MAOMBI YA KUPONYA HISTORIA YA MAISHA YAKO (Deliverance) - MWL. ISAAC JAVAN

  Рет қаралды 77,071

Isaac Javan

Isaac Javan

Күн бұрын

Maisha unayoishi sasa, ni matokeo ya historia yako. Hakuna leo bila jana, na hakuna kesho bila leo. Chochote kilichotokea jana, kilitengeneza msingi wa maisha yako ya leo. Na chochote kinachotokea leo, kinatengeneza msingi wa maisha yako ya kesho.
Katika maombi haya, Mungu anaenda kukufungua kutoka kwenye vifungo vilivyodumu na kukaa maishani mwako kwa muda mrefu. Vifungo hivi, ni vile ambavyo vilianzia tangu siku ya kuzaliwa kwako, kukua kwako, na mpaka leo hii.
Haya ni maombi ya kufunguliwa. Kwa hiyo basi, unapofanya maombi haya, hakikisha unaomba kwa sauti, na kwa kumaanisha, na hakika utamuona Mungu akikufungua na kubadilisha maisha yako.
Mungu akubariki na kukutunza. Damu ya YESU ikufunike na kukulinda, katika jina la YESU. Amen.
Isaac Javan

Пікірлер: 456
@ggfghh6220
@ggfghh6220 2 ай бұрын
Amina mungu nikumbuke katika maishani mwangu maadui wasinitawale eeeh mungu wa mbinguni napokea history yangu kwa jina la yesu kresto amina
@faigel
@faigel Ай бұрын
Kwanzia Leo nimekombolewa Kwa damu ya yesu,,maisha yangu yatajaa neema na baraka zako mungu,, Asante mungu kuniunganisha na Mtumishi wako, Wacha sifa na shukran zikurudie jiova,, from today Mimi ni m barikiwa laana zote zimeniachia ndoto baya zimeniachia, Asante yesu Kwa kunikomboa🙏🙏
@FurahiniSanga-i4h
@FurahiniSanga-i4h 8 күн бұрын
Ameni mimi ni mshindi na mbarikiwa ktk jina la Yesu
@IsaacJavan
@IsaacJavan 8 күн бұрын
Amen zidi kutembea kwenye ushindi daima. Ubarikiwe sana
@AliceAlice-ol5zv
@AliceAlice-ol5zv 2 жыл бұрын
Ameni Ameni Amen Amen 🙏🙏🙏🙏🙏 asante yesu kwa kunifunguwa usiku wa lewo dady🙏🙏🙏🙏🙏
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
@estherdavid7034
@estherdavid7034 5 ай бұрын
Nimepokea historia mpya ya maisha yangu,Heleluya
@IsaacJavan
@IsaacJavan 5 ай бұрын
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele yote
@user-dq3op3gs2d
@user-dq3op3gs2d 3 ай бұрын
Historia ya maisha yangu imepona
@faigel
@faigel Ай бұрын
Napokea history yangu Kwa jina LA yesu kristo,, maradhi na roho ya mauti na roho ya umasikini na roho ya kukataliwa vimeniachia, Asante mungu wangu🙏
@jacklinejuma-bo7zj
@jacklinejuma-bo7zj 2 ай бұрын
Asante mungu baba kwakuniwezesha kuonba natamka uzima kwangu,kwafamiliar yangu kwenye nyumbayangu na kwenye uchumi wangu mungu baba naomba unifungulie milango ya riziki
@maureenmgeni
@maureenmgeni 7 күн бұрын
Amina na amina. Nimekombolewa kwa damu ya Yesu.
@user-gm4qi3nn9n
@user-gm4qi3nn9n 4 ай бұрын
Napokea historia mpya ya maisha yangu Kwa damu ya Yesu
@IsaacJavan
@IsaacJavan 4 ай бұрын
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
@AlexAbraham-o2t
@AlexAbraham-o2t 3 күн бұрын
Napoke maisha mampya kwa damu ya yesu kristo arie hai ameni
@lisaanthony629
@lisaanthony629 2 жыл бұрын
Amen asante mtumishi wa mungu nimepokea maombi nimepata faraja ndani ya moyo wangu🙏🙏🙏🙏
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu, zidi kubarikiwa na YESU milele.
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
BWANA YESU asifiwe. Tunapenda kukukaribisha uungane nasi kwenye mfululizo wa mafundisho na maombi ya kuponya historia ya maisha. Bonyeza link hapa chini ili usikilize, ujifunze zaidi, na uombe pamoja nasi. Unaweza kuwakaribisha uwapendao, ndugu, jamaa, na marafiki ili nao wawe sehemu ya kupokea baraka hizi. Amen! kzbin.info/www/bejne/mmTChml-bdB1j9E
@zuenaezekiel9519
@zuenaezekiel9519 Жыл бұрын
@@IsaacJavan Tap on a clip to paste it e in p in the text box.nahitaj maombi
@lucypromise
@lucypromise 8 ай бұрын
Amen Amen Amen thank you lord for saving our life 👏🏽👏🏽😢
@IsaacJavan
@IsaacJavan 8 ай бұрын
Amen to Jesus be the praise and honor. Keep walking in victory
@furahamichael6047
@furahamichael6047 2 ай бұрын
Amina mtumishi nime funguliwa kuanzia Leo
@user-lq4zd5qn1p
@user-lq4zd5qn1p 11 ай бұрын
Amina amina ubarikiwe sana
@IsaacJavan
@IsaacJavan 7 ай бұрын
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
@FarajaMushi-tw2lr
@FarajaMushi-tw2lr 4 ай бұрын
Mtumishi kwanza Mungu akubariki 🙏🙏 Mm naot ndot niko n mama Yangu uck tunakul, tunakunyw wakt yey n marehemu,naota pia nik n mtoto nimezaa😭😭
@asiamagidanga9461
@asiamagidanga9461 Жыл бұрын
Amina asante mungu
@IsaacJavan
@IsaacJavan 7 ай бұрын
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
@samsontarimo8807
@samsontarimo8807 Жыл бұрын
ubarikiwe sanaa mchungaji
@IsaacJavan
@IsaacJavan 8 ай бұрын
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
@faithe4063
@faithe4063 7 ай бұрын
Amen and Amen tangu nifwatilie hii ibada katika hii madhabau nimefunguliwa barikiwa sana mtumishi ili uokoe nafsi ya watu iliyo potea
@IsaacJavan
@IsaacJavan 7 ай бұрын
Amen Amen zidi kubarikiwa pia na BWANA YESU kwa baraka za milele yote
@Rose-xv8ym
@Rose-xv8ym 2 жыл бұрын
Amina mtumishi histoliya yamaishayangu imebadilika leo nimeanza upya Mungu akutumie zaidi na zaidi Ameina
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu, YESU akupe ukurasa mpya wa maisha ya ushindi. Ubarikiwe na BWANA YESU
@Rose-xv8ym
@Rose-xv8ym 2 жыл бұрын
@@IsaacJavan Ameina baba
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
BWANA YESU asifiwe. Tunapenda kukukaribisha uungane nasi kwenye mfululizo wa mafundisho na maombi ya kuponya historia ya maisha. Bonyeza link hapa chini ili usikilize, ujifunze zaidi, na uombe pamoja nasi. Unaweza kuwakaribisha uwapendao, ndugu, jamaa, na marafiki ili nao wawe sehemu ya kupokea baraka hizi. Amen! kzbin.info/www/bejne/mmTChml-bdB1j9E
@user-xu3lr5kg5w
@user-xu3lr5kg5w Жыл бұрын
Natambua ishalaa zao kwadamu ya yesu 🔥🔥🔥🔥
@IsaacJavan
@IsaacJavan 11 ай бұрын
Amen Amen YESU akupe ushindi mkuu
@BettyBellah510
@BettyBellah510 2 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa mungu ningependa muniombee napatana na ndoto za ajabu naanguka kwenye choo.naota na baba yangu na aliaga dunia naona mwanamke mwenye vazi nyeusi naotana lala na nyoka yuko kitandani mwangu.sasa nilipokua naomba haya maombi nikikemea nimeanza kuumwa na kichwa.naomba uwepo wa mungu kwenye maisha yangu.ndugu zangu niombeeni.majina yangu kamili ni margret wangeci kutoka Kenya lakini niko nchi ya Saudi Arabia.nahitaji maombi
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Mwanangu wasiliana nasi kwa WhatsApp +255 745 764572
@beatricechepkurui9161
@beatricechepkurui9161 8 ай бұрын
Amen god have Macy to me
@IsaacJavan
@IsaacJavan 8 ай бұрын
Amen, God bless you
@joycejulius2820
@joycejulius2820 2 жыл бұрын
Barikiwa baba Mwenyezi MUNGU akutie nguvu ktk jina la YESU Amen
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu, ubarikiwe na BWANA YESU milele
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
BWANA YESU asifiwe. Tunapenda kukukaribisha uungane nasi kwenye mfululizo wa mafundisho na maombi ya kuponya historia ya maisha. Bonyeza link hapa chini ili usikilize, ujifunze zaidi, na uombe pamoja nasi. Unaweza kuwakaribisha uwapendao, ndugu, jamaa, na marafiki ili nao wawe sehemu ya kupokea baraka hizi. Amen! kzbin.info/www/bejne/mmTChml-bdB1j9E
@agnessndabhalu
@agnessndabhalu Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi
@IsaacJavan
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen ubarikiwe nawe pia kwa baraka za milele yote
@germainndayishimiye8158
@germainndayishimiye8158 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe pia na BWANA YESU
@magretikikwete3140
@magretikikwete3140 2 жыл бұрын
Amina Amina mtumishi wa Mungu historia mpya imeandikwa leo kwenye maisha yangu. Natamla uzima kwa jina la Yesu. Nimebarikiwa sana. Asante Yesu kwa maisha mapya . Amina
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen Amen mwanangu Mungu akubariki sana, na YESU akupe ushindi kwenye kila eneo la maisha yako unapouanza mwaka huu mpya. Ubarikiwe na BWANA YESU milele
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
BWANA YESU asifiwe. Tunapenda kukukaribisha uungane nasi kwenye mfululizo wa mafundisho na maombi ya kuponya historia ya maisha. Bonyeza link hapa chini ili usikilize, ujifunze zaidi, na uombe pamoja nasi. Unaweza kuwakaribisha uwapendao, ndugu, jamaa, na marafiki ili nao wawe sehemu ya kupokea baraka hizi. Amen! kzbin.info/www/bejne/mmTChml-bdB1j9E
@adophine1063
@adophine1063 11 ай бұрын
Amen ❤
@IsaacJavan
@IsaacJavan 11 ай бұрын
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
@ruthmuja7792
@ruthmuja7792 7 ай бұрын
Amen Amen
@IsaacJavan
@IsaacJavan 7 ай бұрын
Amen Amen hallelujah
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 10 ай бұрын
AMEN AND AMEN
@IsaacJavan
@IsaacJavan 7 ай бұрын
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
@graceemanuel565
@graceemanuel565 2 жыл бұрын
Ubarikiwe xn
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
@levinaemanuel6188
@levinaemanuel6188 Жыл бұрын
asanteeee mungu
@IsaacJavan
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
@marynthenya6418
@marynthenya6418 Жыл бұрын
Nilianza kufuata maombi yako na nikatapika sana sana sana kwa kuomba kwa Imani asanti mtumishi
@IsaacJavan
@IsaacJavan 7 ай бұрын
Mungu akubariki na azidi kukutetea na kukushindia daima
@sophie777-t8w
@sophie777-t8w 5 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@IsaacJavan
@IsaacJavan 5 ай бұрын
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
@lafsahassan2908
@lafsahassan2908 Жыл бұрын
Asante Yesu kwa kunifungua siku ya leo
@IsaacJavan
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU milele
@lilianmagoma4346
@lilianmagoma4346 5 ай бұрын
This is deep
@IsaacJavan
@IsaacJavan 5 ай бұрын
God bless you
@lilianmagoma4346
@lilianmagoma4346 5 ай бұрын
Amen
@user-lq4zd5qn1p
@user-lq4zd5qn1p 10 ай бұрын
Amina and amina
@IsaacJavan
@IsaacJavan 10 ай бұрын
Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote
@user-lq4zd5qn1p
@user-lq4zd5qn1p 10 ай бұрын
@@IsaacJavan amina mtumishi pia mungu akubariki sana naomba unisaidie na maombi na pitia mambo mengi😭😭😭
@judithmutio-mp6sn
@judithmutio-mp6sn 5 ай бұрын
Amen mungu naomba unitendee usiku wa leo ukue mwisho wa kulia kwangu
@IsaacJavan
@IsaacJavan 5 ай бұрын
Amen YESU akupe ushindi
@millieholmst6628
@millieholmst6628 2 жыл бұрын
Blessings in Jesus name 🙌 Powerful prayers 🙏 God bless you mightily my father in the lord!
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen my daughter, may God meet you at the point of your need. God bless you very much
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Praise Jesus, I would like to welcome you to join us in a series of teaching and prayer on this subject. Please click the link below to listen, learn and pray. You may invite your loved ones to be a part of this blessings too. Amen! kzbin.info/www/bejne/mmTChml-bdB1j9E
@lusungumbilinyi288
@lusungumbilinyi288 2 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana japo nimeazima simu ya mume wangu ninasumbuliwa na Roho ya uzinzi na uwongo naomba mwongozo wa maombi natamani kuacha nashindwa msaada wako pia by agripa
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Pole kwa yotee unayopitia mwanangu. Wasiliana nasi kwa namba +255 745 76 45 72, tutumie ujumbe wa maandishi SMS au tutumie ujumbe WhatsApp kupitia namba hiyo. Usisahau kujitambulisha na kuelezea tatizo lako ili upate msaada. Ubarikiwe na BWANA YESU
@bitishoriziki1113
@bitishoriziki1113 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mutumishi wa mngu akulinde sana pastor 🙏
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele yote
@koladjulius9945
@koladjulius9945 10 ай бұрын
Amina
@IsaacJavan
@IsaacJavan 7 ай бұрын
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
@EmilyKulubi
@EmilyKulubi 4 ай бұрын
Naomba Mungu anirehemu,na anipe mpenzi atakae kuwa mume wangu
@IsaacJavan
@IsaacJavan 4 ай бұрын
Mungu akupe haja ya moyo wako sawasawa na mapenzi yake
@zuenaezekiel9519
@zuenaezekiel9519 Жыл бұрын
Nmempokea uzima na afya njema.history yangu imebadrka kuanzia Sasa ktk jina a yesu kristo
@IsaacJavan
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
@kabibipea3062
@kabibipea3062 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏 bishop nimepokenya maobi mungu akubariki
@IsaacJavan
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
@margaretmachocho
@margaretmachocho Жыл бұрын
I feel kufunguliwa sana
@IsaacJavan
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe sana
@janetndeanasiambene3975
@janetndeanasiambene3975 2 жыл бұрын
Amen nimeomba maombi yote haya namshukuru Mungu amenikomboa na familia yangu yote kwa Damu ya Yesu na kwa jina la Yesu. Asante mtumishi wa Bwana kwa kutuongoza kwenye maombi haya. Mungu wetu asikupungukie. Amen.
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen Amen mwanangu, jina la BWANA YESU libarikiwe na kutukuzwa sana. Nashukuru Mungu kwa kukutendea makuu kwenye maisha yako. Huyu YESU azidi kukushindia kwenye kila eneo linalogusa maisha yako, kwa utukufu wa jina lake. Damu ya YESU ikufunike na kukutunza daima. Ubarikiwe sana. Amen
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
BWANA YESU asifiwe. Tunapenda kukukaribisha uungane nasi kwenye mfululizo wa mafundisho na maombi ya kuponya historia ya maisha. Bonyeza link hapa chini ili usikilize, ujifunze zaidi, na uombe pamoja nasi. Unaweza kuwakaribisha uwapendao, ndugu, jamaa, na marafiki ili nao wawe sehemu ya kupokea baraka hizi. Amen! kzbin.info/www/bejne/mmTChml-bdB1j9E
@JasminKalaghe-fp9ff
@JasminKalaghe-fp9ff Жыл бұрын
Mungu anitoe na magonjwa yote
@allycemwahalende1615
@allycemwahalende1615 2 жыл бұрын
Amina mtumishi wa mungu, nimefurah sana kufuatisha maombi haya ubarikiwe kwa kipawa hiki
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu, ubarikiwe na BWANA YESU milele
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
BWANA YESU asifiwe. Tunapenda kukukaribisha uungane nasi kwenye mfululizo wa mafundisho na maombi ya kuponya historia ya maisha. Bonyeza link hapa chini ili usikilize, ujifunze zaidi, na uombe pamoja nasi. Unaweza kuwakaribisha uwapendao, ndugu, jamaa, na marafiki ili nao wawe sehemu ya kupokea baraka hizi. Amen! kzbin.info/www/bejne/mmTChml-bdB1j9E
@magretikikwete3140
@magretikikwete3140 2 жыл бұрын
Myngu akubariki sana mtumishi wa Mungu
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Ubarikiwe pia mwanangu, kwa baraka za milele. Damu ya YESU ikufunike na kukulinda daima
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
BWANA YESU asifiwe. Tunapenda kukukaribisha uungane nasi kwenye mfululizo wa mafundisho na maombi ya kuponya historia ya maisha. Bonyeza link hapa chini ili usikilize, ujifunze zaidi, na uombe pamoja nasi. Unaweza kuwakaribisha uwapendao, ndugu, jamaa, na marafiki ili nao wawe sehemu ya kupokea baraka hizi. Amen! kzbin.info/www/bejne/mmTChml-bdB1j9E
@rossil3991
@rossil3991 Жыл бұрын
Namunga Peter na Maombi hya akawe sehemu ya Baraka kwenye Maisha Yangu Amen
@IsaacJavan
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen mwanangu YESU akutendee makuu kwa utukufu wa jina lake
@muneeramuneera3302
@muneeramuneera3302 2 жыл бұрын
Ahsante yesu👋mwalim tupo pa Moja 🤝 mungu azid kutufungua
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu, ubarikiwe na BWANA YESU
@muneeramuneera3302
@muneeramuneera3302 2 жыл бұрын
Amen
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
BWANA YESU asifiwe. Tunapenda kukukaribisha uungane nasi kwenye mfululizo wa mafundisho na maombi ya kuponya historia ya maisha. Bonyeza link hapa chini ili usikilize, ujifunze zaidi, na uombe pamoja nasi. Unaweza kuwakaribisha uwapendao, ndugu, jamaa, na marafiki ili nao wawe sehemu ya kupokea baraka hizi. Amen! kzbin.info/www/bejne/mmTChml-bdB1j9E
@roviekwayu8243
@roviekwayu8243 2 жыл бұрын
I'm so grateful coming across this prayer session ❤️🙏🏼. Powerful prayer to change bad things that have been done or said that could hinder my prayers.I thank God through this prayers my life will be restored to the former Godly intended glory and excellence 🌟🌟🌟 🙏🏼Amen
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen Amen to Jesus be the praise and honor. Am thankful to God that you have been touched and blessed by the power of the Holy Spirit through this prayer. May God meet you at every point of your need and put a new song of victory in your heart. Please stay tuned to this channel as we keep sharing the word of God and deliverance prayers. We are about to share the series of teachings concerning this important topic. God is good and may His perfect will be fulfilled in your life, in Jesus' name. Amen!
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Praise Jesus, I would like to welcome you to join us in a series of teaching and prayer on this subject. Please click the link below to listen, learn and pray. You may invite your loved ones to be a part of this blessings too. Amen! kzbin.info/www/bejne/mmTChml-bdB1j9E
@mboyajoseph4668
@mboyajoseph4668 2 жыл бұрын
@@IsaacJavan Asante baba kwa maombi haya ya pekee ubarikiwe
@carolynebitama3865
@carolynebitama3865 2 жыл бұрын
Najihisi mshindi sasa japo nlielemewa na mengi ubarikiwe mtumishi wa mungu
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu, YESU akushindie. Kupata muendelezo wa maombi haya, karibu uungane nasi katika maombi kupitia link hii kzbin.info/www/bejne/jYGTlKh3p5iVmLM
@user-uy8xb4nx9c
@user-uy8xb4nx9c 2 ай бұрын
❤.Amen
@user-xu3lr5kg5w
@user-xu3lr5kg5w Жыл бұрын
Ameen 🙏🙏
@IsaacJavan
@IsaacJavan 11 ай бұрын
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
@christinamosha233
@christinamosha233 2 жыл бұрын
AMEEEN
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
@emanuelgerad7109
@emanuelgerad7109 2 жыл бұрын
Amina Amina mtumish nimepokea maombi haya
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu, YESU akutane na haja ya moyo wako
@beatriceashule8769
@beatriceashule8769 2 жыл бұрын
Asante dad. Nashukuru Mungu saana kwa kunipa fursa ya kuwa live kwenye maombi haya. Nimesikia uwepo wa Mungu kabisa. Ubarikiwe dada. Mungu wetu akuongezee siku za kuhishi .🙏🙏🙏
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu, jina la BWANA YESU litukuzwe na kubarikiwa sana. Mungu akubariki na kukushindia kwenye kila eneo linalogusa maisha yako
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
BWANA YESU asifiwe. Tunapenda kukukaribisha uungane nasi kwenye mfululizo wa mafundisho na maombi ya kuponya historia ya maisha. Bonyeza link hapa chini ili usikilize, ujifunze zaidi, na uombe pamoja nasi. Unaweza kuwakaribisha uwapendao, ndugu, jamaa, na marafiki ili nao wawe sehemu ya kupokea baraka hizi. Amen! kzbin.info/www/bejne/mmTChml-bdB1j9E
@mariamuharuna8164
@mariamuharuna8164 2 жыл бұрын
asante kwama ombi
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu, ubarikiwe na BWANA YESU
@etenamusenga1352
@etenamusenga1352 2 жыл бұрын
Amen nous sommes bénis par ces prières vraiment Que Jésus Christ vous comble.
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen zidi kubarikiwa na BWANA YESU
@doriceandrew8203
@doriceandrew8203 Жыл бұрын
Powerful Glory to God 🙏
@IsaacJavan
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen Amen God bless you
@mildredkhagali8357
@mildredkhagali8357 2 жыл бұрын
Mungu a kubariki sana uduma yako huwa inanihinua sana na kunibariki.
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu, ubarikiwe na BWANA YESU
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
BWANA YESU asifiwe. Tunapenda kukukaribisha uungane nasi kwenye mfululizo wa mafundisho na maombi ya kuponya historia ya maisha. Bonyeza link hapa chini ili usikilize, ujifunze zaidi, na uombe pamoja nasi. Unaweza kuwakaribisha uwapendao, ndugu, jamaa, na marafiki ili nao wawe sehemu ya kupokea baraka hizi. Amen! kzbin.info/www/bejne/mmTChml-bdB1j9E
@hellenmwenda4971
@hellenmwenda4971 2 жыл бұрын
Asante mchanga kwa maombi haya mungu atafungua njia zote niko na imani
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu. YESU akutendee makuu kwenye maisha yako. Amen
@hellenmwenda4971
@hellenmwenda4971 2 жыл бұрын
@@IsaacJavan Ameen
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
BWANA YESU asifiwe. Tunapenda kukukaribisha uungane nasi kwenye mfululizo wa mafundisho na maombi ya kuponya historia ya maisha. Bonyeza link hapa chini ili usikilize, ujifunze zaidi, na uombe pamoja nasi. Unaweza kuwakaribisha uwapendao, ndugu, jamaa, na marafiki ili nao wawe sehemu ya kupokea baraka hizi. Amen! kzbin.info/www/bejne/mmTChml-bdB1j9E
@hellenmwenda4971
@hellenmwenda4971 2 жыл бұрын
@@IsaacJavan mchunaji mimi niko na majini mwilini jini mahaba na jini fukara ndio yani Sumburgh hata sina mwangaza wa maisha kabisa nateseka sana
@maryandrew5204
@maryandrew5204 2 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumish Kwa maombi haya
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe pia na BWANA YESU milele
@qenxlizaxh6402
@qenxlizaxh6402 9 ай бұрын
Asante Yesu kwa kunifungua🙏
@IsaacJavan
@IsaacJavan 8 ай бұрын
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele yote
@sainahmarogoi
@sainahmarogoi 10 ай бұрын
Amen 🔥🔥🔥🔥🔥
@IsaacJavan
@IsaacJavan 10 ай бұрын
Amen ubarikiwe
@telesphoryphocusy3032
@telesphoryphocusy3032 2 жыл бұрын
Ninamatatizo makubwà sana mtumishi nadaiwa kikoba nadaiwa Kodi ya nyumba Sina kazi maisha yangu ayaeleweki mtumishi
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Pole mwanangu, Mungu ni mwaminifu a atafanya njia kwa ajili yako na kukuvusha. Usiogope. Endelea kuungana nasi kwa maombi na YESU atakufungua.
@aisiamkonyi4977
@aisiamkonyi4977 7 ай бұрын
Ameen
@IsaacJavan
@IsaacJavan 7 ай бұрын
Mungu akubariki milele
@user-vi6mm4ff3v
@user-vi6mm4ff3v 3 ай бұрын
Nami nashukuru mungu ananifungua pamoja na watoto wangu,niombee mutumishi wa mungu, ombea my job in Jesus name.
@kibetsaitoti5089
@kibetsaitoti5089 Жыл бұрын
Asante yesu kwa kunifungua
@IsaacJavan
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen mwanangu, YESU akutunze na kukulinda milele yote
@lizzybahati3739
@lizzybahati3739 2 жыл бұрын
Amen Mungu akubarki sana past
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe pia na BWANA YESU
@adophine1063
@adophine1063 11 ай бұрын
Giza yote inayo kuwa mbele yangu na ya kizazi changu naihamuru iondoke kwa jina la yesu na kwa damu ya yesu sisi siyo wa shetani sisi ni wa Mungu.
@IsaacJavan
@IsaacJavan 11 ай бұрын
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
@julietkimigho8500
@julietkimigho8500 Жыл бұрын
Amen I'm so blessed
@IsaacJavan
@IsaacJavan 8 ай бұрын
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
@stellakapwapwa9550
@stellakapwapwa9550 Жыл бұрын
Aminaaaaaaaaaa 🙏 nimebalikiwa sana ❣️❣️
@IsaacJavan
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
@mwatumuyahya7616
@mwatumuyahya7616 2 жыл бұрын
Ubarikiwe Pasta.
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Ubarikiwe pia mwanangu, damu ya YESU ikushindie na kukutunza unapoanza mwaka huu 2022
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
BWANA YESU asifiwe. Tunapenda kukukaribisha uungane nasi kwenye mfululizo wa mafundisho na maombi ya kuponya historia ya maisha. Bonyeza link hapa chini ili usikilize, ujifunze zaidi, na uombe pamoja nasi. Unaweza kuwakaribisha uwapendao, ndugu, jamaa, na marafiki ili nao wawe sehemu ya kupokea baraka hizi. Amen! kzbin.info/www/bejne/mmTChml-bdB1j9E
@fezakabala6589
@fezakabala6589 2 жыл бұрын
Ubarikiwe saana baba yetu 🇨🇩🇨🇩🇨🇵🇨🇵🇨🇵
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu, ubarikiwe na BWANA YESU milele
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
BWANA YESU asifiwe. Tunapenda kukukaribisha uungane nasi kwenye mfululizo wa mafundisho na maombi ya kuponya historia ya maisha. Bonyeza link hapa chini ili usikilize, ujifunze zaidi, na uombe pamoja nasi. Unaweza kuwakaribisha uwapendao, ndugu, jamaa, na marafiki ili nao wawe sehemu ya kupokea baraka hizi. Amen! kzbin.info/www/bejne/mmTChml-bdB1j9E
@siliviahmwakalobo5717
@siliviahmwakalobo5717 Жыл бұрын
Aminaaaa 👏
@mariagaspar3590
@mariagaspar3590 2 жыл бұрын
Amen,nmepona kwa jina la Yesu
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen jina la BWANA YESU libarikiwe sana
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
BWANA YESU asifiwe. Tunapenda kukukaribisha uungane nasi kwenye mfululizo wa mafundisho na maombi ya kuponya historia ya maisha. Bonyeza link hapa chini ili usikilize, ujifunze zaidi, na uombe pamoja nasi. Unaweza kuwakaribisha uwapendao, ndugu, jamaa, na marafiki ili nao wawe sehemu ya kupokea baraka hizi. Amen! kzbin.info/www/bejne/mmTChml-bdB1j9E
@marymwakatobe-ru9yh
@marymwakatobe-ru9yh Жыл бұрын
Napeleka damu ya YESU kwenye siku yangu ya kizaliwa
@IsaacJavan
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen mwanangu, YESU akushindie na kukuweka huru kwa utukufu wa jina lake
@user-xu3lr5kg5w
@user-xu3lr5kg5w Жыл бұрын
Nakataa kila roho ya Giza iliyokaa kwenye kifua changu nakataa kwadamu ya yesu🔥🔥🔥
@IsaacJavan
@IsaacJavan 11 ай бұрын
Amen Amen ubarikiwe
@priscilamroso5827
@priscilamroso5827 Жыл бұрын
AMEEN,,, glory to God 🙏🙏
@IsaacJavan
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen God bless you with everlasting blessings
@neemaneema9969
@neemaneema9969 2 жыл бұрын
Amina Amina Asante Baba ubarikiwe
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu, ubarikiwe na BWANA YESU milele
@neemaneema9969
@neemaneema9969 2 жыл бұрын
@@IsaacJavan Aminaaa tubarikiwe Sote
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
BWANA YESU asifiwe. Tunapenda kukukaribisha uungane nasi kwenye mfululizo wa mafundisho na maombi ya kuponya historia ya maisha. Bonyeza link hapa chini ili usikilize, ujifunze zaidi, na uombe pamoja nasi. Unaweza kuwakaribisha uwapendao, ndugu, jamaa, na marafiki ili nao wawe sehemu ya kupokea baraka hizi. Amen! kzbin.info/www/bejne/mmTChml-bdB1j9E
@lillyderick4708
@lillyderick4708 2 жыл бұрын
Aicee maomb haya yamenifarj xana mungu akutie nguvu
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu, zidi kubarikiwa na BWANA YESU milele
@wakywenaky3674
@wakywenaky3674 Жыл бұрын
​@@IsaacJavan shalom,Mimi ninao ushuhuda,lkn pia ninatatizo nisipenda kuweka hapo mtandaoni,naweza kupata msaada wako, please please 🙏
@wakywenaky3674
@wakywenaky3674 Жыл бұрын
Nisingependa kusema hapo mtandaoni
@goodnessnyangusi1966
@goodnessnyangusi1966 3 ай бұрын
Ameni🙏
@lianareonce4996
@lianareonce4996 2 жыл бұрын
Hakika Mungu ni mwema
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu, Mungu ni mwema nyakati zote. Ubarikiwe na BWANA YESU
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
BWANA YESU asifiwe. Tunapenda kukukaribisha uungane nasi kwenye mfululizo wa mafundisho na maombi ya kuponya historia ya maisha. Bonyeza link hapa chini ili usikilize, ujifunze zaidi, na uombe pamoja nasi. Unaweza kuwakaribisha uwapendao, ndugu, jamaa, na marafiki ili nao wawe sehemu ya kupokea baraka hizi. Amen! kzbin.info/www/bejne/mmTChml-bdB1j9E
@user-xu3lr5kg5w
@user-xu3lr5kg5w Жыл бұрын
Nazitambua nguvu zangiza zinazofuatilia maisha angu nazitambua kwadamu ya yesu🔥🔥🔥🔥
@IsaacJavan
@IsaacJavan 11 ай бұрын
Ubarikiwe sana na BWANA YESU milele
@julietknight6270
@julietknight6270 Жыл бұрын
Amina, Amina, amina.
@IsaacJavan
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU milele
@suzanne9517
@suzanne9517 Жыл бұрын
Amen amen 🙏
@IsaacJavan
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
@stainamwannda3700
@stainamwannda3700 2 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa maombi haya mchungaji
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu, ubarikiwe na BWANA YESU
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
BWANA YESU asifiwe. Tunapenda kukukaribisha uungane nasi kwenye mfululizo wa mafundisho na maombi ya kuponya historia ya maisha. Bonyeza link hapa chini ili usikilize, ujifunze zaidi, na uombe pamoja nasi. Unaweza kuwakaribisha uwapendao, ndugu, jamaa, na marafiki ili nao wawe sehemu ya kupokea baraka hizi. Amen! kzbin.info/www/bejne/mmTChml-bdB1j9E
@irenejuma7286
@irenejuma7286 Жыл бұрын
May the heavenly God lift you have been a blessing to my life.
@IsaacJavan
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
@mercykavai2437
@mercykavai2437 2 жыл бұрын
What a powerful prayer wooh
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu God bless you
@ajunanekhemia9549
@ajunanekhemia9549 2 жыл бұрын
Thanks pastor my God bless you
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen God bless you too
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Praise Jesus, I would like to welcome you to join us in a series of teaching and prayer on this subject. Please click the link below to listen, learn and pray. You may invite your loved ones to be a part of this blessings too. Amen! kzbin.info/www/bejne/mmTChml-bdB1j9E
@rossil3991
@rossil3991 Жыл бұрын
Glory to God kwa Damu ya yesu Nimekuwa huru
@IsaacJavan
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
@rossil3991
@rossil3991 Жыл бұрын
Nimekuw napitia ndoto na kufatiliwa na wachaw mahusiano yangu yanavunjika mara kwa mara uchumi wangu umekufa Nasimama na Maombi haya kupiga kila hila na Ngome za ibilisi ndani Yangu Naitwa Rose naomba unikumbuke kwenye Maombi. ...
@IsaacJavan
@IsaacJavan Жыл бұрын
@@rossil3991 Amen mwanangu Mungu ni mwaminifu na atakuvusha katika hilo. Nakuombea. Pia usiache kufuatilia maombi tunayoendelea kuyaweka.
@rossil3991
@rossil3991 Жыл бұрын
@@IsaacJavan Amina Mtumishi Asante....
@IsaacJavan
@IsaacJavan Жыл бұрын
@@rossil3991 Amen mwanangu zidi kutembea kwenye baraka
@christineojwang3568
@christineojwang3568 2 жыл бұрын
Thank you for prayers
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
God bless you
@pendomason8582
@pendomason8582 Жыл бұрын
🙏 🙏
@IsaacJavan
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen my daughter God bless you forever
@margaretmachocho
@margaretmachocho Жыл бұрын
Be blessed man of God 🙏🙏🙏
@IsaacJavan
@IsaacJavan Жыл бұрын
Amen God bless you too with everlasting blessings
@maglindaanyango
@maglindaanyango 2 жыл бұрын
Amen barikiwa
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu, ubarikiwe na BWANA YESU
@telesphoryphocusy3032
@telesphoryphocusy3032 2 жыл бұрын
Ameeni mtumishi wa mungu
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
@ruthokachiaofficial1031
@ruthokachiaofficial1031 2 жыл бұрын
Nimefunguka kwa jina la yesu barikiwa mtumishi wa mungu
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu, sifa kwa BWANA YESU. Damu ya YESU ikufunike na kukulinda daima
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
BWANA YESU asifiwe. Tunapenda kukukaribisha uungane nasi kwenye mfululizo wa mafundisho na maombi ya kuponya historia ya maisha. Bonyeza link hapa chini ili usikilize, ujifunze zaidi, na uombe pamoja nasi. Unaweza kuwakaribisha uwapendao, ndugu, jamaa, na marafiki ili nao wawe sehemu ya kupokea baraka hizi. Amen! kzbin.info/www/bejne/mmTChml-bdB1j9E
@magretngonyani5217
@magretngonyani5217 2 жыл бұрын
Amina nimefunguliwa
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen Amen jina la BWANA YESU libarikiwe sana. Zidi kutembea katika ushindi daima, Amen
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
BWANA YESU asifiwe. Tunapenda kukukaribisha uungane nasi kwenye mfululizo wa mafundisho na maombi ya kuponya historia ya maisha. Bonyeza link hapa chini ili usikilize, ujifunze zaidi, na uombe pamoja nasi. Unaweza kuwakaribisha uwapendao, ndugu, jamaa, na marafiki ili nao wawe sehemu ya kupokea baraka hizi. Amen! kzbin.info/www/bejne/mmTChml-bdB1j9E
@akinyiongaro3901
@akinyiongaro3901 2 жыл бұрын
Nimefunguliwa katika jina la Yesu🙏🙏🙏
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU zidi kutembea katika ushindi, Amen
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
BWANA YESU asifiwe. Tunapenda kukukaribisha uungane nasi kwenye mfululizo wa mafundisho na maombi ya kuponya historia ya maisha. Bonyeza link hapa chini ili usikilize, ujifunze zaidi, na uombe pamoja nasi. Unaweza kuwakaribisha uwapendao, ndugu, jamaa, na marafiki ili nao wawe sehemu ya kupokea baraka hizi. Amen! kzbin.info/www/bejne/mmTChml-bdB1j9E
@sweetlisa2296
@sweetlisa2296 2 жыл бұрын
Hallelujah 🙌 🙏🏽 🙏🏽 🙏🏽
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 жыл бұрын
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
Incredible Dog Rescues Kittens from Bus - Inspiring Story #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 36 МЛН
Touching Act of Kindness Brings Hope to the Homeless #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 18 МЛН
مسبح السرير #قصير
00:19
سكتشات وحركات
Рет қаралды 11 МЛН
7 Fatiha 7 Ayetel Kürsi 7 İhlas 7 Felak 7 Nas Kur'an-ı Kerim Rukye
24:23
fussilet Kuran Merkezi
Рет қаралды 80 МЛН
MAOMBI YA KUVUNJA NGUVU ZA KICHAWI - MWL. ISAAC JAVAN - VOL.03
27:57
MAOMBI MAALUM KWA WAGONJWA NA WAHITAJI - Pastor Myamba
12:22
Pastor Myamba
Рет қаралды 84 М.
AINA YA MAOMBI AMBAYO MUNGU ANAJIBU Mwl Mpoki Jafari
21:44
mpoki jafari
Рет қаралды 21 М.
MAOMBI YA KUONDOA LEVIATHAN (NYOKA ANAYEZUIA MAFANIKIO/KUSUDI)
35:19
YADAH GLOBAL MINISTRY
Рет қаралды 2 М.
NENO LA SIKU | Luka 17 | Maombi Ya Kushukuru
27:49
Neno La Siku
Рет қаралды 7 М.
MAOMBI YA WATOTO by Innocent Morris
34:26
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 45 М.
MAOMBI YA KUVUNJA VIKWAZO NA VIZUIZI - MAOMBI YENYE NGUVU SANA' KEMEA VIZUIZI | PASTOR NDELWA
11:01
PASTOR GODWIN NDELWA - MAOMBI NI DAWA
Рет қаралды 10 М.
Incredible Dog Rescues Kittens from Bus - Inspiring Story #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 36 МЛН