Assalamualaikum warahama tullah wabarakatuh je mwanamume akimuota mkewe analia huku anampa pole
@AminaMakombo7 күн бұрын
Sheikh mm uwa naota sana ndoto ya kuona shamba yn natembea nakutana nashamba lina mazao km vile ufuta umetoa maua..meng na mibamia imezaa xn au mpunga umezaa xn uwa inajirudiarudia xn iyo ndoto ya shamba
@HajiMillingaАй бұрын
Sheikh xmhn nimeota mama yangu anakufa sijuhi kazidiwa lkn me nimemshika me nikawa naliaa, sijuhi maana yake sheikh nisaidie kwa hili na tongea hii ndoto imenitokea nimekuw mtu wa tofauti sana naona kama nuru imekuja
@AmissaBintikapiki29 күн бұрын
Asalam aleykum warahmatullahi wabarakatuh namimi nimeota nalia kwakuomboleza naniko mjamzito naitaji dua niko bujumbura
@OmanRuwi-mi2gm3 ай бұрын
Shehe mimi nimeota baba ananipiga nakunikanda miza kifuani nikawa naria sana nakusema wewe sio baba yangu nashura siya baba basi nikaria sana
@MwanaedahamisiMwakwina-eu3pn10 ай бұрын
Aslahm Alaykum warahmatullahi wabarakatuh mom bomb kujiunga na group la ndoto
@alfanfddgfd1662Ай бұрын
Assalam aleykum warahmatullahi wabarakatu,,,,shehe number yako ya WhatsApp Insha Allah kuna Mindoro siifahamu tafsiri zake
@hassantorab923110 ай бұрын
Asalamu alaikum shekh mimi nimiota leo naliya ,tulienda ku chimba kaburi baada yaku maliza nika ingiya ndani alafu naanja kuliya , nika kumbuka namna namimi kuna siku ntazikwa