Kuota Na Mayai Ina Mana Gani?

  Рет қаралды 9,251

REV PETER NJIHIA

REV PETER NJIHIA

Күн бұрын

Пікірлер: 59
@Mmbayacarol
@Mmbayacarol 18 күн бұрын
Amen mtumishi🙏
@hylinemoraa7448
@hylinemoraa7448 2 жыл бұрын
Amen.barikiwa sana mungu atende
@sophias3334
@sophias3334 Жыл бұрын
Amen ubarikiwe mchungaji
@NizereOrnella
@NizereOrnella 9 ай бұрын
Baba mungu akubariki sana❤❤❤ kwamafunzo ya tafsiri
@EMMAHMOKAYA
@EMMAHMOKAYA 4 ай бұрын
Amen niomeota nachukua mayai kutoka kwa jirani nyumbani
@carolinamponji7830
@carolinamponji7830 2 жыл бұрын
Mungu akulinde
@elizawanarumoro6867
@elizawanarumoro6867 2 жыл бұрын
Amen niliota nikipewa mayai
@dayemukalai3427
@dayemukalai3427 2 жыл бұрын
Nasubiri kesho nilihona Mungu anarejesha nyota yangu na uzahowangu na mmewangu
@rukiajuma7192
@rukiajuma7192 Жыл бұрын
Ni rukia naomba unisaidie ,nimeota naenda shambani kuchuna mboga nikapata mayai mingi shambani imapandwa na imenawiri vizuri ila nikapewa simsim nikaanza kuzikula wakati natamani iyo mayai iwe yangu kwa kuwa imenawiri
@PrincessQueen-gs7zl
@PrincessQueen-gs7zl 11 ай бұрын
Mm mtumishi wa mungu niliota mama yangu akinipa mayai mbili na nikakula.
@ShukuruKamese-bi4hu
@ShukuruKamese-bi4hu Жыл бұрын
Binti yngu akawa ananiambia kua karib anatamia inamaan gan bb
@HidayaMohammed-i8l
@HidayaMohammed-i8l Ай бұрын
Mm nmeota nmeshika yai lkn kuna mama alitaka kuchukua nikalificha kwnye ndoo ya unga, katika kufukua mule kwenye ndoo kuna mayai mengine ya brown matatu mm nilificha moja jeupe yakawa ma4
@KIJANAPONZEE
@KIJANAPONZEE Жыл бұрын
Morning pastor na unapoota unapeana mayai na moja ikacrak ikiwa kwa mwenye umepea
@dayemukalai3427
@dayemukalai3427 2 жыл бұрын
Nakupatasawa Ameeeen
@BaloziJohn
@BaloziJohn Жыл бұрын
Àmeen brother uwe unaweka mambo yako mapema unamambo mengi san
@loicemwatete6970
@loicemwatete6970 2 жыл бұрын
Amen barikiwa sana
@nolimittvonline6822
@nolimittvonline6822 Жыл бұрын
Mimi niliona tuu kwenye ndoto Ila siku yagusa Ila Ni yakienyeji mazuri meupe
@orestandunguru8237
@orestandunguru8237 Жыл бұрын
Amen nimeota baba ananipa mayai mawili nanshakufa
@MongaLydie
@MongaLydie Жыл бұрын
Amen pasta
@ShukuruKamese-bi4hu
@ShukuruKamese-bi4hu Жыл бұрын
Past mm nmeit kuku wetu ametaga mayai mengi anakaribia kutamia nikawaza nimpunguzie mayai
@serenakimigho8449
@serenakimigho8449 2 жыл бұрын
Amen. Me niliota nimeona mayai mengi xana kwa place flan ivii inakaa porini so kidogo nikaona dame flan akiwa na mathake so mathake akamshowachukue iyo mayai na me pia nilikuwa nayata so akachukua me kuenda kuangalia nikakuta mayai kadhaa but kwa mkono nikajiata nimeshikilia mayai 3 nikaona mengine kuyaangalia nikaona tena nko na mayai 3 tena so yalikuwa 6 ak nimeshindwa nini iyo na ndoto imenisumbua nikaamua kutaftaa meaning
@Mwikalisha
@Mwikalisha Жыл бұрын
Kabla utafsiri kitu unaleta maneno zigine inabidi tuede 2😂😂
@rukiajuma7192
@rukiajuma7192 Жыл бұрын
Hi paster ni rukia nimeota nimerudishiwa watoto wangu nilionyanganywa na baba yao
@FrancisKweya
@FrancisKweya 12 күн бұрын
Pia ww watoto ako na baba yao
@hildageorge1781
@hildageorge1781 Жыл бұрын
Amina daddy
@nyamwinukankwera3749
@nyamwinukankwera3749 2 жыл бұрын
Amina amina amina 🙏
@EvansiIginasimvungi
@EvansiIginasimvungi 10 ай бұрын
Nn mana ya kuota umepewa mayai mapya matatu Ili ukayatotoleshe??
@irenemamkwe7493
@irenemamkwe7493 2 жыл бұрын
Nimeota mwanaume anachuma mayai Ana nipa mm napasua nimepasua matano akachuma lingine akanipa
@pollineh225
@pollineh225 2 жыл бұрын
Amen
@Ladymish-41saze
@Ladymish-41saze Жыл бұрын
Pasta ubarikiwe mm nimeota mtu ananipatia mapera kutoka kwa mti
@miriamndunda4459
@miriamndunda4459 2 жыл бұрын
Amen Amen Amen 🙏🙏
@kamenemulu8561
@kamenemulu8561 2 жыл бұрын
Mutumishi niliota jikoni nimepata mayai sita yamewekwa kwa plate ya my boss yenye boss hutumia kuwekewa cup of coffee yalikua mayi sita nyeuzi yenye madoadoa nikachukua nikatupa ije bt haikufujika nikachukua tena nikarusha outside combaoud bt hilifujika.yanuka wanyama wadoko wakatokea wakayala ya maanisha nini.
@gygy41
@gygy41 Жыл бұрын
Pastor niliota nikiokota mayai mingi nikapata Moja imaharibika but zingine zilikukuwa nzuri Saana
@MongaLydie
@MongaLydie Жыл бұрын
Niliota niko kanisani
@EsterMsomba-s7d
@EsterMsomba-s7d 4 ай бұрын
Ameni
@doramagoye1737
@doramagoye1737 2 жыл бұрын
Mimi naota nang'oa uyoga
@neemadaud5337
@neemadaud5337 5 ай бұрын
Niliota mama ananionesha yai limepasuliwa mama akaniambia nilizoe
@henryjoseph9407
@henryjoseph9407 Жыл бұрын
Ameni leo mume wangu ameota mayai yamejaa kwenye begi la ngu
@joeljosh6245
@joeljosh6245 2 жыл бұрын
Mtumishi sielewi nitakuwa nimechewa nimeota napewa mayai nikayahifadhi vizur kwenye mfuko nikawa naenda nayo nyumban ila sikuendelea na ndoto nahitaji maombi
@SitiTwaha
@SitiTwaha 2 ай бұрын
Nimeota Nina mayai matano moja kwa bahati mbaya nikapasuka moja lkn pembeni yang mchmb Ang akaniambia Basi nenda kaoge na ukajisafishe ujiandae
@AkwilinaAnthony-ue4jd
@AkwilinaAnthony-ue4jd Жыл бұрын
Nimeota nipo shambani nikaona mayai meupe moja lilikuwa limetaka kuharbika lakin nkaona nzury bado
@jasmnegodfrey5283
@jasmnegodfrey5283 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@SarahAbuliOtienoOtieno
@SarahAbuliOtienoOtieno Жыл бұрын
Je ukiota tray ya mayai ingine imepaska nini maana
@ProsperMbwanji-tb1gw
@ProsperMbwanji-tb1gw Жыл бұрын
Niliota nyoka wengi
@Nganya006
@Nganya006 Жыл бұрын
Nimeona mayai Tano na tati zimefujika na mbili ziko sawa
@ummysoso859
@ummysoso859 6 ай бұрын
😂
@irenemamkwe7493
@irenemamkwe7493 2 жыл бұрын
Napasua kwenye kikombe nikaange
@juliusmwangi5631
@juliusmwangi5631 2 жыл бұрын
Asanti mtumishi Mimi ni Agnes kutoka naivasha Mimi niliona kwa doto mayai ya. Kuku na ya kanga kwa shamba
@VannismokeiraNyakundi
@VannismokeiraNyakundi Жыл бұрын
Kuota mayayi chemsha
@roseangaga7952
@roseangaga7952 8 ай бұрын
Kuota kuku ametaga mayai
@felistaleb140
@felistaleb140 2 жыл бұрын
Niliota nikikaaga mayai
@latefalatefa2664
@latefalatefa2664 2 жыл бұрын
Pastor leo nimeota napitia sehemu kunashamba lakini kunamayai mengi sana nikasema nitayaokota baadae nini maana yake nanikastuka nikala la tena nikaota mayai kanakwamba yameanguliwa vitoto nini maana yake
@niwaeljaffal5093
@niwaeljaffal5093 2 жыл бұрын
Apostor Mimi nimeota na fukua mayai mengi sana
@silviailenji7745
@silviailenji7745 2 жыл бұрын
Namba ya WhatsApp pastor, Mimi nliota nmepotea njia nkirudi kwa nyumba yangu
@Ladymish-41saze
@Ladymish-41saze Жыл бұрын
Pasta ubarikiwe mm nimeota mtu ananipatia mapera kutoka kwa mti
@serenakimigho8449
@serenakimigho8449 2 жыл бұрын
Amen
@chelseasecurityservisesltd4013
@chelseasecurityservisesltd4013 Жыл бұрын
Amen
@jacksonkengwa8083
@jacksonkengwa8083 Жыл бұрын
Mimi nimeona liyaya naivunjia mukinywa n'a nikaikunya mwenyewe. Inamaanisha Nini !
@felistaleb140
@felistaleb140 8 ай бұрын
Amen
BWANA UNA STAHILI
1:19:26
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 77
40 Qiso┇40 Qiso Ee Ygu Saameynta Badan 2023ᴴᴰ┇► Sheekh Musdhafa Xaji Ismaciil
3:26:03
If people acted like cats 🙀😹 LeoNata family #shorts
00:22
LeoNata Family
Рет қаралды 35 МЛН
What type of pedestrian are you?😄 #tiktok #elsarca
00:28
Elsa Arca
Рет қаралды 41 МЛН
One day.. 🙌
00:33
Celine Dept
Рет қаралды 65 МЛН
Ndoto 3 Zina Kuonyesha Mwisho Watatizo Lako
1:06:46
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 6 М.
RESTORATION HOUR   /  MAOMBI YA MCHANA..
1:00:40
MwamafupaTV -MWTv
Рет қаралды 14
Nii ndiri Ndonona kimwiri uturo-ini wakwa woothe 90K KA MSOO
1:11:34
Ngugi wa karanja Mcee TV
Рет қаралды 16 М.
(OFFICIAL VIDEO) VITA INAYO ENDELEA DUNIANI
1:25:20
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 77 М.
KUOTA NA SAMAKI , NINI MAANA YAKE?
22:03
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 15 М.
JINSI YA KUTAKASA LANGO LAKO LA NDOTO || PASTOR GEORGE MUKABWA | 03/10 /2024
1:30:45
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 54 М.
منهج القرآن للصف الثاني الابتدائي
30:24
فيديوهات مفيدة
Рет қаралды 9 МЛН
If people acted like cats 🙀😹 LeoNata family #shorts
00:22
LeoNata Family
Рет қаралды 35 МЛН