#KUMEKUCHA

  Рет қаралды 11,203

BOMBA FM DIGITAL

BOMBA FM DIGITAL

2 жыл бұрын

#subscribe #bombafmdigital #bombafm

Пікірлер: 64
@danieljoseph1610
@danieljoseph1610 2 жыл бұрын
Kanisa la wapi hilo? Kanisa linaongozwa na wanyenyekevu na watakatifu wa Mungu! Wataka bifu hatuwataki kabisaaaaa!
@sebonikegobi6244
@sebonikegobi6244 2 жыл бұрын
Jamani watumishi mbona mnaenda kwa akili zenu?eee Mungu naomba uingilie Kati jambo hili kanisa lako linazidi kujichafua jamani ni aibu
@queenshilelema6672
@queenshilelema6672 Жыл бұрын
Mungu awakumbuke ktk kufifiisha Imani za kondoo wa Mungu
@tunsumejohntunsumejohn2210
@tunsumejohntunsumejohn2210 2 жыл бұрын
Huyu nae nimchungaj 🤣🤣hawa vijana wa ovyo sana tamaa mbaya hiv wale wachaw wakanisa walishaisha maana zaman watu kama hawa kanisan wanatolewa kimya
@jifunzekuhusuwewe7475
@jifunzekuhusuwewe7475 2 жыл бұрын
Hahaaaa vijana ,Mmelishwa matangopoli
@esternaftari8286
@esternaftari8286 2 жыл бұрын
Mengine huwa ni mashambuliz wengi huwa hatuelew swala ni kufunga na kuomba achen Mungu mwenyew atoe majibu ya maswali yenu
@zabronijoseph728
@zabronijoseph728 2 жыл бұрын
Eti kujiweka sawa!! Sii mmesha jitoa kkkt meamiaa KANISA lingine.
@annamasoko1893
@annamasoko1893 2 жыл бұрын
Hiyo Ni kazi ya mungu kwanini mnagombana shamban mwa bwana
@nyaganyaga3876
@nyaganyaga3876 2 жыл бұрын
Kwa Mungu mbali Sana...
@annamasoko1893
@annamasoko1893 2 жыл бұрын
Jaman mungu atusaidie
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 2 жыл бұрын
Ila mmetuabisha wakristo wote acheni majengo ya kkkt serikali ipo sawa itaamua hatakama kanisa ulijenga hati inasoma nini jina nani nani mmiliki mbona nikama wachungaji wamewaachia washilika hawawaelimishi kkkt ni taasisi kubwa najua mali zote viwanja makanisa hata yanapojengwa kuna vibali vilitolewa kwa jina gani ni ngumu sana mali ya taasisi kupotea ilikua vema wao watoke wakajenge kanisa waenderee na huo mwamvuli
@maandaliobandmbeyatz2345
@maandaliobandmbeyatz2345 2 жыл бұрын
Kwanini tusijaribu kumuogopa Mungu kwanini hekima ya Mungu istumike kelele hizi ni upagani mkubwa ni uchafu mkubwa MBELE za Mungu na ht MBELE za WANADAMU kwann kila MTU astulie sehem yake na kuendelea na iman ya kile anachokiamin NDUGU ZANGU HII DHAMBI NI ZAID YA DHAMBI
@nurumbilinyi53
@nurumbilinyi53 2 жыл бұрын
Ila kweli mmejisahaulisha jamani poleni sana
@zabronijoseph728
@zabronijoseph728 2 жыл бұрын
Alafu nnyie washikaji wote na wafahamuu waimbaji wa mewakifuna acheni ujinga melishwa nini? Kwenye diivai mbona hamjielewi!!!
@ilovejesus666
@ilovejesus666 2 жыл бұрын
Biashara hii makafiri mtaisoma namba 😜🤣😜😂😜🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂🤣😂😂
@yusuphsanga3543
@yusuphsanga3543 2 жыл бұрын
Katiba ndo kila kitu na c vinginevyo
@pescopenterprises2728
@pescopenterprises2728 2 жыл бұрын
Kuna uwezekano mkubwa washilika wa kawaida kabisa wakaiona mbingu lakini sio viongozi wa dini huu ni mtizamo wangu maana viongozi wa dini baadhi yao wapo kwa kwa ajili ya mali tu washilika wamechanga fedha wamejenga jengo la kukutania kufanya ibada siku mkipishana mtazamo unata jengo fyuuuuuuu roho za hao watu hunahabali nazo
@agnesshonga7570
@agnesshonga7570 2 жыл бұрын
Hela hizi zitatufikisha pabaya.....kuna siri inayoendelea hapo sisi tunalishwa matangopori wafunguke tuuh.mnatudharirisha na tabia zenu mbaya
@florencengwavi6939
@florencengwavi6939 2 жыл бұрын
Mnatuaibisha kabisa na kudhalilisha KKKT, Mungu atashughulika na nyinyi, tuache kuganga njaa zetu kwa mgongo wa kanisa, kanisa lina muongozo wake, kaanzisheni kanisa lenu muweke sheria zenu
@nurumbilinyi53
@nurumbilinyi53 2 жыл бұрын
Tuachieni majengo na Mali za K.K.K.T anzisheni kanisa lenu shida Iko wapiii
Why the EU is About to Impose a Hard Border in Gibraltar
9:42
TLDR News
Рет қаралды 502 М.
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 44 МЛН
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 9 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 14 МЛН
TAZAMA UCHAGUZI SOKO LA SIDO         WASHINDI HAWA HAPAAA
6:44
BOMBA FM DIGITAL
Рет қаралды 117
MAENEO 10 HATARI ZAIDI DUNIANI
9:10
BOMBA FM DIGITAL
Рет қаралды 75
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 44 МЛН