NILIANZA KUFUNDISHA CHINI YA MTI HUU MIAKA YA SABINI MPAKA LEO SILIPWI, SHEKH RAMADHANI SUNGU

  Рет қаралды 80,193

Saimu gwao Online tv

Saimu gwao Online tv

Күн бұрын

Пікірлер: 107
@busnaoman9981
@busnaoman9981 3 жыл бұрын
Inalilah wainailayh rajighon shekh wetu Allah akulaze pema pepon inshallah
@miriumloyy8968
@miriumloyy8968 3 жыл бұрын
Sisi sote kwake tutarejea ,tumuombee tuu innallillah wainnaillayh rajioun,kondoa Leo nimajonzi tu
@maliamhotimaliamhoti5302
@maliamhotimaliamhoti5302 4 жыл бұрын
Allah awahifadh masheikh wetu. Allah awalipe khery.
@kinotasontravel3883
@kinotasontravel3883 3 жыл бұрын
Amini
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 3 жыл бұрын
Innalillahi Wainnailaihi Raajiuun Sheikh Allah akujaalie kilalenyekheri huko uliko Allahumma Amiin🙏
@mwanakombopongwe8244
@mwanakombopongwe8244 4 жыл бұрын
MASHALLAH MASHALLAH MASHALLAH JAZAKALLAH KHEIR INSHAALLAH
@khadijahussain6092
@khadijahussain6092 3 жыл бұрын
Allah akupe makaz mema sheikh wetu 😭
@munaisa5850
@munaisa5850 2 жыл бұрын
Inalilahi wainailehirjiun Mungu amuweke peponi
@ummyzee6247
@ummyzee6247 4 жыл бұрын
Allah atupe umoja ummati muhammad
@kinesakn4723
@kinesakn4723 3 жыл бұрын
Mambo yameshikiliwa na Allah sio badawiy
@sofinajuma9284
@sofinajuma9284 3 жыл бұрын
mashallah mungu awaweke mzidi kutuongoza. hii tanga jamn
@YasinRamadhani-ek8df
@YasinRamadhani-ek8df 2 ай бұрын
Mashaalah
@abuusuleym3676
@abuusuleym3676 4 жыл бұрын
ibada iyooo kwa masufi
@AbdullahAbdullah-fz9xg
@AbdullahAbdullah-fz9xg 4 жыл бұрын
Hapo ni wapi!??
@aisharamadhani2156
@aisharamadhani2156 4 жыл бұрын
Allaah awaongoze ktk njia ya sawa
@maatumkadhi1760
@maatumkadhi1760 4 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@jamalathman6219
@jamalathman6219 3 жыл бұрын
Inalilahi waina ileihi rajiun Allah akurehemu sheikh wetu
@wardakaanynyi6948
@wardakaanynyi6948 3 жыл бұрын
Mashaallah shekhe wetu
@biggestnasritv2601
@biggestnasritv2601 4 жыл бұрын
BIGGEST BOSS NASRI
@ibrahimdabo7163
@ibrahimdabo7163 3 жыл бұрын
baraka zote zinatoka kwa mwenyezi mungu siyo mtii shehe umebuma duuuu
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 2 жыл бұрын
haujui kasome dini
@teddykanondo5753
@teddykanondo5753 4 жыл бұрын
Tatizo la sisi Watanzania tunakua na tabia ya kubishana bila kutaja vigezo vilivyofanya Tanzania ifikie "UCHUMI WA KATI" Mimi binafsi nimesomea mambo ya uchumi nijiuliza hawa watu kila kukicha Watanzania walio wengi wanawaita Wazungu "MABEBERU". Watu walioko kwenye Bank ya Dunia walio wengi ni Wazungu. Inakuwaje wanasema tumefikia "UCHUMI WA KATI" wakati Dola 1 ya Marekani ni shillingi za Tanzania 2310/=, Paundi 1 ya Uingereza ni shilingi za Tanzania 2290/=, Euro 1 ni shilingi za Tanzania 2740/=, Dinari 1 ya Kuwaiti ni shilingi za Tanzania 7600/=, Dila 1 ya Marekani ni sawa na Kenyan shillings 100/=, sasa niapeni vigezo vilivyotumika kuiweka Tanzania kwenye uchumi wa Kati wakati Watanzania walio wengi kipato chao ni chini ya dola 1 ya Marekani kwa siku. Wazungu ni watu wenye mbinu nyingi sana katika kuweka hadharani maendeleo ya nchi. Wanajua kabisa wakiambia Serekali ya Tanzania "UCHUMI WENU UMEKUWA" wasomi na wana Siasa watapinga tena kwa hoja. Majukwaa yote ya Siasa za Tanzania wapinzani wanapinga kwa nguvu zote na sababu kubwa ni kwamba hali za Watanzania ni mbaya sana. Miradi mikubwa ya kuzalisha kipato imekufa vikiwemo viwanda, Uwekezaji wa ndani na nje, Mashirika ya Umma yamekufa, Miradi ya vijiji imefilisika, Wafanya biashara wakubwa wamefilisika na wengine wamekimbia nchi. Magufuli amefanya kazi kubwa kwa upeo wa fikra zake lakini akasahau ajira za Watanzania na ndizo zinamtesa sasa hivi. Wapinzani wamevuna wanachama wengi sana kutoka ndani ya CCM, wale unaoona wanarudi CCM toka upinzani ni watu waoga wanaosikiliza hotuba za mheshimiwa Magufuli ambazo mara nyingi amekuwa akijisahau kuwa aliwahi kusema tena hadharani kuwa "MAENDELEO HAYANA CHAMA". Akarudi akajisahau kule Musoma akasema "MKICHAGUA MADIWANI NA WABUNGE WA UPINZANI SITAPELEKA MAENDELEO MAENEO HAYO". Kiongozi wa nchi ukisha kuwa na mtoto wa Tumboni na Mgongoni umeigawa nchi na ndio maana sasa hivi kuna watu wa Magufuli, Tundu Lissu, Zitto Kabwe, na wengineo. Angalia mikutano ya Wana Siasa ilivyoigawa nchi. Mheshimiwa Magufuli anaenda na Wana Muziki kwenye mikutano yake sasa huwezi jua watu wamefuata Sera zake au Muziki. Lissu akiwa kwenye Mikutano yake amejaza watu huwezi jua wanamfuata kwa Sera zake au kwa mshangao kuwa Binadamu atakuaje hai huku amepigwa risasi 16 wakati Tembo anapigwa risasi moja tu na kufa. Watanzania wanajiuliza nchi yenye utwala wa kisheria binadamu anapoteaje, Waandishi wa habari wanapoteaje, Raia wa kawaida wenye mapenzi na vyama vya upinzani wanapoteaje, Wafanya Biashara wenye mapenzi na upinzani wanafilisiwa. Madakitari wametishwa wasitoe ripoti za COVID19, Tanzania na Kenya nani wanajua kwenda Kanisani na Misikitini. Katika watu wenye mpaka mrefu sana ni Kenya na Tanzania. Kutoka Lake Victoria mpaka Indian Ocean. Wafanyakazi hawaongezewi mishahara, Wafanyakazi wametumbuliwa sana na kufukuzwa bila kulipwa stahiki zao. Rais wa nchi anaweka ndugu zake HAZINA ya umma ili akichukua fedha isijulikane. Rais wa nchi ni mbaguzi, Mkabila, Mnafiki, Mwongo, Jeuri, Katili, uliona wapi Rais anatoa amri watu Wachome vifaranga. Wasimamizi wa uchaguzi Mwaka huu watashuhudia makubwa Tanzania. Kama Tume haitatenda haki na kusimamia uchaguzi kwa umakini mkubwa sana Wataingiza Tanzania kwenye uvunjifu wa amani na hili litasababisha baadhi ya viongozi au Tume yenyewe kufikishwa Mhakama ya Kimataifa ICJ. "SAFARI HII CCM WAJIPIME"
@mohamedkikale7241
@mohamedkikale7241 4 жыл бұрын
Yaaan pamoja nakusoma uchumi bado huwezi kufafanua maana haris ya uchumi, katika taifa kichwa kimejaa mitazamo yakisiasa tu! Kwa taarifa yako chapa kazi hiyo elimu uliyosoma update kuisaidia jamii yako, ni ushauri tu!
@faidhakadangu7876
@faidhakadangu7876 4 жыл бұрын
acha siasa ndugu iitumie elimu yako kuisaidia jamii kila mtu atakwenda na amali zake.
@zuhurahussein5132
@zuhurahussein5132 4 жыл бұрын
Mshamba kweli wew kwanza uku umefuata nin?? Alaf unakuja kutuletea siasa uku
@suleimanabdalla4594
@suleimanabdalla4594 4 жыл бұрын
@@zuhurahussein5132 ushirikina huu upowazi mkiambiwa mnabisha
@suleimanabdalla4594
@suleimanabdalla4594 4 жыл бұрын
@@faidhakadangu7876 kweli hujakua mchanungu Mana unatabaruku kwa mjiti Allah akuongoze
@mwanahamis5487
@mwanahamis5487 3 жыл бұрын
Innalilah wainna illah rajiuon Safari yake iwe ya Kheir chuma kimeondoka Polee kwa wanafunzi wotee wa sungu walipo
@maalimndago4663
@maalimndago4663 3 жыл бұрын
Sheikh sungu ni rajulun hai na mait mola akueke pema
@shifaazawadi4438
@shifaazawadi4438 4 жыл бұрын
Mashallah
@kilofakilofatv3367
@kilofakilofatv3367 4 жыл бұрын
unalipwa sheikh si bure
@ankaldally2734
@ankaldally2734 3 жыл бұрын
Shirk kubwa mzee anaongelea. Zindukeni ndg zangu elimu ni nuru na ujinga ni kiza. Mzee aache ushirikina
@adenmikoba7506
@adenmikoba7506 3 жыл бұрын
ushirikina upi
@jamillahramadhani147
@jamillahramadhani147 4 жыл бұрын
maashaallah
@mwanaimaabdallah7825
@mwanaimaabdallah7825 4 жыл бұрын
SubhnaAllah
@hajimahingika6921
@hajimahingika6921 4 жыл бұрын
Umejiwekea kwa ajili ya maisha ya kesho Akhera Sheikh.
@hassancharo1496
@hassancharo1496 4 жыл бұрын
MASHA ALLAH HIZI NDIYO DALILI ZA MWENYEZI MUNGU ANAPO MPENDA MJA WAKE MWENYEZI MUNGU ANAPO MPENDA MJA WAKE HUWAMBIYA MALAIKA MM NA MPENDA MJAWANGU FULAN KWAIVYO NA NYINYI MPENDENI NA MALAIKA NAO HUZUNGUKA KWA WANA DAMU NAO WAMPENDE MTU YULE
@abuunutsamuonlinetv2703
@abuunutsamuonlinetv2703 3 жыл бұрын
Kwahiyo mnaomba dua kwa baraka za mti sio za alie umba mti huu ni mtihani sana
@ngushy8798
@ngushy8798 2 жыл бұрын
Huy mzee shehe mpungaaa
@mbarakamsangawina8123
@mbarakamsangawina8123 4 жыл бұрын
subha llah
@hassmanmchura4284
@hassmanmchura4284 3 жыл бұрын
Kwa we uliyejaaliwa kuwa ktk dn hi yahaq sema ALHANDULILAH mana n raha tele haswa ukiwaunaijuwa dini vzur.
@abuuaisha3582
@abuuaisha3582 Жыл бұрын
اجعل لنا ذات أنواط كما لهم ذات أنواط.....الله المستعان
@leylahbillah4876
@leylahbillah4876 3 жыл бұрын
Maashallah maashallah maashallah
@khairotv2802
@khairotv2802 3 жыл бұрын
KUMBE ALIKUWA anawaaga kabisa huyu MZEE Allah amrehemuu SHEIKH sungu
@habibuhaji-j8t
@habibuhaji-j8t Ай бұрын
ya subhana llah watu wanaabudia miti sasa ee
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 2 жыл бұрын
Sauti za bomba za wanawake zimeingiliana umenifanya akili yangu iudhike sijaelewa kitu
@selemanwaziri7653
@selemanwaziri7653 3 жыл бұрын
Inshaalah
@leylahbillah4876
@leylahbillah4876 3 жыл бұрын
Maskin innalillah wainna ilayhi rajioun daah imeniumaa sana aisee😭😭😭😭😭
@kinotasontravel3883
@kinotasontravel3883 3 жыл бұрын
Allah Akbar
@mrsultanzimbwe6746
@mrsultanzimbwe6746 Жыл бұрын
Matatizo ya Aqiida n shida kubwa sana
@abuusuleym3676
@abuusuleym3676 4 жыл бұрын
we mzee umri uwo bado unafanya shirki
@abubakariabubakarimafitq783
@abubakariabubakarimafitq783 4 жыл бұрын
Hasan libasri allah amurehem anasema. ibilisi anapenda sana bidaa kama hizi kuliko maaswi. Kuliko pombe,wizi,zinaa,
@hassancharo1496
@hassancharo1496 3 жыл бұрын
Abubakar punguza kejeli dhidi ya waisilam we nzako hawa wana swali wana funga ramadhani wana hijji na wanaisoma korani ujione wewe msafi
@fatualetoya5066
@fatualetoya5066 3 жыл бұрын
🇹🇿💖🧡
@mresamresamresa5622
@mresamresamresa5622 3 жыл бұрын
Inalillah wainnalillahi rajighuna
@sakinat2527
@sakinat2527 3 жыл бұрын
Allah amraham na amueke pema penye wema, Amiin
@mwachidzopoposalimpopo8890
@mwachidzopoposalimpopo8890 3 жыл бұрын
Inshallah mungu yuko n heri zk
@mwanaimachayoa8217
@mwanaimachayoa8217 2 жыл бұрын
Maneno ya shirki vipi utabaruku kwenye mti
@sharifgojo878
@sharifgojo878 4 жыл бұрын
haaaaa yani unatabaruk kwa mti hiyo shirki iliyo wazi kabisa na shekh samir upo dah!!!!!!?
@bongojoonlinetv977
@bongojoonlinetv977 4 жыл бұрын
Kwan nn maana ya kutabaruku?
@nyatya199
@nyatya199 4 жыл бұрын
Mtihan saana
@solemba595
@solemba595 3 жыл бұрын
Nafikiri aliteleza kidogo, Mti hauwezi kuwa na baraka, Mwenyewezi Mungu ndio anatoabaraka
@signtv9848
@signtv9848 4 жыл бұрын
Kwa Baraka za mti huu Subhana Lah
@ukwasiukakasi4363
@ukwasiukakasi4363 4 жыл бұрын
Maalim hakuna shirki hapo maana ameelezea kwa undani maendeleo ya elimu yaliyopatikana toka mwanzo alipoanza kufundisha chini ya mti huu miaka ya sabini Allah ameijaalia elmu chini ya kivuli cha mti huu ikiwa ni shirki kusema baraka za mti huu vipi tukisema kwa baraka za mtume muhammad s.a.w au kwa baraka za waja wema waliotangulia?
@nyatya199
@nyatya199 4 жыл бұрын
Haifai kusema kwa baraka ya fulani hata kama ni nabii balii hili halina dalili nalasawa nikusema kwa barka za matendo mema uliyoyafanya hili linadalili
@ukwasiukakasi4363
@ukwasiukakasi4363 4 жыл бұрын
@@nyatya199 nipe elmu zaid wazazi wanatoa baraka kwa watoto wao imekaaje hii
@msafiriduwiya7765
@msafiriduwiya7765 4 жыл бұрын
@@ukwasiukakasi4363 baraka sio za wazazi wazazi Yao dua inayokubaliwa haraka baraka hutoa MOLA WA VIUMBE
@abuumaryam1628
@abuumaryam1628 3 жыл бұрын
Watu wa bidaaa wana shida sana
@abubakariabubakarimafitq783
@abubakariabubakarimafitq783 4 жыл бұрын
Tatizo masange kunaushirikina sana tena mkubwa nahiyo nishirki allah atuongoze
@muhidinali8180
@muhidinali8180 3 жыл бұрын
Hatarisana kutabaruku kupitia mti
@malakiyazidu0080
@malakiyazidu0080 3 жыл бұрын
mashaallah
@abuusuleym3676
@abuusuleym3676 4 жыл бұрын
aliekuumba hakutoshi fungua aya 18 suratu yunus utapata jibu lako
@hawaheri5833
@hawaheri5833 3 жыл бұрын
Laiti ingekuwa maiti inarudi ingerudi wa kilio changu lakun hakikusaidia
@osamaalharthy4150
@osamaalharthy4150 3 жыл бұрын
Innalilah wainna lilayhi rajiuun
@asafsulayman9375
@asafsulayman9375 3 жыл бұрын
Itaku Lwah We mzushi Mushrik, tubu kabla ya kuanga Dunia, Rudi katika Kitabu na Sunna
@masala8099
@masala8099 3 жыл бұрын
Akili huna
@abdallahhalphani7439
@abdallahhalphani7439 3 жыл бұрын
Anasema alikua hana chochote.. lakini kwa Baraka za mti huu mambo yanakwenda vizur.... ndugu zangu hii si ni shirki ya waz kabisaa
@adenmikoba7506
@adenmikoba7506 3 жыл бұрын
shirk ipi
@Quranonlycenter
@Quranonlycenter 3 жыл бұрын
@@ahmadabdulrahman7675 baba eeeh wapinga tuu wakutukuzwa ni Allah na ndie mwenye kufanya KILA jambo ..sio kuwaeka masharifu juu ni binadamu kama sisi na wako na mapungufu kama sisi.Tufuate aliotuamrisha Mungu na Mtume wake..
@Quranonlycenter
@Quranonlycenter 3 жыл бұрын
Hebu tuelimishe na sisi kuna khalifa gani akafanya zefe na kusoma maulid????mambo mengine ni kutumia akili zetu sio kusukumwa kama gunia... Inshaallah Mungu atuongoze njia ilionyooka..Ameeeen.
@muhidinali8180
@muhidinali8180 3 жыл бұрын
Eti tunatabarukunamtihuu hatarikubwasana
@mohamedchorah8514
@mohamedchorah8514 4 жыл бұрын
.
@abuusuleym3676
@abuusuleym3676 4 жыл бұрын
kwnza huyo badawiy ni nan ww
@mudhihirumikidadi6066
@mudhihirumikidadi6066 3 жыл бұрын
Usiombe kwabaraka zamti huo niushirikina
@minakhamiskhamisi6193
@minakhamiskhamisi6193 3 жыл бұрын
Yn ndgu yg weeeewe ach nikupe pole Maan hujui ukiongeacho kwa acha mzeee wetu safri yake iwe salm
@sajumahege4903
@sajumahege4903 2 жыл бұрын
@@minakhamiskhamisi6193 hakuna usalama hapo kwenye ushirikina ni khatari sana, eti badawy ananufaisha, subhaanallah. Allah ametakasika na hayo mnayomshirikisha nayo
@abuusuleym3676
@abuusuleym3676 4 жыл бұрын
unataka baraka kwa mti
@ramangadu6451
@ramangadu6451 3 жыл бұрын
Kasome.
@ramangadu6451
@ramangadu6451 3 жыл бұрын
Sio Kunufaika Tu. Unaweza Hata Kudhurika. Ukumbuke Nabii Adam Alahi Salamu. Alitolewa Peponi Kwa Kula Tunda
@sajumahege4903
@sajumahege4903 2 жыл бұрын
@@ramangadu6451 ndio aliuomba barka?
@zahorrashid5459
@zahorrashid5459 4 жыл бұрын
Huyu shekh mbona simuelewii.mti mti mambogani hy.
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 3 жыл бұрын
ukitumia akili yako uwez kumuelewa lkn ukitumia hekma na busara unaweza kumwelewa
@sajumahege4903
@sajumahege4903 2 жыл бұрын
@@bennymochiwa4800 Allah akikupa hekima jua amekupa kheir nyingi, moja wapo ni kuwa na ikhlaas kwenye matendo, sasa ushirikina na bidaa ni kheir na hikma hizo?
@ismailhassan5662
@ismailhassan5662 4 жыл бұрын
Aisee sijui hawa niwaisilam wa ainagan bidaah imewajaa.
@nyatya199
@nyatya199 4 жыл бұрын
Hawatoacha watu sunna ispokuwa wataifuata bidaa
@saidhassanahmed4
@saidhassanahmed4 4 жыл бұрын
nenda ukasome kwanza afu ndio useme bidaa watu awakurupuki kila kitu wanafanya na sababu
@ismailhassan5662
@ismailhassan5662 4 жыл бұрын
@@saidhassanahmed4 njoo markaz pongwe tanga ujionee uislam wa sawasawa usiekua nauzushi tunafanya yale ya kitabu nasuna sio kumfata shee kamanyie shew akisema leo tupige madufu mnaenda akisema twenden makaburin mnaenda sijui zafa mara muridu mh haya ndo bidaa hayakuepo wakat wa mtume s.a.w.
@abubakariabubakarimafitq783
@abubakariabubakarimafitq783 4 жыл бұрын
Allah allah awaongoze hawa watu wabidaa.
@nyatya199
@nyatya199 4 жыл бұрын
@@saidhassanahmed4 hakuna ushahidi wa hili kama unawo tuma namba yako nikupigie unipatie ushahidi huo, haya mambo niyakisufisufi tu hamna lolote zaidi yakufuata matashi ya nafsi
@mwanakombopongwe8244
@mwanakombopongwe8244 4 жыл бұрын
MASHALLAH MASHALLAH MASHALLAH JAZAKALLAH KHEIR INSHAALLAH
@sharifaabdullah6825
@sharifaabdullah6825 4 жыл бұрын
Masha allah
@mwanaimaabdallah7825
@mwanaimaabdallah7825 4 жыл бұрын
SubhnaAllah
@musitemusite4316
@musitemusite4316 3 жыл бұрын
Maashaallah
SHEKH RAMADHANI SUNGU ATOA USHAURI HUU  KWA BAKWATA....
29:49
Saimu gwao Online tv
Рет қаралды 40 М.
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 24 МЛН
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 34 МЛН
Just Give me my Money!
00:18
GL Show Russian
Рет қаралды 1 МЛН
sharifu huseni badawiy asmiuni
10:32
MRIJO CHINI TV
Рет қаралды 9 М.
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 24 МЛН