No video

KUKAMATWA KWA WAFANYABIASHA KARIAKOO JESHI LA POLISI LAONYWA, "ACHENI KUTUMIA UBABE"

  Рет қаралды 8,651

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZbin: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 41
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 2 ай бұрын
Nchi haina Uhuru wa wananchi katika nchi yao, sheria za KIDIKTETA zinatumika.
@anaelnanyaro3634
@anaelnanyaro3634 2 ай бұрын
Huyu mtu ni tatizo hafai kuwakilisha wafanyabiashara anatumika
@bertinkimati2674
@bertinkimati2674 2 ай бұрын
Mnatakiwa pia kuwaelimisha watanzania haki yao ya kutokutoa maelezo yoyote wakiwa chini ulinzi wa polisi kama hawana wakili au shahidi atakayeshuhudia mahojiano hayo ili kuzuia polisi kuwabambikia maneno ya uongo
@user-bf9xj3nf1o
@user-bf9xj3nf1o 2 ай бұрын
Ccm na samia wahuni kabisa acheni utoto guys it will cost u one day
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 2 ай бұрын
Changamoto kubwa sana
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 2 ай бұрын
Serikali ya KiDIKTETA mtu ananunua kitu dukani akitoka nje anakamatwa.
@Byondorujulika17
@Byondorujulika17 2 ай бұрын
Safi sana kwa uamuzi muzuri wa Wafanya Biashara, from Cedar Rapids Iowa state USA.
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 2 ай бұрын
Safi sana for what?Na huko Iowa yamefungwa? Ujinga mtupu
@januarysungura8119
@januarysungura8119 2 ай бұрын
@@majaliwabwitonde6900 kafungue la kwako ili uwape ulaji mafisadi
@chrissamani7921
@chrissamani7921 2 ай бұрын
Jichanganyeni tu mkiamini ubabe unasaidia kwa kila kitu,iko siku watu watahamia popote mulipo,watu wanachoka jamani, na vizazi vinabarika
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 2 ай бұрын
Masawe uache jaja ukaja kua kama Mzee lukuvi umeona Kenya wa Tanzania walelo siyo wale wa kina nape janwary wa na dhalau umoja ni nguvu police Hawa wajiandae
@ndiditheodore8272
@ndiditheodore8272 2 ай бұрын
Manji alihama nchi, ndiyo, Chalamila unapata nini?
@geraldmihimbo1542
@geraldmihimbo1542 2 ай бұрын
Kutumia nguvu hakuwezi kuleta suluhisho la kudumu.unamkamata anaetetea haki ili iweje?
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 2 ай бұрын
Kufunga na kufungua duka ni uamuzi wa mwenyeduka vinginevyo ni ajabu na udikteta
@chrissamani7921
@chrissamani7921 2 ай бұрын
Na wewe masawe,kwa nini usijulishe wafanya biashara mapema kuhusu kukamatwa kwake? Ili wakatwe wote pamoja na nyie, ikuwezekana nchi nzima wenye maduka , hapo hamkuwa vizuri bwana masawe!
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 2 ай бұрын
Polisi hawafanyi kitu bila maagizo na maelekezo. Kumbukeni kauli ya alichokisema mkuu wa mkoa alipokutana na wafanya biashara kuhusu yaliyomkuta mfanyabiashara Manji mpaka akahama nchini!
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 2 ай бұрын
Hapa mumefanya jambo jema maana mitaji ni yenu musinyanyaswe na kundi la watu wachache
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 2 ай бұрын
Ok hiyo mjinga ni usama wataifa amemuza lweimamo na amekuja hakusema huyo tufe nae kabisa Wana biashara Gani elasto akifa amani itapatikana kumbe hao wengine na mwenyekiti ni sawa na nape
@SostenesMabala-tt8pt
@SostenesMabala-tt8pt 2 ай бұрын
Kwani laisi hajui
@abubacarsobo8981
@abubacarsobo8981 2 ай бұрын
Ndio upumbavu wao huo
@EliaoniTerry
@EliaoniTerry 2 ай бұрын
Massawe, wewe na wenzako mlipaswa kulitaka jeshi la polisi kumwachia Erasto Rweimamu, ndipo mkutane na serikali, kitendo cha wewe na wenzio kukutana na serikali ili hali mwenzenu anashikiliwa ni USALITI. sidhani hata Leo kama wafanya biashara watakusikiliza, nikushauri tu kwamba kabla ya kupanga kukutana na wafanya biashara hakikisha Erasto na wenzake umeshikiza polisi wawaachie mbele yako ndipo muende kuongea na wenzenu.
@omaryjudasymwanga7172
@omaryjudasymwanga7172 2 ай бұрын
Kwani police ndio waajiri wa huyo jamaa kwamba hilo duka lina ubia napolice mambo ya kihuni hapo watampakesi maana hawashindwi
@omaryjudasymwanga7172
@omaryjudasymwanga7172 2 ай бұрын
Watu wameitwa na waziri police mnahusikaje
@omaryjudasymwanga7172
@omaryjudasymwanga7172 2 ай бұрын
Biashara nizao na maamuzi niyao kama serikali haioni faida yao wanakusanya mahali ambapo hawakutawanya yani hapa hawana tofauti na mtu analazimisha kukamua mnyama ambaye hana ndama mambo ya hovyo sana police wa Tanzania nao kunasaa wamekua kero wanakurupuka kipitiliza duka nilake hakwenda kuzuia wengine kufungua ila hali inajionyesha wanakamuliwa na serikali kupitiliza wangefanyaje wakubali kuumia ili waitwe waadilifu maana ya biashara ni uone faida sasa kama hakuna kitu hiyo ni biashara au ni sawa na kibarua usiyejua malipo yako yanatoka kwa nani ilihali unafanya kazi tena ya kufa na kupona jioni mauzo anakuja mtu na V8 anakupa control number unaweka hela huko wee uazime mpaka nauli yakwenda kwako utakua na ubobgo wa binadamu au ubongo wa ngurue acheni uonevu inazidi mtawafanya wajinga waamke
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 2 ай бұрын
Sasa nguvu Sasa sio sikivu tena
@SostenesMabala-tt8pt
@SostenesMabala-tt8pt 2 ай бұрын
Mnatuona hujitambui kilasiku?
@ngambikomsu64
@ngambikomsu64 2 ай бұрын
Inawezekana huyu Massawe ni snitch. Atakuwa kawachoma wenzake. Ukomwangalia haaminiki
@thomasmichaellukumai-ny7se
@thomasmichaellukumai-ny7se 2 ай бұрын
Kwani ataki mama aonge na wafanyabiashara
@thomasmichaellukumai-ny7se
@thomasmichaellukumai-ny7se 2 ай бұрын
We'we ni msaliti wa wenzako
@user-pk9yr4go8p
@user-pk9yr4go8p 2 ай бұрын
Hiyondo selayatazania mtuakisema ukwele kata
@donaldmaziku7915
@donaldmaziku7915 2 ай бұрын
kwa nini walikubsli kwenda wakiwa hawajakamilika?
@maryhando227
@maryhando227 2 ай бұрын
Serikali mwachieni , mnajitafutia matatizo makubwa zaidi.
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf 2 ай бұрын
Mungu ibariki tanzania
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw 2 ай бұрын
Mi nilitaka nishangae media hii ya chadema iache kuzungumzia issue hii ya kariakoo ningeona ajabu
@mgm412
@mgm412 2 ай бұрын
Chadema inahusikaje hapo ww boyaa
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 2 ай бұрын
Kwani hii habari imeripotiwa na chanel hii tu
@WamburaMaseke
@WamburaMaseke 2 ай бұрын
We matako nini unataka kutuunganisha na Mambo ya kisiasa ? We mbwa kabisa
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 2 ай бұрын
Chadema ni ndugu zako, mama, baba, mtoto. Shangazi. Katiba yetu inatoa mwanya wa kuwepo kwa vyama vingi.
@solomonjackson3827
@solomonjackson3827 2 ай бұрын
Sio hoja kaa pembeni
Wafanyabiasha Kariakoo wagoma kwa kufunga maduka
3:59
VOA Swahili
Рет қаралды 1 М.
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 20 МЛН
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 13 МЛН
А ВЫ УМЕЕТЕ ПЛАВАТЬ?? #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 2,3 МЛН
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 20 МЛН