жыл бұрын
Kazi nzuli uwa faraja ndan ya moyo bigap Kaka mungu akuongoze
@ndeshukurwakaaya43853 жыл бұрын
Kwa Yesu kuna maisha kwa wote hakuna ubaguzi. Tanzania 🇹🇿 hiyo imejengwa kwenye misingi ya hekima. Hekima kwa Taifa teule Tanzania lina ushindi hakuna ubishi. Every thing is a matter of time. Mkombozi wa Afrika na dunia nzima inatambua hakika. Tanzania inanukia marashi murua. Absolutely 🙏
@theopistamwayeya17642 жыл бұрын
I love my Tanzania!
@mariana71402 жыл бұрын
Amina wimbo mzur
@KalembaGeoffrey11 ай бұрын
I love this song and I give glory to God almighty for for the br zeal
@EmmanuellaAmos20092 жыл бұрын
Amen bro Emmanuel
@salumumakotha20006 ай бұрын
Bwana akubariki sana zaid na zaid🙌🙌🙌
@carolinedavis72284 ай бұрын
Gone but not forgotten. I am here blasting your song it feels like ur still here with us.
@mgogosinger4 ай бұрын
Who told you that I'm dead? I'm still alive and well,
@brianonyango41793 жыл бұрын
Wonderful this amazing Mtumishi .Glory to God Nasi pia twasema Kongole Yesu
@ZipporahMayuya-me9tr Жыл бұрын
I love this song it really blesses me
@edwardnzambimana2827 Жыл бұрын
Nice song good job
@davidmkanda93002 жыл бұрын
Mnanifuruga na stepu mungu awabariki sana
@FazohMedia2 жыл бұрын
Amina barikiwen sanaaa
@paulmnyanyi70393 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi Emmanuel kwa kazi nzuri uitendayo. Nami nasema KONGOLE! Emmanuel.
@chalesdaudi37366 ай бұрын
Joti
@jamesdonard20813 жыл бұрын
Very nice my brother
@japhetmasai9954 Жыл бұрын
Kongole emmanuel mgogo amen 🙏 🙌 ❤
@RojaMwambena Жыл бұрын
Hongela kwa wimbo mzuli mtumishi wa MM000
@alinejeremaih11463 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@benjaminmwambene48973 жыл бұрын
Vijana wamejipanga aisee, Safi sana
@bettyginono57962 ай бұрын
Chezea yesu,hata mbinguni tunaenda kuimba na kucheza
@jaenpierrekapata2 ай бұрын
Ferré
@maniratungageorge67975 ай бұрын
Waoh good boys ❤❤🎉🎉❤❤
@mkojeragodsonofficial46643 ай бұрын
Hii ndio Dunia kuingia kanisani Ila wapendwa hatumshangai Immanuel mgogo anguko lake mana hata kabla alie shetani kua au ibilisi alikua Lucifer malaika wasifa alikua anamjua Mungu amezungumza nae nae kwahio anguko Kwa mtu yeyote inawwzekana
@onestar27313 жыл бұрын
Nice song 🎵👌
@BusyBeeOnyiego3 жыл бұрын
Beautiful my Brother
@68012 жыл бұрын
Songs zako zinanibariki sana
@deodatusmganga57953 жыл бұрын
Be blessed my brother
@adamndamayape4282 жыл бұрын
Jina la Yesu ni kila kitu kwetu
@victormwakipesile56043 жыл бұрын
Kali Sana hii
@okoajamiimashinani5 ай бұрын
Bariiwa na uzidishwe kwenye huduma
@eliadaisaiah1812 жыл бұрын
Wooow
@MargrethMloka2 ай бұрын
Amina
@gracebucumi-nv9pn3 ай бұрын
🙌🏻🙌🏻💗💗🙌🏻🙌🏻
@carolynesore43443 жыл бұрын
Ohoo, good, why can't you visit Kenya? Sauti Yako nzuri, wish to be in Tanzania niwe backup , how I wish
@victoriamkumbo5866 Жыл бұрын
Nakush
@elishatadeo99683 жыл бұрын
nice
@faithtimothy63962 жыл бұрын
💃💃💃💃❤
@dayijuniy64782 жыл бұрын
Jux
@NandwaPatrickАй бұрын
Amen
@maniratungageorge67976 ай бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤❤
@eddygad28582 жыл бұрын
God is good thank you
@paulizengo44193 жыл бұрын
Kongole kongole Yesu
@ndeshukurwakaaya43853 жыл бұрын
HAKIKA YESU ASAFISHA, ANGAR7SHA, NIMESHUHUDIA. USHINDI WA MSALABANI. SHALOM SHALOM.
@ibrahimumaroa28043 жыл бұрын
MAY GOD GIVE YOU MORE STRENGTH TO SERVE HIM
@jeanettegloria62442 жыл бұрын
Amen!
@harunimwakitega Жыл бұрын
Alieyapanga naniapige
@JosephNgwaruda10 ай бұрын
𝑨𝒎𝒆𝒏𝒂 𝒔𝒂𝒏𝒂
@emmanuelnyota99543 жыл бұрын
Kaz saf nmependa 2 xna
@catherinekilembe97952 жыл бұрын
Hongera sana kwa Kaz nzuri mtumishi EMMANUEL.. kongolee
@gracenduki5923 жыл бұрын
Jina lake lisifiwe milele.
@IsackJackobo Жыл бұрын
1000
@Gracebikambonesa Жыл бұрын
Mtumichi nakusalimu sana nataka Namba yako ya watsp
@mgogosinger Жыл бұрын
0769505537
@elishadodi87873 жыл бұрын
Wimbo unaomtaja Yesu lakini Sasa hao vijana hapo tofauti na wale wachezaji wa Diamond ni nini? Ifikie mahali tujitofautishe kati ya waimbaji wa Mungu aliye hai na wale wa bongo fleva
@marrykilyenyi85732 жыл бұрын
Mbna wako vizur tu kiongoz ,uimbaji wa zaman na Sasa nitofauf ,pia hta uchezaji ,hta uvaaji wa Sasa ni tofaut ,kla miaka inavozid kubadilika ndivyo kla ktu kna adilika kiongoz
@ayoubdallu44762 жыл бұрын
Shida yetu ni kuamini vitu vizur anavyo shetani tu🤣
@lightnessseifu5983 Жыл бұрын
Wamekosea wapi ??? Kwa yesu kuna raha lazima ujiachie mwili mzima .hata wangeimba Kwa kusimama wangesema tuwimbo mzuri ila wamesimama tu
@MlokoziVerus8 ай бұрын
Kwan Dimond n myama??? Hat daud alicheza mpk nguo zkadodoka
@bettyginono57962 ай бұрын
Kwani yesu hawezi chezewa ?mbinguni tunaenda kujeza zaidi ya hawa na daudi,so be ready tunaenda kucheza hadi nguo zianguke wacha Diamond
@MosesOngudi-s3b5 ай бұрын
Wajinga walitamani Bonny afe. Kweli wajinga ndio waliwao.