Jpm pumzike kwa amani..! Baba umetuachia alama zako kila kona ya nchi yetu..! Hatuna bud kukukumbuka.
@TamuzaKale2 жыл бұрын
Unataka umalizie neno "KAZI IENDELEE"
@user-kr5dp2ip9g2 жыл бұрын
@@TamuzaKale Bro..nimerudi tena kwako,nataka nikwambie kitu kimoja watanzania wengi walimuelewa sn yule Jemedali (JPM).utakua na kazi kubwa sn kuwa part ya watu wanaojaribu kutoa nguvu zao ili kuwasahaulisha alama alizoacha yule komandoo..kauli zake tu ni kumbukumbu tosha kwamba tulipata rais ambae alikua hapendi mambo ya kijinga ktk miradi na nchi kwa ujumla 😂
@emmanuelmkama30002 жыл бұрын
@@user-kr5dp2ip9g Asante sana ndugu.
@alphonceelias25512 жыл бұрын
JPM shall dwell in our hearts forever
@mimiraia25312 жыл бұрын
Kabisa, kabisa, kabisa
@samuelmwaikambo56912 жыл бұрын
JPM Always Remembered our hero RIP.
@maselemandalu21922 жыл бұрын
Biggest done assigned work RIP pumzika kwa aman
@anosiata82422 жыл бұрын
Jpm four forever Mungu amuraze mahari mpema peponi.
@goodlife67252 жыл бұрын
Ndgu mwandishi upo vzr unaifanya kazi yko ki professional
@salehsimba53062 жыл бұрын
Kipande cha kutoka Pugu mpaka Moro kilitakiwa kianze kufanya kazi mwezi wa 4, lkn mkapeleka mbele mwezi 8 nayo hora mkasema train ya majaribio ingewasili nchi mwezi wa 11 lkn pia mpaka sasa Dec. Hakuna kitu. Dah! Tulijua haya yote Simba mwenyewe ameondoka na miradi yake. Mungu amrehemu JPM wetu
@zawadix95742 жыл бұрын
Hiyo sio kwasabu ya magu yeye sio Mjenzi project works kubwa hivi zina delay sana ya kenya ili delay miaka miwili
@@TamuzaKale wewe akili zako za kenge kabisa ange kuwepo magufuli saahv treni isha anza kazi
@TamuzaKale2 жыл бұрын
@@ilynpayne7491 Ushawahi kujenga hata chumba kimoja kwanza?> Maana maneno mengi sana! Usitukane tuongee kwa staha!
@thomaskibasa99052 жыл бұрын
Safi inatia moyo kama kipande hiki kimefika mwishoni.
@charleskyando62552 жыл бұрын
Asnt kea taarifa nzuri,tunakushukuru serikali kwa kuboresha miundombinu ya usafiri
@onesmojustice23482 жыл бұрын
Kwa sasa hakuna kiongoz ninaemuelewa. Jpm duh ngoja tuache kama ilivyo.
@jonsongabriel9372 жыл бұрын
Hongereni kwa kazi nzuri
@mpendakiswahili30532 жыл бұрын
Watanzania kiswahili mpo vizuri
@starjay30522 жыл бұрын
ben yukwapi jamani
@markh81422 жыл бұрын
Ongera Mama wataelewatu ni swala la muda👏👏
@alphonceelias25512 жыл бұрын
Lala Magu lala.hakika tutaonano,lala Magu lallaaa.heshima kwa Magu.
@ernestsinje86932 жыл бұрын
Mbona spidi imepunguwa kulikoni?
@damianmdee24952 жыл бұрын
kila siku tunaambiwa mwezi huu mradi unakamilika, elezeni tu kweli kwamba tangu aondoke shujaa JPM kila kitu kimesimama. Hata bungeni wapo ambao wanabeza miradi hii na wanapiiwa makofi. Watanzania sisi wanafiki sana. Hatupendi maendeleo ila tunapenda kuwafagilia mafisadi.
@TamuzaKale2 жыл бұрын
Kimesimama na hao wanafanya nini hapo? Akili mbovu hiyo!
@user-kr5dp2ip9g2 жыл бұрын
@@TamuzaKale Bro..pumzika watu wazima wanajua hii rangi ni nyeusi na hii ni nyeupe..JPM alieleweka sn, kama unakumbuka enzi za uhai wake walileta ujinga wa kuchelewesha mradi wa machinjio ya kisasa(vingunguti) bila sababu za msingi kilichotokea hahahaha yule Jemedali JPM alifanya kushtukiza na walinzi wake,miongoni mwa hao walinzi kulikua na mwamba mmoja walipofika eneo la mradi,kulikua na fence wakazunguka kwa nyuma then yule mwamba ktk walinzi wake akachana bati la fence kwa mkono then ukapatikana uwazi /tundu then Jemedali akapenya kwenda kukagua na kuhimiza mradi umalizike kwa wakati uliopangwa...alafu unataka juhudi zake watu wazisahau ?!!😂😂😂
@TamuzaKale2 жыл бұрын
@@user-kr5dp2ip9g Wacha FIX! Rais apitie mlango wa kuibia ili agunduwe nini? Ule mradi ulijengwa na NHC ndiyo maana hakutumbua mtu pale. Ni mradi slow sijapata kuona. Narudia tena, kama imesimama hao watu wanafanya nini? Hebu wacheni kelele zenu!
@user-kr5dp2ip9g2 жыл бұрын
@@TamuzaKale Bro tazama link hiyo: kzbin.info/www/bejne/goulqKZ6eNNlopY
@emmanuelmkama30002 жыл бұрын
@@user-kr5dp2ip9g umeeleza vyema ndugu
@kambamazig020242 жыл бұрын
Poor planning and coordination, BRT walikuwa wapi wakati TRC wanajenga kituo cha reli ya SGR Dar es Salaam? Walitakiwa ku-coordinate.
@ellyisidoli21922 жыл бұрын
Yes
@nyambegamatoro68172 жыл бұрын
Twambie, usafiri wa treni mwendo kasi inaanza lini?
@tonitonito902 жыл бұрын
Mpaka mwakani iyo
@justinecleophas29502 жыл бұрын
Train ziko wapi...?
@rasheedabby28712 жыл бұрын
Zanzibar
@michaelsiweya49692 жыл бұрын
Hatuna haraka.. Wacha kitu kimalizike.. Swaaaaafiii.. Mbona hata Mwendo kasi tulikuwa na hamu sana lakini mwisho wa siku tumesafiri nayo weeee hadi tunaona ni kawaida sasa
@ilynpayne74912 жыл бұрын
Haha ita chukua adi 2036
@justinecleophas29502 жыл бұрын
Tupo des3mber na zilitakiwa zifike last month
@far_hard13012 жыл бұрын
TRC NIME WA UNFOLLOW KABISA KOZ MUNATUCHOSHAAA WATZ SERIOUSLY TUNAWAAMBIA. COZ MWANZO TULIKUWA TUNAHAMU NA MOTO NA HUU MRADI LAKINI SASA HV USELESS KABISA👎😒 NA HUKO MAKUTOPORA NDIO MTEGEME MPAKA 2055 NDIO ITAFIKA SPEED YAO 0000.000%
@SaidMohamed-dr7ui2 жыл бұрын
Kadogosa kaondolewa je nn kinachofuata
@errydeo88652 жыл бұрын
Lala pema baba JPM...wapi Mwanantala jamani??
@vintagemusicgroup92362 жыл бұрын
Inasikitisha huyu engineer mwenzangu hajui tofauti ya ‘Formwork’ na ‘Scaffolding’, milunda ni ‘Scaffolding’ , ‘formwork’ ni zile mould zinazoioa zege shape yake
@alexjohn73612 жыл бұрын
Du! Sikutilia maanani mpaka nimeona hii comt. Kaharibu kwakweli mybe kapitiwa tu tumsamehe.
@olenyghosho70082 жыл бұрын
RIP JPM
@alfrednyange73092 жыл бұрын
Mbona mnaenda taratibu au ni baada ya fisadi kuingia
@NDEWARA2 жыл бұрын
Bahati nzuri sasa unaambiwa ukweli badala ya kulishwa uongo. Bahati nzuri sasa unaweza kuhoji bila woga
@zawadix95742 жыл бұрын
Project hizi zina delay be patient ita isha karibuni
@ilynpayne74912 жыл бұрын
@@zawadix9574 karibuni maana ake 2043
@alfrednyange73092 жыл бұрын
@@NDEWARA kuhoji wapi akikuta wananchi hawaskizi anakusanya mabango na kuondoka bila kutatua kero
@josephsamwel81452 жыл бұрын
Ukisikia chupli chupli ndo hawa Sasa Kila siku tuko asilimia 90 na lakin kazi haiishi zaidi ya mwaka Sasa
@mudighurayra2 жыл бұрын
Kwani unajenda kibanda apo
@michaelrweyemamu10682 жыл бұрын
Kila mwezi mnatuahidi but ahadi zenu hazitimiiiii then mnakaa kimya tu? hamjui kuwa tunawafuatilia?
@starjay30522 жыл бұрын
mtualakishie jamani watu tuna amh mbaka atuelewi
@mohamediomari16142 жыл бұрын
Tuonyeshen render ya hyo BRT
@HamadizoMadizo2 жыл бұрын
Jpm shujaa yetu
@hassanmpemba57472 жыл бұрын
Hicho kipande hakijaisha mpaka leo mwe mwe mwe ni mtihani ?
@edwardmizambwa2372 жыл бұрын
Kila siku uhsligani, hali mbaya maana, tunapigwa kalenda tu. Mwaka sasa toka ahadi ya trani Dar Moro kuisha.
@abuuramadhan80932 жыл бұрын
Mbona kikwete alijenga madaraja na barabara nchi nzima kila Rais atajenga kutokana na katiba ya chama inavyosema
@muhammadibrahim-yt8ms2 жыл бұрын
Malizeni haya mabasi tumechoka
@khatibkhatib22492 жыл бұрын
RIP MAGUFULI
@ibrahims.manyilizu3782 жыл бұрын
Lini inaanza kutumika dar to Morogoro
@maydayndabisiys7832 жыл бұрын
Beni mwanantala ndo alikua anatoa uchambuzi mzur
@starjay30522 жыл бұрын
imeshafikia adi asilimia ngap adi sasa dar vs moro
@ilynpayne74912 жыл бұрын
Hawawezi sema mradi ume kufa🤣🤣
@starjay30522 жыл бұрын
kweli kabisa
@ilynpayne74912 жыл бұрын
Hakuna ujenzi apa mna cheza tuu saahv 🤣🤣 hii treni hadi 2030 huko na saahv hakuna umeme wa uhakika ufala mtupu
@kassimomar75892 жыл бұрын
Rel tv
@nevestjunior6192 жыл бұрын
Chameleone style 😂
@vodacomvodacom20872 жыл бұрын
Bd
@kabwelasutiviraka47652 жыл бұрын
Kwa nini msingefikiria kujenga commuter train light train, kuunganisha mwendo kasi na Nyerere airport na stendi ya mbezi na airport .
@itsjustelly49482 жыл бұрын
This is what I was thinking … or even subway from Nyerere airport to city center na all the places you mentioned
@abuuramadhan80932 жыл бұрын
Barabara ya mwendokasi alijenga kikwete na chuo Cha UDOM mbona hamsifii au kwakua sio msukuma
@mimiraia25312 жыл бұрын
Yule wa Awamu kabla ya JPM alijikita kwenye kupunguza tembo, unga wa kulevya, Richmond, EPA, MEREMETA, TEGETA ESCROW, #UFISADI #UFISADI, #KUZURURA, #KUZURURA,
@jambo37512 жыл бұрын
WaTanzania tunajivunia kila cha maendeleo kinachofanywa nchini kwetu. Kiongozi yeyote anaekuwepo madarakani ni wajibu wake huo sio ihsani. Wala sitomuabudu kiongozi eti tu ametimiza wajibu wake na wala sitowabeza viongozi wetu wote waliotangulia kuiongoza nchi yetu. NAIPENDA NCHI YANGU TANZANIA NACHUKIA UBAGUZI WA AINA ZOTE.
@barrynzeyimana62702 жыл бұрын
Naona watanzania baadhi hawajajua kua nchi ni ya watu wanaoongea kiswahili. Kunakua wangereza wengi kuliko kiswahili. Nadhani wahamasiswe kuweka mambo na maneno hayo kwa lugha yatu. Mwandishi yeye aliongea kiswahili japokua anajua wangereza