Tembelea tovuti WWW.EBMSCHOLARS.COM kwa kupata Consultation Want to create live streams like this? Check out StreamYard: streamyard.com/pal/d/45300048...
Пікірлер: 24
@goodlucksenso2 ай бұрын
Shukrani sana mkuu wa kazi🙏🙏🙏
@razoindeed82282 ай бұрын
Bro hii kazi unofanya..Allah akulipe kila la kheir..hii elimu unayotupa for free ungeweza kuitoa kwa hela nuingi san..I do not know how yo thank you in this limited place..All duas to you bro
@rehemaigongo77222 ай бұрын
kuna kitu kikubwa nimejifunza ubarikiwe sana
@VicentJohn-tg9yp2 ай бұрын
Asanteni kwa somo laleo mmenifumbua vitu vingi sana mungu awabaliki
@lijonjo13 күн бұрын
Habari. Nimesoma certificate ya Information Technology, nahitaji kusoma Diploma ya Information Technology. Naomba msaada wako. Niwe na Documents gani? Ada bei rahisi ni kiasi gani? Hostel za bei rahisi sana ni bei gani?
@yakoubfaki20262 ай бұрын
Thanks brother kwa taaluma by yakoub from Zanzibar
@thedon84672 ай бұрын
NAOMBA KUULIZA EBM KWA MFANO NIMEENDA CANADA KWA TOURIST VISA YA WIKI 2 THEN NKIFIKA KWA BAHATI TU NIMEPATA KAZI JEE IO KAMPUNI INAWEZA KUNITOLEA VISA YA KAZI ?
@ahmedylusonge18822 ай бұрын
Broo mm nidreva wamagari makubwa nahitaji kujua na elimuyangu ni darasa la 7 pia nimeenda nchi za Africa Kama congo Burundi Rwanda Zambia Uganda Kenya sudani Zimbabwe malawi
@user-oc5ty1vi4m2 ай бұрын
Nice job kaka mkubwa EBM
@Gamba1772 ай бұрын
Hakuna cha visa wote wezi kabisa mnaibia watu kwa visa
@GabriellaMakatu-jf2lq2 ай бұрын
Jamani kama uko tayari kupata Geen card kuachia sisi nahitaji kuliko kuondoka maneno ya kutukwaza sisi wahitaji tunaomba Mungu atupitishe
@oliviaseth46522 ай бұрын
Kweli kabisa
@cleophaswekesa62642 ай бұрын
Good 1:40
@zabulonhakizimana43862 ай бұрын
Bro matokeo ya Dv akitoka naomba upige live masaa 20
@Eva3969414 күн бұрын
Mimi Niko Tanzania nimepata mwaliko kwenda china kufanya kazi Kama Aupair je natakiwa kufanya nini ili kukamailisha visa application 😢
@user-xz4py3ls4j2 ай бұрын
Nilifanya Aplication ya dv 2024 ila nilishindwa kujua matokea kwasabb Email iliandika iko Invalid ila nitafanya tena mwaka huu
@winniesmart34102 ай бұрын
Kaka unaweza ukatuma number ako hapa chini consultants nashukulu
@msowamhokole77142 ай бұрын
Broo mie sijui lugha siruhuswi kufika uko usa ama nifanyaje ili hata nitembelee huko ama nije na mtafisiri
@jaffjeff69122 ай бұрын
Jitahidi ujue lugha ili ikurahisishie ktk maisha yko
@bernardkilonzo78232 ай бұрын
10 hours
@Ahmed261712 ай бұрын
Mr EBM mbona App ya EBM SCHOLARS APP HAIONEKANI😢😢
@zabulonhakizimana43862 ай бұрын
Bro matokeo ya Dv akitoka naomba upige live masaa 20
@ahmedylusonge18822 ай бұрын
Broo mm nidreva wamagari makubwa nahitaji kujua na elimuyangu ni darasa la 7 pia nimeenda nchi za Africa Kama congo Burundi Rwanda Zambia Uganda Kenya sudani Zimbabwe malawi