No video

Kumekucha MSIGWA AMWAGA UKWELI WOTE KUHUSU WABUNGE 19/ Mbowe anajifanya mjanja wale wabunge iko hivi

  Рет қаралды 43,491

BONGO 24 NEWS

BONGO 24 NEWS

Күн бұрын

Пікірлер: 365
@clausdominic1518
@clausdominic1518 Ай бұрын
Wenjaa tu bro muheshimu alie kupeleka mjini 😅😅😅
@yohanamdemu9232
@yohanamdemu9232 Ай бұрын
Daaaaah kiukweli Mungu akuandalie moto wa kukutosha ndugu yangu huuu ni unafiki na machukizo kwa Mungu wako unaemsaliti
@atupegemwakahesya
@atupegemwakahesya 11 күн бұрын
Unazidi kujivunjia heshima. Wanaokushangilia usifikiri wanakupenda, wanakuona kama mtoto mdogo. Mbona wewe mwenyewe unang'ang'ania vyeo? Umeongoza uenyekiti mara mbili. Sasa ulitaka mpaka ushinde mwenyewe? Mbona Mwabukusi uligombana naye sana? Ni vema mtu mzima ujitambue! Pole sana.
@user-lx1qn2by8j
@user-lx1qn2by8j Ай бұрын
Uyu kasha kuwa mwehu ogopa sana njaa awa ndo mala nyingi huleta machafuko ya kisiasa watu wa dizain hii hawafai kuwa sehemu ya siasa miaka 30 ulikuwa umo leo nini kimekukuta muogope Mungu Msigwa aya yote ulishiliki leo usalti wako unaweza kukufanya ukaishi maisha ya hovyo sana mbelen .
@dismaslalubare4196
@dismaslalubare4196 Ай бұрын
Njaa kweli ni noma.. Huyu alikuwa mchungaji wa mbuzi au wa kanisani ? kama ni kanisani Sasa mbona umewaacha kondoo wenyewe huko church
@JOSEPHKAJORO
@JOSEPHKAJORO Ай бұрын
Msingwa kama ungeshinda uongozi wa Kanda ya kusini-ungeyasema hayo-acha unafiki huo.
@thomastemu3332
@thomastemu3332 Ай бұрын
Ndiyo siasa bro hizo.siasa ni mchezo mchafu😅😅
@rammykandra2354
@rammykandra2354 Ай бұрын
Njaa mbaya sana inaweza kukuvua nguo adharani
@FridayMwassa
@FridayMwassa Ай бұрын
Kabisa
@piusmdoe3200
@piusmdoe3200 Ай бұрын
Punguwani.punguza mhemko.punguza hasira.umekosa uenyekiti,pole kaka.Unayoiita NGO ile imekulea tangu ulipokuwa mzee wakati ule mpaka ukawa kijana
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 Ай бұрын
Msigwa njaa, ubunge miaka 10, Iringa hata kiwanja cha ofisi hakuna, kanda umeshindwa kujenga ofisi. Umehamia CCM uokowe gorofa lako Dar. Wenye akili hupigana ndani ya chama hadi kieleweke.
@FridayMwassa
@FridayMwassa Ай бұрын
Kibaya zaidi anajiita mchungaji,sijui anachunga nini
@thomastemu3332
@thomastemu3332 Ай бұрын
Hahaa hakupewa hela na mboe yakujenga ofisi
@NoebethFaiza
@NoebethFaiza Ай бұрын
Huyu jamaa ni mshenge kweli kweli Hana mbele Wala nyuma
@JOSEPHKAJORO
@JOSEPHKAJORO Ай бұрын
Msigwa njaa hiyo. Nchi hii ina matatizo mengi ya msingi,achana na chadema.
@user-zv6yv2cv1d
@user-zv6yv2cv1d Ай бұрын
Vipi kuhusu bandari imeuzwa au haijauzwa
@jumaitanga9731
@jumaitanga9731 Ай бұрын
Mfa maji haishi kutapatapa msigwa nibora kiongoz siyo kiongoz bora hata huko ccm atawavuruga hao ndiyo viongoz walio tajwa na mwl nyerere (baba wa taifa)viongoz malaya malaya kelele zote anataka nafasi ndiyo lengo lake .
@NuruVenance
@NuruVenance Ай бұрын
Ungepewa umwenyekit Ayo yangekwepo
@CristinLyanga
@CristinLyanga Ай бұрын
Sura yako tuu, msigwa imejaa unafiki mtupu ,ungeanzisha chama chako basi kwani hata ccm imejaa mapungufu kibao! Nimekuchukia sana brooo, wenye akili tunajua kinachokuropokesha hapo ,na uongozi wewe hapo usahau,hata wenye ccm wenyewe tayari wamekuwekea???????.
@ezrommoshi9409
@ezrommoshi9409 Ай бұрын
Huyu akae kwa kutulia ili dawa iweze kuingia. Ni MCHAWI ambae kwa kawaida baada ta kuloga na kuua usiku wa giza nene kwa SIRI huanza kutembea mchana kweupe akitaja watu aliowadhuru.
@serafineslaa1082
@serafineslaa1082 19 күн бұрын
Tusubiri upigwe uchaguzi mkuu ndiyo utamkumbuka Mboye unayemsema vibaya. Tengeneza chakula cha tawala unaweza kupata ka nafasi.
@amedeusmushi
@amedeusmushi Ай бұрын
Chadema oyeeeee❤
@allyflavour8005
@allyflavour8005 26 күн бұрын
Viongozi mnatuchanganya sasa....hivi baada ya kusema sera...ambazo...zita watowa watu kwenye...umasikini....kazi kwa vijana....wakulima ...wafanye nini kuboresha...vilimo vyao.....kukuzaelimu..yetu...ajira kwa warimu wetu...haya unayo yasema..nazani hayana..msaada kwa mwananchi wa kawaida
@allyflavour8005
@allyflavour8005 26 күн бұрын
Sasa...hapa ndugu ungewaambia...wana nchi...kuwa maendeleo...yetu tujenge kuanzia upande gani...maana kuna umasikini...mkubwa sana...kupanga mikakati..kuinua vijana..waweze kufika mbali
@CristinLyanga
@CristinLyanga Ай бұрын
Wewe msigwa ni mbaya sanaaaaa.
@brownjvmtakimwa5586
@brownjvmtakimwa5586 Ай бұрын
Mbona husemi umefanya Nini kwenye Jimbo lako si tunaitaji maendeleo siyo kuwasema wezio
@user-hd6il8ni2f
@user-hd6il8ni2f 15 күн бұрын
Huyu mjinga sasa anazidi kuchizi anashindwa kuzungumza maendeleo atayaleta namna gani mda mwingi kuongelea chama alicho toka.
@JacksonFrances
@JacksonFrances Ай бұрын
MSIGWA ZUNGUMZIA SERA ZAKO UTAWAFANYIA NINI WANANCHI KUPITIA CCM, ACHANA NA CHADEMA WEWE VIPI. MBONA HUYO MBOWE ULIPOKUWA CHADEMA ULISHINDWA NINI KUMSHAULI MPAKA UMNANGE MAJUUKWAANI SAIVI "
@MnubiMm
@MnubiMm Ай бұрын
Mkatazeni na Mbowe lema na lisu wasiitaje CCM waseme sera zao vinginevyo Kama huko ni haki na huyu anayo acha aseme
@maulidmusa8902
@maulidmusa8902 Ай бұрын
Badala ya kuongelea CCM yake ana leta uchawa
@samwelandrew3852
@samwelandrew3852 Ай бұрын
Kaka acha tujue ukwel kwanza ili tuwajue watu walivyo
@user-kg5yu4kg9p
@user-kg5yu4kg9p Ай бұрын
@@JacksonFrances Acha amchane mbowe huo ukweli ndio maana inawauma
@jamespeter5882
@jamespeter5882 Ай бұрын
Vp bandali msigwa imeuzwa au
@nashirkamugisha9425
@nashirkamugisha9425 Ай бұрын
Hakuna wapenzani kupitia chadema 1. Mbowe mfanyabiashara kwa kutumia chama 2. Lissu wanampotezea muda labda aende kwa ZITTO
@istambulahmed6664
@istambulahmed6664 Ай бұрын
Sio utani
@samwelandrew3852
@samwelandrew3852 Ай бұрын
Kaka uyu jamaa anaonekana anasema kwel yan amepanic alaf mtu akipanic huwa anasema kwel
@musamsangi1610
@musamsangi1610 Ай бұрын
@@nashirkamugisha9425 Iwe kweli ama uongo Watanzania tubadikike hivi kumsema mbowe personal inawasaidia nini Watanzania kuhusu Dawa,kilimo,ajira,elimu na biashara.Hawa wanasiasa inawezekana hawana uchungu na nchi
@gadielkahemba6514
@gadielkahemba6514 Ай бұрын
Hakuna kitu hapo hata Samia kila kinacho fanywa utasikia kafanya Samia kwakua ndie mwenye kiti huo ni uroho tu wamadalaka.
@FridayMwassa
@FridayMwassa Ай бұрын
​@@samwelandrew3852Hana ukweli wowote ni njaa tu ndiyo inayomsumbua
@FridayMwassa
@FridayMwassa Ай бұрын
Mbona nchi ina matatizo mengi kuliko unavyotaka kutuaminisha
@zablonsegere2367
@zablonsegere2367 28 күн бұрын
Swali kwa nini uyaseme baada kushindwa kura uenyekiti wa Kanda?
@reysonbihali6776
@reysonbihali6776 Ай бұрын
Yaan baada ya kuongea ni jinsi gan,atapambana na maisha ya watanzania akiwa CCM kazi ni kupiga taarabu tu.... Mimi simwelewi kabisaaa!!!
@user-zb2mj5nd5g
@user-zb2mj5nd5g Ай бұрын
Umefeli pakubwa sana Msigwa sikutegemea hata siku moja jinsi ulivyokuwa na msimamo hadi mkapelekwa jela nakupigwa vipala kwakuitetea chadema leo umevaa kijani ama kweli siasa kiboko🤣🤣🤣🤣🤣
@user-zb2mj5nd5g
@user-zb2mj5nd5g Ай бұрын
Msigwa acha kufanya mchezo na mdudu anaeitwa njaa, anatisha ile mbaya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@zuwenaabdallah7748
@zuwenaabdallah7748 Ай бұрын
Msigwa kifua chake cha ice cream😅😅
@KassimHanga-xr7rb
@KassimHanga-xr7rb Ай бұрын
Sema Sana lakiñi tunajua sababu umekosa madaraka na ndio viongozi wa Sasa wengi wao wanafanya hivyo
@PaskaliCharles-pz8ds
@PaskaliCharles-pz8ds Ай бұрын
Huna lolote njaa itakuua hiyo mchungaji gani unakuwa na tamaa hivo maneno ya mkosaji na hatukupi kura sehemu yoyote
@user-uo2ld3hl5g
@user-uo2ld3hl5g Ай бұрын
Wewe ni muongo kwnn usisema ukiwa ndani ya chama ww nikama Yuda alie muuza Yesu!!
@sharifasharif3978
@sharifasharif3978 Ай бұрын
Huyu sindio aliesema sinunuliwi na vinin vile siku aliowekwa ndan
@user-rw2dh5ni8s
@user-rw2dh5ni8s Ай бұрын
Sijaona jitu bwege kama hili lichungaji feki.Shida yake kubwa ni "CHEO" alivyokosa kuwa mwenyekiti wa Kanda imekuwa nongwa,kitu ambacho hajui ni kuwa CCM ina wenyewe,umewakuta watu huko usitegemee kuteuliwa. Utaasi kama ulivyotoka TLP
@user-po5nz9ls6u
@user-po5nz9ls6u 19 күн бұрын
Oñgelea kuhusu rasilimali za nchi zinazomikishwa kwa waarabu
@BarakaJohnNdaisaba-bk3nv
@BarakaJohnNdaisaba-bk3nv Ай бұрын
Futa jina lamuchungaji hunasifa yakuitwa mchungaji unasifa yausalit et unasema unamuogopa mungu huyu mungu jaman mungu yupi unaye mzungumzia pole cn kwanjaa kali
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Ай бұрын
Haaaaaaa NO NO NO NO PLS , BORA MKAHUBIRI INJIRI , HAKUNA HAJA YA KUSEMA ULOKUWA UNAYAFANYA HUKO MZEEE , TUNZA MANENO YA KESHO MAANA USIJE AIBIKA SIKU MOJA
@fredrickkaaya6287
@fredrickkaaya6287 Ай бұрын
Wewe hata uongee Nini huna unachoiongezea CCM zaidi ya kuwapotezea muda. Jamani narudia tena CCM Ina wenyewe wapeni huu muda anaopotezea Msigwa.Mambo ya Mbowe wana CCM wanahubiriwa ya Nini? Mbona alipokuwa Chadema hakufungua mdomo wake. Wana CCM amkeni huyu mtu ameletwa kukichafua na kukisambaratisha chama chenu.
@user-oc8zx4uj8f
@user-oc8zx4uj8f Ай бұрын
jaman jaman inakuwaje vijana tusipoweza kugundua hivi vitu tutadanganyika sana tutafute njia za kupambamba na ukoloni mambo leo ndio kitu kinacho endelea kwenye taifa letu .tunadanganywa sana kwa kweli tunapaswa kutafuta mbinu za kupambana na kuleta ukombo mpya bila vivyo tutafanyiwa matendo haya na watawaachia watoto na vizazi vyao mpaka lini
@kasomishedrack5027
@kasomishedrack5027 Ай бұрын
Akose nafasi ccm uone Kama ataendelea kupiga kelele lazima atoke nduki.Yaani anajisifu kucheza timu nyingine akiwekwa bechi tu lazima asingizie wachawi.
@frenktarimo4703
@frenktarimo4703 25 күн бұрын
Mchungaji et daaa njaaa mmbayaa kweli
@ernestmwasunga3021
@ernestmwasunga3021 Ай бұрын
Wenye D 10 ndo tunao muelewa Mzee msigwa uko vizuri baba
@nyembobea7285
@nyembobea7285 Ай бұрын
Safi sana mwamba
@sindaslyvester1007
@sindaslyvester1007 Ай бұрын
Ameshachanganyikiwa
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 Ай бұрын
Msigwa hana jioya
@mwadinijuma928
@mwadinijuma928 Ай бұрын
HUYU NJAA INAMSUBUWA HUYU SI MZALENDO MNAFIKI MGOMBANISHI KWANINI HAKUYASWMA HUKO
@PhilipoMwasha
@PhilipoMwasha Ай бұрын
Hana lolote shule za imma hazina walimu lakini watoto wao wanasoma shule za binafs kwa fedha nyingi,Tena ni waajiri wa serikali
@juliusmsegu3347
@juliusmsegu3347 Ай бұрын
Chadema ina watu makini sana. Huu upuuzi anaoongea hauna mantiki na haiwezekani ikawa ni kweli. Ufusadi upi wakati kila mwaka CAG anakagua hesabu zao na hawana hati chafu.
@charlesphilipo3533
@charlesphilipo3533 Ай бұрын
THERE IS NO HoPE with CHADEMA
@ymohammed963
@ymohammed963 Ай бұрын
We msingwa bado Muhammad sana
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 Ай бұрын
Mwacheni aseme ndio demokrasia.
@RodenMgata
@RodenMgata Ай бұрын
Haya maneno ungeongea myaka 2 nyuma ningekuona wamana kweli
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 Ай бұрын
Wewe mbona siyo msafi kaa kimya huna jema Mwanamme kuwa mmbea hupendezi Hata wewe YUDA mkubwa tena fisi mla watu unataka cheo
@EzeKomba
@EzeKomba Ай бұрын
Hapa tumepigwa hakuna mtu mna angalia ulaji tuu kukosa uwenyekiti Kanda ya Nyasa umesha kimbia
@vicenttarimo2203
@vicenttarimo2203 Ай бұрын
Mchungaji ulikua ndani Ya chadema mbona umengoja mpaka umekosa madaraka japo unayoongea ukweli tutaamini vip na ulikua husemi wewe mwenyewe ulikua unaponda CCM .chama cha mapinduzi mtazameni huyu vizuri huenda iko siku atatoa siri ya CCM.
@GaudensiaKazana
@GaudensiaKazana Ай бұрын
Huna jipya ww hao ccm wamekupa hela ndio maana unaropoka hapo.
@julianamwamgogwa
@julianamwamgogwa Ай бұрын
Afu ingekuwa unahamia cm kabla ya kushindwa uenyekit ungeonekana wa maana sana lakini sasa unajichosha kwa maneno mengi kwa kuwa leo hutakimbichi his ila kabla ya kutenda zilikuwa zinatamanisha ndio maana umetemwa mkaaa walio kubwaga wana akili sana
@mbatemgingamwita5944
@mbatemgingamwita5944 Ай бұрын
Mmmmmh vip mh Msigwa,? Duh
@atupegemwakahesya
@atupegemwakahesya Ай бұрын
Wakati mwingine msitufanye wananchi hatuna akili, ungefanikiwa kuwa mwenyekiti wa Kanda, haya usingesema. Alijaribu kugombea uenyekiti wa Kanda Ndg, Mwabukusi ikawa nongwa. Sasa umekosa uenyekiti, umekikimbia chama Cha zamani. Kwa maana hiyo wewe ni mpenda madaraka. Umemsema Mbowe kuwa anang'ang'ania kiti, wewe mwenyewe unang'ang'ang'ania kiti Cha Jimbo. Sasa tofauti Yako na Mbowe ni ipi?
@giftotaru5808
@giftotaru5808 Ай бұрын
Uchawa na kujipendekeza kumekua kwingi kuliko maslahi ya wananchi
@musamsangi1610
@musamsangi1610 Ай бұрын
Tupe sera zako utatuletea nini kwenye achana na CHADEMA
@modestusndunguru7183
@modestusndunguru7183 Ай бұрын
Mbona tundu la chooo huwa anatukana....viongozi na ccm.mda wote..samia....ccm..maraagufuli......hamyaoni...ubaya ubwela.....kudadeki.....wape vidonge saccos wale.....😂😂😂😂😂😂...hadi waseme
@musamsangi1610
@musamsangi1610 Ай бұрын
@@modestusndunguru7183 sawa kama kutukana ni sahihi atupe sera zake basi Sasa yeye toka mwanzo wa mkutano mpaka mwisho anaongelea CHADEMA Watanzania wanataka maendeleo atuambie ataifanyia nini nchi iachane na mikopo ya mabenki ya makabwela.
@user-km2vw8gs4s
@user-km2vw8gs4s Ай бұрын
Njaa tuu we toka zako maskini mnafiki ww
@humphreymkony8915
@humphreymkony8915 Ай бұрын
Huyu akili imekuwa tope! Ni mipasho tu
@PeterSaramba
@PeterSaramba Ай бұрын
Yaani Wewe chama kilichokulea mpaka umepata kujulikana sasa unasema vibyaa kweli Wewe ni lijoka msigwa na tena Wewe ni yuda isikariote aliyemsaliti Bwana Yesu kwa sababu ya pesa na Wewe uliamua kusaliti chama ya chadema kwa sababu ya kupewa pesa na C.C.M. ili uichafue chadema.
@mahamudumshuza6970
@mahamudumshuza6970 Ай бұрын
Unatushauri tuwe sote ulipo wewe ila punguza maneno ya ukali tulikupenda kwasababu ulikuwa mjenga hoja mzur wa kuwaeleza ccm ukweli tunakuomba vilevile ulivyo kuwa huwaogopi kuwa unawaambia ukweli panapo stahili ukweli uuseme maana wao wanapakusemea sio unalopoka2 ccm inawenyewe na hilo unalijua tunakuombea uwe mmoja wao ukosoe unapo ona hakuna haki ili taifa letu lipate afya jina liwe kubwa lizidi lile la chadema😊
@yohanaisayasimoni
@yohanaisayasimoni Ай бұрын
Inashida gana trampo ni tajiri kabla ajawa raisi
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Ай бұрын
We msigwa vp kuhusu bandar tunaomba mlejesho
@petrolima8612
@petrolima8612 29 күн бұрын
We're unatafuta Chris serikalini guns lolote debe you wee
@mangashajunior242
@mangashajunior242 Ай бұрын
Kuongea ya chadema inaonekana una njaa kali ya kisiasa....
@jescaisack8676
@jescaisack8676 17 күн бұрын
Umefata ccm ni cheo ili mama samia akupe cheo una lolote mbona wakati upo chadema ujasema ayo njaa tuu inakusumbua umekosa uongozi ukakimbia una la maana ety mchungaji
@warrenmgode1837
@warrenmgode1837 Ай бұрын
Msigwa mbowe Yuko vizuli ichi zote kama malaw zambia hawajawhi badilisha uwenyekit hakahind walihama jbm wakamutukana ukabila udini kujipenda lakini walipiga kula wakalinda, Sasa ni Rais, muchungaji inatakiwa uwe na upendo usiwek na chuki
@stevensteve7519
@stevensteve7519 Ай бұрын
Msigwa utaanguka anguko baya. Tuambie sasa kwakuwa kwako ccm utasaidiaje kuhakikisha wastaafu wanalipwa mafao yao kwa utaratibu uliovurugwa na chama chako kipya? Utasaidiaje kuhakikisha hali duni ya maisha kwa wananchi inabadilika, utasaidiaje kuhakikisha watumishi wa umma wanalipwa stahiki zao kwa wakati bila kuzunguushwa, utahakikishaje kwamba fedha za umma hazipigwi kama alivyofichua Mpina. Tungependa tukusikie ukizungumzia hayo achana na chadema. Utuambie kuharibika kwa NHIF mpaka wanachama wanabaniwa gharama za matibabu. Utuambie tatizo la katiba mpya litaishia wapi.
@bakaribakari167
@bakaribakari167 Ай бұрын
Msigwa kwa Hilo nikweli lisu alikuja kigoma 2023 na gari Moja viongoz wa wilaya nikawasikia mafuta yameisha vipi tunapataje ikaanza miningono
@JemeslaizerJemeslaizer
@JemeslaizerJemeslaizer Ай бұрын
Mbona umehama baada ya kushindwa uchaguzi.
@samwelandrew3852
@samwelandrew3852 Ай бұрын
Sas ugali atapataje
@julianajeremiah4353
@julianajeremiah4353 Ай бұрын
Wewe mbona ulikua kimyaaa siku zoteee kwanini asianzishe biashara yake ndio kiongozi we Sio mkweli kwanini usiyaongelee kule
@claudkanyorota2411
@claudkanyorota2411 18 күн бұрын
Hivi Hawa hawali viapo vya kutunza Siri?mchungaji Gani huyu?Angeenda kabisa jingine angesema alikotoka?
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 Ай бұрын
yaani huyu jamaa ana mambo ya kike kweli
@lovenesdickson1824
@lovenesdickson1824 Ай бұрын
Njaa iyo
@abdulmajidmageja6562
@abdulmajidmageja6562 Ай бұрын
Kumbe unataka kujibiwa unamjibu vp kichaa
@YelicoLuvinga
@YelicoLuvinga Ай бұрын
Kichaa akiwa jalalani huwa haokoti kila takataka
@EliaHiluka
@EliaHiluka Ай бұрын
Kwann ulipokuwa huko hukusema hayo
@user-yw5nk8xp1z
@user-yw5nk8xp1z Ай бұрын
Mfamaji aishii kutapatapa unatafua ubunge mbwa ww kwendaaa ss ni mbelekwambele
@user-hb8er6dq2q
@user-hb8er6dq2q Ай бұрын
Makamanda tenaa😅😅😅
@user-gn6zz3bq4n
@user-gn6zz3bq4n Ай бұрын
Kubwa Zima limejitoa ufahamu Tunasubiri utengane na MKEO utoe Siri zake. Wanaokushangilia watakuwa WASUNGO HAO UPOFU UMEWAJAA. WANAJUA FIKA UMECHAGUA KUWA CHAWA ILI MKONO UENDE KINYWANI KUPITIA KODI ZETU WAO WANAKUSHANGILIA PASIPO HOFU YA BAADAE.MAANA NA HAPO UNAWEZA KUTOKA
@wanchara184
@wanchara184 Ай бұрын
They will sacrifice you like others watch your mouth.
@user-lx1qn2by8j
@user-lx1qn2by8j Ай бұрын
Huu ni zaidi ya ushoga na umbea .
@kaundavyoseena6514
@kaundavyoseena6514 Ай бұрын
Mbowe tatizo kuu
@ShafiiHamisi-qr3fy
@ShafiiHamisi-qr3fy Ай бұрын
KAMA KWELI mambo ndo yalivyo ndani ya CHADEMA ikawaje sasa juzi ukagombea uenyekiti wa kanda? Na baada ya kushindwa, ndo ukahamia upande wa pili? Kwa kauli zako hizi huoni kama una tabia za kimalaya malaya!
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Ай бұрын
Yuda acha hasara kwendraaasaa
@raymondmushi9019
@raymondmushi9019 Ай бұрын
Ulisema ukija kwetu utapewa nafasi kubwa tu,haya karibu uendelee kusubiri hiyo nafasi kubwa tuliokuahidi.
@JohnKalega
@JohnKalega Ай бұрын
Mbowe hawezi kukujibu mtu kama wewe. Msaliti wa chama
@7675kio
@7675kio Ай бұрын
Kiongozi.yeyote ambaye anabadilisha msimamo wake.kutegemea na nani anajihusisha nae, huyo hawezi kuongoza taifa. Mimi sina Chama na wala sitakuwa.mwanachama wa Chama chochote. Msigwa kanunuliwa na vipande vya fedha. Atawasumbua sana sana chadama.
@nabilsaid8046
@nabilsaid8046 Ай бұрын
Hamna mchungaji hapa
@abrahammwamlomba8922
@abrahammwamlomba8922 Ай бұрын
Hata mke ukimwacha usiseme mapungufu yake wewe ulikua wapi ulipokua huko
@peterdaud5669
@peterdaud5669 Ай бұрын
Njaa kali tu broo
@yohanaisayasimoni
@yohanaisayasimoni Ай бұрын
Ungelea maendeleo ya nchi
@abdallahibrahim9052
@abdallahibrahim9052 Ай бұрын
😂😂😂kumbe unajaribu kusema ukweli bro unafurahisha wewe
@MAIGECHARLES-x7r
@MAIGECHARLES-x7r Ай бұрын
Wanasiasa siyo watu wakuwaamini sana aisee kama huku ulikotoka kunauovu je ina maana ukikuta ccm kuna uovu pia wakuiba utaachana na siasa au utachukua maamzi gani mm nafikiri kukimbia tatzo siyo njia ya kutatua matatizo tuungane kusema tu kuwa mataifa yetu yanashndwa kupiga hatua kwa speed sababu ya njaa kali kwa wanasiasa wetu
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp Ай бұрын
Wewe unaomba cheo Kwa raisi nahupat
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 4,7 МЛН
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 7 МЛН
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 21 МЛН
KIMYA MAKABURINI HAKILETI AMANI
14:30
SK Media Online TV
Рет қаралды 15 М.
DUDU BAYA AMVAA Mch.PETER MSIGWA KAULI YAKE KWA MBOWE
12:41
BONGO 24 NEWS
Рет қаралды 20 М.
KAULI ZA NAPE NA KASHKASH ZILIZOWAHI KUMKUTA
6:48
JAMBO TV
Рет қаралды 150 М.
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 4,7 МЛН