Fix You: Chris Mauki anakupa njia za kupona baada ya kuumizwa kimapenzi (Heartbreak)

  Рет қаралды 11,598

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

9 ай бұрын

Tembelea www.sns.co.tz kwa habari nyingi zaidi
Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti

Пікірлер: 27
@TaniBlatant93
@TaniBlatant93 9 ай бұрын
Mada kama hizi ni nzur sana sns you have people with ideas. Na especially generation hii. Hizi mada ni best ila its like zina base sana kwa vijana wadog kwanini kusiwepo na segment kuzungumzia ndoa halali maisha ya utuzima ili hawa karne ya 21 wazee wa zama zijazo wapate hekima.
@twalebleboss9687
@twalebleboss9687 9 ай бұрын
YOU KILL IT BRO..... Upo sahihi sana na nimekuelewa saaana...saana tu... #BLESSINGS👌👍👍
@queenmilan2024
@queenmilan2024 9 ай бұрын
Safi sana tulikuwa tunamsubiria sana. From Italy
@laurencemwandwani606
@laurencemwandwani606 2 ай бұрын
Mbn mnachangany na kiingerez wengine hatusiiki tufafanulien
@vaceti
@vaceti 9 ай бұрын
Njia bora ya kupona ni kufocus na mishe zako. Move on!
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 9 ай бұрын
Uko sahihi
@MATILDADOUGLAS-rv5ot
@MATILDADOUGLAS-rv5ot Ай бұрын
Asante tumepona Dr.
@drpriscaantony7825
@drpriscaantony7825 5 ай бұрын
Wow um so happy l was waiting for these legend🎉
@chunanachu2529
@chunanachu2529 9 ай бұрын
Namkubali sana doctor mauki
@user-de3ev2nv1f
@user-de3ev2nv1f 9 ай бұрын
Ujumbe mzuri Sanaa ubarikiwe Dr.
@rejinajoseph2994
@rejinajoseph2994 2 ай бұрын
Ubarikiwe sana docta
@dayana5513story
@dayana5513story 9 ай бұрын
Bro you have say all 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@RichardNelson-yr8if
@RichardNelson-yr8if 9 ай бұрын
Nice
@veronicangwale7159
@veronicangwale7159 8 ай бұрын
Tunapona mioyo yetuuu😊😊😊😊
@laurencemwandwani606
@laurencemwandwani606 2 ай бұрын
Kuhusu kupona sjaona jib
@user-fd6sk1jp9w
@user-fd6sk1jp9w 3 ай бұрын
Ubarikiwe bro
@naomiswai5524
@naomiswai5524 9 ай бұрын
Ooh😊
@rithamlacha5403
@rithamlacha5403 4 ай бұрын
Hongera doctor
@charlesokumu2363
@charlesokumu2363 9 ай бұрын
Very nice episode but please sns work on your background sound too loud,do better next time please we love your channel
@qngodmary3714
@qngodmary3714 9 ай бұрын
Penzi sio hesabu jamani,tena sio hisabati😂😂😂😂.Mungu utusaidie.
@user-br4tl7jv9j
@user-br4tl7jv9j 2 ай бұрын
Kidole kwenye shimo la manyigu😂😂😂😂😂
@deejayvlctz
@deejayvlctz 9 ай бұрын
Hii mada ni kama nimeandaliwa mimi😅😅😂daah
@veronicangwale7159
@veronicangwale7159 8 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😃😃😃😃😃
@reginalorry8214
@reginalorry8214 7 ай бұрын
Nataman nipate mme kam mauki aceeh uko na kitu
@user-vk3sq9cp5f
@user-vk3sq9cp5f 9 ай бұрын
Ila malanyingi tusipo Ingia kwenye mahusiano baraka mbona ndo tunazid kuumia zaidi
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1,8 МЛН
Heartwarming moment as priest rescues ceremony with kindness #shorts
00:33
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 51 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3 МЛН
Dr.Chris Mauki: Nguvu Ya Mahusiano Ya Chumbani
28:57
Chris Mauki
Рет қаралды 40 М.
DALILI HATARISHI KWENYE UPENDO - JOEL NANAUKA
8:33
Joel Nanauka
Рет қаралды 127 М.
SABABU ZA WANAUME KUTOKUWA WAAMINIFU KWENYE NDOA | Deo Sukambi
27:20
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1,8 МЛН