Kuota Na Mume Au Mke Mlisha Acha Kitambo Ina Manisha Nini?

  Рет қаралды 2,909

REV PETER NJIHIA

REV PETER NJIHIA

Күн бұрын

Пікірлер: 18
@inongeinongee8289
@inongeinongee8289 2 жыл бұрын
Asante sana pastor , Mungu akubariki sana, pia naomba uwaombe watoto wangu wapo shule mimi naishi mbali nao🙏🙏
@rahmamasagati4218
@rahmamasagati4218 2 жыл бұрын
Je ukiota x mliyeachana miaka mingi alikuja na pikipiki barabani akachukua kitenge changu then kqnipita kafika mbele huko kakamatwa na kaicha pikipiki kaja kqnipita huku akinambia kwenye pikipiki utakuta kitenge chako na akaniambia ntakuta as meninunulia na mtandio mpya hii Ina maana gani
@AsiaAli-n1l
@AsiaAli-n1l 5 ай бұрын
Nakupata
@الحمدلله-ذ7م7د
@الحمدلله-ذ7م7د 2 жыл бұрын
Ubalikiwe sana pastor 🙏🙏🙏🙏🙏
@wycliffekibengwa5978
@wycliffekibengwa5978 2 жыл бұрын
Barikiwa
@missttruth1334
@missttruth1334 2 жыл бұрын
Barikiweni nyote
@stellahokworo6561
@stellahokworo6561 2 жыл бұрын
Thanks and be blessed
@mamaafrika1481
@mamaafrika1481 Жыл бұрын
Nikweli tu
@virginiamulinge9403
@virginiamulinge9403 2 жыл бұрын
Amen
@الحمدلله-ذ7م7د
@الحمدلله-ذ7م7د 2 жыл бұрын
Aliye kuwa amekaa akasema jiandaeni badae tukutane. Baada yakumaliza Mda huwo huwo wakatokea wakaka watatu nao wakawa wanatangaza ila siku juwa wanatangaza nn. Sijui mana yake pastor
@abigaelmwadena2262
@abigaelmwadena2262 Жыл бұрын
Mmi nilota Ex wangu mpk mara mbili amekuja n kunipa vitu npesa lkn mm nilipomuhitaji kimwili akakataa lkn akaniambia chukua hvi vyombo pelekea wazazi wako apo inamanisha nn??
@AMINASAIDI-mx7rs
@AMINASAIDI-mx7rs Жыл бұрын
Nimekuelewa baba.
@inongeinongee8289
@inongeinongee8289 2 жыл бұрын
Mimi niliota mwanamke, anamula paka mmbichi, hajapikwa akaniambia na mimi nile nikakataa, akakasirika sana, napaka wengine wakawa wametundikwa juu ya kamba na bundi akawa amesimama pamoja na hao paka, mimi nikaingia ndani ya nyumba nikajifungia,
@inongeinongee8289
@inongeinongee8289 2 жыл бұрын
Amen Ameen🙏
@الحمدلله-ذ7م7د
@الحمدلله-ذ7م7د 2 жыл бұрын
Daddy me niliota niko kijijin kwa mama mkwe wangu tulikuwa ndani tukasikia sauti nje tu katoka nje ote me nikaangalia juu nikaona mbingu imefunguka nikaona nikama tivii. Nikaona watu wakubwa nikama malaisi nikasogea niangaliye vizuri nikashangaa watu wakanifuata ote tu kaenda kuangalia ili tusikilize wanatangaza nn nikaona mbaba mmoja amekalia kiti kizur sana nameza ameishikilia yadhahabu ameweka vitabu juu yameza
@abigaelmwadena2262
@abigaelmwadena2262 Жыл бұрын
Alafu nikaota tna nikaota tna amekuja na pesa hizi mshilingi akupa mm lkn apo kulikua nmsichana mwengine xx hyuo pesa ya mahari akampa mamngu bada ya kumalza kupen tu nikona hzo mbingu zimegeuka alfu kukatoka mnyama mkubwa wa mabawa akipaa juu mbinguni hiyo nayo inamanisha nn
@agnessgeffi3586
@agnessgeffi3586 11 ай бұрын
@wycliffekibengwa5978
@wycliffekibengwa5978 2 жыл бұрын
Amen
NDOTO 3 HATARI UKIOTA INAKUONYESHA ADUI ANA PANGA AKUANGAMIZE
1:57:45
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 3,7 М.
KUOTA NA MPENZI MLIACHANA INA MANISHA NINI?
42:36
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 30 М.
Try Not To Laugh 😅 the Best of BoxtoxTv 👌
00:18
boxtoxtv
Рет қаралды 6 МЛН
ПРЯМОЙ ЭФИР. Золотой мяч France Football 2024
4:41:06
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39
Kuota Na Makaa Ina manisha nini?
1:05:49
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 5 М.
UMEWAHI KUOTA UNA FAGIA,NINI MAANA YAKE?
17:10
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 7 М.
NDOTO 5 ZA HATARI KWA MWANAMKE AKIOTA ASIMUHADHITHIE MTU
4:33
Mponda Media
Рет қаралды 39 М.
NINI MAANA YAKUOTA MENO INA NGOKA?EP 2
16:47
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 7 М.
KUOTA NA MIHOGO (CASSAVA) INA MANISHA NINI? +245706945821
1:32:22
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 13 М.
KUPIGANA NA MTU KWA NDOTO INA MANISHA NINI? - +254706945821
1:13:31
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 13 М.
TAFSIRI ZA NDOTO ZA MAPENZI ( JIMAI ) Imamu Mponda
10:34
Mponda Media
Рет қаралды 14 М.
Les Feldick Daily Live Stream
3:56:34
Les Feldick Daily
Рет қаралды 1,6 МЛН
NDOTO INAYO KUONYESHA MCHUMBA WAKO NDIYE UTAOLEWA NAYE.
1:30:51
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 9 М.
Try Not To Laugh 😅 the Best of BoxtoxTv 👌
00:18
boxtoxtv
Рет қаралды 6 МЛН