KUNA MTU MNAFANANA SANA NA SI NDUGU YAKO•HILO NI PEPO NA HUTENGENEZWA•NJIA YA KULISHINDA KWA MAOMBI

  Рет қаралды 4,023

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
M-pesa Lipa Namba.5634017
AirtelMoney Lipa No.13322701
Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
#ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

Пікірлер: 21
@FabianPiusMghanga
@FabianPiusMghanga 6 ай бұрын
Hallow tulikumweee, hallow tulikumwee. Asanteni sana Promover TV. Neema ya BWANA wetu YESU KRISTU, na upendo wa MUNGU BABA na ushirika wa ROHO MTAKATIFU uwe nanyi daima na milele. Amina
@rachelsamson6250
@rachelsamson6250 5 ай бұрын
Kumbe sio mimi tu ninae enjoy hilo neno Tulikumwee👋😅
@CherieDeDieu
@CherieDeDieu 6 ай бұрын
Huyo mkalimani amenibariki sana hata kama sielewi lugha. Nahisi tu ni Mama mwaminifu kwa kazi ya Mungu na hata simjui. Anafanya kazi nzuri kwa kweli; Mungu ambariki sana.
@isaackmanyikaofficial858
@isaackmanyikaofficial858 6 ай бұрын
Mungu awabariki sana Promover. Kuna somo Mtumishi Omary hakulimalizaga linaitwa Miji 8 ya nafsi tafadhari mkumbusheni ni muhimu sana
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur 6 ай бұрын
MUNGU WA MBINGUNI Akubariki sana Muinjilisti Omary Mnyeshani
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 6 ай бұрын
Asante kwa mafunzo bora mtumishi wa Mungu zidi kubarikiwa hakika kuna mamvo mingi nimejifunza pamoja na mama mutafusiri promover tv jumla nawale wote wamekuja mbarikiwe sana..
@joycekaphevemba7215
@joycekaphevemba7215 6 ай бұрын
Aameen assnte ssna mtumishi wa Bwana ila pia nimetarajia nipate na kifungu cha maandiko maana umenena sana baba bila kutupa andiko kama vile mtumishi Katekela hufanya
@Jackie-x9u
@Jackie-x9u 6 ай бұрын
Amen tuko pamoja
@EdwinKebeya-hf2vi
@EdwinKebeya-hf2vi 6 ай бұрын
Amen
@anthonymaina7100
@anthonymaina7100 6 ай бұрын
Hiki kirudi kinakaribiana Sana Na lugha za Kenya bwana....haswa Kikuyu Na kiluhya...infact maneno mengi Ya kirudi ni ya kikuyu😂
@juliaannenderitu
@juliaannenderitu 6 ай бұрын
Glad you noticed....plus.we are one in Christ now Turihamwe yeah! ✅😊
@daisymuthoni675
@daisymuthoni675 6 ай бұрын
😂😂hata mimi nimenotice much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
@Jackie-x9u
@Jackie-x9u 6 ай бұрын
Mi naona nikama kisii /kiluyha
@paulndungu977
@paulndungu977 6 ай бұрын
Bantus
@harrietkiden7808
@harrietkiden7808 6 ай бұрын
More kiluhuya than kikuyu
@jameskotte-endtimegospel
@jameskotte-endtimegospel 6 ай бұрын
Naitaji kumuona hyo mtumishi nina shinda hio Hili jambo anazugmuza hapa...suluhu ndio ipi
@jameskotte-endtimegospel
@jameskotte-endtimegospel 6 ай бұрын
Kuna mtu dar tufanafana sana ...nlimuona kweye KZbin...sahib nko namtafuta. ..bado cjampata lakini picture ya KZbin nmeifadhi
@jameskotte-endtimegospel
@jameskotte-endtimegospel 6 ай бұрын
Pia watu dar zaidi ya watu 3 wants wanasema ciko mgeni wameniona mahali...lakini nko mgeni uku
MATUKIO YA KIMUNGU KATIKA MAISHA YAKO
49:34
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 30 М.
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
MAMBO 4 YANAYOATHIRI NGUVU ZA KIUME | Deo Sukambi
46:36
Deo Sukambi
Рет қаралды 93 М.
NGUVU INAYOZUIA MAFANIKIO YAKO.
54:51
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 218 М.
AFUNGULIWA NA KUTENGWA NA NDOA YA KIROHO (FULL VIDEO HD)
24:00
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 84 М.
#mahubiri MAISHA YA ANAYE BEBA AGANO |PR.DAVID MMBAGA | SIKU YA 4
1:12:11
TENGENEZA URAFIKI NA WATU WENYE AKILI WATAKUJA KUKUSAIDIA BAADAE "PASTOR MGOGO
50:27
JINSI YA KULITUMIA NENO LA MUNGU ILI LIKUPE MATOKEO  || PASTOR GEORGE MUKABWA || 14/04/2024
3:47:36
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 32 М.
ISHINDE DHAMBI YA ASILI|MCHUNGAJI KATEKELLA
39:25
KATEKELLA TV
Рет қаралды 2,1 М.
Dr. Chris Mauki: Ukiyaona haya, hata kama unampenda, mwache aende
10:14
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН