KUMCHAGUA PAPA: Ishara ya kupaa Moshi MWEUPE au MWEUSI angani itakushangaza, Maana yake ni hii

  Рет қаралды 35,311

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 181
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 Жыл бұрын
Nisahihishe kidogo maelezo ya simulizi kuhusu moshi mweupe au mweusi.... Mosi.. Jina la mshindi wa kura huwekwa kwenye kalisi nalo huchomwa... Ukitoka moshi mweusi... Ni ishara kuwa Mungu hajapendezwa naye... Kura inapigwa tena kumtafuta mwingine.. Jina la mshindi huwekwa kwenye kalisi nalo huchomwa.. Ukitoka moshi mweupe ni ishara kuwa Mungu amependezwa naye.. Ndipo hatua zingine hufuata.... Hakuna kemikali yoyote inayotumika.. Bali ni Roho Mtakatifu mwenyewe hudhihirisha hilo.... Asanteni.. Ni mimi niliye mdogo kabisa kwa ujumbe wa Kristo.. TUMSIFU YESU KRISTO...
@musakalangahe6876
@musakalangahe6876 Жыл бұрын
Bro. That's pure science, just some chemical addition. It's the work of the alchemist....just a way to communicate
@yonalihweuli4138
@yonalihweuli4138 Жыл бұрын
Milele Amina
@neemamohammed9176
@neemamohammed9176 Жыл бұрын
P
@vicyngowi6459
@vicyngowi6459 Жыл бұрын
Soma historia then bible,usimuhusishe roho mtakatifu to that worst thing no holly spiritual there
@felixmtuya6351
@felixmtuya6351 Жыл бұрын
Thats according to your poor /minor religiuos knowledge!!!
@AgentMandela
@AgentMandela Жыл бұрын
papa mpinga kristo. hii ni machukizo mbele ya Mungu. utawala wa Roma chini ya dini-Papa,ilibadilisha majira ya saa duniani.huhimiza watu kuabudu ibaada ya sanamu na ndoa za jinsia moja. Papa afiye mbali mhuni wa dunia,tazama ndiye anayezungumza na kufanya makufuru yasiyompendeza Mungu. soma danieli 7:25, papa na kanisa lake ni yakuwapotoza watu. Mungu aturehemu, tuko katika Babeli ya tatu...
@AlexBoniphace-j8i
@AlexBoniphace-j8i 9 ай бұрын
Acha ujinga na upuuzi. Kwa kuwa hulipendi kanisa KATOLIKI unalikashifu utadhani WEWE ni mtakatifu,acha hizo WEWE siyo Mungu.
@Sarahsaid2648
@Sarahsaid2648 9 ай бұрын
⁠@@AlexBoniphace-j8ikaongea ukweli ni wapi kwenye biblia limewataja mapapa na makadni km kuwafanya watu waabudu masanamu habar za mapapa ni mpango wa shetani kuliangusha kanisa la Mungu
@ibrahimkibira9943
@ibrahimkibira9943 Жыл бұрын
Aisee may God protect you 🙏 achana na serikali yetu kwa ajir ya kurudisha watu nyuma na hapo kwasababu kuna hela nying wanapata wabinafsi na wana roho mbaya ..never give up tupo na wewe Bega kwa Bega tuko na ndugu zetu wanaumwa na dawa wanakunywa hakuna mapya
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Wa kwanza hapa Leo nipeni like zangu
@yohanambano872
@yohanambano872 Жыл бұрын
Asante kwa mafundisho mazuri
@nicolenabintu2509
@nicolenabintu2509 Жыл бұрын
Yani dah , shikamo SNS 👌🏾 romain Catholic Church to the world 🌎🔥👏🏾
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@yusuphmwamlima2902
@yusuphmwamlima2902 Жыл бұрын
Mungu alishafanya yake kwa uwezo na nguvu kwa hivyo hakuna maana ya kimungu katika huo moshi mweupe au mweusi. Mungu alishafanya yake kwa uwezo na nguvu. Hivyo ikabaki viumbe kuufuata huo utaratibu wa kuishi kimungu pasina kukengeushwa na viumbe vinginevyo kwa kutak kufuata yao pasina kufuata ya kimungu. Kiufupi tumedanganywa san juu taratib za kimungu tumekuwa tukiaminishwa na kutishwa na vitu ving visivyo Tunaishi kwa kufuata misingi ya baadh ya viumbe majini, malaika, dragon, elians, mapepo, nk. Ya ya mungu yatunasue katika kujisimamia kwa kuujua ukweli wa uishi wetu. Sis viumbe binadamu.
@EdsonGoziberth
@EdsonGoziberth 6 ай бұрын
Hujalazimishwa kuhamini bro kama Jambo halihusiani na wewe unaachana nalo by the way nikwambie Jambo moja katafute nini maana ya. Imani ukipata maana yake basi utaacha kuwa unakomenti kila kitu kwa kupinga. Haulazimishwi kuhamini kama kanisa halikuhusu basi achana na mambo ya kanisa Hilo basi
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 Жыл бұрын
Yani wewe sky nakukubali Sana hata research zako nimakin na sio porojo kama za simulizi zingine big up sana
@madawamchuwa8253
@madawamchuwa8253 Жыл бұрын
Mtakatifu? Hivi mnaangalia vigezo gani vya kuona utakatifu wa mtu? Jamani mtakatifu ni MUNGU tu ndio ambae hana dosari hapa chini ya jua hakuna mtakatifu wacheni ujinga
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 Жыл бұрын
Hujaelewa chochote ndiyo maana umejibu ulicho elewa we Ila ulichoelewa ww sicho kilicho zungumzwa hapa
@vicyngowi6459
@vicyngowi6459 Жыл бұрын
Mateka wa imani
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 Жыл бұрын
Mjinga ni we mwenyewe
@witnesclement7635
@witnesclement7635 Жыл бұрын
Andamana sasa!! Ila ndo ashaitwa mtakatifu
@georgepam1231
@georgepam1231 Жыл бұрын
Mungu pekee ndiye Mtakatifu.Hakuna mwandamu aliyemtakatifu acha ushabiki wowote kulingana na udini wako ulioukuta .Soma biblia utaona kwanzia mwanzo mpaka ufunuo kuna mtakatifu mmoja ambaye ni Mungu .Hapa Duniani hakuna aliyemtakatifu na yeyote anayejiita baba mtqkatifu maan anachukua nafasi ya mungu na mungu awezi kukubali nafasi yake ichukuliwe na mwandamu wa kula maharage na chapati.Utaabudu shetani becare
@jeturdasimon4851
@jeturdasimon4851 Жыл бұрын
Yani ukifikilia sana haya madhehebu ni bola kupiga hoti tu ndani kwako nakumlilia mungu wako nae atakujibu
@BacktoPhiladelphiaministry
@BacktoPhiladelphiaministry Жыл бұрын
Kwanini Aya makala yanaitwa 360....... Thanks kwa istoria nzuri sana❤❤❤
@ibrahimkhamis3324
@ibrahimkhamis3324 Жыл бұрын
Inamaanisha kuwa hutoa habari za kiulimwengu kiujumla ikimaanisha dunia Ina nyuzi 360 ambapo dunia huwa inapembe 4 Na kila pembe ni nyuzi 90 ukizidisha Kwa 4 utapata 360
@filskischannel9737
@filskischannel9737 Жыл бұрын
360= 3 =666 ... Alama ya mnyama
@kulwanzobe7657
@kulwanzobe7657 Жыл бұрын
Nakuunga mkono
@hikupskikons8914
@hikupskikons8914 Жыл бұрын
@@ibrahimkhamis3324 Exactly
@hikupskikons8914
@hikupskikons8914 Жыл бұрын
@@filskischannel9737 FILSKIS ACHA OUNGO WEWE, KAMA HUJUI KAA KIMYA
@MsokaselemaniMkelelwa-so9wr
@MsokaselemaniMkelelwa-so9wr 5 ай бұрын
Jina papa halipo bibliani,walilolitowa wanapajua wenyewe,haliusiani na Neno la Mungu(BIBLIA)
@athumanshaban
@athumanshaban Жыл бұрын
Washenzi Sana hao viyongozi wakubwa wa dini harafu hawekemei ushoga , Waafrika hizi dini tulizoletewa hafadhal tungefuata tamadun za mababu maana siyo kila kitu cha mzungu ni sawa
@robertmosha6801
@robertmosha6801 Жыл бұрын
Kemea wanao...
@mwenendoassani9127
@mwenendoassani9127 Жыл бұрын
A santé sana kbs dungu na utuleye zingine dini piya
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 Жыл бұрын
Dah story nzuri na yakina
@RamaNevi-fs6zr
@RamaNevi-fs6zr 10 ай бұрын
Yesu alitoka Jerusalem,mbn makao makuu y ukristo uko Vatican,kulikon
@victormbaga5772
@victormbaga5772 Жыл бұрын
Mashoga machapombe mahanisi wanachaguana na watubu wamgeukie Mungu
@chuchetresha
@chuchetresha Жыл бұрын
Rise and falling of Roman Empire, the home of the DEVIL PERIGAMO ,REVELATION 13 Devil agent ,hawana lolote 💯💥
@MuneneBrian-nq7bd
@MuneneBrian-nq7bd 8 ай бұрын
kwanza wanalawitiana haws😅😅😅😅😅
@chuchetresha
@chuchetresha 8 ай бұрын
😁😁😁😁😅😂😂🤣🤣🤣😂
@elizabethnyirato9856
@elizabethnyirato9856 Жыл бұрын
Ushirikina tuu wa kirum hapana chochote apo, ivi ni wapi imeandikwa wafanye hivo
@cleofasladislaus2177
@cleofasladislaus2177 Жыл бұрын
Kwa Nini hakujawahi kutokea akachaguliwa Papa mwafrika mweusi?
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 Жыл бұрын
Eti Baba mtakatifu!!awa ma free Mason, ilo kanisa limejaa ushoga, lina laana ilo kanisa, vitendo wanavyo fanya umo ndani ni vya kishetani tu wala c vya mungu, wanaozesha watu wa jinsia moja alafu useme ao watakatifu
@lucykioko2909
@lucykioko2909 Жыл бұрын
Mungu hakusamehe Kwa maana hujui unalosema
@lucykioko2909
@lucykioko2909 Жыл бұрын
Mungu hakusamehe Kwa maana hujui unalosema
@anathaliamwangamila3296
@anathaliamwangamila3296 Жыл бұрын
Muombe MUNGU akusamehe, unatukana dini ya watu. anaejua yote ni mungu pekee. Mambo ya imana si ya kukashifu.
@seharjan8523
@seharjan8523 Жыл бұрын
Moshi mweusi ni black pope ambae ni shetani amesema ukweli hkna cha Mungu akusamehe Hili kanisa ni nyumba ya shetani na hapa ndio kila kitu kinapangwa
@jannethshayo1367
@jannethshayo1367 Жыл бұрын
Hata huko kwenu upo sema huoni kibanzi kilicho ndani yako waona chamwenzako tu fikiri kabla ya kutenda
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 Жыл бұрын
Swali : lini atapatikana papa mweusi...???
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Hao mapapa wamefanana mbona au ndugu
@stefanomwayele6761
@stefanomwayele6761 Жыл бұрын
Fumata nera mean n moshi mweusi in italian den Fumata bianca n moshi mweupe
@JIWEtv6484
@JIWEtv6484 Жыл бұрын
Hawa wote ni wahini tu Sasa hivi atudanganyiki. Uliwahi kuona papa mweusi
@clethbarnaba923
@clethbarnaba923 Жыл бұрын
Yeah, walishatokea mapapa watatu kutoka Afrika. Angalia historia
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx Жыл бұрын
Why does the United States send weapons to countries that are at war and help the side they want, but if someone else acts like they don't like it?
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 Жыл бұрын
Fransis yeye ata ruhusu mapandri kuowa🙈
@winifridajohn7390
@winifridajohn7390 Жыл бұрын
Kwann sijawahi ona papa mwafrica?
@alicesamson6316
@alicesamson6316 Жыл бұрын
Kura ndo zinaongea
@missp1814
@missp1814 Жыл бұрын
Makadinari waafrica ni wachache
@johnkiimbila6799
@johnkiimbila6799 Жыл бұрын
Waafrika wana dhambi nyingi.
@johnkiimbila6799
@johnkiimbila6799 Жыл бұрын
​@@missp1814 ubaguzi
@winifridajohn7390
@winifridajohn7390 Жыл бұрын
@@johnkiimbila6799 uliambiwa na nan
@hikupskikons8914
@hikupskikons8914 Жыл бұрын
SAFI SANA, UMEELEZEA VIZURI SANA
@mohdnasser894
@mohdnasser894 Жыл бұрын
Hapo utaona kama ni dini ya ubaguzi vp hatuoni ma papa wa kiafrika au papa mweusi
@hikupskikons8914
@hikupskikons8914 Жыл бұрын
@@mohdnasser894 KATIKA HISTORIA PAPA FRANCIS NI PAPA WA 266, NA MAPAPA WA KIAFRIKA NI WA 3, AMBAO WALIISHI AFRIKA YA KAZIKAZINI, YAANI HASA NCHI ZA MISRI NA MOROCO. WALIISHI KARNE YA 2, 4 NA 5.
@joysekiza3944
@joysekiza3944 Жыл бұрын
Umejuaje wakati ni siri?
@rosemayunga4021
@rosemayunga4021 Жыл бұрын
Mbona hatuoni weusi
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 Жыл бұрын
❤❤❤
@jescalutegonsombnambyakoda6719
@jescalutegonsombnambyakoda6719 Жыл бұрын
Hili kanisa halitingwishi aisee Mungu awatunze RC
@chuchetresha
@chuchetresha Жыл бұрын
Iliandikwa usifuate mataifa na njia zao ,Roma catholic ITALIA ,Anglican England ,Lutheran Germany🤣😂😅👽👽😓😰😭😁😹💯💥tafuta kweli imeandikwa mayo itakuweka HURU😲😫
@chuchetresha
@chuchetresha Жыл бұрын
Ufunuo 13 ambao tokamwanzo Hadi mwisho wa kitabu Cha biblia cheo Chao hakipo ,ni mpango wa RUMI kuitawala DUNIA,hata ukiwa Tanzania utaitwa Roma katoliki, Sio Tanzania katoliki😂🤣those are true sons of Babylon ,babel ,biblia takatifu haiwakubali isipokuwa kitabu Cha maswali na majibu KATEKISIM😭🤣😂😅😰😓👽
@jamilajamal1584
@jamilajamal1584 Жыл бұрын
Papá anakuwa na mke na watoto? Nauliza tu
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 Жыл бұрын
Dini ya waitaly na wazungu hii
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 Жыл бұрын
Ndiyo walioanzisha acha kuropoka kama hujui kitu hiyo ni Dini ya Dunia nzima Haina kabila
@chuchetresha
@chuchetresha Жыл бұрын
Satan company😅😂🤣💥💯
@alimuhamed1830
@alimuhamed1830 Жыл бұрын
Inadina ghenda Allah islam
@Manyesha6290
@Manyesha6290 Жыл бұрын
Amina
@FreeGod368
@FreeGod368 Жыл бұрын
Usiri wanini sasa
@victoriadaizy5277
@victoriadaizy5277 Жыл бұрын
Huezi elewa because you are not a catholic achia hapo sio kila jambo huwekwa wazi hata kwa familia kuna mambo huwa yana pitishwa kisiri na wazazi so ww shinda hapo ukipanga kitu ambacho huelewi .
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
👊🙏✌️.
@norahnoboka34
@norahnoboka34 Жыл бұрын
Oomoj
@erastompongo8400
@erastompongo8400 Жыл бұрын
We nimnoma
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Жыл бұрын
ukitulizaakili.yako utajua roman ni.utawala wakarne hizo nahata ukiangalia ottoman azam tv utagundua roman kazi yake.ilikua nini kina.nikola haikuwa dini.bali ulikua niutawala😅😅😅acheni kulazimisha akili.kulala
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 Жыл бұрын
Acha uboya ile ni movie wale wote ni waislamu mna akili ndogo sana
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Жыл бұрын
Wamebariki ushoga hao hata siwapendi hata asilimia moja wapuuzi tu mimi ni mromani mnzuri kwa upuuzi wa ushoga, nakumkaribisha Zelensky pale Roma ni dhahili wamebariki mauaji pale Ukraine
@florabuzoya3948
@florabuzoya3948 Жыл бұрын
Acha uongo nani kasema wamebarki ushoga acha dhambi za kujitakia
@ireneassey2022
@ireneassey2022 Жыл бұрын
Pole jamn ujapata taarif vizur itakua unasikiliza sungura tv
@shukurumsebaloli
@shukurumsebaloli Жыл бұрын
@@florabuzoya3948 😂😂😂 unaishi ulimwengu upi wewe
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 Жыл бұрын
Acha uongo si wakatholiki
@isikesamike
@isikesamike Жыл бұрын
Hujapata taarifa sahihi. Tunakosea sana kumtafsiri mtu anayesema "...mashoga wana haki kama watu wengine." Ni sawa na kusema "...wezi, wazinzi na wadhambi wengine wana haki." Haki inayozungumzwa hapa ni ile ambayo kila mtu anayo na si dhambi atendayo. Ushoga, wizi, ufisadi, ulongo, mauaji, uzinzi na vitu kama hivyo vyote ni dhambi mbele ya Mwenyezi MUNGU. Ila watenda dhambi hii wana haki zote za kibinadamu. Kama ndivyo, basi ushoga siyo haki bali ni dhambi kama dhambi zingine ila hiyo haindoi haki za kibinadamu za shoga kama ilivyo kwa mwizi, mwongo, mzinzi ama muuji.
@jescalutegonsombnambyakoda6719
@jescalutegonsombnambyakoda6719 Жыл бұрын
Hapo hakuna mafuta ya upako ni kusali mpk kieleweke 😃😃😃
@chuchetresha
@chuchetresha Жыл бұрын
Bogus💯💥
@VianEzekiel
@VianEzekiel Жыл бұрын
Amina
Yote unayopaswa kufahamu kuhusu ndege za kivita!
28:51
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 3,6 М.
I'VE MADE A CUTE FLYING LOLLIPOP FOR MY KID #SHORTS
0:48
A Plus School
Рет қаралды 20 МЛН
$1 vs $500,000 Plane Ticket!
12:20
MrBeast
Рет қаралды 122 МЛН
MFAHAMU ASKOFU NZIGILWA "WALEI NIMEISHI NAO VIZURI,MPANDA WAJIANDAE NINA MIPANGO MINGI".
43:27
I'VE MADE A CUTE FLYING LOLLIPOP FOR MY KID #SHORTS
0:48
A Plus School
Рет қаралды 20 МЛН