asante sana kwa funuo ili.Mungu atujaze na Roho mtakatifu.
@mackynicky82784 жыл бұрын
Ahsante Mungu kwa kumtumia mchungaji huyu
@stellamarimbe41204 жыл бұрын
Ubarikiwe pr,masomo yako yananisogeza karibu sana na yesu na kunikuzia sana iman
@rosepeter89964 жыл бұрын
lovely song;.mungu tulinde kila saa;;;;asante mchungaji,barikiwa kama ulivyo tubariki kwa wimbo,maombi,na mahubiri yako AMEN🙏💞🙏
@oman798 Жыл бұрын
AMINA ubalikiwe sana mtumishi wa MUNGU
@nyamositugara40054 жыл бұрын
Mch.Mungu aendelee kukuinua katika viwango vya juu
@dianadavid21194 жыл бұрын
Haleluya Mungu akuzidishie hekima na maisha marefu
@lindae.mkonyi76943 жыл бұрын
Asante mtumishi wa Mungu,bwana Yesu akazidi kukutumia
@lindae.mkonyi76943 жыл бұрын
Akazidi kukutumia
@pauloyona8294 жыл бұрын
Nabalikiwa kwamasomo hayo mungu akubariki Sana mchungaji
@Reginajohnson198842 жыл бұрын
Hallelujah amen
@charleskaselya77444 жыл бұрын
Mungu mwenye nguvu kuliko wenye mwili wote akutie nguvu
@judithcherono25954 жыл бұрын
Watu wa Gulf Watusaidia sana watu ka mimi atuendi Kanisani,May God bless you my dear Pastor😍😍
@anastaziafrancis1914 жыл бұрын
Mungu akubariki pasta kwa mafundisho yaletayo uzima
@janejoseph90094 жыл бұрын
napenda sana uimbaji wenu
@lizzynkifu41794 жыл бұрын
Mungu akubarik siku zote pastor
@lovenessmsigwa77784 жыл бұрын
Amina ,mtumishi masomo yako nayaelewa sana Mungu aendelee kukuinua kwa viwango vya juuu
@georgemerere60974 жыл бұрын
Nabarikiwa mchungaji
@qtrand9584 жыл бұрын
Barikiwa mtumushi wa Mungu
@danielpaul92964 жыл бұрын
Amen pr Mungu akubariki sana na azidi kukubariki
@elizabethgurti41572 жыл бұрын
Amina
@judithcherono41414 жыл бұрын
Amen🙏🙏
@rosemutinda30764 жыл бұрын
Kweli sisi wamama tuna hisia kwa sababu pia mimi hulia nikiona kitu hata kwa kwa media. Barikiwa sana mwalimu Mmbanga 🙏🙏
@mn94844 жыл бұрын
Kuimba Nyimbo katika changa moto. Bwana Yesu Asifiwe.
@ndayishimiyeerick15704 жыл бұрын
Amina sana
@barakajoseph18164 жыл бұрын
Hallelujah
@fereskenya99234 жыл бұрын
Asante mungu
@husseinchea55242 жыл бұрын
Mimi ninapokuwa ninaomba hasa nguvu za Mungu zikinishukia sauti yangu hubadilika hata ninapokuwa nina hubiri pia hunitokea. Sio wote wanaofanya usanii
@janejoseph90094 жыл бұрын
somo limeishia kat pastor jamnn 😅
@davidmmbaga33504 жыл бұрын
Jane Joseph Part Inakuja
@marycheupe86134 жыл бұрын
Amen
@felistamyovela90804 жыл бұрын
Unainua imani yangu barikiwa
@joshuanyamaiswe43274 жыл бұрын
Muendelezo tafadhali
@davidmmbaga33504 жыл бұрын
Joshua Nyamaiswe Inakuja part B
@billionairetz2564 жыл бұрын
Pastor Pastor Pastor Haya masomo yamenifungua kabisa naona mwanga mkubwa ndani yangu sio tu hili somo Kuna somo lina kichwa hiki (Hili somo ni mkuki kwenye moyo wa shetani) limenifungua. Ashukuriwe Mungu sijui ni kwa jinsi gani aona hitaji letu kabla hatujahitaji na kutupa kabla ya kuomba nimejifunza kumtumaini Yesu Kristo, Swali langu haya masomo yana cd zake?kama zipo nazipataje?
@davidmmbaga33504 жыл бұрын
Maganya Gabriel DVD ZIPO +255 67 388 8226 HUYU ATAKUTUMIA