Huyu shekhe Allah ammpe maisha marefu yenye iman iliazidi kusambaza uislamu. Nasisi azidi kutuweka kwenye iman Amin
@HamzaAkilimali10 ай бұрын
Asalaam-Aleikum, Waumini wote pamoja na Viongozi wote. Mlio shirika ktk. Kumuhifadhi mwenzetu. Allah awajalie kila la heri Inshaallah.
@jacklinebirungi19702 жыл бұрын
Am a convert but mr Daud gave me strength from his stories of dawah got from straight path may Allah bless him to akhilah yarabb and may Allah guide us too for lslam.
@hasannishey9881 Жыл бұрын
MashaAllah sister
@RossaMengo10 ай бұрын
Nimechelewa lakini niko nafuraha..ALLAH alimchukua lakini wengi wameziba pengo..ALLAH Amsamehe na amfungulie milango ya jannah
@ahmedrustu1283 Жыл бұрын
I love you all because of Allah, Alhamdulillah, this dawah is best
@munasayed8657 Жыл бұрын
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
@nooor11202 жыл бұрын
SubhanaAllah natetemeka mimi sasahv nimeona alivoslimu kumbe ni bahati yake kuingia ktk dini ya haki Allah ampe qawl thabit
Maashaallah Allhamdulillah amakweri. Kilakitukinasababu Allah awalipe mashehe zetu. Pepo lnshaallah na malehem mzee Daudi pepo na wanaosilim Allah awajalie wafe aliyakua Waisila Allah atujaalie waislam woote pepo 🤲
@aliyussuf91262 жыл бұрын
Amin
@christianakaliagi33472 жыл бұрын
Amin
@yusuphmohamed52972 жыл бұрын
Inshaaall mwezimungu amfutie mzambiyake mzeee
@SaidMariam-t5b8 ай бұрын
Allah amjalie awe wapeponi inshallah
@sumayananabintimusa63212 жыл бұрын
Jmn naskia raha kuhusu mwisho wahuyu mzee maana kasilimu tu kwasiku chache naakatenda nakuacha swadakat jaria yake ya muskiti nakufata njia ilio nyooka masha Allah tabarkallah Alhamdulillah. Naomba Allah amusamehe marehemu popote alipo kosea nasi atupe mwisho mwema amiin.
@mwanamtotosaid7022 жыл бұрын
Aamin 🤲
@aflahabdula40842 жыл бұрын
Ameen
@rahmasoliman4892 жыл бұрын
Allaah karimu
@samxx4112 жыл бұрын
Amin
@abdullahijimaleshongol4532 жыл бұрын
Amiin
@sumayananabintimusa63212 жыл бұрын
ALLAHU AKBAR mzee katuachia wengine masha Allah tabarkallah allah awajalie waifadhi dini na mwisho mwema wakiwa wa islam
@saudahassan66672 жыл бұрын
Takbiiiiiiiiiiiiiir wote mlosilim allah amuongoze muweze kuijua zaid din ya haki allah awapanyie wepes🙏🙏🙏🙏🙏
@abubakaralimohammed33882 жыл бұрын
SubhanaAllah what a beautiful ending,Allah atuujalie nasi Mwisho mwema.
@AliIbrahim-lv5cq2 жыл бұрын
Amiin
@nuriatihdjasumin15482 жыл бұрын
Allahma Amina🤲🤲🤲🤲🤲🤲
@asmaa93062 жыл бұрын
Amiin
@abubakaralimohammed33882 жыл бұрын
@@asmaa9306 AsalamuAlekum,vp hali
@salamalugono68762 жыл бұрын
Ameen Allahumma ameen
@FatimaMohamed-n5h10 ай бұрын
Allah Subhanna atujaaliye na Siye tuwe Miongoni mwa watawofuzu kama nduguyetu Marehemu ❤ Alhamdulillah
@naimamohammad88702 жыл бұрын
Takbr Allahu Akibar 💗 Takbr Allahu Akibra 💕💕 Karibu sana kwa usilam DINI YA HAKI ! POLE SANA FAMILIA
@alichangu99958 ай бұрын
Inna Lillahi Wa Inna Ilaihi Raajiun. Ni mwaka na miezi kadhaa tangu uondoke mzee. Nitakukumbuka kwa wema wako busara zako na ucheshi wako InshaAllah Mzee Daudi. Allah akulaze pema penye wema InshaAllah.
@naimamohammad88702 жыл бұрын
Asalam Alaykum warahama tulilah wabarakatuh ! Inalilah wainailah rajiun💔💔 Kwa ALLAH Tulitoka na kwake TUTAREJEA AMIN AMIN 💕 ALLAH AMPE KAULI DHABIT AMIN AMIN !
@hasahm19952 жыл бұрын
Amiin
@habiyatcadey79692 жыл бұрын
Asanteni sana masheikh wetu tunapata funzo mola atawalipa mema in shaa Allah @SRAIGTH PATH DAWAH
@ااجج-ط5د2 жыл бұрын
Namuombea kwa mwenyezi mungu ailaze roho yake mahali pema palipo na wema
@Asiyah20002 жыл бұрын
SubxanAllah what a beautiful ending أللهم إني أسألك حسن الخاتمة يارب العالمين
@marwaabdalla93062 жыл бұрын
Usiwe mchoyo usijiombee peke yako dua
@gakobwaadija7949 Жыл бұрын
Annaa lillaahi wainnaa ilaihi raajiuun Allah amweeke pema peponi nimelia naanimefulai kufa akia mwuisam from burundi nawafwaatilia san
@abdisalammohamed7687 Жыл бұрын
mwenyezi mungu atupee mwisho mwema
@elizanjuguna1427 Жыл бұрын
I JST LOVED THE TEACHINGS I HOPE ONE DAY NITASILIMU, MAY ALLAH BLESS YOU.
@ashfanyassir9781 Жыл бұрын
ALLAH akufanyie wepesi karibu nyumban
@dulividuli5237 Жыл бұрын
Allah akufanyie wepesi ufanye maamuz ya haraka.
@kabwere Жыл бұрын
In Sha Allah
@saidhamad456411 ай бұрын
In shaa Allah kwa uwezo wake Allah
@omarratibu97092 жыл бұрын
Allah amjaalie jannatul firdaus na atujaalie na sisi mwisho mwema.
@lovemwantiti81302 жыл бұрын
Amiiin
@istambuliahmedi82032 жыл бұрын
Aamiin
@aliyussuf91262 жыл бұрын
Amin amin
@naimamohammad88702 жыл бұрын
Masha Allah Masha Allah 💕 Shekhe Ramadhan ALLAH atakulipa DUNIA NA HEKRA AMIN AMIN 💕 NIA DUNGU ZETU KARIBUNI SANA KTK DINI YA HAKI ! DINI YA HAKI HAKUNA TAJIRI WALA MASIKINI 💗 MASHA ALLAH MBELE YA MUNGU SISI NIKITU KIMOJA ! ALLAH AMPE MZEE WETU KAULI DHABIT AMIN AMIN 💕💕
@رقيهالخصيبي2 жыл бұрын
Mwenyeezi mungu ausimamie msikiti uweze kuisha itapendeza ukiitwa MASJID DAUD
@naimaabuualii5782 жыл бұрын
Kabis mm Nina Imani utajengwa Isha Allah
@رقيهالخصيبي2 жыл бұрын
@@naimaabuualii578 nikweli waislam tuna umoja na mshikamano kote kote ili mradi kiwe cha kheri cha kumpendezesha Allah
@elihigh32352 жыл бұрын
Surely we belong to Allah and to him we shall return, May almighty Allah dwell him in jannatul Firdaus.
@istambuliahmedi82032 жыл бұрын
AAMIIN YA ALLAH
@winsarah02542 жыл бұрын
innalilah wainailah rajiun Allah amweke mahali pema peponi na atuujalie mwisho mwema IshaAllah Ameen
@munirashughuli6182 жыл бұрын
Allahumma Ameen 🤲
@حبيبعيد-ح7ب2 жыл бұрын
Amiiin amiiin amiin
@issaofficialvideo63752 жыл бұрын
Ameen
@ayaanabdimusse92732 жыл бұрын
Amen ya rabi
@christianakaliagi33472 жыл бұрын
Ameen
@samxx4112 жыл бұрын
Nimependa mmezika at the same time Mmefikisha ujumbe. Masheikh nawapenda sana kwa ajili ya Allah, inshallah Mungu atakulipeni kwa kazi nzito mnayofanya. Tupo pamoja inshallah
@nooroman25352 жыл бұрын
MashaAllah Allah hawaogoze waijue haki ogereni Mashelhk wetu Mungu hawape afya njema na umuli mrefu lnshaallah
@fatmabhai28122 жыл бұрын
Inna lilahi wainna ilayhi rajiuun. Allah ampe malazi mema peoni na amswameh dhambi zake na amjazie nuru ktk kabri lake na amuweke karibu na kuwa ni rafiki wa malaika wema inshallah... Amyyn 🤲na hawa waloclimu mungu awaongoze kwenye kheri na kuitumikia dini ya kiislamu kwa ukweli kabisa. Amyn🤲
@nooroman25352 жыл бұрын
MashaAllah Mashelhk wetu Mungu hawalipe pepo ya fildas lnshaallah pomoja na mzee yetu hampe pepo ya fildas lnshaallah familia poleni sana mama yetu pole sana Allah hakupe afya njema na umuli na subira lnshaallah
@AyanIbrahim-u9r Жыл бұрын
Masha Allah Inshaallah sisi wote tuko na safari Allah Inshaallah atuongoze kuwa wenye kufaulu
@sikukuuchuo30932 жыл бұрын
MAA Shaa Allah.wanao silimu muwasimamie katika kuwafunza dini.🤲🤲sio muwaache
@istambuliahmedi82032 жыл бұрын
اللهم اغفر له ورحمه واسكنه في الجنة واجعل قبره روضة من رياض الجنة وثبته عند السؤال بالقول الثابت يارب العالمين وصلى الله على سيدنا محمد وعلى اله وصحبه اجمعين والحمد لله رب العالمين.
@AbdirahmangolloHalake5 ай бұрын
MASHAALLAH.ALLAH amrehemu mzee daud
@rizikiali3282 жыл бұрын
Mashallah ustadh juma umenenena kweli mungu atuongoze sote
@mohamedjattani85442 жыл бұрын
Allah swt awalipee hii mema mnafanya hapa dunia na akheta pia Mzee Daud ampee jaanatul firdoous
@najmaalabri8835 Жыл бұрын
Allah akupe Afya umri furaha sheikh wetu
@nasseralhabsi14832 жыл бұрын
Inna lil-laah waina ilaihi raajiuun. Tunamwomba Allah ailaze roho ya marehemu mzee Daudi mahali pema peponi, amin.
@rayaalhabsi17252 жыл бұрын
Inna lillahi wa inna ilayhi rajiun Mwenye Enzi Mungu amrehemu amlaze pema peponi amjaalie katika as'habul yamiin ampe kauli thabit yaarab ampe kitabu chake kwa mkono wake wa kulia amsamehe makosa yake yaarab allahumma ameen yaarabil Aalamiin, poleni sana wafiwa Mwenye Enzi Mungu awape subra
@robloxgame24652 жыл бұрын
M mungu mtilie Nuru kaburini mwake Mzee daudi
@رقيهالخصيبي2 жыл бұрын
Innallah wainailah rajoon mwenyeezi mungu ampe kauli thabit amuondolee adhabu kali kabur na amuweke mbali na moto wajehanam tunakuomba mwenyeezi mungu akupokee mzee wetu katika imani mwenyeezi mungu alete kheri msikiti uweze kuisha
@bettylukali2233 Жыл бұрын
Allah akulipe Shekh Ramadhani na awalipe hao mashekh uliokiwa nao jamani Allah awalipe sana sana. Nataman na miki niweze kulingania umma jamani ulianzaje?ila naona changamoto unazozipata nimekuwa nikikufatilia sana tangu ulipokuja TZ msikiti wa Mtoro nakufatilia sana Allah akujaalie uhai mrefu na Afya njema🙏
@amournassorsaid7694 Жыл бұрын
Kazi kubwa sana hongereni sana
@naimaabuualii5782 жыл бұрын
Innallah waina ilahirajiuni 😭 sisi sote ni WA mungu na sisi sote tutarejewa kwake mungu atujalie mwisho mwema ila mzee daudi ni WA peponi Isha Allah mungu amuweke mbali kabisa na adhabu za kabur Amini
@mohamedbaridhwan3017 Жыл бұрын
Alhamdullillah. May allah grant me and jamiil muslimeen such a great and simple send off. Just like the prophets of Allah.
@hassanmpemba57472 жыл бұрын
Masha Allah sheikh Ramadan kwa mawaidha mazuri sana mungu akupe afya njema ili uendelee na dawaaa
@mwajinachallo44712 жыл бұрын
Insha Allah mungu amlipe Daud mwisho wake ni mwema, sadaka jaalia ya msikiti ni Bora mbele ya m/mungu,mashekh mungu awalipe akhera na duniani, straight path tv idumu, vijana mlioslimu mpo ktk njia sahihi kabisa,msirudi nyuma mungu awazidishie Imani na umoja.
@ggv8662 жыл бұрын
Mashaallah Sheikh Ramadan ..Allah akulipe kila la kheri na familia yako
@swidiqrajab451910 ай бұрын
Inna Lillahi Wainna Ileyhi Ra'jiun, Allah Amrehemu Na Allah Ajalie Kaburi Yake Iweni Miongoni Wa Nyumba Za Peponi
Straight path daawa Mwenye Enzi Mungu awa jaalie katika mizan hasanatkum yaarab Allahumma Ameen yaarabil
@rawiyaalyaarabi98432 жыл бұрын
Inna lilahi wa inna ilayhi rajiun Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema yeye na wa Islam wote. Ameen
@saumkisira93282 жыл бұрын
Allah ampe kauli thabithi Mzee Daud Ni Kisa cha mazingatio kwl Allah atupe mwisho mwema nasi
@tausimustapha3816 Жыл бұрын
Mwenyezimugu awalipe duniani na akher
@rashidalfan82742 жыл бұрын
Allahu Akbar Allah Akbar Mwenye-ezi mungu awaongoze waliosilimu Na Mzee wetu Allah Ampe kauli njema
@cyruskimathikimanicework94072 жыл бұрын
Waigizaji abali zenu
@rashidalfan82742 жыл бұрын
@@cyruskimathikimanicework9407 iyo nikweli sio kuigiza na ndio njia ya Kila mtu
@Sandra398232 жыл бұрын
@@cyruskimathikimanicework9407 yaani umejificha kwa reply shetani wee, una roho mbaya, kwani ulitaka azikwe kikristo wakati yeye ni muislamu? Mbona unangombana sana?
@nubianqueen67002 жыл бұрын
JazakumAllah khairan sheikh Ramadhan kuria na wenzako. MAY ALLAH reward you for your efforts. Mazishi ya mzee wetu imeenda taratibu MashaAllah! I felt the sakeena.
Allah ajarie kaburilake liwe miongoni mwa viwanja vyapeponi aamiin
@aflahabdula40842 жыл бұрын
Ameen
@aishaomarry69962 жыл бұрын
Amiin
@nuriatihdjasumin15482 жыл бұрын
Inalilah wainalilahi rajiuni Allah amulaze pahala pema yarabii 😭😭😭😭😭😭❤️❤️❤️❤️❤️😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@mwanamtotosaid7022 жыл бұрын
Aamin 🤲
@KKK-v6j3 ай бұрын
Amina
@bentybenty23432 жыл бұрын
Innalillahi wainnaillahi rajiun 😭. ALLAH ailaze roho yake mahali pema peponi inshaAllah.Yaa ALLAH tujaalie mwisho mwema 🤲🤲
@swabramarika8345 Жыл бұрын
Wallah inatowa machozi kwa yule mwenye taqwa mungu atujalie mwisho kama huwo
@swabramarika8345 Жыл бұрын
Poleni ni taqwa
@rayaali75512 жыл бұрын
INNA LILAAH WAINNA RAJOUNN YA ALLAAH AMEMSWAMEH MAKOSA YAKE NA ATANULIE NA AMJAZIE NOOR KATIKA NYUMBA YAKE YA MILELE YAARABY AMUANDALIE MAKAAZI MEMA YA PEPONI AAMEENA YAARABY NASISI ATUJAALIEE KHAATIMA NJEMA 🤲🤲🤲 AAMEENA YAARABY
@hadharaalli52012 жыл бұрын
Inna Lillah wa innailaih rajiuun Allah ampokee Kwa kumridhia mjaalie awe miongoni Kwa waja wema watakao kua karibu na kipezni Cha umma
@malikdodo51902 жыл бұрын
Walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh
@habibasalim30922 жыл бұрын
Alhamdulillah for islam MaashaAllah innalilahi wainnailayhi rajioon, may Allah grant him a higher rank in janna
@safiakara18682 жыл бұрын
Innalillahi wainna ileyhi rajiun.. May Almighty Allah grant him janatul firdos
@مريمنيجيريا-د5ل10 ай бұрын
Inalilah wainnaillah rajiun mungu amjalie kitabu chak kw mkono wa kulia amin
@mohamedbakari41062 жыл бұрын
Inna lillahy wainna ilayhi rajiun Allah ampe jannatul firdaus na atujaalie mwisho mwema
@aminaomar38072 жыл бұрын
Inna lilahi wainnah ilaihi rajeuni...mwanadam silolote sichocho mbele ya Allah ...Julie tu mzee wa watu aonyesha mahali pakujenga masjid na furaha sana ama kweli ilipangalo ww tu mwanadamu lkn Allah nimpangaji wamwanadamu mzee wetu alikua akisema ntakuja kuswali ktk masjid mzuri acha huu wa udogo subhanallah Allahu Akbar..leo mm cjalala kw kuangalia hii video mwanzo imeniliza mwesho imenichekesha..kwnza imeniliza kw mazishi hapo kw mwana wandani..pili ni pale ngugu wamislimu na moja wao akahong kidole cha shahada..Allah amuepushie na Adhabu kabri na cc tulio hai Allah atupe mwisho mwema Aamiin Aamiin yaarabbil "alamiin
@jamilaomari24442 жыл бұрын
Allah amjaalie pepo mzee wetu.
@husseindiaby5097 Жыл бұрын
Amiin
@bakari52 Жыл бұрын
Ramadhan Kuria, hii ni kazi nzuri. Kwa marehemu amefaulu mbele ya Allah Insha Allah
@نووورنووور-ج5د2 жыл бұрын
Masha'Allah uslamu ni neema Allah amrehem ndugietu insha'Allah 🙏
@aishaally66022 жыл бұрын
INA LILAHI WAINAH ILAHI RAJIUN ALLAH amsameh makosa yake amjalie nuru katika kaburi lake
@aishaabdullah41722 жыл бұрын
Innalillahi Wainnailayhi Rajioun Allaah akamuweke pamoja na RASULULLAH MUHAMMAD SWALLALLAHU A'LAYHI WASALLAM HUYU TANGU NILIPO JUWA AMEFARIKI AMENIKAA MOYONI WALLAHI 🥺🥺🥺😰😰😰 MZEE WETU KAPEWA NA KAONGEZEWA 💞💖💓💗
@maherzain6152 жыл бұрын
إنا لله و إنا إليه راجعون كل من عليها فان ويبقى وجه ربك ذو الجلال والإكرام اللهم اغفر له وارحمه و تقبل منه و أحسن مثواه يا أرحم الراحمين.
@AK-lp3zf2 жыл бұрын
Ameen
@nyamwegiohamis40282 жыл бұрын
Allah ampe makaazi mema,amiin,na Asante kwa kutupa mawaidha ya umaut
@kassimmanaramalika85922 жыл бұрын
Innalillahi wainnaillaihi rajiuun Subhaana llah Mwenyezi Mungu amejaalia huyo Mzee kuwa mfano Ili waongoke wengine amejaalia Kila kitu Kiko wazi kwao Ili waongoke subhaana llah Ametakasika Mola wangu Mwingi WA huruma Anatupenda lakini kwa ujinga WA nafsi zetu hatuyaoni Mapenzi yake , Subhaana llah ,hakika Hawa wamepata bahati kubwa Alhamdulillahi Rabbil'Alaamina,
@baraaweoftheworld Жыл бұрын
انا لله وانا اليه راجعون Mungu Amweke pepooni kuwa raaha Insha Allah
@muddymdigo51642 жыл бұрын
Sheikh daudi ametuacha ,Ila katuachia uwanja ili ujengwa masjid ,kwa moyo nijukumu letu Kama waislam kutoka pande ztee za dunia tuchangeni tushikamaneni BI IDHNI LLAH tuweze kujenga masjid na pengine madrassa ,shekh kuria kafanya makubwaa nasi tuonyesheni mfano hiyo ndo itakuwa njia kubwa ya kumuhenzi sheikh daudi ,wabillah tawfiq mm muslam mwenzenu Mohamed ABdulrahmn kutoka daresalm tanzania
@mwanamtotosaid7022 жыл бұрын
Aamin
@othmanothman5803 Жыл бұрын
Ni kwel kabisa.. Na ukitak kuchangia kwa sisi ambao tupo TZ unatumia namba zipi?
@Islamicvideos-ee5lp2 жыл бұрын
Sheikh tuna washukuru sanaaa.mola awalipe .lkn hapo kwa siasa Jama amechoma ,sii nzuri picha mbaya
@alimiahbakari78062 жыл бұрын
maasha Allah msiwache kwenye kutafuta elimu y duni wenyewe .ila wasimamieni wapate elimu kwani wengi hapo ni vijana na vijana bado wana mamho mengi yanawazonga
@aishahazary40972 жыл бұрын
Inna lillah wainna ilaihi rajiun.Hakika uislam ni neema ..ALLAH awape mwisho mwema mashehe wetu.Hakika jazaa yenu ipo kwa RABBY wetu mlezi.
@mariamhamisi5982 жыл бұрын
Innalillah wainnaillah rajiwun mungu amsamehe madhambi yake mpak kesho akhera amin mungu amuweke mahali pema peponi nasi pia atujaalie mwisho mwema :mashaallah walio silimu allah awaongoze katika njia iliyonyooka nawapenda wote mashekher wetu na waliosilimu ❤️🙏
@mariammohammed91987 ай бұрын
Allah amlaze mzee wetu mahali pema peponi
@MussamuidineMuidine-oi6oc Жыл бұрын
Masha Allah 🇲🇿🇲🇿 eu chorei por alegria que Allah abençoe
@AlyAly-dp7iv2 ай бұрын
Allah amjalie marejeem amuwaf ktk kaburi lake na pepo yake aaaamina
@mwashabanirashidimitumba77882 жыл бұрын
Innallilah wainnailaihh rajoun, Yan hii wiki nilimkumbuka mzee Daudi mm SubhanaAllah, Hakika huu ndio mwisho mwema amesilim kwamda mchache Sana.
@azizasaleh51612 жыл бұрын
Poleni sawa wanafamilia na mashehe wetu mungu awape subra kwenye kipindi hichi
@alhabsi64302 жыл бұрын
Mzee Dauud umeenda njia ilionyooka Allah na wewe ishaAllah
@husseingabo54972 жыл бұрын
Poleni Kwa msiba uliowakuta mungu amlipa heri tupu
@hasahm19952 жыл бұрын
Allah plans and He is the Best of planners...... May Allah keept them steadfast in ISLAM
@shamsaalwean97352 жыл бұрын
B
@h.msomalially88202 жыл бұрын
Masha Allah Allah awajaalie wadumu ktk Dini ya Kislam wacjewaachia njian nakurudi walipotoka
@rizikiali3282 жыл бұрын
Ustadh Ramadhan Allah akujaalie kila la kheri akufanyie wipesi katika maisha yako na familia yako rwabbilallamina mpe umri mrefu shekh wetu ili tuweze kupata ilimu
@ramamtangi77762 жыл бұрын
Innalilahi wainailah rajiuna Allah amlaze mahalo pema peponi Mzee wetu daudi na awape mwisho mwema mashehe
@husha63722 жыл бұрын
Assalamu Aleikum warahmatullahi wabarakatuhu Alhamdullillah Alhamdullillah Allah AME chaguwa mzee daudi na amempa neema ya kuingia kwenye UISLAMU inshallah inshallah Allah Ampe kitabu chake Kwa mkonono wa kulia inshallah inshallah
@sabihaibrahim1432 жыл бұрын
Amina
@fauziadavid47792 жыл бұрын
السّلام عليكم و رحمة الله و بركاته إنّا لله و إنّا إليه راجعون لله ما أخذ، و لله ما أعطى وكلّ شيء عنده بأجل مسمّى...... May Allah have mercy on our beloved father Daoud and forgive him all his sins , grant him Jannatul Firdaw May Allah grant his family, his and all his loved ones patience and tranquility to endure this difficult days in the best manner which pleases him Allah.s.w.t. Ameen 🌷 May Allah s.w.t grant us the tawfiq to continue the Regency he left behind to build Allah.s.w.t house May Allah s.w.t reward the straight path daawa kwa juhud zao za dhati No words to say to appreciate this great work May Allah s.w.t reward you all what he knows you all deserve in this world and hereafter. Am grieving but same time l have tranquility in my heart because my dad died as Muslim l can maked duas and give sadaq, do hajj all good deeds on his behalf. Many duaas to the daawa team lead by sheikh Ramadhan in shaa Allah we will continue to support daawah mashikani to continue this great rewarding job bi idhin llah. 🌷
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
اللهم آمين
@ahmedmanhalf39902 жыл бұрын
إن العين لتدمع، وإن القلب لتحزن، وإنا لِفِراقك يا داؤد لمحزونون. رحلتَ وتركت خلفك عيونا تذرف الدمع السخين، وقلوبا تعتصر ألما وحرقة............أعظم الله أجركم، وأحسن عزائكم، وغفر لميتكم. Pole sana kwa kuondokewa na mzazi wako. Hakika ni wakati mgumu ila elewa mtume asema haimpati muumin shida, msiba au hata hamu alokuwa nayo ya jambo fulani ila Allah humsamehe dhambi zake. I know how u feel siz ila nakuusia ufanye subira ili upate ujira wa kuondokewa na mzee wako. It pleases me that u feel tranquility in your heart thats a good sign of a true muslimah and may Allah reward you.Please in these difficult times say these words so Allah may reward you for having Sabr for your lose.... اللهم أجرنا فى مصيبتنا واخْلُفنا خيرًا منها. Lastly know that we grieve with you dear your lose is our lose. I used to follow your dad kwa hii channel and was amazed aki. Someone who embraces Islam and he even built Allah a house within a short timespan....!!! Glad tidings to you siz. What a Dad you have..!!! Be patient and stay steadfast and may Allah reward you and family abundantly. Ma Allah have mercy on your father may He build a house in Jannah for your dad like he did try to build one on earth for Allah.. Amiin. Love from Mombasa.
@bentybenty23432 жыл бұрын
Allahumah Amiin 🤲
@fauziadavid47792 жыл бұрын
@@ahmedmanhalf3990 Ameen Jazakallah khair for your duaa and support and encouragement. 🌷
@faudhiasaidi3669 Жыл бұрын
Amiin
@bakirikitenge8033 Жыл бұрын
Marshall ah somo Zuri sana
@amsodewiz4901 Жыл бұрын
Alhamdhulillah Allah awaongozea katka njia ya kheri
@adventsumari69672 жыл бұрын
Mimi ntabakia na ukristo wangu maisha ukiona mtu anatangatanga na din ujue uyo bado ajielewi bwana yesu nisaidie