No video

KUOTA UNA FANYA HARUSI.

  Рет қаралды 7,788

REV PETER NJIHIA

REV PETER NJIHIA

Күн бұрын

Пікірлер: 31
@user-tx1zr3kb1j
@user-tx1zr3kb1j 4 ай бұрын
Nimeota nimefanya harusi na sija muona yule ambaye nimefanya naye
@MerryianiNemece
@MerryianiNemece 11 күн бұрын
Niliota mtu kwenye simu a niambia gauni liko la harusi Hilo apo,,
@PriscaStanislaus-so3dq
@PriscaStanislaus-so3dq 3 ай бұрын
Nimeota natafuta nguo ya sendoff mnadani
@user-ff2qe4fp2m
@user-ff2qe4fp2m Ай бұрын
Pasita ukiota una farisha Pete ya uchumba Mana yake nini
@violetigokiireri9612
@violetigokiireri9612 2 жыл бұрын
Not married i dreamt lady before me in a beautiful grown nieleze mtumishi
@HomeboyTZ19
@HomeboyTZ19 2 ай бұрын
Hii ina maanisha kuna Mtu anakufanyia ushirikina ili umuoe au kuna jini/pepo linataka kukuingilia na kama ukifanya nalo mapenzi then linaingia kwako hilo pepo
@veronicagati1995
@veronicagati1995 2 жыл бұрын
Amen 🙏🙏👋👋
@nolimittvonline6822
@nolimittvonline6822 2 жыл бұрын
Mimi bado sijaolewa Ila ni baba mtto wangu ambaye tuna taka kufunga ndoa ! Nimeota nimevaa shela bc tumefika mpka kanisan Nika sahau kumbe nilikua sija pambwa ! Ikabidi niondoke nimwambie nataka kwenda kujipamba nikaangalia hela Sina ikabidi anipe hela mihela kweli kweli. Bunda nimefika salon mwenye salon hayupo bc nikasema niludi nyumba
@rehemamachela4621
@rehemamachela4621 11 ай бұрын
Yaani ndoto yako kama yangu
@user-rf6me7fl6v
@user-rf6me7fl6v 8 ай бұрын
Nauliza rafiki ygu aliota nkiwa nmefnya harusi tukiwa n mume wangu ntatumeoana inamanisha nini
@agneskato9881
@agneskato9881 2 жыл бұрын
Bwana yes asifiwe mm naota ndoto hizi mara nyingi Sana nilikua naishi na mwenzang tukapata mtoto tukaachana saivi tena ninaishi na mwenzang nae pia nimezaa nae mtoto saivi nae hayupo anafanya kaz zakusafiri tena ndoto zimeniludia sa zingin naota naolewa sikunyingine naota nimevishwa pete siku nyingin tena nikaota naenda alipo mmewng tukafunge ndoa ikaishia apo siku nyingn tena nikaota naenda alipo mwenzang nikapata ajar gari likabinuka nikashituka usingizini
@joycekumwembe5269
@joycekumwembe5269 Жыл бұрын
Yes ndo nini jina la Yesu alifupiswi
@tausisalum4052
@tausisalum4052 2 жыл бұрын
Nimeota ndoto nimevaa gauni la harusi lakini sioni viyatu vyangu nimetafuta sikuvipata
@maryammohammed1991
@maryammohammed1991 2 жыл бұрын
mwanaume akiota ndugu zake wanamfanyia harusi na yeye anamke
@nizselyluka2096
@nizselyluka2096 2 жыл бұрын
Mi nimeota tupo mkutanoni mkutano wainjili, muhibiri namuhisi ni nabii wa uongo, kachukuwa dawa ya kienyeji kaninyunyizia nawengine wengi ile dawa. Lengo lake tumwamini tuwe kama yeye, au tumwelewe kile kitu anasema, naota yote hayo, sijajua inamaana gani
@faustaraymond3303
@faustaraymond3303 Жыл бұрын
Mm sijaolewa lkn naota sana watu wanafanya harusi mara nawapongeza lkn mm sijawahi ona nafanya harusi mara nawaona wasanii wakubwa wakubwa wengi
@nizselyluka2096
@nizselyluka2096 2 жыл бұрын
Je unaota kavaa shera mwingine,
@janetjackson3516
@janetjackson3516 Жыл бұрын
Good morning...Nimeota nafanya arusi lakini uyo jamaa alikuwa cousin yangu na yeye akona bibi tayari Sasa Mimi yanikoroga plz nifafanulie 🙏
@HomeboyTZ19
@HomeboyTZ19 2 ай бұрын
Pray, huenda ni whitch craft au mapepo yanakuvizia
@elviramlowe1091
@elviramlowe1091 Жыл бұрын
nimeota nafanya harusi bwana harus simuoni
@reginasixbertkatwanga8374
@reginasixbertkatwanga8374 Жыл бұрын
He ukiota unaandaliwa kufanya harusi gari ikiwa pembeni ya pinki imepambwa
@tausisalum4052
@tausisalum4052 2 жыл бұрын
Nini maana yakuota ndoto nimevaa gauni la harusi na viyatu sivioni naomba kujuwa maana yake
@preciousmunuo142
@preciousmunuo142 2 жыл бұрын
Nini nifanye sasa jamani
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
Unaitaji maombi sana
@aminaabdalla9949
@aminaabdalla9949 Жыл бұрын
Mimi mumewangu alifariki miaka 4 sasa lkn nimeota nafanya harusi nimaanayake alafu nikaota nimebeba nguonyeupe nanyeusi napitapahali kunmajiya matope zikaanguka nikazitoa haraka lkn zimeingia matope kidogo nini maana please
@HomeboyTZ19
@HomeboyTZ19 2 ай бұрын
Hayo Mapepo my dear, fanya maombi
@bintimbuto5740
@bintimbuto5740 Жыл бұрын
Mimi niliota Nina fanya arusi na mume wangu ambiye tulisha owana mdamrefu iyo ina maana ngani?
@HomeboyTZ19
@HomeboyTZ19 2 ай бұрын
Kama ndoa yenu inashida basi hiyo shida inaisha, kama sio hivyo basi kuna pepo limechukua sura ya mume wako.Kemea pepo
@user-ug1ju7ui7j
@user-ug1ju7ui7j Жыл бұрын
Sasa mm nlikuwa nmeolewa lakini tukaachana na mume , lakini kwa sai huota kila mara,nmevaa nguo ya harusi but huwa fupi. Huwa naambiwa niende nivaa gown ingine
@elizabethjackson3865
@elizabethjackson3865 Жыл бұрын
Mimi nimeolewa lakin nimeota ndoto naolewa tena inamaana gani?
@HomeboyTZ19
@HomeboyTZ19 2 ай бұрын
Pepo hilo limeingia
KUOTA UNA TEMBEA BILA VIATU !!
1:06:56
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 10 М.
NDOTO HIZI 4 ZINA HASHIRIA KUWA MUNGU AME KUHURUMIA.
8:15
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 571
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Wian
Рет қаралды 8 МЛН
Glow Stick Secret Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 11 МЛН
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 86 МЛН
KUOTA NA MBOGA (VEGETABLES) INAMANA GANI ? +254706945821
26:51
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 17 М.
UKIOTA NDOTO YA HARUSI INA MAANA HII KIBIBLIA, USIOGOPE - Apostle Johaness John
26:03
SHINING STAR HEAVENLY EMBASSY
Рет қаралды 2,6 М.
UKIOTA BOMBA HALITOI MAJI./IF YOU DREAM ABOUT A PIPE THAT DOES NOT PROVIDE WATER
8:43
MNAJIMU KULUTHUM NA SIRI ZA NYOTA
Рет қаралды 7 М.
MWL ALIKO MWALULILI: UKIOTA NDOTO UNAFUNGA NDOA
14:09
MWL ALIKO NA DORCAS MWALULILI
Рет қаралды 1,9 М.
NDOTO ZINAZO KUELEZA KUNA NGUVU ZA GIZA KWA NYUMBA YAKO.
10:34
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 429
KUOTA NA KUSAHAU NDOTO 2 +255784638989
11:50
Tiba Zakissuna Tv
Рет қаралды 3,6 М.
NDOTO 7 ADUI ANAPANGA KUANGAMIZA WATOTO WAKO.
18:06
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 390
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Wian
Рет қаралды 8 МЛН