ANGALIA SOMO HILI ENDAPO UMEANGALIA SEHEM YA KWANZA.
Пікірлер: 28
@selfaakinyi5125 жыл бұрын
Asante mungu kwa siku hii njema kwa haifya na uzima, namleta mtoto Luciana mikononi mwako kwenye uzima uponye eeh daktari wa madaktari.
@sheilaombongi80865 жыл бұрын
Kwakusema ukweri pastor, tangu niashe kutasama mahubiri yako nilikua sijui kuomba rakini leo hivi nnajua Amina
@vicknessngenzi61465 жыл бұрын
Mbarikiwe watumishi wote Mungu awatie nguvu na awabariki.
@emmanuelmbuliimo70555 жыл бұрын
Tuombeane kunavitu Bado vinanisumbua katika maombi mawazo yanayo nijia siyaelewi
@lydiahsarange74302 жыл бұрын
Aminaaa,ni vzry kusaidia wenzetu kubadilika kuliko kuwafukuza hazwa kwa tabia zetu
@jennysabina86962 ай бұрын
Asante MUNGU akubariki mchungaji
@shimwekagwiza37315 жыл бұрын
Eee Mungu usiniondolee Roho yako Mtakatifu
@sheilaombongi80865 жыл бұрын
Niweke kwamahombi kila siku pastor sifa na shukurani vitumu kwako tunabarikiwa sana ninatasama kutoka California America Amina
@angel-y5 жыл бұрын
Amen. Ahsante kwa somo nzuri. Ubarikiwe Pastor.
@kusakabuga2825 жыл бұрын
Amen
@msafirimhehe5 жыл бұрын
Amina..
@theresearcheronlinetv36492 жыл бұрын
glory to GOD!!!…
@mn94845 жыл бұрын
Usitupite Mwokozi. Bwana utusikie.
@mn94845 жыл бұрын
Tujifunze kumsikiliza Roho Mtakatifu
@marycheupe86135 жыл бұрын
Hallelujah
@upendotheophil50455 жыл бұрын
Amen
@aggreymusindalo78653 жыл бұрын
Luciana.
@jaqlinemsaki72635 жыл бұрын
Na hapo naongezea Mwingereza katuachia na neno hela au hera 😂
@josephineogise44855 жыл бұрын
I am from Kenya and i thank God For Pastor Mmbanga . How can i get his books and how can i get his contacts kindly help
@MahubiriPrMmbaga5 жыл бұрын
Josephine Ogise Blessings to you!! If you want books call +254 759 614 102 Kenya
@MahubiriPrMmbaga5 жыл бұрын
To talk to Pastor Mmbaga call +255 755 932 283
@kingzforeal64215 жыл бұрын
Mtumishi ubaljkiwe ila naitaji maombiyako
@rhinakiza4 жыл бұрын
Mtumishi Mimi mchumba abaye nikuwa nae niliomba roho mtakatifu anifunulia akanifunulia lakini Sasa kumbe alikuwa sie kwasababu Sasa suli langu napo omba roho mtakatifu anifunulia inabidi nimwembia nae aombe?
@naimaabdallah94915 жыл бұрын
Jmn nisaidieni bac
@wychoirtv59175 жыл бұрын
Pole Kwa changamoto Naima 0762178102 nitafute tuombe pamoja kisha tuzungumze Mungu wetu ni mwaminifu kadri jinsi roho wa Mungu atakavyotuongo tutasaidiana hata Mimi ni muhanga pia ila Yesu amebadiri hatia yangu kuwa Amani moyoni.