No video

KUJIGONGA GONGA KWA NURDIN KISHKI

  Рет қаралды 14,558

Nahjusalaf Online Tv

Nahjusalaf Online Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 50
@RamaMshangama-nc5wi
@RamaMshangama-nc5wi 2 ай бұрын
Mashekhe zetu tunawapenda sana,ila tafadhalini kama kuna mmoja wenu anakosea ni bora kuwekana shura kuliko hii njia mnayotumia kwa sasa imekuwa hakuna tofauti sasa kati ya mashekhe na watu wengine,allah awaongoze
@NahimanaMoussa-jq4tl
@NahimanaMoussa-jq4tl 25 күн бұрын
Kiukweli Sheikh Nurdin Kishki kakosea,,, ila kwakweli Hujatumia hekima ya hali ya juu kweny kumkosoa,, Lau kama ungemsogelea ukamkosoa akakataa ndio ungetumia njia kama hii,, Allah atustiri sote na atuongoze
@YazidSalum
@YazidSalum 4 ай бұрын
Barakallahu fika nakupenda kwa ajili ya Allah Allah akuhifadhi Akhy abdallah humeidi
@idrisshogobe6424
@idrisshogobe6424 2 жыл бұрын
😂😂😂😂 Maskini kishki
@hubamaringo
@hubamaringo 2 ай бұрын
Allah atuongoe kwakweli Kuna mashekh kazi Yao kukosoa wenzie tu kila siku
@user-bp6fb6wo5u
@user-bp6fb6wo5u 2 жыл бұрын
Duh hawa mahizby bwana wanajigonga sanaa... na hili wanalo watu wote wabaatil.
@AsmaaIssa-wz6by
@AsmaaIssa-wz6by 4 ай бұрын
Cku zote mtu akisema hakki lzm wapingaji watakuwepo. pasua kaka yangu Allah yupo pamoja na ww ndio kishki haeleweki
@salummbarouk4216
@salummbarouk4216 2 ай бұрын
Mtume Muhammad s.w.a alikuwa dhehebu gani
@idrissamsilagi9978
@idrissamsilagi9978 Ай бұрын
Kishk hata Mimi simkubali na wewe huko ndiyo ufikishaji kwanini usifuate inbox
@idrissamsilagi9978
@idrissamsilagi9978 Ай бұрын
Mtume kasema hata kama mtu kafanya khatwa kweli lakini kumfikishia hasharani ni kumdhalilisha
@Badrumchekwa
@Badrumchekwa 19 күн бұрын
Sasa ww shekhe hapo umepata nn kwa kuitoa hyo acha hzo kuzodoana vitu visivyo vya msing
@salmaahmadnguhwe3285
@salmaahmadnguhwe3285 4 ай бұрын
MASHEKH.. TUMIA MUDA MWINGI KUJIKAGUA WEWE MWENYEWE SIO KUKOSOA WENZAKO TUUU!! KWANI SIKU YA HISABU UTAULIZWA MAMBO YAKO WEWE SIYO FULANI ALINYA NINI. MNATUDUMAZA... HATUMJUI MUNGU WETU IPASAVYO
@alfajahussein9074
@alfajahussein9074 2 жыл бұрын
Du, mashekh nishida
@MsarakaPinja-sv6vg
@MsarakaPinja-sv6vg 3 ай бұрын
Duh
@immtm4930
@immtm4930 2 жыл бұрын
Mbona waisilamu tuko hivi hatuwekani kitako kujadili mambo yetu kwa pamoja
@mussakatoro8079
@mussakatoro8079 2 жыл бұрын
Mbona unabana pua, we sheikh shogaaaa. Au ndo mamb ya Tangaaa
@HamisiR
@HamisiR 2 ай бұрын
Yani we unakosoaga wenzako na hatujawahi kukuona
@user-lx2wg4je3t
@user-lx2wg4je3t 3 ай бұрын
Madhehebu kwani kipindi cha mtume kulikuwa na madhehebu kulikuwa na uislamu tena walikuwa na umoja
@hadijamohamed623
@hadijamohamed623 2 ай бұрын
Fanya yako bwana weeee kwani mtume Muhammad S.A.W alikuwa shehebu gani bwana weee
@fatmaally7241
@fatmaally7241 4 ай бұрын
Yani hapa shekh umetaka kushusha tu heshma ya sheikh kishiki .mngekua mnatumia muda kuelimisha jamii na co kushushiana heshima .yani hili ulilo lisema ni jambo ambalo halina maana sasa ndonini!!!
@maalimhemedsalumu
@maalimhemedsalumu 2 ай бұрын
Chuki na hasad ndio zilizo kutawala
@MadinaChikumbi
@MadinaChikumbi 4 ай бұрын
Kweli kama kishki utamfutilia Kwa makin utagundua hayuko sawa anajigonga gonga
@user-wj8xg4fr9t
@user-wj8xg4fr9t 3 ай бұрын
Mtume alikuwa madhehebu gani?
@OmariKaya
@OmariKaya 3 ай бұрын
Hata mimi nahitaji kujua mtume alikua dhehebu gani
@msambyaonlinetv3934
@msambyaonlinetv3934 4 ай бұрын
Utopolo. Tu Umekosa kazi Ukaona utafute Views
@user-yb3gg2gt7o
@user-yb3gg2gt7o 2 ай бұрын
ukiwa na elim ya Allah fanya kazi ya Allah usipende kuchunguza watu ulisoma kupeleleza watu washekhe vipi
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 4 ай бұрын
Hiki kikundi kama jamat, tabligh tuu kwani amsomi maneno ya utheimin kuhusu usalafi wa kweli jamaa wamekuja na usalafi mpya arafu waita watu mahizbi kumbe kwa fatwa za utheimin wao ndo hizzbi
@user-jb6lp1zi9q
@user-jb6lp1zi9q 4 ай бұрын
Arafu ndo nin we ,unasem uthamin km mdg wk hun adabu
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 жыл бұрын
Dhehebu la mafuta ni wahabiya.
@IssaSimbilla-hw9ev
@IssaSimbilla-hw9ev 4 ай бұрын
La barahiyani tapeli hizb jahil murakab
@user-fy4op1sw2f
@user-fy4op1sw2f 10 ай бұрын
Huna jipya humeid kazi kuraddi tu
@Silay1034
@Silay1034 4 ай бұрын
Kama wewe unadhehebu bc dhehebu ni alokuwa nalo mtume s.a.w
@Silay1034
@Silay1034 4 ай бұрын
Masalafy tushawajua hawatusumbui mayahudi tu hawa
@andrewmoi2186
@andrewmoi2186 2 ай бұрын
We auna KAZI nyingine ya kufanya mjinga wewe ata auna akili kiski sio mwenzako
@salumngakonda2182
@salumngakonda2182 4 ай бұрын
Madhehema ni vyama vya sheitani.
@Mapyatv
@Mapyatv 4 ай бұрын
Uislam hakuna madhehebu katikadini swadakta shekhe kishik
@IssaSimbilla-hw9ev
@IssaSimbilla-hw9ev 4 ай бұрын
Loooh pole 😂😂nakishk wako
@Mapyatv
@Mapyatv 4 ай бұрын
@@IssaSimbilla-hw9ev ww nipehadithi au aya mtumeanasema tuwenamadhehebu tusidanganyane
@mohamedothman5792
@mohamedothman5792 3 ай бұрын
Sasa mbona huyo shekhe wako kishki hana msimamo Mara yeye Salafy mara hana dhehebu. Dalili ya unafiq
@mohamedothman5792
@mohamedothman5792 3 ай бұрын
​@@Mapyatvmtume alifuata quran. Matendo yake ni sunnah kwetu. Salafy (ansaar) hufuata Quran na sunnah. Sasa waulize hao wengine wanamfuata nani
@user-ou6ku6kd8b
@user-ou6ku6kd8b 2 жыл бұрын
Na si umfuate na ukamwambie mbona wamkashifu kwa KZbin hiyo daawa yako sio ya swa
@mirajiramadhani8128
@mirajiramadhani8128 2 ай бұрын
Kishki yuko sahihi mana yuko na elimu kuliko wewe salafi usotaka kusoma
@binnassorabdallah37
@binnassorabdallah37 4 ай бұрын
Maalimu,wewe unatafuta umaarufu tu kupitia mgongo wa mtu lkn hutoupata kwa njia hyo fanya daawa tumikia Qur an Allah atakunyanyua lkn kwa njia hyo utakua chini daima Sheikh Othman maalim ni msomi anaejua nin anasema nin anatenda nasi tunampenda sana kwa ajili ya Allah na tunamuombea kher siku zote. Kapewa na Allah nawe muombe atakupa sio kujibana migongoni kwa walio pewa .
@aliyabasi2058
@aliyabasi2058 4 ай бұрын
Hujaelewa
@banihashim5347
@banihashim5347 2 жыл бұрын
Nyinyi ni wapuuzi sana, na mna mambo ya kike, usalafi gani huo kukata vipande mawaidha ya msheikh? Hii si khiyana? Na huko si kufwatilia Aibu za Waisalam!! Alafu huyu dilele wenu mbona hakuwahi kumtukana mohamed mafuta kwa kusema kwake MANENO YA SHEIKH RABII NI KAMA WAHYI???
@aliyabasi2058
@aliyabasi2058 4 ай бұрын
Hujaelewa maskin
@banihashim5347
@banihashim5347 4 ай бұрын
@@aliyabasi2058 wewe tajiri umeelewaje?
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 21 күн бұрын
Hawa jamaaa mahizbi salaf huwa Wanalindana akikosea mwenzao hawamraddi
RADDI KWA REDIO IMANI NA TV IMANI
7:45
منهج الأنبياء
Рет қаралды 3,1 М.
Radd Kwa Izuddiyn - Mufti Wa Mwembe Tayari Hizi Dalili Huzioni⁉️
15:03
Lehanga 🤣 #comedy #funny
00:31
Micky Makeover
Рет қаралды 30 МЛН
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 70 МЛН
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 49 МЛН
Je! Sheikh Kishki ni Salafy? | Sheikh Salim Barahiyan
7:56
IHSAAN TV
Рет қаралды 32 М.
𝑹𝑨𝑫𝑫𝑰 𝑲𝑾𝑨 𝑲𝑯𝑼𝑹𝑨𝑭𝑰.
7:38
𝐒𝐚𝐥𝐚𝐟𝐢 𝐓𝐳
Рет қаралды 7 М.
RADDI KWA QAASIM MAFUTA NA GENGE LAKE
14:23
FAWAAID za KIELIMU
Рет қаралды 6 М.
ADHABU YA ZINAA (1) | Sheikh Qassim mafuta حفظه الله تعالى
8:41
Abuu Azhari Online Tv
Рет қаралды 12 М.
MISIMAMO YA MASHEIKH  DHIDI YA USHIA KUNAKO MANENO YA SHEIKH MZIWANDA
28:05
RADDI KWA MAZINGE, DR SULLE NA KISHKI
9:49
منهج الأنبياء
Рет қаралды 17 М.
Sheikh Nurdin Kishki Atowa fursa Kwa Masalafi wa Burundi
7:37
Lehanga 🤣 #comedy #funny
00:31
Micky Makeover
Рет қаралды 30 МЛН