No video

NDOTO INAYO KUONYESHA MCHUMBA WAKO NDIYE UTAOLEWA NAYE.

  Рет қаралды 7,556

REV PETER NJIHIA

REV PETER NJIHIA

Күн бұрын

Join this channel to get access to perks:
/ @revpeternjihia
Katika channel hii, huwa ninakusaidia kujua nini maana ya ndoto zako nikitumia misingi ya Bibilia Takatifu. Subscribe na ubonyeze Kengele ya Notification ili uzipate video zangu pindi ninapoenda live. Pia ukitaka kuwa wa msaada kwa huduma hii kupitia matoleo unaweza nipigia simu kupitia/Whatsapp 0706945821

Пікірлер: 50
@FaithMuthoni-jr6fe
@FaithMuthoni-jr6fe Ай бұрын
Nmeota na pastor mwingine wa church kwetu lakini hajaoa na nimekuwa nkiomba kuolewa alikuwa caring sana mpaka alikuwa ana beba mtoto wangu tukiendelea na safari , nkiamka nlimfikiria sana sijui ntatulia aje kwa kanisa
@JoniahNoel-jj7vh
@JoniahNoel-jj7vh 20 күн бұрын
Ndoto ya mchumba wako kukupeleka kwao inamaana gani
@NdaishimiyeNsomecko
@NdaishimiyeNsomecko Ай бұрын
Mm nimeota ananipea hela lakn sikuipokea akaamua kuiacha hapo nilipokuwa nimelala akaondoka
@irenemwanri3023
@irenemwanri3023 Жыл бұрын
Glory be to God Almighty. I'm blessed with today's teachings.Thank you servant of God. May God bless exceedingly and abundantly.
@SelinaMakana-y9k
@SelinaMakana-y9k Ай бұрын
Nimekuwa naolewa nikizaliswa nawachwa nanawatoto 6 nilihamuwa kuhishi nawatoto wangu miaka 44 naota marakwamara nikonamume wanakuja sura tafauti silali nao nikuongea mm nimeokoka ni mtumishi ninapitia majaribu mengi sana
@FeithMolange
@FeithMolange 17 күн бұрын
Nimeota mpenzi wangu amenikumbatia akaniomba msamaha tukiwa tumelala
@Banena-gz6kf
@Banena-gz6kf Ай бұрын
Naukiota anakununulia gauni
@NdaishimiyeNsomecko
@NdaishimiyeNsomecko Ай бұрын
Ingine nikaota kuna mwanaume ananisaidia kufua nguo lakn nilikuwa simjui
@FeithMolange
@FeithMolange 17 күн бұрын
Lakini nliota niko na babaang wa kiroho tunaomba nyumbani kwetu baada ya hapo alinipa mavazi mawili alinipa jeusi akanivisha jeupe alafu nikalala nae kitandani yeye katikati mimi na mdogo wangu pembeni
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 11 ай бұрын
Glory itakuwa ni nzur hiyo Mana umemuota vizur
@hawahamis2232
@hawahamis2232 8 ай бұрын
Nakuamin sana pasta wangu
@jenipherboma9034
@jenipherboma9034 7 ай бұрын
Ameen asnt kwa kutufundisha God bless you
@francischarles5115
@francischarles5115 5 ай бұрын
Samhni mtumishi wa mungu mim naota mara kwa mara mpenzi wangu anantambulisha kwa ndugu zake help me please
@user-hf3iz7uh1h
@user-hf3iz7uh1h 2 күн бұрын
Ukiota unaozeshwa kwa lazima maana yake nini
@lucymoha8116
@lucymoha8116 Жыл бұрын
Mtumish mm niliona mwanaume akiwa kwa Gari
@AdelaMgimwa
@AdelaMgimwa 3 ай бұрын
iyo ndoto nimemuona lafiki yangu akilia sanaakimlaumu mchumba wake akiwa mkali sana aliwatukana na kuwafukuza wakwe zake
@WinWiny-34
@WinWiny-34 Ай бұрын
Mtumishi ukingia kwenye maombi kumuuliza mungo kama huyo mwanaume nilienae ni ni sahihi kwangu nikaota nimeenda dukani kununua nguo,nilipofika nguo niliochagua ikanitosha vizur hiyohiyo inamaana gani?
@AdelaMgimwa
@AdelaMgimwa 3 ай бұрын
Mtumish mm usiku wa kuwamkia Leo nimeota mama mke wa mchumba wa lafiki yangu ananisifia kwamba kanipenda ninatabia mzuli
@velurakawiche5338
@velurakawiche5338 3 ай бұрын
Pastor mimi nilimuota huyo kaka japokuwa sio mchumba wangu kwa sasa ila niliota ndoto namuona yupo hospitalini amekuja kumjulia hali mdogo wangu ambaye alikuwa anaumwa nikaota pia ndoto ninamuona akiwa ananishauri juu ya kufanya biashara fulani pia niliwahi kuota nipo nae kanisani tumevaa sare na tunapigwa picha nisaidie pastor hiyo ina maana gan?
@saranura9213
@saranura9213 Жыл бұрын
Mtumish mm nimeota mwanaume amenioa na amenijukuwa kwenda kunionyesha shamba lao ilo shamba liko na viakula tofauti tena shamba kubwa ...
@EstherMbogella-cd9kx
@EstherMbogella-cd9kx Жыл бұрын
Mtumishi nimeotanikonamtumishi akaniambiahujuina wezakukuoayeyealikaachini mmnikiwanimesimama
@ruthchiluba4932
@ruthchiluba4932 7 ай бұрын
Paster mm niliota mama angu alikua nidereva
@glorykiwoly3311
@glorykiwoly3311 Жыл бұрын
Mtumishi mimi nimeota mchumba wangu kanivisha pete ya uchumba inamaanisha nin
@vanillahlisah10
@vanillahlisah10 7 ай бұрын
Mungu akubariki... Naomba namba zako mtumishi
@revpeternjihia
@revpeternjihia 7 ай бұрын
+254706945821
@user-cb7sm8ts2z
@user-cb7sm8ts2z 4 ай бұрын
Pastor nliota napewa ua na mkaka muislam af nililikataa na uyo kaka ameowa hii inamaana gan
@NiyogushimaNoella-do8xv
@NiyogushimaNoella-do8xv 7 ай бұрын
Nimeota nimerara namupenzi wangu IRA anamuke bandae tukaamuka tukapiga muswaki IRA hatukufanya mampenzi
@ruthchiluba4932
@ruthchiluba4932 7 ай бұрын
Paster mm niliota mchumba angu kanipa mbuzi manake nn
@revpeternjihia
@revpeternjihia 7 ай бұрын
Ni heri njema , jitihada na mabadiliko mazuri yaja
@ruthchiluba4932
@ruthchiluba4932 7 ай бұрын
As ante Sana paster
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 11 ай бұрын
Na ukiwa unamuota Sana mpenzi wako
@user-jk6qy6il7v
@user-jk6qy6il7v 9 ай бұрын
samahani nimeota niko na muchumba wangu tunatembea sehmu ya starehe badae akaniacha akaenda ju ya gorofa yakanisa uku mimi nikiwa nimeka kwenye kikao na mwanawwke wezangu katika wanawake hao kulikuwa naumoja muchumba wangu alikuwa akitoka nae kimapenz uku muchumba wangu akiwa ananiita kwaju nende nikae nae lakini nilichikwa nahasira anikawa nataka kutoka kwenye kikao bahati mbaya nikakuta wamefunga murango nikawa nimerudi kuka uku muku wakikao akiwa ananiuliza kwanini nataka kutoka yule rafiki akamueleza kilakitu naomba unisaidie
@user-uf8or8hd9p
@user-uf8or8hd9p 4 ай бұрын
Naota nawaona wanaume wazungu
@RahelNicholas-ro4qx
@RahelNicholas-ro4qx 3 ай бұрын
Mtumishi mimi nimeota nimeitwa kijijin nakuta kuna mwanaume anataka kunioa katoa hadi mahari, ndugu wamejaa na magari mengi, lakini mimi nilikua nakataa sababu ni kijijini nini maana yake
@MunsJsvkd
@MunsJsvkd 2 ай бұрын
Naukiota mchumba mna fagia nayeye alafu akikubusu😢
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 11 ай бұрын
Je mchungaji akisema kakuota
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 11 ай бұрын
Ukiota mpenzi wako amelala na mwanamke mwengine harafu wewe ukakasilika ukawa unawafokea
@ZASTAMWE
@ZASTAMWE 7 ай бұрын
Hii ni nini😢.
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 11 ай бұрын
Kuna siku barabaran nilikuwa natembea pemben tu lakin kwa nyuma nikamuona mkaka ananikea hili nisigongwe
@MagrethMwigulu-wz8yb
@MagrethMwigulu-wz8yb Жыл бұрын
Mtumishi nimemwota mchumba wangu anaendesha baiskeli amenibeba anaendesha tu vzr hiyo inamaanisha nini?
@revpeternjihia
@revpeternjihia Жыл бұрын
@Magreth Mwingulu, mtaishi pamoja hila kimaisha mtapitia changamoto nyingi ya kimaisha.
@suzanmichael
@suzanmichael 7 ай бұрын
Pasta mm nmeota natembea sokon na mpenz wang lakn hatukununua chochote inamaana gan hiyo?
@EvalineRobert
@EvalineRobert 2 ай бұрын
Ukiota upo nae kwnye boti lakin anaonyesh kukupend
@EvalineRobert
@EvalineRobert 2 ай бұрын
Pasta mimi nimeota nipo nae kwenye boti na kaninunulia mtunda
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 11 ай бұрын
Je ukiota mpenzi wako anaumwa
@user-px2qx1yv6q
@user-px2qx1yv6q 5 ай бұрын
Ukiota upo na. Chumbaako lakini unachezea uboo wake
@RahelNicholas-ro4qx
@RahelNicholas-ro4qx 3 ай бұрын
Ila wewe🥲🤣
@ZASTAMWE
@ZASTAMWE 7 ай бұрын
Pastor. Mchumba wangu ameota tunapigana harafu mimi nataka kumuua😢
@ZASTAMWE
@ZASTAMWE 7 ай бұрын
harafu mimi nimeota namjali na nampenda sana
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 11 ай бұрын
Mim Mara nyingi ata live naonaga watu wanapita wamekumbatiana nayo ndio wanasemaga ukiona vile ni nzur na wewe utapata mapenzi Kama yale
NDOTO 7 ADUI ANAPANGA KUANGAMIZA WATOTO WAKO.
18:06
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 390
UMEOTA NA VIATU,NINI MAANA YAKE?
17:37
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 16 М.
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 21 МЛН
Prank vs Prank #shorts
00:28
Mr DegrEE
Рет қаралды 11 МЛН
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 11 МЛН
UKIOTA NDOTO YA HARUSI INA MAANA HII KIBIBLIA, USIOGOPE - Apostle Johaness John
26:03
SHINING STAR HEAVENLY EMBASSY
Рет қаралды 2,6 М.
Nini Maana Ya Ndoto Ya Edhi (Periods) Kwa Wa Dada?
59:20
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 7 М.
Dr. Chris Mauki: Ukiyaona haya, hata kama unampenda, mwache aende
10:14
EX WAKO-Ukiota Na Mpenzi Wa Zamani, Je Ina Maana Gani  [] +254706945821
42:36
TAFSIRI ZA NDOTO ZA MAPENZI ( JIMAI ) Imamu Mponda
10:34
Mponda Media
Рет қаралды 11 М.
NDOTO 5 UKO KWENYE KIFUNGO
13:30
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 615
Ndoto za Kuota Unakutana Kimwili Na Viongozi wa Kiroho
17:49
Bishop Emmanuel
Рет қаралды 1,8 М.
Ukiota umeokota hela, unanyeshewa mvua hii ndio maana yake
10:11
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 13 М.
NDOTO ZA WATOTO NA FAIDA ZAKE
6:42
Utabiri Wa Nyota
Рет қаралды 75 М.
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 21 МЛН