No video

KUOTA NA MPENZI MLIACHANA INA MANISHA NINI?

  Рет қаралды 28,570

REV PETER NJIHIA

REV PETER NJIHIA

Күн бұрын

Пікірлер: 144
@NeemaJoseph-z7s
@NeemaJoseph-z7s Күн бұрын
Amen
@OmanOman-yn2zj
@OmanOman-yn2zj 2 жыл бұрын
Ubarikiwe pastory hongela na kazi ya BWANA
@revpeternjihia
@revpeternjihia Жыл бұрын
Amina
@linetayuma9741
@linetayuma9741 Жыл бұрын
Aki mimi alinitesa nakunipiga kuniletea ex wake kwa nyumba ananifukuza walale naye alinifanyia matharau mengi sana lakini moyo wangu hujawai toka kwake na meowa but bado roho yangu iko kwake
@user-lc4dw2tj3w
@user-lc4dw2tj3w 2 ай бұрын
Pastor mimi nimeota wanafunzi wa shule la musingi wananileteya vi caratasi niwatumikiye mutihani mimi nikakosa majibu
@kavirachantal2374
@kavirachantal2374 2 жыл бұрын
Amina asante sana mtumishi wa mungu
@LydiaBwakali
@LydiaBwakali 10 күн бұрын
😅Ukiota umepika mandazi mengi ya kuuza dukani
@user-dl1hs3ex2u
@user-dl1hs3ex2u Ай бұрын
mtumishi nisaidie mimi waga naota sana na mume wangu naota tumelala ote watoto wangu na mdogo wangu kitanda kimoja
@Marry-kr3mw
@Marry-kr3mw 2 жыл бұрын
Amen amen mtumusi wamungu
@josephnyantwiga4252
@josephnyantwiga4252 2 ай бұрын
Utukufu Kwa Mungu
@Wekesa-f6j
@Wekesa-f6j 6 күн бұрын
Huwa naota bwana yangu amerudi baada ya kuachana but haonekani
@evakabete2944
@evakabete2944 2 жыл бұрын
nimependa sana video Zako pia nimependa jinsi ulivojibu swali langu la kuhusu ndoto kwa sababu wengine unakuta anakujibu kuwa nenda kwa mganga wa kwenyeji akupe dawa ya kuvunja ndoto iyo lakini wewe umesema niombe ili nivunje the bond between me and him .yani nimefurahi sana kuona kuwa unamwamini mwenyezi MUNGU
@ruthchiluba4932
@ruthchiluba4932 4 ай бұрын
Naomba kuliza baba mm naotaga tumerudiana baba mtoto napamepita miaka 3 mazingine naotaga nakunywa nae pombe bia nakula naye
@suzanne9517
@suzanne9517 2 жыл бұрын
Asante sana mtumishi
@rout5712
@rout5712 2 жыл бұрын
Ruth kila wakati naota nimepoteA nyimbani ninamanisha nini
@barasamartha3767
@barasamartha3767 Жыл бұрын
Amen and amen
@SimoniSimbeya-c1c
@SimoniSimbeya-c1c 7 күн бұрын
Nimeota mwizi amekuja kwangu na anamwita mme wangu mm nikamkataza asiende nikaita watu wa chumba kingine wametoka yule mwizi ameshika kisu anataka kuchoma mtu tumepambana nae sana nimeshituka gafla nikaamka
@loicemwatete6970
@loicemwatete6970 2 жыл бұрын
Ni kweli pastor
@salmaali6605
@salmaali6605 Жыл бұрын
Niliota bwana tulishi naye myaka 7 tuliyachana namuota ananipatiya mpesa nikahemeye
@soipeishirleen4795
@soipeishirleen4795 2 жыл бұрын
Mjungaji mm nime ota Kuna mtu ame n kayaga shingo mbaka akani uwa n nilikwa n nn n mtu Kando yangu Ali kayakwa pia kafa sijui n nn mana yake
@everlyneauma3732
@everlyneauma3732 Жыл бұрын
Everlyne. Mchungaji Mimi naota nikiombea watu nikiwakombia wagonjwa wakipona uwa sielewi naomba unisaidie.
@ceciliasanga9399
@ceciliasanga9399 Жыл бұрын
Ww unakarama ya mungu kaa vizri na mungu atakusaidia
@slavymwenda6401
@slavymwenda6401 Жыл бұрын
Hata mi huwa naota Sana hiyo ndoto
@papatollo-r5k
@papatollo-r5k 22 күн бұрын
mimi.nimeota.mke.tuliye.achana.anapigina.ameumizwa.inamana.gani
@missttruth1334
@missttruth1334 2 жыл бұрын
Be blessed
@user-ot9nz9rt1v
@user-ot9nz9rt1v 7 ай бұрын
Jmn Mimi nimeota mwanaume tulishindwana kwa tabia yake akaondoka kumaliza weeki moja ,namuota yupo kwangu kavunja simu yangu ndogo ya home,Kisha akanipigia na kunipa taarifa,na akaaa kunisubiri nirudi home
@devothakassimu8289
@devothakassimu8289 2 жыл бұрын
Mimi nimeota x wangu ananipiga kwa hasira baada ya kusikia naongea na mchumba mpya na yupo kimya hasemi chochote,nn maana ya ndoto hii
@mariamsemwa226
@mariamsemwa226 2 жыл бұрын
Pastor mimi niliota mchumbaangu anafunga harusi namwanamke mwingine inamaanisha nini?
@irenemwangi7992
@irenemwangi7992 2 жыл бұрын
Volume iko chini sana...ukiota na jino la mbele likiwa limevunjika
@sophias3334
@sophias3334 Жыл бұрын
Na hiyo filling n kwangu ama n wote wawili inauwezekano na yeye akawa ananiota pia ama
@revpeternjihia
@revpeternjihia Жыл бұрын
kzbin.infoLxAw0ZSxfhk?feature=share
@salmaali6605
@salmaali6605 Жыл бұрын
Naota bwana tulisha achana naona tuko kwa kitada kimoja ananabiya kuwa kuna mtu anasubiriya kufa wamemtowa kafara .ananionesha kuwa ananimpeda kwa doto .na alinikoseya sanaa wakati naishi naye.tagiya niyachane naye maisha yangu yote ilikuwa niyashida tu
@getrudamartin2409
@getrudamartin2409 2 жыл бұрын
Pastor naomba unisaidie me namuot ex wangu mara kwa mara et niko nae kwa mahusiano wakt yey ana mahusiano yake na me yangu et nimemuota jana niko nae na mama ake kafurahi kuniona wakati mama ake kashafariki mwaka jana ina mana gani nisaidie mana tumeachana miaka mingi na me simkumbuki kabisa nisaidie kujibu pastor
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
@getrude nitakuwa live SAA tatu nitakupa maana yake.
@hildageorge1781
@hildageorge1781 2 жыл бұрын
Kuota unapewa Kalamu maana yake nini
@gloriarimba4080
@gloriarimba4080 10 ай бұрын
Ameen🙏🙏🎉
@meriajshxx3223
@meriajshxx3223 2 жыл бұрын
Mimi nilifunga ndoa lakini tumewachana mwaka mmoja sasa ila ninaota akiwa na mwanamke mwingine na hiyo ndoto inajirudia mara nyingi sana
@catherinenyekesa5527
@catherinenyekesa5527 Жыл бұрын
Naota nikisafiri kila wakati lakini sijawai fika mwisho wa safari
@bentallynemayayo3631
@bentallynemayayo3631 2 жыл бұрын
Pastor Mimi huota Kila mara naokota Kuni mahali nilipokuwa nikiokota nikiwa mdogo Kisha mwenye shamba hunifuata kila siku, hii inashinda ikijirudia sana mpka nashindwa kuelewa
@elizabethjackson3865
@elizabethjackson3865 2 жыл бұрын
Mimi naotaga sana napanda ndege
@evasamweli2169
@evasamweli2169 2 жыл бұрын
Naitwa evas nimeota ndoto mwanaume kageuka kuwa joka kubwa harafu joka nikafosi kufanya mapenxi
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de Жыл бұрын
Jmn mm namuota mala nyingi tumerudiana kabisa sijui nn shida na tuliachana muda. Sana
@wardasalim2801
@wardasalim2801 2 жыл бұрын
mm naota narundi kazini niliwahi fanya zamani inamanisha nn
@betsychebet615
@betsychebet615 Жыл бұрын
Naota na mwanaume jirani betsy
@veronicaaa1326
@veronicaaa1326 2 жыл бұрын
Pst mara mingi sana mm huota nafanya mapenzi na mtu mwenye simuoni
@salimahlokoh9699
@salimahlokoh9699 2 жыл бұрын
Mtumishi mimi huwa naota sana na baba watoto wangu tuliachana 15yea.
@evakabete2944
@evakabete2944 2 жыл бұрын
Nikipata mda nitakutumia ndoto zangu ili unifafanulie na uniambie nifanyeje ili nizivunje
@carolbosco4779
@carolbosco4779 Жыл бұрын
Najaribu kuchart live lakini siioni mahali pa kuandikia
@veronicagati1995
@veronicagati1995 2 жыл бұрын
Pastor mimi kuna imekua ikijirudia kwa mara ya tatu sasa naota nimejenga nyumba kubwa sana naona wazazi wangu wamefurahi kuingia Kwa hiyo nyumba na ndugu zangu wote ila mimi nikijaribu kuingia naona mtu ananizuia kuingia
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
Usiwe mtu wakufanyia watu makubwa Hadi unajisaha , Yani unasaidia watu wanasaidika ila wewe kuna roho inakuzilia kusonga mbele nakuingia kwenye baraka Zako.
@papatollo-r5k
@papatollo-r5k 22 күн бұрын
pasta.mimi.nimeota.mke.alienikimbia.kwa.sasa.miaka.8.juzi.nimeota.anapigana.naa.aMiami.sAna.. manage.nini
@richardrutebeka6109
@richardrutebeka6109 2 жыл бұрын
Naota x wangu ananifuatilia Nini maana yake?
@user-lx7vw6hu7x
@user-lx7vw6hu7x Жыл бұрын
Uyu mbwa na muotaga kila siku tuna gombana ndotoni mamae sipendiiiii
@MohammedJaxksonlee
@MohammedJaxksonlee 8 ай бұрын
Kemeaa kabsaaa ni mbwa huyo
@user-br4tl7jv9j
@user-br4tl7jv9j 5 ай бұрын
@@MohammedJaxksonlee😂😂😂😂😂😂
@VeronicaJoshua
@VeronicaJoshua Жыл бұрын
Pastor mm nimeota nafukuzwa na majambazi nilikuwa na hela nyingi wanataka kuninyang,anya nikatupa wallet yenye hela sehemu nikabaki na hela kidogo ili hata wakinikamata wasiondoke na hela yote wakati nakimbia ghafla nikakutana na ex wangu yuko na rfk yake ex wangu akamwambia rfk yake mwache usimsaidie rfk yake alikuwa anataka kuniokoa
@edwardbarasa4691
@edwardbarasa4691 Жыл бұрын
Hallo pastor, Mimi nilikuwa nimeoa mke but,,,But akaamka tu one day akachukua Mtoto nyumbani na akaenda.So nilikuwa namwuita anerudi na Mtoto then sometimes naota nimeendea Mtoto au nionyeshwe ako area ambayo nakaa na Mtoto but sura haionyeshi.
@esnaswamamili5460
@esnaswamamili5460 Жыл бұрын
Pastor me huwa naota mchumba wangu wako ktambo tuko n yeye Kwa maji machafu cijui ina maana gni
@user-vp7fu5ew5b
@user-vp7fu5ew5b 5 ай бұрын
Nimeota nipo kwa x wangu nyumbani kwake tena kitandani kwake na mke wake ni mgonjwa yupo hospital ambaye hatuelewani miezi kama miwili
@magrethmachangemachange3478
@magrethmachangemachange3478 2 жыл бұрын
mm nimeota mpenzi wangu tulieachana anatak kuowanaomba nisaidie
@jonathankagizo-ji7oe
@jonathankagizo-ji7oe Жыл бұрын
Mimi namuota sana mzaz mwenzangu na tulisha achana lakini simpend nasiitaji rudiana nae ila namuota mno hii imeaakaje
@mamayao1834
@mamayao1834 Жыл бұрын
Mm huota na yy kila wakati tukipigana na kutusiana mm simpendi ata kidogo alinifanyia kitendo sitawai sahau😢
@barasamartha3767
@barasamartha3767 Жыл бұрын
Mm niliota juu ya mpenzi wa kitambo ananikataa kwa panga naomba kujua mchungali
@fabiansanga1371
@fabiansanga1371 2 жыл бұрын
Ivi ukiota unaingia choo I na unakuta choo kichafu huoni pa kukanyaga nini mama yake
@wardasalim2801
@wardasalim2801 2 жыл бұрын
kuota mpz wako kaja nagari nyeusi akaigiza kwetu kwa mama yangu
@analupia
@analupia Жыл бұрын
Mimi nimeota naokota hella pia naota namuota rahisi anashuka kwenye ndege na kuongea name pia naota nipo naongea na mtumishi mala naota samaki Naitwa Anna lupus nipo ifakala
@gygy41
@gygy41 Жыл бұрын
Mimi nilimchukia kabisa but namwonanga kwa ndoto akiwa mbali na mm kunichungulia tu na hatuwezi patana
@edwardbarasa4691
@edwardbarasa4691 Жыл бұрын
Nami wangu aliniacha tu ghafla but after 2yrs,nikaambiwa na pastor eti huyo hakuwa wangu.But nilioa na niko POA tu
@makurukiraryo2495
@makurukiraryo2495 2 жыл бұрын
Kumbe hiyo ndoto pia hunitesa pia
@mwakaagnes9555
@mwakaagnes9555 Жыл бұрын
Mimi niota mchumba wangu akinipea dawa nikunywe na akiniambia nisiogope yeye hunywa pia siku zote
@gloriakamitii7764
@gloriakamitii7764 7 ай бұрын
😢😢😢😢 mtu hutoa aje angano la blood covenant 😢😢
@revpeternjihia
@revpeternjihia 7 ай бұрын
Damu ya yesu ina uwezo kuvunja agano
@marthahiliyai5181
@marthahiliyai5181 7 ай бұрын
Nikimuota X anasafisha nyumba yangu? Anaondoa makaratasi au picha ukutani?
@loicemwatete6970
@loicemwatete6970 2 жыл бұрын
Kuota mtu wa karibu ni mgonjwa
@florencemutua5725
@florencemutua5725 Жыл бұрын
Mimi uwa naota nimerudi kwao nyumbani lakini physically waliama penye tulikua but nijiona nikiwa uko kwa ndoto
@AgnessPete
@AgnessPete 2 ай бұрын
Mtumishi mimihuwa namuota mtuatiekuwa mumewangu naturisha tengana naturifunga ndoa kanisani kwasada anaishi namwanamke mwingine namtoto wamezaa mimihuwasimfikirii IRA chaajabu huwanamuota tukowote kwake sierewi maana yake emen
@janetogonya3579
@janetogonya3579 Жыл бұрын
Ukiota mtu usiyemjua amekupea ufunguo na hiyo SI ufunguo wa kawaida lnamana gani
@rukiajuma7192
@rukiajuma7192 Жыл бұрын
Kuota watoto wangu wamenikumbatia ilhali babayao aligwama nayo ina maana gani
@revpeternjihia
@revpeternjihia Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jYHCfoxpf9mdick
@rukiajuma7192
@rukiajuma7192 Жыл бұрын
Hi
@user-fr4qd5nw1g
@user-fr4qd5nw1g 8 ай бұрын
Mimi niliota mmewangu wazamani kaowa mke uyo mke napigananae inamana gani
@sidikatoi1334
@sidikatoi1334 2 жыл бұрын
Mimi niliota x wangu ameniletea zawadi...
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
@ Sidi Katoi nitakuwa live usiku nitakueleza maana yake
@juliusmwangi5631
@juliusmwangi5631 Жыл бұрын
Niko na doto ya nimeiona bwana yangu akiniambia ni mbariki akiwa amenipigia magoti alafu kisa akinirusia zawadi ikiwa imefugwo Lakini haikunifikia
@KIJANAPONZEE
@KIJANAPONZEE Жыл бұрын
Hapo nimechanganyikiwa kuligana na maadiko mke wa mtu ni yupi wa kwaza hama wa pili mtu anisaidie kwa hii sielewi ki bible mke ni yupi
@falaja8500
@falaja8500 2 жыл бұрын
Ndoto ya mpenzi wako kama mume achan
@nickiebrownie6962
@nickiebrownie6962 Жыл бұрын
Mm nataka kujua maana ya kuota na mpenzi wako aliyekufa mkiromance na mnakosa kufanya mapenzi
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 2 жыл бұрын
Pastor naomba unitafsirie hiindoto niliachana nampenziwangu miaka mitatusasa akaowa rafikiyangu wamezaa mtoto mmoja sasa lakini kilamara namuota huyo mwanamke anataka kunipigatuu nahata pia hua namuota sana huyo mwanaume kua ananiomba msamaha turudiane maranyingi nawaota hao watu wawili tuu
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
@Priscillah Siralya, jiunge Nami Leo usiku Saa tatu nitakupa maana yake.
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 2 жыл бұрын
@@revpeternjihia asante pastor Mungu akubariki
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 2 жыл бұрын
Mchungaji samahani sijui kuingia direct kama ulivo nambia nijiunge kunitafsria hiyo saataty
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
@Priscilah unaitajika usahau mabaya yaliyo kupata, rakiki kakusaliti na tena anataka kukupiga , omba mungu akupe moyo wakusonga mbele. Huyo mchumba alikosa uaminifu akitaka msamaha ni sawa ila usirudiane naye. Unaonyeshwa anajutia makosa yake.
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 2 жыл бұрын
@@revpeternjihia asante mchungaji nimepata kuelewa Mungu akubariki asante kwakunitafsiria
@mealymwadzombo7277
@mealymwadzombo7277 Жыл бұрын
pastor mm nliota nmerudi shule nkifanya mtihani n skuwa hata naeza jibu,basi baada ya sku kadhaa yule mpenzi wangu mwenye nlimueka Kwa moyo tukipanga kufunga harusi akaniatext kuwa mapenzi yew bc . Bc pastor naomba uniombee plz niregeleane n mpenzi wangu n tufunge ndoa plz plz plz
@ameenabh3327
@ameenabh3327 Жыл бұрын
Mm niko ivo nifanyeje sasa na yeye nitake
@duncankoech4063
@duncankoech4063 2 жыл бұрын
Sauti iko chini pastor
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
@Duncan Koech karibu Sana , Kwa SASA sauti ime improve kabisa watch video za SASA utasikia ikiwa sawa
@everlyneauma3732
@everlyneauma3732 Жыл бұрын
Pastor nimetuma na ujaona
@radiaarady3307
@radiaarady3307 2 жыл бұрын
Je ukiota marehemu unanzungumuza naye na wote nikiwa na hasira kila mmoja?
@AngelCharles-in5pw
@AngelCharles-in5pw Жыл бұрын
Me niliota napewa pesa na mama yangu kwenye ndoto na ameshafari tena alinipa nikiwa nashida
@revpeternjihia
@revpeternjihia Жыл бұрын
Kataa roho ya umasikini na kila utafanya hakita simama
@gloriamueni9211
@gloriamueni9211 Жыл бұрын
niliota mamangu ananipea pesa nyingi sana ,,inamaanisha nn
@annmukiri-vh4rm
@annmukiri-vh4rm Жыл бұрын
Na mtu akiota akivalishwa Pete Kwa kanisa
@SusanNjeri-cj3hg
@SusanNjeri-cj3hg Жыл бұрын
Niliota nikisabuliwa na watu wengi alafu wananichoma na cigara
@shilanasiche1759
@shilanasiche1759 2 жыл бұрын
Pastor Mimi niliota ex wangu ni mgonjwa jee inamaanisha
@user-hy7kx3gt1e
@user-hy7kx3gt1e 6 ай бұрын
Niliotampenzi wangu aliniacha
@gloriamueni9211
@gloriamueni9211 Жыл бұрын
kuota ukiwa kwa nyumba ya kitambo
@clementinaurasa3183
@clementinaurasa3183 2 жыл бұрын
Niko tayari kujifunza mtumishi
@apiakiwango
@apiakiwango Жыл бұрын
Naomba kuuliza mtu akiota amempeleka mchumba wake nyumbani wazaz wake wakamkataa inamaanisha nin
@carolbosco4779
@carolbosco4779 Жыл бұрын
Am Carolina most time naotaga mtu amekufa na Ako ai Tena wa familia
@fahimajanes1364
@fahimajanes1364 Жыл бұрын
Mimi niliota nimemng'oa mwanangu meno yote alafu mengine yanaota
@everlyneauma3732
@everlyneauma3732 Жыл бұрын
Pastor naota nikiombea watu wakipona Niko Nairobi
@severinaseverinanyoni707
@severinaseverinanyoni707 Жыл бұрын
Leo nimetok kuota nipo mazingla ya yule nilieachan nae miak 8 nyuma
@lucyouma1021
@lucyouma1021 2 жыл бұрын
Lkn mbona hkn majibu
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
@Lucy karibu sana Kwa Channel hii, Majibu mimi hupeana nikiwa live kila saa mbili usiku siyo hapa kwa comments, nimeona yako sasa basi naomba unifatilie leo usiku nikijibu za wengine pia
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
@Lucy Ouma watch hii nimekujibu ndoto yako.kzbin.info/www/bejne/aZqapYSQfbuKZ7s
@fredrickotieno7847
@fredrickotieno7847 11 ай бұрын
Niliota natambea naelekea waliko zikwa babu na baba zangu yani nyumbani,kutafuta pikipiki nikiwa na ajuza wa mpenzi wangu wa zamani kisha nika pata pikipiki mbili naye hajui kuendesha
@revpeternjihia
@revpeternjihia 11 ай бұрын
Kuna adui wengi Wana kimbiza Baraka zako. Ngombe ni mafanikio yako na ubwa ni adui zako.
@fredrickotieno7847
@fredrickotieno7847 11 ай бұрын
@@revpeternjihia nashukuru sana mtumishi wa mungu
@fredrickotieno7847
@fredrickotieno7847 11 ай бұрын
@@revpeternjihia kwa hiyo ndoto ngombe mmoja wa brown alibaki kisha tuka panda juu ya chuma ndefu ili mbwa wakirudi wasitudhuru.kuna watu wawili wakaja kutuarifu kuwa wamepata ngombe huyo wakamufunga kwa boma lao sasa tuwape hela kidogo
@catherinekerubokerubo1019
@catherinekerubokerubo1019 Жыл бұрын
Sauti hakuna
@nayfatmf4234
@nayfatmf4234 11 ай бұрын
Smhn ukiota ex wako ambae hamuongei wala kuonana anamuoa shoga Ako mtaa mmoja inamaan gn
@user-br4tl7jv9j
@user-br4tl7jv9j 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@husnaharid6996
@husnaharid6996 2 жыл бұрын
Namuota sana mpenz wng na tumeachna lakini hatuna mahusiano
@veronicaaa1326
@veronicaaa1326 2 жыл бұрын
Mtarudiana yangu ilikua hvo kila nikitoka kwa nyumba,baadae yeye mwenyewe hunitafta
@MathewElius
@MathewElius 4 ай бұрын
Nimeelewa sana
@jacklinelulu5556
@jacklinelulu5556 2 жыл бұрын
Pastor me huwa naota kila nikiwa naenda sehem mbele yangu kunakuwa na mto mkubwa nashindwa kuvuka na nikijaribu kuvuka nataka kuzama ina maana gani maana kila siku naota hiyo ndoto
@winfridagama5832
@winfridagama5832 2 жыл бұрын
Wewe Kama Mimi lkn ilosiku nikaota nimevuka .
@ardnydiaofficial2778
@ardnydiaofficial2778 Жыл бұрын
Mi naona baaado huja nijibu plz nisaidie
@everlyneauma3732
@everlyneauma3732 Жыл бұрын
Nimetuma
@MaryNduhiu-uz5oz
@MaryNduhiu-uz5oz Жыл бұрын
Niliota tumeachana
@ireneasuvila9425
@ireneasuvila9425 Жыл бұрын
Ukiota unafukuzwa,naumba,mara,ikageuka ikakua ngo,ombe,inamaanisha nini
Ndoto 3 Zina Kuonyesha Mwisho Watatizo Lako
1:06:46
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 6 М.
ISHARA 8 RAFIKI YAKO NI MCHAWI
16:45
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 1,8 М.
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 21 МЛН
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16
А ВЫ УМЕЕТЕ ПЛАВАТЬ?? #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 2,1 МЛН
Maana ya kuota Ex wako au mpenzi wako mulie achana.
29:24
Mercy Kache
Рет қаралды 49 М.
EX WAKO-Ukiota Na Mpenzi Wa Zamani, Je Ina Maana Gani  [] +254706945821
42:36
Kuota Na Nyanya Ina Manisha Nini? +254706945821
1:40:02
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 9 М.
NDOTO  ZINAZO  WEZA KUKUJULISHA MKE AU MME  KAMA  KACHEPUKA/SHEIKH ABUU JADAWI
13:27
Ndoto haufai kumwambia mtu,Ina bakia kuwa Siri yako.
17:49
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 988
KUOTA NA MAHARAGWE INA MANISHA NINI? +254706945821
44:47
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 12 М.
Aliyeona nguo /mavazi Ndotoni Skh :Jafari Mtavassy
30:17
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 42 М.
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 21 МЛН