Bwana Yesu asifiwe Mtumishi Wa Mungu naomba maombi yako kuna Siku niliota unaniombea na pia ukaniambia nitakuwa na kampuni inayoitwa Marys naomba uzidi kuniombea nifunguliwe amen
@user-yn2zu7lu7t11 ай бұрын
Wacha mungu akubariki katika somo.
@evangelist_gaitani Жыл бұрын
Ameen dady sanbela wewe NI mtumishi wa MUNGU
@vicentkilonzo92411 ай бұрын
Amen
@giftmollel7788 Жыл бұрын
Sunbela kyando Im blessed ohh!! Holly spirit
@bonheurmungalambuyu4813 Жыл бұрын
Asante mutumishi kwa somo Nina elewa vitu nyingi kupitia ili somo ,Niko 🇨🇩
@narggdhdv765 Жыл бұрын
Amen Amen pastor mungu akubariki. BWANA YESU namii ninahitaji unifundishe namna ya kuwa na mahusiano na.roho mtakatifu
@emmanuelwith1812 Жыл бұрын
Amen man of God
@dorothyshiyyo3370 Жыл бұрын
Namshukuru Mungu kwa ajili yako mtumishi. Mafundisho yako yananifaa sana.
@jerubetjoan20 Жыл бұрын
Niko na hamu ya kuwa na roho mtakatifu Mungu nipe nguvu
@jeanbaptiste5512 Жыл бұрын
Umbe wa maana sana ubarikiwe unavyonibariki mchungaji👏👏👏
@julietkivindu7918 Жыл бұрын
Baraka tele Bishop
@selinambembati3934 Жыл бұрын
Naomba Chanel ya Sanbella Kyando
@vedastogwido5311 Жыл бұрын
Amina amina amina ubarikiwe sana baba🙏🙏🙏
@amanfromheaven8054 Жыл бұрын
Amen baba
@emmanuelwith1812 Жыл бұрын
Karibu bukoba
@adeadominic6997 Жыл бұрын
Baraka tele kwa mafunzo mema
@Jastus100 Жыл бұрын
God is Great
@joycesanga6951 Жыл бұрын
Amina baba
@petermunuo1657 Жыл бұрын
Amen mtumushi barikiwa sana
@Jastus100 Жыл бұрын
Naomba kuuliza ,hivi unaweza kuwa na roho mtakatifu alaf ukawa na ugonjwa fulani. Au roho mtakatifu akiwa ndani hakuna ugonjwa utakaa kwako? Naomba anayejua anijibu
@EK-kp2np Жыл бұрын
Kaka James, mimi nadhani inawezekama kuwa na Roho Mtakatifu na ukawa na ugonjwa; kwa sababu kama Mbu wapo halafu Unalala bila chandarua, basi utaugua Malaria, pia kuna magonjwa yatokanayo na tabia zetu za maisha kama utaratibu wa vyakula tunavyotumia vinaweza kusababisha maradhi. Lakini Inapotokea kuwa na maradhi yatokanayo na mapepo, uchawi, urithi wa familia, maambukizi yatokanayo na dhambi, hayo ni masuala ya kiroho hivyo yule aliyejazwa na roho sidhani Kama atakuwa na magonjwa hayo kwani yanakinzana na Nguvu za Roho Mtakatifu ambaye ni nafsi ya Mungu.Mwili ni Hekalu la Roho Mtakatifu hivyo akiwa ndani ya mtu basi roho chafu huondoka. Hayo ni maoni yangu.
@Jastus100 Жыл бұрын
@@EK-kp2np ahsante namshukuru Mungu kwaajili yako
@florianmangasini126927 күн бұрын
SYRIACUS, Roho mtakatifu ni msaidizi, mwalimu,shauri , na wakili wetu ukimpa nafasi vya kutosha kuonyesha wewe ni mhitaji kila kona kiafya pia atakushauri pia na utakuwa afya njema, lakini husipompa nafasi na sisi ni roho kwa kuzaliwa katika ROHO MTAKATIFU (YHN 3;6) tunaishi KATIKA MWILI wa udhaifu lazima uugue mengi tu kwani bila maarifa shetani huangamiza watu wa MUNGU.