kozi Zinazotolewa na Veta 2021|Kozi za kusoma Veta 2021/2022|kozi za kusoma mwaka huu veta|

  Рет қаралды 22,704

𝐓𝐞𝐚𝐜𝐡𝐞𝐫 𝐃

𝐓𝐞𝐚𝐜𝐡𝐞𝐫 𝐃

Күн бұрын

Пікірлер: 83
@maasuzanzibarelectricalmze8370
@maasuzanzibarelectricalmze8370 Жыл бұрын
MAASU ZANZIBAR ELECTRICAL kivingine zaidi
@HassanKibari
@HassanKibari Жыл бұрын
Naomba maelekezo ya kozi ya udereva na garama zake
@aminaramadhan3268
@aminaramadhan3268 Жыл бұрын
Jaman hiki chuo kipo far sehem gan
@SanuraTaiban
@SanuraTaiban Ай бұрын
Munapqtikana wap
@llahlonix1760
@llahlonix1760 2 жыл бұрын
Kozi y umeme wa magari inaitwaje
@faudhiathabiti268
@faudhiathabiti268 2 жыл бұрын
Nimeipenda hongereni
@faudhiathabiti268
@faudhiathabiti268 2 жыл бұрын
Naomba kuona ufundi cherehani
@ramadhanirassi9616
@ramadhanirassi9616 3 жыл бұрын
Habari, Mimi nataka kujiunga , ila nataka kujifunza mapishi je ada bei gani.
@teacherd
@teacherd 3 жыл бұрын
Pesa ndogo... Kama unaweza tembelea chuo kilichokaribu yako upate maelezo mengi mazuri zaidi...lkn Ni pesa ndogo sana
@ramadhanirassi9616
@ramadhanirassi9616 3 жыл бұрын
@@teacherd sawa nimekuelewa
@AbdulyShakuru
@AbdulyShakuru Жыл бұрын
Naita mnitumie namba mnazo tumia
@monicaleopard
@monicaleopard Жыл бұрын
Kozi ya ususi na urembo inapatikana kwa ambao hawajui kusuka pia
@angelinagerevassimba5004
@angelinagerevassimba5004 Жыл бұрын
Jaman natak kujiung na veta katik course udereva
@alexjonas7124
@alexjonas7124 2 жыл бұрын
Samahani,chuo chenu kipo mkoa gan?
@teacherd
@teacherd 2 жыл бұрын
Vyuo viko Tanzania nzima
@mohammedkombo3822
@mohammedkombo3822 2 жыл бұрын
Naombeni namba kuna vitu natak kuuliza
@winifridermasegese5747
@winifridermasegese5747 2 жыл бұрын
Naomba namba
@lilianievaristo5922
@lilianievaristo5922 3 жыл бұрын
Habali mwalimu ,Mimi natakakusomea Udereva magari makubwa, inachukua muda gani mpaka kumaliza.
@teacherd
@teacherd 3 жыл бұрын
Kozi ya magari makubwa inategemeana Kama tauri unajua magari madogo aikuchukui muda mrefu...lkn Kama ndo unaanza kuanzia miezi 6 kuendelea maelezo mazuri tembelea chuo chochote Cha veta kilichoko mkoani/karibu yako..
@babystellah5058
@babystellah5058 2 жыл бұрын
Naomben namb za chuo
@rehemakighobi9123
@rehemakighobi9123 3 жыл бұрын
Nataka kujiunga veta np dar es salaam sijui utalatibu wake
@teacherd
@teacherd 3 жыл бұрын
Taharifa nzuri Ni kutembea chuo Cha veta kilicho karibu yako utapata issues zote...
@rehemakighobi9123
@rehemakighobi9123 3 жыл бұрын
@@teacherd shukuran
@swaumushirima7806
@swaumushirima7806 Жыл бұрын
Naitaj namb ya simu
@swaumushirima7806
@swaumushirima7806 Жыл бұрын
Naomb namb kwajil y maelez zaid naitaj kujiunga
@ayurvedarpeter3562
@ayurvedarpeter3562 2 жыл бұрын
Jaman mwenye mawasilian kihonda veta msaaada maaan mm mkoan kwang fan nayohitaj haipo
@banabtvchannel3207
@banabtvchannel3207 2 жыл бұрын
Chuo kiko wapi?
@aishwiihbeauty3731
@aishwiihbeauty3731 3 жыл бұрын
Jaman naitaji kujifunza ushonaji
@teacherd
@teacherd 3 жыл бұрын
Gharama Ni ndogo saana maana Ada peke yake Ni elfu 60 tu...vitu vingine havizidi laki 2.5 Maelezo zaidi tembelea chuo kilicho karibu na wewe kwa maelezo zaidi.🔴♦️
@lizzybahati9833
@lizzybahati9833 3 жыл бұрын
Ahsante sana bro tutafika
@domanipauli3460
@domanipauli3460 3 жыл бұрын
Naomba namba zachuo
@makenelukanima8289
@makenelukanima8289 3 жыл бұрын
Daaaa hatarii
@dainajeckonia198
@dainajeckonia198 2 жыл бұрын
Naomb unitumie namba za chuo
@joharissa2020
@joharissa2020 Жыл бұрын
Kaka naomba nambar please nataka mwaka huu nijifunze
@HamisaAbdallah-ub1ee
@HamisaAbdallah-ub1ee 6 ай бұрын
Unatakiwa uwe za vigezo gani
@teacherd
@teacherd 6 ай бұрын
Kuanzia elimu ya darasa la saba na kuendelea
@marryferix62
@marryferix62 2 жыл бұрын
Ada shingapi kwenye maswala ya cheleani
@teacherd
@teacherd 2 жыл бұрын
Boarding au day?
@rihannabakary5658
@rihannabakary5658 2 жыл бұрын
@@teacherd kwa day ni shi ngapi?
@petrowilliam1797
@petrowilliam1797 2 жыл бұрын
Ada ya hicho chuo ni shilingi ngapi kwa miezi 6.
@barakawalter6630
@barakawalter6630 2 жыл бұрын
Minaitaji kujifunza weldar
@yusuphabdallah8472
@yusuphabdallah8472 2 жыл бұрын
Mnapatikana wapa
@lawrenciamkolwe796
@lawrenciamkolwe796 2 жыл бұрын
Nahitaji kumleta mwanzangu je mpo wapi nipo njombe
@teacherd
@teacherd 2 жыл бұрын
Vyuo vya veta kila mkoa kipo.. jaribu kufatilia hapo mkoa wa njombe kinapatikana wapi
@malandufaustina1818
@malandufaustina1818 2 жыл бұрын
Hivi kujiunga na icho chuo c mpaka umalize form 4 au ht grd7 anaruhusiwa
@teacherd
@teacherd 2 жыл бұрын
Darasa la Saba pia
@malandufaustina1818
@malandufaustina1818 2 жыл бұрын
Sawa sante
@danielphilipomajengo3596
@danielphilipomajengo3596 3 жыл бұрын
Natafut chuo cha veta kinachotoa mafunzo ya udereva wa magar makubw
@teacherd
@teacherd 3 жыл бұрын
VYUO vingi vinatoa hizi kozi...tembelea chuo kilichokaribu yako upate maelezo zaidi
@gemmacley3716
@gemmacley3716 3 жыл бұрын
Mimi naomba ushaur nikitaka kusomea cause y operator wa yale makatapira natakiwa nianze na hatua ipi ya kwanza maana hapa najua kuendesha baiskel tu ,nipo iringa
@teacherd
@teacherd 3 жыл бұрын
Unaeda kituo Cha veta/chuo kilichokaribu yako upate maelezo mengi mazuri.. lkn lazima uanze hatua za mwanzo za kujifunza UDEREVA Kisha utajispecalze kwenye hayo magari makubwaa
@gemmacley3716
@gemmacley3716 3 жыл бұрын
@@teacherd ubarikiwe teacher 🙏🙏
@yusuphabdallah8472
@yusuphabdallah8472 2 жыл бұрын
Mawasilialo
@hashiysaid6199
@hashiysaid6199 3 жыл бұрын
Hujawahi danganya
@teacherd
@teacherd 3 жыл бұрын
Matokeo VIP ndugu yangu
@rehemaalfonse1637
@rehemaalfonse1637 2 жыл бұрын
Mbona Kuna kufanya mtiani
@teacherd
@teacherd 2 жыл бұрын
Mtihani ni lazima ukiwa ushasoma
@rehemaalfonse1637
@rehemaalfonse1637 Жыл бұрын
@@teacherd wanasema Kuna mtiani wa kujiunga ni mtiani upi Tena nakati bado ata kusoma
@tvstation6472
@tvstation6472 Жыл бұрын
Tena wa taifa haswaa. Ndo uwe qualified
@paskalmasere9114
@paskalmasere9114 2 жыл бұрын
Hivi Bado wanapokea watu maana selekali imesema tukasome bule chuo Cha veta kiricho Malibu yangu
@marthaphinias623
@marthaphinias623 3 жыл бұрын
Kusomea cartificate in computer mantaince and REPAIRMENT gharama ni shingap
@teacherd
@teacherd 3 жыл бұрын
Sijajua Kama veta wanatoa hii course...lkn kwa vyuo vya kawaida unaweza japo sijajua Bei Ni gani... Nitalifanyia kazi nitakuja na MAJIBU🔴
@chichasam9032
@chichasam9032 3 жыл бұрын
Nataka kuwa fundi skimming and painting majumbani hiyo koz ipo apo
@teacherd
@teacherd 3 жыл бұрын
Vizuri saaana...
@chichasam9032
@chichasam9032 3 жыл бұрын
@@teacherd hiyo koz ipo veta ya izo fan
@teacherd
@teacherd 3 жыл бұрын
@@chichasam9032 ipo ndiyooo
@chichasam9032
@chichasam9032 3 жыл бұрын
@@teacherd inaitwaje je inapatikaana dar veta gharama zake zikoje na kwa mda gani
@fredialex3303
@fredialex3303 3 жыл бұрын
Nahitaji
@amossngasa2737
@amossngasa2737 3 жыл бұрын
Napataje mawasiliano yenu kwa mazumzo zaidi
@hamisiibrahim487
@hamisiibrahim487 3 жыл бұрын
Serikali imetoa nafasi za kujiunga na mafunzo bure vi nieleweshe kuhusiana na hili
@teacherd
@teacherd 3 жыл бұрын
Yaaah...Ni kwel, unachotakiwa kufanaya nikwenda chuo Cha veta kilichoko mkoani kwako..au sehemu unapoishi, pale Kuna maelekezo yote ikiwa Ni kusoma kozi yoyote unayoitaka gharama zote Ni juu ya serikalini (Ada)...Wai mapema maaana watu Ni wengi wanataka hizo nafasi
@marthaphinias623
@marthaphinias623 3 жыл бұрын
@@teacherd samahan teacher kusomea cartificate in computer mantaince and REPAIRMENT gharama ni shingap
@boniphacemachage406
@boniphacemachage406 3 жыл бұрын
@@teacherd mimi nataka kuja arusha kusomea udereva wa magar makubwa je fomu naipataje ?
@teacherd
@teacherd 3 жыл бұрын
@@boniphacemachage406 fomu inapatikana kwenye chuo unachotaka kuchukua mafunzo...tembelea chuo upate utaratibu mzuri
@deniserick6115
@deniserick6115 3 жыл бұрын
Kwa wanaume tunanyoa kama shule
@teacherd
@teacherd 3 жыл бұрын
Yes...Kama shule, maana unavaa uniform
@rehemaomary3493
@rehemaomary3493 Жыл бұрын
​@@teacherd huna mdomo wa kujibu wewe maana una weka link tu maana yake nini
@teacherd
@teacherd Жыл бұрын
@@rehemaomary3493 sijakujibu Nini ndugu?
@gangaasagal8660
@gangaasagal8660 3 жыл бұрын
Iyo coz ya computer ni mwaka mingap
@teacherd
@teacherd 3 жыл бұрын
Inategemea Kuna kozi muda murefu na za muda mfupi na Ada zinatofautiana..mfano Kuna Miezi 3 pia Kuna kozi za mpka mwaka 1 adi 2... Ni wewe tu
@janethmarco3311
@janethmarco3311 3 жыл бұрын
NAHITAJI kujifunza ususi napataje mawasiliano mpo dodoma sehemu gani
MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2023- kozi 10 zenye ajira tanzania engineering courses 2023/24
8:23
𝐓𝐞𝐚𝐜𝐡𝐞𝐫 𝐃
Рет қаралды 11 М.
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 332 М.
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 12 МЛН
SIFA ZA KUSOMA VETA 2024/2025 KOZI ZA MUDA MREFU NA MUDA MFUPI|sifa za kusoma veta
4:46
𝐓𝐞𝐚𝐜𝐡𝐞𝐫 𝐃
Рет қаралды 1,2 М.
MWANAFUNZI MTUKUTU NA MAPENZI SHULE (muendelezo)
9:43
BabaJoan
Рет қаралды 1,6 МЛН
Mbinu za Kufaulu Mitihani Yako Yote  Soma Hapa!
4:50
Mezani
Рет қаралды 10 М.
UCHAMBUZI WA MITIHANI YA UDEREVA
7:49
Diego film pro
Рет қаралды 28 М.
VYUO KUMI (10) BORA TANZANIA
4:41
Ambition Plus
Рет қаралды 89 М.
BIASHARA YA FAMILIA: MKURUGENZI KIJANA KIWANDA CHA JAMBO ASIMULIA
12:30
Wahitimu Njooni mjiunge na Chuo cha Bandari.
14:32
Ndalini Media Solution Limited
Рет қаралды 2,9 М.
MAHAFALI YA CHUO CHA VETA TANGA,WANAFUNZI WAFUNGUKA UKWELI WA CHUO.
10:30