Mashaa allah mambo ya kulazimisha watu wafuate mahujjaj hunu ni upotofu wa mawahabi tu.Alhamdulillah sheikh wetu umewapa hoja za maana sasa na sisi twataka hoja za maana za mawahabi watupe hata kama ni hadith swahih ama hata hadith dhwaifu watupe ya kwamba mtume ansema kwamba ni lazima sisi tufuate mahujjaj.
@zamizozamy55285 жыл бұрын
jazaqallahul kheyr. umenena vyema sheikh.
@allymtito81175 ай бұрын
Muulize shekhe wako je? Duniani kuna tarembe mbili
@al-aqsamediaonline14892 жыл бұрын
Nimemfuatilia mara nyingi huyo Sheikh wetu kipenzi. Nilichogundua anapenda sana kuamsha mada zenye kuleta malumbano; na hilo huibuka kila mwaka Hii ni mbaya sana. Tunahitaji kuwa umma mmoja siyo vipande vipande. Allah amwongoze.
@abdillahkassim54005 жыл бұрын
Nami acha nichangie kwa nikielewacho alonijaalia Allah (s.w) Kwanza; Nadhani tukizisoma hadithi vizuri zenye kuonesha Iddy mbili za waislam (Iddil ftri n Hajj) tunaona kuwa ;Allah (s.w) ameziambatanisha sikukuu hizi. Sikukuu ya Iddil fitri imeambatanishwa pale tu baada ya swaumu ambapo waislam hutakiwa wale na wanywe na wasifanye israfu, hivyo iddy hii itamlazimu mt itakapommalizikia Mfunguo wa Ramadhani tu. Ama iddil Hajj hii haikufungamana na kisimamo cha mahujaji ila imefungamana baada ya siku ya kumi ya dhul-hijja, hilo tuelewe kwanza, hivyo basi iddy hii itamalzimu mtu pale tu atakapomaliza masiku kumi ya dhul-hijja ambapo ndio itakuna iddy hio. Ama kwa suala la Siku ya Arafa, pana haja yakuonwa kuwa hata kwa wale wanaofuata mwezi wa muandamo wa nchi yao ambapo utakuwa tafauti na watu wakisimama katika kiwanja kule Makka basi hata kama wao ni mwezi nane kwa tisa basi pana ulazima wakuifunga watu wakiwa wamesimama kule ili sie ambao hatunaenda kuwa pamoja nao kwa kufunga. Hivyo kama ww kwako ni mwezi nane au nchi fulani ipo mwezi nane na watu wamesimama basi wanaweza kufunga hio Arafa wakiwa mahujaji wamesimama halafu kukamilisha masiku hadi yatimie kumi ili wapate kula iddy kwasababu iddil Hajj hainafungamana na kisimamo cha mahujaji ila imefungamana/imeekwa baada ya siku ya kumi ya dhul-Hijja. Hivyo basi kama pana nchi ipo mbele au nyuma kwa siku wao ndo watatafautiana kula iddi na Mahujaji....ila kwa sisi ambao tafauti yetu ni lisaali moja tu ulazima huo haupo. Pili; Japo la ikhtilafu ni la asilu, waliikhtilafiana maswahaba, Malaika na wala hamana mmoja wao alomwambia mwenzake kama hajui, maimamu wanne (Shafii, Malik n.k) wameikhtilafiana na inafika wakati Imam Shafii anaswal sehem ambapo watu hawaleti kunuti katika swala ya Alfajiri n yeye huwa hasomi, na watu walipomuuliza akawambia ni kuwaheshimu hawa wenzetu wa hapa kwasababu wao utaratibu wao hawasomi, hvyo hakuona haja kwamba asome kunuti halafu asimame mbele aseme hawa hawajui, wanapotosha watu, Laaaaaa!! Ikhtilaafu ni jambo lisiloepukika ila inaangaliwa kwa mambo ambayo wameekwa wazi moja kwa moja na sio ambayo yashatolewa hukmu zake. Hivyo kama wapo watu wanaoona kwamba Arafa ni mwezi 9 na wanasohoja zao na sio kububusa basi tusiwaambie kama ni waovu na wapotoshaji kwasababu siku ya kiama kila mmoja ataulizwa kwa alolisimamia so tusiende kububusa. Na pia kama wapo watu wanaoona kwamba Arafa ni kisimamo pamoja na mahujaji kutokana na sulubu wanayoipata pale hvyo fadhila zake tusizikose basi pia tusiwaite waongo au wapotoshaji kwasabbu wao pia wataulizw. Mwisho tuelewe kuwa hamana ajwae hakika ila yeye Allah (s.w) hivyo kwenye ikhtilafu watu waheshimu mawazo ya wengine kwasababu ni jambo la asili haliepukiki. Mwenyezi- Mungu atujaalie tuwe na moyo wa kusoama dini yake/yetu hiina tuifuate njia iliyonyooka. Na pale nilipokosea Allah anisamehe kwani sikuyaandika haya isipokuwa kwa uwezo wake yeye
@rahmamsabah29615 жыл бұрын
Ukosahihi ndugu.
@harunamkakaro1135 жыл бұрын
Inshaallah Allah akujaalie amiin.
@sabraham53085 жыл бұрын
Uko sawa kama si sawa, kwa hili,ningeomba hadith ya qunut na imam shaafi,reference kitabu,source.jazakallahu lheir
@abdillahkassim54005 жыл бұрын
@@sabraham5308 Shukran ila sijaelewa swali lako lakini?
@sabraham53085 жыл бұрын
@@abdillahkassim5400 jazzakallahu lheir,kama ipo hiyo hadithi ya imamu shafi inayohusiana na mambo ya qunut ,nilitaka reference,kwani katika vitabu vyangu,katika asittatu,waandishi sita,na vingine vingi nilivyokuwa navyo,katika usahihi wake,sijaona kwa qunuti kutumiwa katika sala ya fajr.
@AL-WAARITHUUNTZtv Жыл бұрын
SHEIKH Abuu Eid uko sahihi bila shaka mimi Nakuelewa sana
@husseindilunga85 жыл бұрын
Shekh nakuelewaga vizuri sana Inshaallh Mungu akubariki
@AbdulAbdul-pr9qe5 жыл бұрын
sheikh amefafanua vizuri kabisa, sasa kama hujamuelewa basi rudi darasani au acha pombe
@electronicstechnician9395 жыл бұрын
Hebu nisidie ukubwa waeneo ambalo tunatakowa twende sawa maana weza onekana kigoma tanga hatujaona au wezaonakana tanga mjin pangan na muheza hawajaon so unatushaur nn na ss?
@ibrahimkambi92885 жыл бұрын
Hiyo point ya mwisho nimeipenda sana Sheikh
@abdiothman346 Жыл бұрын
Shk uko Sahihi tumekuelewa,na Dalili umezitoa sasa waje na Dalili zao
@mohammedomar85885 жыл бұрын
Naam sheikh marhabaa huo ndio usahihibwa saumu ya arafa na nikweli niwapotoshaji shukran sheikh allah akupe umri mrefu ili uendelee kuwaambia kweli hao wapotoshaji
@abdulnaseermrisho43425 жыл бұрын
Nimekuelewa saaana Shekh,wanaendelea kubisha ACHANA nao maana wana tatizo sio bure,Maana sio kwa ufafanuzi huu
@shifaaplusherbalmedicine2 жыл бұрын
Aachene nao nani wakati huyu mohd idi anaoenda kiki sisi twataka dalili sio blas blas iyo unayoongea abuu idi niujinga
@MussaKilongola-hm8xl Жыл бұрын
Shekhe mungu kaumba maghalib2 na mashaliki2 hii ni jografi ya dunia ww unauzuilia uma wa waiclam kufanya ibada ya hija kwa ajili ya mungu unatetea maslahi haiweze kani dunia moja kua na karenda 2
@zakariajuma59775 жыл бұрын
mashallah huyu sheikh kawaida yake habahatishi hoja huwa anakuwanga na hoja nzito sana mungu ambariki
@jeykaluz16402 жыл бұрын
True huyu shekh ni khatar nondo sana
@selemankishema5780 Жыл бұрын
Katika masheikh wapumbavu duniani,moja hili jamaa
@hassanyusuph94465 ай бұрын
Toa hoja y kumtia upumbavun shekhe!!!
@amejuma81945 жыл бұрын
Shekh Tunakuelewa ww.. Miongon mwa mpotoshaji ni ww no..1
@saidiharuna31295 жыл бұрын
Ame Juma wasomi wanabishana kwa vitabu sio maneno matupu hivyo vitabu ni fatua za mashekhe wamakkah hao
@hassanalhussein39825 жыл бұрын
Sasa pia huyo Sheikh wenu wa kiwahabi alotajwa pia amepotowa ?
@mkali61675 жыл бұрын
ww kuwa muadilifu wa akili yako ww
@bakaribakari64445 ай бұрын
Wa kwanza atakuwa uthaimin 😂😂
@allylassuh4947 Жыл бұрын
Shukran shekh muhammad iddi tunakuelewa vzur sana
@hajiseif32555 жыл бұрын
Tatzo siku hz masheikh wengi wanaangalia maslahi yao na wanaambatanisha dini na siasa!!!ili kuwafurahisha baadhi ya wanasiasa!!!Mtaulizwa
@salmagulam66195 жыл бұрын
Point maana wanataka tuache kumfata mungu tuwafate wao hapana kwa kwel tutamfata mungu na mtume na sio mashekhe
@mohamedsikitu83293 жыл бұрын
@@hassanissa3203 shekhe kawa fala kisa kisa hayupo upande mmoja na ww kweny swala la arafa ?????? Kisa amepinga unachokiami ww..?? Dini aiendi kwa jazba ivyoo.. tuusome uislam
@alhamdulillah57962 жыл бұрын
@@mohamedsikitu8329, kweli. Hv kabla ya technologia watu wakijua vp km Makka wanasimama Arafa hata leo hii watu wanafarakana? Uisilam ni kufuata Qur-an na sunna na sio shortcut/tecnologia.
@ibrahimkhatib28995 жыл бұрын
Jamani mambo yapo wazi kabisaa tusiangalie alie sema maana wengine hawamuamini basi tuamini hivyo vitabu vya maulamaa watukufuu Mashaallaah shekh nimekufahamu
@abduhamzasungura16425 жыл бұрын
Funguweni Hiyo Tupate Kuelimika Inn Shaa Allah👇
@mohamedseifpaz32485 жыл бұрын
Nn iyo
@rajabumasanja28183 жыл бұрын
Wewe idi umefika meisho waufahamu wako kapembeni tupite kielimu hapo hujatwambi sudia na tz majila yakoje?.
@abuhafs47742 жыл бұрын
Abu idi swali lako lilisha jibiwa zamani sana na sheikh Qaasim Mafuta fuatilia KHUTBA zake za dhul hijja miaka ya nyuma na pia mwaka huu 2022 tar 8 ilipo kutana siku ya arafa na ijumaa
@yusuphkwaya78435 жыл бұрын
Jamani shekh anafafanua vizuri hivi Tena mnasema anapotosha acheni kulinganisha fikra zenu zinavo watuma mkazichanganya na mambo ya kielimu
@athumani543 Жыл бұрын
SHKH muogope Allah et tarehe ya kiislam tu ndy haziwezi kuwa sawa zingine inawezekana kwani kuzama Kwa jua au kuchelewa kucha ni Kwa waislam tu ila wakristo wanasherehea Dunia nzima cku moja mche Allah utawala ni duniani tu
@bakaribakari64445 ай бұрын
Wakwanza basi atakuwa uthaimin na wapili jopo la mamufut saudia
@maulidabdallah255 жыл бұрын
Shekh swadaqta waambie wasome haqq yasimma kwa dalli na pia akuna muungiliano Katie ya swaumu ya arafa na kisimami cha arafa
@NEWMOVIES-ln3gg5 жыл бұрын
Shekhe mbona hujasema mawio na machweo twaendana na Makkah shekhe huna elimu yoyote na ya kujiongeza huna.poleeee kwa kukosa kufunga SKU ya arafa ya j,mos..na pole kwa kukaa na njaa leo
@mawazoit80702 жыл бұрын
Dah, nimesikiliza kwa makini sana. Huyu bwana twaweza msifia kumbe twazidi kupotea. Hoja ya mwezi tisa na siku ya Arafa maelezo ya jazba sana. Tujipe nafasi kusikiliza hoja kwa hoja toka kwa masheikh
@ja60pallangyo935 жыл бұрын
A alykum shekh usiwaite mashekhe wengine wapotoaji kwann tusiandae mjadla kwa ajili kuelimishana
@hassansingano11505 жыл бұрын
Mmmmmmmmmmmmmmmmmmmm, Apo kazi
@mroojnr.27565 жыл бұрын
Hawataweza mjadala hao watauogopa, elimu gani wanayo hao ya kupambana kwenye mjadala wana elimu za uganga tu hao. Wanapotosha umma
@mohamedmzeeassuufiyy13343 жыл бұрын
@@mroojnr.2756 Hakuna wahabi awezaye... Niko na Qasimu Mafuta mji mmoja na nimemtaka mdahalo juu ya swaumu ya arafa amekataa
@mroojnr.27563 жыл бұрын
@@mohamedmzeeassuufiyy1334 hatuna uthibitisho wowote unaoonyesha ulimuita mfanye madahalo akakataa. Achana na hilo, tuchukue akili ya kawaida tu hata washabiki wa Arsenal ikiwa inacheza timu yao wanaangalia moja kwa moja tukio la mchezo wa timu yao na hawasemi hili tukio sisi kwetu tutaliangalia kesho. Sasa labda kwa elimu yako kubwa utusaidie kutufahamisha Arafa ni siku, sehemu maalum kunakofanyika tukio kwa muda maalum, au arafa ni vipande vya ardhi vilivyotapakaa karibu kila nchi, au ni siku ambayo kila watu wanajichagulie iwe lini?
@mussamalugu17933 жыл бұрын
Mimi nawaita mara kibao na i don't care wapotosha wapotoshaji wapotoshaji stupid kabisa
@najahyusuf62825 жыл бұрын
sheikh mohamed iddi umepagawa sana hunalolote walachochote kama unanja siumwambiye kishikish akusaidiye akupe birian kwaajili unanja tu halafu humfikiyi nurudin kishikish kwaelimu unakijeli ustadhi mohamed iddi
@am2323Diaspora5 жыл бұрын
Napendekeza kazi ya usheikh iwe na kibali na masheikh kama hawa wasiruhusiwe kupotosha watu kwa maslahi yao
@sharipha-vy9dy Жыл бұрын
Mashallah taqbirr allah akbarru shuqrani shekhe
@usahihinaukweli49215 жыл бұрын
waislamu NI KITU KIMOJA NA MUUNGANIKO WETU NI "HAPANA APASAE KUABUDIWA KWA HAKI ISIPOKUA ALLAH(SW), NA MUHAMMAD (SAW) NI MTUME WA MWENYEZIMUNGU) EWE MWISLAM!! (Kama hukusoma dini,USISHABIKIE MIGOGORO!, ushabaki wowote unaleta chuki, ndiomana utaona watu wame comment "mjinga, pumbavu, Kama hawakukuelewa achana nao " hio ni kwa sababu mnashabikia kwahivo mnatengeneza chuki badala ya KUPENDANA. ) ENYI MASHEKHE!! (kama mmesoma dini, msishabikie kuonekana bora kuliko mungine, hivo mtasababisha ambao hawajasoma wafuate SHEKH anaempenda mtajaza chuki baina ya waislam ) SWALI KWA MASHEKHE WETU WOTE!! (KWA NINI HAMTAFUTI SULUHISHO KABLA YA KUTUPIANA VIJEMBE MTANDAONI??? ENYI MASHEKHE KWA NINI MNASUBILI IKIKARIBIA SHEREHE(ARAFA NA RAMMADHAN) NDIO MNASIKIKA?? ENYI MASHEKHE PENDANENI ILI WAISLAM WAPENDANE NA WASHIIKAMANE.
@salimabdalhaomary18585 жыл бұрын
Nakubaliana na ww tunatakiwa tujenge umoja sio mifarakano ukiona shekh mwenzio ama mtu yyt katoa fatwa hujakubaliana nayo na ww toa ila usinyooshe vidole na kujiona ww bor mkamilifu ni allah
@wangwazitv96165 жыл бұрын
Duh! Angalau we ni muelewa,, ila kumbuka kuna njia kuu nne za kupatia elimu hvyo kusiki ni miongoni mwa njia hzo sasa iwapo mtu atadanganya watu wenye utambz na swala hlo wakae kimya?aidha, wale walio mbali na ulimwengu wa wasomi wasio na uwezo wa kusoma wakisikia zilizo rikodiwa kama za huyu jamaa wakubali tu kisa hwakusoma? Kibaya kutukanana ila sasa hv mafundsho y waislam yanatia mashaka
@joauchitlango35472 жыл бұрын
Abuu idi mpotoshaji tatizo sijaiona hadidhi inayosema saumu ya arafa Ni mwezi Tisa Swaumu imetajwa fungeni swaumu ya arafa na sio mwezi Tisa Sheykh anapotosha
@mwanakombohajiali93972 жыл бұрын
@@joauchitlango3547 ww uciopotosha lete maelezo yak tukufate
@alhamdulillah57962 жыл бұрын
@@joauchitlango3547, km imesemwa fungeni swaumu ya Arafa inamaana miaka ambayo palikua hapana simu, internet wakifungaje kwa kuangalia Arafa? Swaumu ya Arafa ni mwezi tisa mana kila mmoja mwezi utamuandamikia na utafikia mwezi tisa.
@mussamalugu17933 жыл бұрын
Tumekuelewa sana shekh achana nao hao mashekh ubwabwa
@hassanjr53185 жыл бұрын
Tusikilize bila ushabiki na tupate hekima za hoja za pande zote .....Allah atufanyie wepesi kwani yeye ndio mjuzi
@saadmbaraqa52722 жыл бұрын
Uyu shekh anapenda ubishani wa kujionesha kwenye mambo ya ikhtilafah sijui anapata faida gani
@mustaphaibrahim3685 жыл бұрын
Unaongelea sunna gani aibu huna umefagia kidevu kama papa Benedict
@allylassuh4947 Жыл бұрын
Sai ni papa coz hana ndevu jee akiwa nazo utamuita nani???
@esir6667 Жыл бұрын
Matusi hayafai
@latifaabdul5974 Жыл бұрын
Kidevu muachie yeye na mola wake kikubwa ni majibu ya maswal aliyouliza tu
@abdulazizramadhan51195 жыл бұрын
Kwa uelewa wangu mdogo sijawahi ona wala kusikia uislam una tarehe mbili za tofauti,,,hapo umefeli shekhe
@chinemaentertainment11104 жыл бұрын
hapo muhamed iddi nimekuelewa
@maniraguhahamza35112 жыл бұрын
Wewe haujajielewa kbsa na muomba Allah akupe hisaya
@ahmadazubeir51125 жыл бұрын
Tatizo miongoni mwa wenye kukoment hapa na Mayahudi,manaswara na makafiri
@hajiseif32555 жыл бұрын
Muombe Mola wako msamaha unawaita watu mayahud makafir una uthibtxho gani wee ndyo muumin au unayakin na unayo yasema!!!utakuja ulizwa hyo xku ikfika
@mohamedamour27352 жыл бұрын
Safi sana akuzidishie kuweza kututoa ktk ujinga
@fadhilially58695 жыл бұрын
Mashekhye wengine nimtihani wanamacho nivipofuu kama jana masdi jumaa wabadiri tarehe mchanaa waludisha nyumaa tarehee Allah awaongoze katka dunia mtapotosha wengi ila haqi itabaki kuwa haqii tuh
@cakesuke12355 жыл бұрын
Nimekuelewa shekhe abukum id Muhammad id mungu akupe swiha njema shukrani
@hashimmhashim26635 жыл бұрын
ماشاءالله تبارك الله حفظك الله يا شيخنا محمد عيد
@rayanjoseck44585 жыл бұрын
I do concur with you shekh ...so educative a wise man said a student ll never out weight his master...
@AbuuHaneef5 жыл бұрын
Mimi sikuwa najuwa kama unyoaji wa ndevu unaathiri usomaji wa kiarabu.
@aimanothman3945 жыл бұрын
Hahaa mmecheka wallahi
@ibn_rajab_bilaal3 жыл бұрын
hahaha ibara zakosewa
@swahilitherapytv38465 жыл бұрын
WEWE NDIO MZUSHI WA KWANZA. MAWASILIANO NI NEEMA ALLAH AMETUPA SISI, NA YANAHAFIKIANA NA SHERIA YA KIISLAM TUNATAKIWA TUFUATE. RUDI UKASOME FIQHI
@saidiharuna31295 жыл бұрын
MASHIKO ONLINE TV dini haibadilishwi na mabadiliko ya teckonolojia hukumu inabaki vilevile
@hassanalhussein39825 жыл бұрын
Ambae anahitaji kusoma fiqhi ni wewe uso juwa kutafautisha baina ya idd adhha na arafa. Jee wajuwa kuwa nguzo ya hajj ilikuja baada ya idd adhha? Wajuwa kuwa bwana mtume alikuwa akifunga siku tisa na ya kumi akichinja na kusherehekea idd. Hiyo ilikuwa kabla ya nguzo ya hajj kuletwa .Sasa arafa inahusiano gani na idd adhha? Hebu nenda ukasome usilete taabu kwenye mitandao
@nawawisaalim71735 жыл бұрын
Allah akubarik na akuhifadh Abuu Eid tunakuelewa vyema
@jabirmfinanga89802 жыл бұрын
Shekhe hawa Mashekhe nia yao nini naona wanaelewa lakini wanapotosha kwa naslahi ya nani?
@suleimanmwalimu30185 жыл бұрын
shekhe muhammadi wasomeshe hao mashekhe wapotofu wanaopotosha watu nimekuelewa shekhe hongera kwa ufafanuzi mzuri
@sportsentertainmentvideo66335 жыл бұрын
Shekh anaongea kwa jazba kama anapiga kampeni!! Ongea taratiib tukuelewe... Tanzania tunahaja gani ya kukhitilafiana na makka hali ya kuwa hatuna mapishano ya Siku wala saa!!?? Hakika!!! Kusoma sana si kuelimika.
@ommarymgeni15365 жыл бұрын
Juma Witala kwan wew hoj zako nzip leta dalil so mnawakufurish wanzuon toa tu dalil ruk hewn tukuon
@sportsentertainmentvideo66335 жыл бұрын
Ni mwanawazuoni yupi niliye mkufurisha!??
@saidthanksjuma2955 жыл бұрын
Kama hunalakusema kaakimya dini hayend kwajzba
@saidthanksjuma2955 жыл бұрын
Bac weka Arafa yko Tanzania
@mussajuma74605 жыл бұрын
Alafu cha kushangaza saudia Arabia na Tanzania sasa kuna tofaut gani kufata saudia
@AbuBakar-fu9ov2 жыл бұрын
Waislamu acheni kubishana na vitabu kawaonyesheni kavisomeni tatizo mnapendaga kubisha kabra ya kujilidhisha
@issaabbas54065 жыл бұрын
yaani sjaona hata dariri yoyote uliyoitoa iyi nidini ya allah so ulisi wa wazee wako na usiwe unakalili itakukosti kesho kiyama usiuze dini kwa sababu ya dunia.wako wapi wakina filaghuni wote waliacha dunia.subuhanallah
@hamzachinjengwa50132 жыл бұрын
Ww shekh nimekuelewa sana tena umeelezea vzr saf san
@issaabbas54065 жыл бұрын
shekhe acha msimamo wa kishia soma kwanza uelewe uache kupotosha uma
@salehal-tewany46272 жыл бұрын
Lete dalili yako kufunga ni kufutwa Saudia mana nadhani ukiwauliza wazazi wako na walimu wako watakuambia ukweli kuwa kabla ya kuja teknolojia waislamu wakifuata mwezi na hawajui kuhusu mahujaji mana mawasiliano ya likiwa hayapo na swuala la wenzetu limekuja juzi na ndiyo inayoitwa BIDAA
@saidibadawi4695 жыл бұрын
Shukruni shekhe wangu kwa dawa.
@shaidually36365 жыл бұрын
Sunna ndogo tu ya kuacha ndevu na kukata sharubu imekushinda vp wazungumza sunna?
@awadhially13845 жыл бұрын
Hakuna kazi kubwa kama kutetea uwongo kutaka kuufanya kuwa ni ukweli watu wanazidi kuelewa.
@MudathirOmar-hh5ow5 ай бұрын
Maa shaa Allah unafaidisha ummah
@mohammadkassim99375 жыл бұрын
Mash allh jazaka allh kheràa
@majutojohn19683 жыл бұрын
Hakika Muhammad iddy Mungu amekupa uwezo mkubwa wa ufafa nuzi wa sharia za kiislam tume kupata uzur sana
@jumanesaidi76355 жыл бұрын
Shekhe wewe nimekukubali, ni Muhadhiri mzuri
@hanifamnuo18215 жыл бұрын
Shehe uko vizuri sana endelea kutuelimisha shehe wetu yani uko vizuri sana
@hamissnjumba30343 жыл бұрын
sheikh asalaam alaykum mimi binafsi naridhika na fatua zako illa, nakunasihi fanya na sema kwa ajili ya Allah tu, na wala usiseme kumkomoa mtu ila uelekezaji wako unaelekeza kwa kuonesha ile asili ya uislam , mmarhabaa lhamdullaah , Allah jalaal akuengeze elmu enye manufaa'' inshaallah
@aminland8765 жыл бұрын
UYU SHEHE MUONGO SANA IYO ARAFA MWENYEZI ANASEMA WATAKAPO SIMAMA KWENYE VIWANJA VYA ARAFA NYINYI MLIO PEPEZONI MMESUNIWA LIVING A ILI MPATE FADHILA ZA ARAFA UKIFUNGA SIKU YA PILI UTAKUWA HUNA FADHILA YA ARAFA WE WE USIWADANGANYE WAISLAM MUOGOPE ALAAH
@omarkhamis48045 жыл бұрын
Shekhe ametoa kwenye vitabu uongo uko wapi
@drimazonechoice98225 жыл бұрын
Uislam umeletwa kwa elim na heshima pia adabu waheshim watu walokuzid umri na elim pinga kwa hoja na si kutoa maneno mabovu kwa mashekh
@aliyomar91405 жыл бұрын
Huna kitu.....povu tuu mwenzio katoa hoja juu ya vitabu. Wew umetoa wapi?
@abdulkareemseif6675 жыл бұрын
Amin Land huyu ni mtu wa bidaa
@mohamedsalimaljahdhamy14365 жыл бұрын
Na ww toa ushahidi wa unayoyasema sio unaropoka tu. Masuala ya kieimu yanahitaji hoja za kieleeimu sio porojo tu shekh
@akbarosman38925 жыл бұрын
Huyu shkh hajui anachoongelea nafikiri njaa inamsumbua Hili ni bonge la zuzu Hoja zako zimepitwa na wakati Mche mungu shkh zuzu
@ajuayeofficial5 жыл бұрын
Akbar Osman wewe ndo zuzu kabsa hujielewa shekhe yuko sahh
@akbarosman38925 жыл бұрын
@@ajuayeofficial Nyie fungeni siku yenu mnayojua Sisi tutafunga siku ya arafa Mazuzu mko wengi
@mussarashid67525 жыл бұрын
Akbar Osman .basi wanawake nao wasikae Eda maana vipo vipimo vya kutambua mimba mapema kabla ya miez mitatu.
@akbarosman38925 жыл бұрын
@@mussarashid6752 hizo hoja hazina mashiko msikilize shkh mahamed issa amejibu kwa vizuri kama una akili utamuelewa
@akbarosman38925 жыл бұрын
Siku zote mashkh kama hawa wanaopara videvu vyao wako tayari kuuza imani kwa maslahi yao ya dunia Hawa mashkh maslahi hawana mpango
@أبوفيصل-د3ش5 жыл бұрын
Wenzio Wanachuoni Huzungumza Kwa Dalili ktk Quraan na Hadith za Mtume. Inakuwa hivi "Kasema Mtume kadha.. au Alikuwa mtume Kadha.. Au Ametuamrisha Mtume Kadha.. Au Allah amesema Kadha... Sasa wew Unatuletea Kauli za Binadam kama Sisi Ambao hata mim naweza nikatunga Vitabu kama Hivyo. Tusomeni Maneno ya Mungu na Mtume wake. Wacheni Ubabaishaji
@gracendeule25675 жыл бұрын
Vijana waagano jipya
@allymwabawa18825 жыл бұрын
wap mtume kasem watu wafunge arafa kwa kuangalia mahujaji ktk viwanja vya Arafa?
@alhamdulillah57962 жыл бұрын
Km kufunga ni kuangalia Arafa, wema waliopita hawakujaaliwa technologia waliipataje?
@أبوفيصل-د3ش2 жыл бұрын
@@alhamdulillah5796 Kamuulize Mama Aisha Aliyemuambia Yule Mtu Aliyekunywa Maziwa siku ya Arafa na huku akidai kwao Ni Mwez 8.Alijibiwa hivi "Arafa ni siku atakayotangaza Imaamu Mkuu wa Makka...na si Kuangalia Mwezi wa Dhul hijja."maneno haya Yapo ktj Kitab Attarghiib wattarghiib. Ikiwa Mambo nMya swaumu yasiende Kwa teknolojia...Bas iwe hivi Mtu wa Daresalaam Akiuona Mwez Bas Apande punda Au atembee kwa miguu Akapeleke Taarifa kigoma kuwa mwez Umeonekana.Na ni Marufuku Mufti Mkuu wa Tz kutangaz Mwez na sikukuu ktk chanel ya TBC taifa.Wala Ktk Redio yyte isitangaze mwez Kwa sabab Hizo Teknolojia wakat huo hazikuwepo.tumeeelewana Nilichogundua nyiny Mnapelekwa na Matanmmanio tu
@mohamedlawa33045 жыл бұрын
Mashaallah sheikh Allah akulipe kheir mimi binafsi nimekuelewa hata mie huwa najiuliza leo tunalazimishwa vipi tufunge ama kufungua na saudia eti kwa kigezo kuwa makka ndio chimbuko la uislamu ama eti masaa yanafanana kwani ndivyo Mtume alivyotufundisha? hebu tustahimiliane ikiwa wafuata makka na unaona ndio sahihi basi amini wewe sio ukosoe wengine
@abuuyaasinrashidirashidi96385 жыл бұрын
Allah atuhurumie maana huna cha kuongea zaidi ya kuwahimiza watu wazidi kupotea
@namelessnameless48685 жыл бұрын
Asante sana Sheikh letu mungu akupe umri mrefu ili tuzidi kunufaika na wewe
@abdulkareemseif6675 жыл бұрын
Nameless Nameless ili azidi kuwapotosha
@namelessnameless48685 жыл бұрын
@@abdulkareemseif667 Hoja hujibiwa kwa hoja kama unaona anapotosha na wewe toa hoja zako tukuskie
@SalimSalim-ls9lg5 жыл бұрын
WEWE SHEIKH HADITH INAZUNGUMZIA SWAUM YA SIKU YA ARAFA SIYO SWAUM YA SIKU YA TISA YA DHULHIJJAH WACHA KUBABAISHA UMMA NA KUPOTOSHA, SASA MFANO WEWE UNAESEMA MPISHANO WA MASAA VIPI KWAKO UNAPISHANA MDA GANI
@drimazonechoice98225 жыл бұрын
Hata kuelewa huelew ndo tatizo hilo na zaid unatakiwa urud madaris ukasome uislam si din ya muhemko hii acha kitoa lugha za hovyo ukijua huyo unae mwambia kakuzid umri uwezo wa elim na mambo kam hayo
@abdulkareemseif6675 жыл бұрын
Salim Salim ndo hapo mm nataka kujua yeye anazungumzia kupishana masaaa je Tanzania wamepishana masaaaa mangapi
@mohamedlamimu5 жыл бұрын
Vitabu vimeandika siku ya tisa ya dhulhijja mwezi mwandamo, kwa nini muje na fatwa zenu za kisasa!?
@mohammedrashid24555 жыл бұрын
Salim Salim
@SalimSalim-ls9lg5 жыл бұрын
Ndugu zng ckulizen alichosema hyu sheikh mtetea maulid alichosema kweny dakika 1:15 hadi sekunde ya 22 ndo mtajua kuwa yy tayar amejiblock
@abdisalim11572 жыл бұрын
MMungu akulipe kheir Shk
@humairashembago49535 жыл бұрын
Mungu akulipe sheikh letu
@muntakindamba20532 жыл бұрын
Maashaallah Shekh wetu Muhammad idy tunakufahamu sana mungu akuzidishiebarka na afya njema usiache kutuelimisha inshaallah
@saidkibangetandiko3734 Жыл бұрын
Kinachotakiwa hapa mashekhe msiitane wapotoshaji Bali mheshimiane Kwa hoja zenu Kwa kifupi nyingi mashekhe na sisi mnaotuongoza tusilete ligi kwenye dini yaani kama Mimi nimefuata siku ya mahujaji wakiwa kwenye kisimamo Cha arafa sitakiwi kumsema vibaya ambaye hafuati hivyo Wala yeye hatakiwi kuniita mpotoshaji na yeye sitakiwi kumuita mpotoshaji kwakua jambo hili Kila mtu ana hoja au dalili zenye nguvu kuhusu jambo Hilo pia jambo Hilo mlipaji ni Allah subhana huwataala kwahiyo tusisemane vibaya maana sote ni wamoja na ni ndugu.kasoro mashia hao ndio maadui zetu hatutakiwi kuwafuata hata kidogo lakini pia tusiwatukane.
@nurudinramadan68395 жыл бұрын
acha uchochezi Shekhe leo jumaapili ndo iddi ww kama leo ndo arafa niww
@queenisha68185 жыл бұрын
Mi nashangaa sana humu ndani matusi ya nn kama anapotosha watu mwenyekumuhukumu ni mungu nyinyi amuwezi kumuhukumu hata mtoe matusi tumuogope mungu yeye ajue kila kitu
@abdulqaadrilaurian37002 жыл бұрын
Sheikh vip uko sawa kweli ebu ludi darasa kafanye baadhi,swali Tanzania na Saudi Arabia tunatofautiana mda gani na kama hatutofautiani kwann hatuendani nao
@muhidinali81805 жыл бұрын
nyinyi mnaojua kiarabu sikilizeni khutba ya jana ya ijumaa ndai ya msikiti wa maka mtajua kua muhamed idi na kundilake ni wapotoshaji
@abdallahkawambwa26662 жыл бұрын
Wafundishe Shekhe vibaraka wamarekan hao
@SalimSalim-ls9lg5 жыл бұрын
Masheikh kama hawa c wakuskilizwa
@omarkhamis48045 жыл бұрын
Wasikilize wenye tamaa wachana na huyu mwenye kutumia vitabu
@aliyomar91405 жыл бұрын
omar khamis tukucklize wew na hoja zako za akil?
@SalimSalim-ls9lg5 жыл бұрын
Hyu ni muongo na ni mzushi mkubwa sana mpigania maulid na khitma
@aliyomar91405 жыл бұрын
Salim Salim tunaopigania maulid ni wengi sana.....
@muhidinali81804 жыл бұрын
Sijibizani nawatu wanoongozwa Nahawaa zanafsi wakaacha mafunzo Ya Muhammad s a w
@SMG109L Жыл бұрын
Allah amzidishie kheri Sheikh abuu id, pia Mufti wa Oman Allah amhifadhi na Masheikh wengine! Wewe unaekufurisha waislamu wenzako kaa utafakari, Allah atakuongoza
@jumajuma74865 жыл бұрын
Mbona hausemi kua sisi na hão wa makka tunaendana mawio na machweo? Allah akuongoze kipofu usieona haqq. Mwemed idi
@aliyhero98575 жыл бұрын
Wewe babu ndo zero mbona kweli na yy hajasema ss na makka
@mahfudhakassim95923 жыл бұрын
Kma umesikiliza vizuri swali lako limejibiwa
@chagogegereka28895 жыл бұрын
Kwahiyo tuwafate mashekhe au mtume wa Allah alivyo tufundisha katika utaratibu wa kufanya ibada, Dunia ni Moja sio mbili Na iddi ni Moja siombili, majina ya nchi ya meanzishwa Na makafiri lengu kuu ni kuwagawa waislamu wote Dunia ni ili wasiungane, Leo hii waislamu wanaokufa Iraq siria Yemen Afghanistan hatuna habari kwasababu ya utaifa. Dini nikuelewa sio sheikh kasema, mashekhe pia huteleza
@abuuuruwatally39025 жыл бұрын
Hahaha we sema 2 ila wenzo wanen kwa haqi.. إلى عارفاة سنمضي غدا إن شاء الله..
@alhamdulillah57962 жыл бұрын
Wema waliopita hayo waliyafanyiaje kazi na hawakua na technologia?
@yusuphahmed77572 жыл бұрын
👉 hiyo kwà uelewa wako hiyo Arafa ni moja hatukufuati wewe
@ashamngindo8023 Жыл бұрын
Nimekuelewa shekh
@mohamedchobu72525 жыл бұрын
Hiyo ni Manhaji ya Tamta
@aliyidrisa15362 жыл бұрын
Jazakalwah khairan, anaefaham na afaham,
@abuunabilherbalmedicine55945 жыл бұрын
Sasa Shekh unazungumzia nchi yako au nchi zingine Alafu unasoma ibara za kiarabu na kuzifafanua tofauti kwakua unajua kila anaekusikiliza ni zuzu Saumu ya Arafa Tanzania itakua siku ya jumamosi ambayo ni tarehe 9 ambayo mahujaji wanasimama Arafa na sisi hatutofautiani ki muda na Makkah sasa Shekh usitoe fatua za nchi nyingine kwakua wewe unaishi Tanzania ambayo ipo sawa na Makkah hiyo ndo point usifuate masuala ya dunia marekani watafunga Arafa kutokana muda wao na sisi tutafunga siku ya jumamosi in Sha Allah na iddi itakua juma pili Na Allah ni mjuzi zaidi سبحانك اللهم وبحمدك أشهد أن لا إله إلا أنت أستغفرك وأتوب إليك
@princeganji27795 жыл бұрын
Pumba uyoo achana nae
@abdulkareemseif6675 жыл бұрын
Adam Hussein ndio hapo sasa elimu ipo wazi
@allymnzava38185 жыл бұрын
Huyu sheikh anapotosha wengi hasa wale wanaofuata dini kishabiki. Na jinsi Allah alivyomjalia uwezo wa kuongea na kushawishi.
@mohammedsgereza2205 жыл бұрын
Wewe nimekuelewa
@hassanalhussein39825 жыл бұрын
@@allymnzava3818 lete hoja zako usi payuke bure.
@khalifabanka50412 жыл бұрын
Shekhe msikhitilafiane hivo mnatukhifilisha sana sisi waumini. Sisi watanzania tunaungana masaa sawa kabisa na hao walio hijja
@allymugisha92035 жыл бұрын
Usiandike kitabu kwa ufahamu tuambiee imamu gani amepokea
@cydemanchester23685 жыл бұрын
Wewe ndiye mpotoshaji mkubwa na hoja zako ni dhaifu sana. Acheni kuwapotosha waislamu kwa kupewa ruzuku na serikali ili muuangamize umma wa kiislamu
@yuzaaseif30405 жыл бұрын
Nendq kasome kijqn
@yasinsaid63545 жыл бұрын
Wewe Sheikh cjui unapotosha hivyo kwa maslahi ya nani
@أرتغرل-غ5ب5 жыл бұрын
Toa dalili sio unasema tu anapotosha
@delefantasticali83772 жыл бұрын
Arafa n moja tu kw wote..
@mohamedrajabu67235 жыл бұрын
Hekima unayo anae sema huna hekima bc yy Hana hekima hio hekima ulio sema ndio hekima ya kiislam upo vizuri
@nssjsjzjnznz45315 жыл бұрын
Alhamdulillah shekhe qassim mafuta abuulfadhili kashatuchapia leo uyu mtu fimbo mingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
@mussajangwa91065 жыл бұрын
Sheikh Muhammad id Asiyekuelewa ni mpenda bidaa
@salehal-tewany46272 жыл бұрын
Lete dalili yako kufunga ni kufutwa Saudia mana nadhani ukiwauliza wazazi wako na walimu wako watakuambia ukweli kuwa kabla ya kuja teknolojia waislamu wakifuata mwezi na hawajui kuhusu mahujaji mana mawasiliano ya likiwa hayapo na swuala la wenzetu limekuja juzi na ndiyo inayoitwa BIDAA
@muhsinsalum49743 жыл бұрын
Sheikh unaumia koo BURE. TATIZO UWAELEZAO NI MUHAAFIDHIINA
@muhidinali81805 жыл бұрын
sio miyaka yakaribuni msimamo umeletwa na rasulu محمد kasomezaidi
@ndembondembo81225 жыл бұрын
Huyo sio shekh. Ni shehena
@ndembondembo81225 жыл бұрын
@Omary Hamisi uyo mnafiq tu hana lolote akasome tena
@AaAa-kr9nb5 жыл бұрын
uyu mm simuelewi kabisa namsikia kelele tu mpotoshaji mwewe
Cklzeni maneno ya elim nyny wehu mcpnge kichuki...wachen kupotolew na waxo na elim
@sirqiutaislaamahambe15353 жыл бұрын
Ndugu soma geography utaelewa dunia inaendaje
@manish-fp1fb3 жыл бұрын
Ndugu yupi sasa asome Geography???
@mohamedsalimaljahdhamy14365 жыл бұрын
Ukisoma sera utagundua kuwa Eid fitri na Eid Adh ha zimefaradhishwa mwaka wa 2 wa kiislamu. Wakati hija imefaradhishwa mwaka wa 6,7 au 8. Sasa hapo Mtume s.a.w alikuwa akifunga swaum ya na arafa na pia anakula Eid ya mfunguo kwa miaka mingi kabla ya hija kufaradhishwa. Je alikuwa akiwafuata mahujaji gani walosimama na wakati hija ilikuwa haipo? Naomba jibu kwa hoja sitaki povu tafadhalini. Na mkiona jibu hamlipati mujue kuwa funga ya arafa na kisimamo cha mahujaja hakuna mafungamano yoyote. Shekh Abuu Eid kwa hapo yupo sahihi.
@abuunabilherbalmedicine55945 жыл бұрын
Soma vizuri sira acha kubabaika idd Al fitr ndo ya kwanza kufaradhishwa alafu hijjah imefaradhishwa mwaka wa 9 hijiriya na hiyo ndio kauli rajihi na mtume hawezi kufunga Arafa na wakati ilikua saumu ya Arafa haipo Wewe unachanganya swaum ya Arafa na ashuraa soma sira vizuri Kijana acha kukurupuka
@mohamedsalimaljahdhamy14365 жыл бұрын
@@abuunabilherbalmedicine5594 Hapana shekh ww ndo bado hujaelewa. Eid zote mbili zimefaradhishwa mwaka wa 2 kwa pamoja. Mtume s.a.w alipofika madina aliwaona watu wa madina wanasherehekea sikukuu nyingi ndo hapo akawaambia Allah ameshawaletea badali ya hizo sherehe zenu nyinyi waislamu mumefaradhishiwa sikukuu zenu 2 yaani Eid Fitri na Eid Al adh ha. Shekh rudi tena darasani ukasome Eid zote mbili zimeletwa wakati mmoja. Na hija imefaradhishwa mwaka wa 9. Hii ndo kauli yenye nguvu. Sasa suali langu lipo pale pale. Hadith sahihi ya mke wa mtume s.a.w Safia alisema kuwa mtume s.a.w alikuwa haachi kufungaa siku ya tisa. Sasa imepita miaka mingi mpaka kufaradhishwa kwa hija. Je mtume s.a.w alipokuwa akifunga alikuwa akiwafuata mahujaji gani walosimama arafa wakati hija ilijuwa bado haijafaradhishwa? Soma vzuri maelezo yangu.
@hassanalhussein39825 жыл бұрын
@@mohamedsalimaljahdhamy1436 asante sana kwa kuwaeleza vizuri .Hawa mawahabi hawana hoja bali ni ushindani usio na msingi. Hawana jawabu la kujibu maana ni madebe matupu.
@saidmwinyi25015 жыл бұрын
Mohammed salim ndugu yetu kwan hijja imeamrishw wakt wa Mtume saw au ipo tokea nabii Ibrahim as
@engamidulutta14965 жыл бұрын
Mahujaja ni nn nifaamishe apo sijafahamu
@hamdincatalonia32722 жыл бұрын
Njaa mbaya sana
@binjumaa70725 жыл бұрын
1 - أن المقصود بيوم عرفة هو اليوم الذي يقف فيه الناس بعرفة ، وفي ذلك عدة أحاديث منها : أ / عن عطاء قال : قال النبي صلى الله عليه وسلم : ( أضحاكم يوم تضحون ) وأراه قال : ( وعرفة يوم تعرفون ) ، أخرجه البيهقي في " السنن الكبرى " ( 5 / 176 ) والشافعي في " الأم " ( 1 / 264 ) عن عطاء مرسلاً ، وصححه الألباني في " صحيح الجامع " ( 4224 ) . ب / عن ابن المنكدر ، عن عائشة رضى الله عنها قالت : قال رسول الله صلى الله عليه وسلم : ( عرفة يوم يعرف الإمام ) ، أخرجه البيهقي في " السنن الكبرى " ( 5 / 175 ) ، قال ابن حجر في " التلخيص " : " تفرد به مجاهد قاله البيهقي ، قال : ومحمد بن المنكدر عن عائشة مرسل ، كذا قال ، وقد نقل الترمذي عن البخاري : أنه سمع منها . " أهـ . قال الشيخ عبد الله الجبرين في في تحقيقه لرسالة الحافظ ابن رجب " أحكام الاختلاف في رؤية هلال ذي الحجة " ( ص 24 ) : " .. إسناده ضعيف، محمد بن إسماعيل- وهو الفارسي- ذكره ابن حبان في الثقات 9 / 78 وقال: '' يغرب ''. وانظر لسان الميزان 5 / 77. ومع ذلك فقد صححه الشيخ أحمد شاكر في رسالته: " أوائل الشهور العربية هل يجوز شرعا إثباتها بالحساب الفلكي " ( ص 26 ) " اهـ . ج / عن مسروق أنه دخل على عائشة رضي الله عنها يوم عرفة فقال : اسقوني ، فقالت عائشة : يا غلام اسقه عسلاً ، ثم قالت : وما أنت بصائم يا مسروق ؟ قال : لا إني أخاف أن يكون يوم الأضحى ، فقالت عائشة : ليس ذلك إنما عرفة يوم يعرف الإمام ، ويوم النحر يوم ينحر الإمام ، أو ما سمعت يا مسروق أن رسول الله صلى الله عليه وسلم كان يعدله بألف يوم ) ، أخرجه البيهقي في " شعب الإيمان " ، والطبراني في " المعجم الأوسط " ، قال الهيثمي في " مجمع الزوائد " ( 3 / 190 ) : " في إسناده دلهم بن صالح ضعفه ابن معين وابن حبان وإسناده حسن " اهـ ، وضعفه الشيخ الألباني في " ضعيف الترغيب والترهيب " . د / عن عبد العزيز بن عبد الله بن خالد بن أسيد قال : قال رسول الله صلى الله عليه وسلم : ( يوم عرفة اليوم الذي يعرف الناس فيه ) ، أخرجه الدارقطني في " سننه " ( 2/224 ) ، والبيهقي في " السنن الكبرى " ( 5 / 176 ) ، وقال : " هذا مرسل جيد أخرجه أبو داود في المراسيل " . وقال ابن حجر في " التلخيص الحبير " : " عبد العزيز تابعي ، قال ابن شاهين عن ابن أبي داود : اختلف فيه ، ورواه أبو نعيم في معرفة الصحابة في ترجمة عبد الله بن خالد ، والد عبد العزيز بهذا من رواية ابنه عبد العزيز عنه " وقال في التقريب ( 1 / 472 ) : " وهم من ذكره في الصحابة " اهـ . هذا ولا يخرج الحديث من الإرسال برواية عبد العزيز عن أبيه ، لأن عبد الله بن خالد بن أسيد ، والد عبد العزيز قال عنه ابن منده : " في صحبته ورؤيته نظر " ، وذكر مثل قوله أبو نعيم في : " معرفة الصحابة " ، وكذلك ابن الأثير في " أسد الغابة " . وقد ضعف إسناد هذه الرواية الشيخ عبد الله الجبرين في تحقيقه لرسالة الحافظ ابن رجب : " أحكام الاختلاف في رؤية هلال ذي الحجة " ، وأعلها بثلاث علل ، وذكر أيضاً أن لها شاهداً لا يفرح به ، لأنها من رواية الواقدي وهو متروك إضافة إلى أنها مرسلة . ( انظر التحقيق في هامش رسالة ابن رجب ص24 ) . الناس بعرفة أنه أضيف الصوم إلى اليوم بعينه ، حيث قال صلى الله عليه وسلم : ( صيام يوم عرفة ) ، أخرجه مسلم ( 1161 ) ، وغيره . وجه الدلالة : أنه أضاف الصيام إلى يوم عرفة ، وليس إلى اليوم التاسع ، ولم ينقل عنه صلى الله عليه وسلم أنه أضاف الصيام إلى اليوم التاسع ، فدل على أن هذه الإضافة معتبرة . 3 - أن المسلمين قد أجمعوا إجماعاً عملياً منذ عشرات السنين على متابعة الحجاج فلا يجوز مخالفتهم في ذلك ، وقد نقل الشيخ حسام الدين عفانة عن الدكتور محمد سليمان الأشقر قوله : " إن المسلمين في جميع أقطار العالم الإسلامي قد أجمعوا إجماعاً عملياً منذ عشرات السنين على متابعة الحجاج في عيد الأضحى ولا يجوز لأي جهة أو مجموعة من الناس مخالفة هذا الإجماع " . و قال الشيخ عبد الرحمن السحيم : " .. ولا عبرة هنا باختلاف المطالع ؛ لأن الأمة تجتمع على أن يوم عرفة في ذلك اليوم الْمُحدَّد ، وعادة من يُخالف في ذلك لا يُخالف لأجل اختلاف مطالع ، بل لأمور سياسية ! ..."!! .
@mawazoit80702 жыл бұрын
Swadakta
@nurdiniathumani9388 Жыл бұрын
Nawezaje kuikopi hii
@mustafamsaraka98775 жыл бұрын
Allah huwanyima wazuri kufaham hadith na kuzifanyia kazi
@fashnirdula28725 жыл бұрын
Assalmu alykm sheikh wangu,.leo nimwanzo ngpi
@allymugisha92035 жыл бұрын
Ukisikia shee anatoa salam mwisho anaweka taala wabarakatu ujue hapo mtihani upo so ni kheri ujiendee tuu
@nyarukamoramadhani98555 жыл бұрын
Ally Mugisha tafta elimu ww ally mugisha
@allymugisha92035 жыл бұрын
Njoo nitafte namba yangu 0769461470
@showfive44135 жыл бұрын
Wafata mkumbo ni wengu kuliko waliosoma. kama ulikimbia fimbo madrasa huwez kumuelewa huyu sheikh.
@xalamlutfih60145 жыл бұрын
Naona sheikh anazungukaa kwa mtume amesema tufunge tarehe au 9 tufunge Arafat ? Mbna ajaanzia kutujibu kwa Qur'an na hadithi
@assalaamt47663 жыл бұрын
Kabisaaa ndugu, wengi wa watu siku hizi hawaelewi dini, waelewa miziki tu, akili zao ziko kwenye miziki wataona haki hao?
@assalaamt47663 жыл бұрын
@@xalamlutfih6014 Mtume swallallahu alaihi waalihi wasallam alisema siku ya tisa ya dhul-hijah, sio tuangalie walioko uwanjani, je kusipokuweko na kisimamo cha Arafa itakuwaje, saum ya Arafa itaondoka? Dini inakwenda sambamba na kinacho kubaliana na akili na kutumika kila wakati.