Asallaamu aleykumu shehe nashukuru kwa kutupa elimu kubwa sana ya ndoto miongoni mwetu elimu ya ndoto huwa atuna kwaiyo kwa niaba ya ndugu zangu ktk Imani nasema shukrani Sana Allah aakulipe ktk hili kwa upande wangu huwa naota Bibi yangu amekufa na ikiwa Bibi yangu uyoo yupo bado hai naomba msaada wako shehe WABILAAH TAUFIQ
@zakiarutabanzibwa74075 ай бұрын
Yaani hata mimi usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto kama ya kwako
@AsmaKhalifa-d4y Жыл бұрын
Allah atulinde na kila shar amiin
@sumayyahally866 Жыл бұрын
Subhannallah Allah atuepushie na mandoto hayo inshaAllah
@happyjuma4102 жыл бұрын
Shukran. Je ukiota unaenda kumuona baba yako nau khar amekwisha fark
@MohammedAlaraby-n4k19 күн бұрын
Assalamalykum al alhy punguza story nyingi mwisho unashindwa kueleweka kwa story nyingi😊
@rahmajay10342 жыл бұрын
Shukran. Ila, ungepunguza maelezo ukapata muda wa kuelezea style nyingi kwenye ndoto moja ambazo huenda zikagusa miongoni mwetu na kufanya tufikie lengo la kufungua channel yako.
@NuruMollel-s6v8 ай бұрын
Mwanangu kaota mimi nimefariki 😢 naomba tafsiri ya ndoto hii shekhe
@KimanukaAlly11 ай бұрын
Assalam alaikum WA rahmatullahi WA barakkatuhu , natumahi mko Salama bi idhni llah. Tafadhali nipe Tafsir ya kuota mayyiti yenye kunuka . Shukran.
@mwanaishaomar79062 жыл бұрын
Shukran kwa tafsiri sheikh na vipi ukiota umezikwa wwe na mtoto wako kipenz mkiwa hai tena mmezikwa njiani
@amonmacha8135 Жыл бұрын
Habari shekhe,nimeota tumebeba maiti mwenzangu akaidondosha nikaiokota
@alemamwakufundwa4248 Жыл бұрын
Shukrani kwadrasa
@suzanne9517 Жыл бұрын
Shukran sana
@stanleykihwele24347 ай бұрын
Mungu akubrk
@IssaMwambile19 күн бұрын
Asalam alaikum?? Mm nimemuota kaka ang aliyekufa ananambia.. nataka nikununulie viatu hii Ina maana gan sheh
@hassannayuburundi39702 жыл бұрын
Asalam aleykum warahmatullah wabarakatuh naam sheikh nawukuza mimi huwa napenda kuwa namuota ndugu yangu kisha kufa kwa muda mrefu ila nindugu kanileya kwenye mambo yakunifunza kazi kwa hiyo napenda kumuota kwa hayo mambo tuliyo yaishi emo ya kushirikiyana kwenye maisha tuliyo yapita emo. Nisaidiye sheikh kwa msada huyo
@zaituniabdul22229 ай бұрын
Asalam aleykum shee miye nimeota tunaenda kuzika ghafla yule mait akafufuka na kuanza kutufukuza kila amt akakimbia na njia yake kule tulikokimbilia kulikuwa na msitu mkubwa sana baada ya kutembea tukakutana na wenyej na kutupa hifadh
@KhamisiSaidi-q4x Жыл бұрын
asalamu alaykum shekhe nimeota nachimbiwa kabur nikajihis nalia sana anasema nachimbiwa nyumba yng naomba uniambie maana yke
@Amoschare2 жыл бұрын
Naomba majibu SHEIKH tafadhal
@ZukraMchomvu10 ай бұрын
Asalam aleikhum warahmatullah waabarakat. Nimeota mchumba ang amefariki huku nikiwa mjamzito pia katika ndoto nikiwa sikubaliani na kifo chake yan siamini kama amekufa.
@Naomy-l7m7 ай бұрын
Naomba unisaidie mimi nimeota shemeji amefariki
@ShauriIbrahimАй бұрын
Asalamu alaykum ,shekh Mimi Niko na wiki Moja nimeota nimemuota nimekuona marehem bibi angu anachungulia getin aliniona akanikimbilia Nami nikawa namkimbilia Kisha tukakumbatiana ,shekh naomba tafsiri ya ndoto hii asalamu alaykum
@pasikoabudala34619 ай бұрын
MIM NIMEOTA MUKEWANGU NA MENANGU WAMEKUFA NAOMBA UNISAIDIE SHEHE🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@TatuMohammed-jz3qp Жыл бұрын
Shukran sana s Shukran sana kwa kutupatia elimu jazakallahu kheir,Mimi naomba unipe maana ya ndoto hii,Nimeota nina swali baada ya kumaliza tu ,pembeni yangu yupo shemeji yangu ambaye amekufa zamani akachukua ule msala ,wangu anasema naye anaenda kusali, naomba tafsiri ,Ahsante
@Saadiya-t9r Жыл бұрын
Mm nimejita nimefariki nimevichwa sanda na kushituka
@Fatmamohamed-v7t6 күн бұрын
Mimi nilimuota baba angu amekufa tupo nyumban tunalia inamaana gani hii tena nilimuota mara mbili
@RashidyMrang6 ай бұрын
Asalm alykum warahm tullah shekhe mimi nilifiwa na mama yangu lakin kila nikilala namuota yupo hai ndoto ambayo sijui inamaan gan ila nikiw siot wala simuwaz sn yale maumiv yashapoa ya kifo chake mwezi wa nne hu toka afe nilikuw naomba maan
@nayamos9252 Жыл бұрын
Asante Sana na je ukiota mtu Alie hai amekufa nadotoni nni kitatokea?
@bettynenula37552 жыл бұрын
Namba ya simu sijaiona maana napenda zaid nikuulize juu ya ndoto yangu kwa mdomo na unipe majibu kwa mdomo wako🙏🙏
Shukuraan, kwan ukianza na salamu ukamtqkia rehma allah (s.w) kisha ukamswalia mtume ... then ukaenda kwenye point shida nn?
@ZukraMchomvu10 ай бұрын
Asalam aleikhum warahmatullah waabarakat. Samahani naomba tafsiri ya kumuota mchumba ang amefariki huku akiniacha nikiwa Nina mimba.
@FatmaHamad-z9nАй бұрын
Mm huwa nnamawzo ya kuwa nomekufa au. Najihic km nimekufa ustadh nisaidiee
@hemedomarhemed8196 Жыл бұрын
Asalam aleikum warhamtullahi wabarakatu sheikh naomba kujuwa nimeota nime kufa lakini kwenye ndoto hiyo nikaomba tu nirudishiwe roho yangu nimuone mtoto wangu kwa maraya mwisho nimkumbatiye basi kweli nikarudiahiwa nikaenda kumuona mtoto wangu kwa maraya mwisho nikamkubatiya kidogo mke wangu akaniamsha nika shtuka maana yake ni nn sheikh
@WallSaliim2 жыл бұрын
Shukran USTADH.Nimeota kuwa Mamdogo amekufa na pia ameoshwa lakini Hakufika kuzikwa nimeshtuka Kumbe Ako hai
@AshaBilaliАй бұрын
Ata Mimi mama mdogo yupo hai
@AgnessIbrahim6 ай бұрын
Samahan sheikh mim nimeota Asubuh hii mtoto wang kafarik na maiti yake nimeishika mim naomba kujua maan yake niko mbali na mtot wang naogop sana
@ZenaAbdalla-tm9fh4 ай бұрын
Mm nimeota nimekufa lakini napimwa urefu wangu kwa tepu inamaana gani
@Zuwenahu2 күн бұрын
Aslamu alaykum je kuota umeolewa na una mtoto lakini kwa wakati huo wewe upo kwenye ndoa kweli kuna maanisha nini
@KhadijaRocky11 ай бұрын
Ostadhi mm nimeota nimemsomea maiti akasimama
@saidmohamed6543 Жыл бұрын
Asalam alaykum sheikh mm nimeota Kuna msiba mtu kafariki kisha wanamkafini na kumvika sana na kumsawalia na kumzika na mm huyo mtu simfahamu nn tafsiri
@NurathAthumani-bq4iw8 ай бұрын
Asalam aleykum mie nimeota nimelelala sakafuni Kisha akaletwa maiti akiwa kwenye sanda inatakiwa nitoke Ili alazwe nilipo ila nguvu Zikaniishia nikajivuta kutoka nikashindwa maiti akalazwa pembeni yangu naomba jibu shekhe
@zenabali568 Жыл бұрын
shukran shekhel ila ungeeka number mtu ywaeza kuitaji na hakapinga direct
@faizarrashid2800 Жыл бұрын
A, Alaykum. Ukiota Mwanamke au binti. Ana jinsia. Mbili. Ina maana. Gani?
@bintykeya89542 жыл бұрын
Asalam alykum sherk mimi niliota mtoto wa mjombangu aliekufa tuko maali kunamiti mingi alafu kunamaji yanatiririka masafi gafla yule kakangu akanipokonya chuma y maji akanywa nn maana yake
@NaimaAli-r4r6 ай бұрын
Asalm alykum shekh sasa mm nimeota ndoto kuna mtu amekufa haliakuwa yupo hai naitaj msaada wako
@gifthemedy9908 Жыл бұрын
Mm nimeota nimemliza shule ya msingi lakini naangalia majibu yalobandikwa ukutani mm nimefeli sijui hiyo ndoto Ina maana gani
@salmahmohamed2704 Жыл бұрын
Assallamu aleikum warahmtlh wabarkth... ukiota mtu anafufua maiti ???
@selmesalim298 Жыл бұрын
Nimeota namzika baba angu peke yangu bila msaada wa yeyote
@User_lx9vkdi9g Жыл бұрын
Aslm alkm
@latifasuleiman75272 жыл бұрын
Shukran
@MaryamMadina-gw2gn5 ай бұрын
Salam alakum mimi nimeota nimepewa mtoto maiti amefunikwa shuka nyeupe,uyo mtoto ni kamkata jee ndoto hii inamanisha nini
@seifuhemed3567 Жыл бұрын
Asalamu alaykum mm nime ndoto rafiki yagu kafa
@ustadhharun46872 ай бұрын
Mimi nimeota dada yangu Amefariki niambie Nafsiri yake
@fatinaselemani72432 жыл бұрын
Asallam allekhum pole kwa kazi umetafsir Sana Ila sijasikia ya mtu wa familia kumuota mwezie katika familia ambae yuko Ila yuko mbali nje ya mkoa Kama kafa Ila ndani ya choo kilichojaa.
@issamakamba55692 жыл бұрын
Kama wwe
@IbrahimRamadhan-p9g9 ай бұрын
Kuna mtu ameota yeye amekufa lakini ktk hiohio ndoto akajikuta yupo hai na baadae akaanza kusikia matangazo ya kifo cha baba yake mzazi kwenye redio kinatangazwa.
@salimawishenga75882 жыл бұрын
Ahsante Sana Shaikh wetu, mie niliota dadangu aliyefariki anachukua saa yangu naye ananipa mpya ya rangi siwahi kuona yaani nikm kubadilishana saa, maana yake nini?
@WitnessNchimbi-e6s Жыл бұрын
Salamualeku Babu mm nmeota nmebeba maiti kichwan lkn ile maiti sijaiona nmeibeba kichwan maiti ikiwa kwenye jeneza naipeleka kijijini kwa ndg zake wakazike nikiwa pekeangu inamana gani
@MalikiRamadhani-d8m2 ай бұрын
Mimi nimeota nakamuliwa halafu inatoka damu mpaka nikafa pia niliota nimekuwa kichaa nimeenda msikitini nikavua nguo nikawa naonga msikitini na watu wakiniona nn maana ya ndoto hizi
@dashuushu68839 ай бұрын
Shekhe mim nimeota nimekufa nikapelekwa mpaka makabulini wanataka kunizika nikawaomba wasinizike kwasababu sijaswali yaani sijafanya ibado ivyo wakaniachia sikuzikwa apoapo nikaamuka usingizini maana ya ihii ndoto nini?
@ramazanimoshi82332 жыл бұрын
Assalam aleikum sheikh,sheikh mkewangu kaota mdogo wangu wakiume amekufa kisha akalia sana watu ikabidi wamsihi ili anyaanze ila haikuwezekana ,ila huobwana mdogo nimzima bukheri basi akatoka ndotoni katika mazingira hayo
@marieclarissangani4006 Жыл бұрын
Msamaani Kama nitakuwa nakosea hili Kweli Chanel yako huwa napenda kuifatilia Sana lkn Sasa hiyo luga sijuwi Kama ndo Nini hua yananipa uvivu Sana kweli niwe mkweli kwa Hilo jitahidi kupunguza hiyo Hali 🙏🙏🙏🙌🙌
@sashatom9463 Жыл бұрын
Nimeota naokota korosho nilipata korosho nyingi sana Kisha nikaenda kumpelekea babu yangu zile korosho ..na babu yangu Alisha fariki
@عاشهمحمد-ف4ق2 жыл бұрын
Asalam alaykm shehe mm nimeota nipo msibani kwajirani yangu nn manaake?
@Amoschare2 жыл бұрын
Asalam aleykhum sheikh, naitwa SAIDI ATHUMANI, usiku wa kuamkia Leo nimeota nipo na Dada yangu ambae Ni mgonjwa nikawa namtambulisha kwa jamaa zangu wanaungali mguu wake ambao unauma, Mara akatokea mama yetu ambae Ni marehemu na alikufa angali kalemaa lakini Kwenye ndoto anatembea nikamuuliza kumbe umepona unatemea? akajibu ndio hata huyu Yani Dada atapona huku mama akiimba kwa furaha
@alimsellem85002 жыл бұрын
namuota sana marehem mama yangu
@FatmaAli-k1d Жыл бұрын
Anataka dua huyo ww muombee dua
@MuasitiAboBakri-ew5mu2 ай бұрын
Mi nimeota tunamsaidia mtu yupo ndani ya maji mengi tunamvuta na kamba tunaangaika kumsaidia tukamtoa kwenye yale maji ghafla tukawa tunaludi tunahuzuni huku tunasema mwenzetu amekufa na maji sasa tupo nje kama harakati ya huzuni ila baadae wakaja watu wanawake wanasema marehemu kaongea kwamba alikaa kwenye maji siku tatu yani kiufupi haielewweki mzima au laa
@gauchomihayo58382 жыл бұрын
Je ukiota umekufa kisha ukaingiza(ukajizika) mwili wako katika kaburi la kale hii ina maana gani?
@awesokafulumaawesokafuluma89672 жыл бұрын
Shekhe bana mm nimeota kama natolewa uhai lakin nipo katka gari tulikua tunakwenda kucheza mpira lakini mm sio mchezaji bali nimmoja katka viongozi wahiyo team lakini kabla ya kufika njiani ndio yakanitokea nimeota kama roho inatolewa lakin sijaanguka chini yani kama nilikua napambana mwamba nisidondoke yanikwamba nikubali hapana nikakaza vilevile ghafra nikashtuka nikajikuta nipo sawa lakin nimeogopa sana mfasiri wa ndoto tafadhali naomba nipe darasa kupitia ndoto hii kiukweli imeniogopesha sana sana sana
@khadijakomba48127 ай бұрын
Ustadhi mimi nimeota Nina mume,ghafla akatokea mwanaume mwingine akataka kunioa,mume wangu akaniambia olewa nae nikaolewa nae nilivyoolewa sikukaa mda mrefu yule mume wa pili akafariki nikawa mjane, alikuja mume wa mwanzo ananifariji,nikashtuka,naomba unisaidie nini maana yake?
@nusuramohammed22522 жыл бұрын
Asalam alaykm warahmatullah wabarakatuh mm huwa naota msiba nyumban kwetu au mtu alotangulia kufa ananishika mkono inaamaanisha nn
@hadijamohammedy5232 Жыл бұрын
Shekhe naomba unipe maana ya kuota ndoto ukidumbukia kwenye kabur
@thonioaugust26083 ай бұрын
Me wife ameniotea kuwa nimekufa na nimekafiniwa na sanda nyekundu nikapelekwa hadi kaburin wife akaingia yy 2 kwenye kaburi ila alikuwa akinigeuza nikae vzr nikawa nakataa nakaa vlvle nilivyokaa mwisho nikakaa kitako kabisa Maana yake nn hyo ndoto
@monicasalum93634 ай бұрын
Mm nimeota naaga maiti tunaaga kwa staily ya kumshika miguu baadaye yy akatupa mikono na kutukumbatia alivyo fika kwang akanambia bibi na ww upo nikamjib nipo kanambia haya kwaheri nikamjib haya sijui maana yake nisaidie
@AdidjaKamikazi-w1s7 ай бұрын
Asww nimeonta niko na marehemu mumewangu anataka tufanye mapenzi nikamwambiya ngoja nikafunge murango nikaenda nakafunga murango i dirisha rikabaki wazi nikafika naamuka ira hatukufanya kitu
Asalam aikum shee Mimi nimeota tumeenda kuzika lakini tumekuta bahazi ya makabuli yamechimbika navua mbaka baazi yavitu unaweza kuviona baada yakuludi nikamwambia mwezangu mmoja ilibidi niendenae nikamwonyeshe ilvwokuwa tukaenda na akaona
@nairat8317 Жыл бұрын
Nimeota kaja kijana mwanaume halafu nikawa nimepaa angani kufika mbele nikamkuta marehemu baba kama ndani ya sanduku ila lipo wazi kakaa kitako halaf kama kuna kitu kibaya kinataka kunitokea nikasoma dua nikaamka ghafla
@saididesailly93562 жыл бұрын
Asalam aleykum warhatullah wabarakatuh Sheikh ninapetakuota papu yangu namuona wala namskia iko anaongea wala namuona wakati alisha kufa
@JafarNshimirimana5 ай бұрын
Asalam'alaykum warahmatullah nimeota kua KIONGOZI wa dini wa mkoa kafarik na yuko hayi nini maana yake
@LucyPeter-ub2lt Жыл бұрын
Nimeota nimekufa najiona kwenye jeneza lkn niliona sijafa kihalali nimelogwa nikaanza kuomba hatimaye nikafufuka,, shehe naomba tafsiri na mwongozo
@RosemaryBurra3 ай бұрын
Nimepata nipo msibani lakin sijui aliyekufa na nimeota kimekucha asubuhi nikama nipo nyumbn
@beccasaeed9334 Жыл бұрын
Je Kwa Hili Ina Maana Gani Au Kipi Nafaa Kufanya .....?
@HajiIssa-gw1lc Жыл бұрын
Shekhe ukiota umeenda kwenye mazishi alokufa mtu ana mwili mnene na wakati huo unaendelea na dawa za kisuna Sasa unakujia ndoto hiyo Ina maana gani
@EmmanuelElias-q9y11 ай бұрын
Mim niliota nipo monchwili
@kitengealmas4085 Жыл бұрын
Nimeota mume wangu amekufa akaniambia njoo tufe wote kwanini uniache niende pekeyangu nami nikaenda nikafa lakini tunaongea na kunawatu wanaongea sihem sijui wakati tunaenda kuzikwa tukiwa ndani ya gari tunaongea nikashtuka
@EmmyKanjanja-qi1vl6 ай бұрын
Unachonikera unapoteza muda mwingi kuhubiri baada ya kuelekeza
@ReaglandZewedi-di6qb Жыл бұрын
nakukiota unapea mtu pesa mkonono iko siku niliota Niko na mtoto msichana na sina mtoto
@kibaopipa34742 жыл бұрын
SHUKRANI LKN MIMI NOMEOTA MAMA YANGU ALIYE FARIKI NIMEOTA KAFARKI TENA NA MPAKA NIKAAMKA NALIA SANA MACHOZI MACHONI MWANGU TAFADHALI INA MAAMA GANI?
@abdlmajidyusufssewanyana34652 жыл бұрын
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh my worker dreamed that I have died and a woman came and gave me medicine the I was alive again sheik what's the meaning of this dream
@mildayassin1417 Жыл бұрын
Asalam aleikum she Mimi niliota nakimbizwa na kudumbukia kabulini ada kwenye Mwanandan ila nilitoka na kukimbia ila nilikua nalushiwa mijabali nkanusulika pia nikaota pia mfu kaja kuniomba maji nikagom kumpa akataka kunipiga wakati atukuwai at kupigana Wala kufinyana na kweli Kwa Sasa nahali ngumu Kila idala nifanyaje
@kidramtz Жыл бұрын
Me nimeota mama amekufa Ina maan ghan
@AdelineEshumira7 ай бұрын
Leo hii nimeota nakimbizwa na maiti nikiwa nimebeba mtoto mahali najificha zinanipata inamaana gani
@sabihahamadi22872 жыл бұрын
Shehe wetu kama umemuota maiti ana mzigo wa kuni kichwani maana yake ninibaadaye ukajikuta kwenye shimo kubwa kisha akatokeya mtu humfahamu akakushushia kamba akasema ataka kukusaidiya hata ukikaribia juuu akakuachia jee maana yake nini
@AbdulhaamidSoud2 ай бұрын
Ayo maamkizi tu mmeshakula mb zangu muwe mnafupisha
@mamakekhubeiby420628 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 Pole jamaniiiiiiii 😂😂😂
@magdalinejuma20282 жыл бұрын
Nina swali naomb kujibiwa niliot mtoto wangu amekuf inamaan gan
@zawadsimon7940 Жыл бұрын
Mm niliot MTU amekuf lakin nilipoamka nilimkut yup hai inamaan gan
@fatmahashim6062 жыл бұрын
Mm niliota sheitan kanikata kichwa katika purukushani za kumkimbiza huyo sheitan hiko kichwa nilikishika baada ya kukatika je hio ndoto ina maana gani
@jacklinrichard7121 Жыл бұрын
Mm niliot mam yng amekuf mar mbil kwa mwak
@davabackup77677 ай бұрын
Je UKIMUOTA RAISI AMEFARIKI NA UMEHUDHURIA YALE MAZISHI ?? Tafadhali naomba Tafsiri hii
@adjaally42832 жыл бұрын
Asalaam Aleykum walhmatullah tahla wabalakatullah mm nimeota tulikua watu wa tatu wa kike wawil wa kiume mmoja tulikua tunaenda nyumba ya starehe lakin tukaambiwa pamejaa tukaenda sehemu nyingine tukatokea balabalan lakin atujavuka bala bala tukamkuta mkaka tukawa tunaulizia sehemu ambayo tutapata nyumba ya wa wageni akasema subili niwaitie mtu wa boda boda niwaitie mala akaanza kudai pesa kabla yule mtu wa boda ajafika tulivyokataa akampiga yule kaka tuliekuja nae hadi kafa hapo hapo na tukashuhudiwa kavalishwa limfuko yan kavingilishwa Kama maiti ya kislam lakin ajaoshwa wala kuswaliwa mm na mwezangu tukaondoka tulivyofika mbele tukakutana na mdada tunaemjua akawa anatuambia habali izo izo za msiba yani naomba tafsili ya ndoto
@kidotitv55272 жыл бұрын
Mm sio mtaalamu wa ndoto lkn maana apo ni kwamba starehe au kufanya vitu vya kumchukiza mungu basi mwisho wake ni mbaya kwaiyo mche mungu achana na mambo yakidunia sana inshallah
@husseinbakromar58652 жыл бұрын
Waleiqom salam je ukiota unatembea na ndugu yako alifariki kisha mukapita makaburi ucku WA manani akuambie muzike kisiri kisha umwambie kuna mlizi mara kajitokeza huyo mlinzi akawaona maana?
Nimeota Baada Ya Kulala Tu Kwa Masaa Mawili . Saa Tano Mchana , Kuwa Nipo Mskitini Nimemaliza Kuswali ..... Wakati Huo Nataka Kutoka Mlangoni, Nikapishana Na Watu Wanaingiza Jeneza Ndani. Na Wakati Tunamswalia Tulisujudia Maiti !