Oh yeah mimi pia hua wananiudhi mi nadhani nikajaliwa kwenda hajj ama Umra sitopiga hatta picha, manake kufanya ibada na kujionyesha ni rayyah na riyyah ni shirk ntakavo focus na ibadah, May Allaah grant me to visit 2:10 kabbah atlist once, Aameen Aameen 😢😢😢 3:05
@mwaramimwarami1479 Жыл бұрын
Baaraka llahu fik sheikh Islam,umegusa jambo nyeti Wallah, binafsi huwa nastaajabu sana,naona watu wanafanya ibada kama fashion,sijui ndo model Islam amavp,ria kilasehemu, hatari sana wallah