Asante dear. Tunaomba uwe unatuwekea na Recipe hapo chini
@coachpaul_main4 жыл бұрын
Nazimissi kweli kweli. Kuna yule aliyekua amezoea kuyazungusha kama muuzaji wa icecream na kashata pale karibu mtaani kwetu kitambo nilipokuwa mchanga ...nazitamani sana. Nitajaribu nzipike nione kama zitatoka vilevile!
@annethjosephat63494 жыл бұрын
😁😁tukalibishane
@justinakaronge52702 жыл бұрын
Uko vizuri Mami recipe zako zinaelezeka,
@ecarolyne52874 жыл бұрын
Thank you...shukran... Nitazijaribu🇰🇪
@juliethurio68404 жыл бұрын
Asante kwa mafundisho yako mazuri
@hawawambui61514 жыл бұрын
Ma sha Allah shukran sana zimenibamba
@kui_maina4 жыл бұрын
Yani this whole time i thought it needs a special machine...asante mum.
@ikamalle4 жыл бұрын
Welcome
@karenwangari40574 жыл бұрын
Me too! Thanks Ika
@yasminhussein63854 жыл бұрын
Ika plz send me a recipe for making labania without groundnuts
@black_queen_vibe3 жыл бұрын
Jmn nakupenda ika ......mapish yako yannivutia
@ikamalle3 жыл бұрын
Asante Sana 🥰
@hafsahcletty59685 жыл бұрын
Ntajaribu Inshaallah, Shukran
@minahmussa18773 жыл бұрын
Ahsante nimejifunza kupitia video yako
@mwashiraka92144 жыл бұрын
Sante Allah akuhifadhi
@khanipherkhalfani87305 жыл бұрын
Ntazipika on ma baby gal birthday inshallah penda ww mamu shkrn
@maryjamesnyirenda70595 жыл бұрын
You're really good iesh...
@tajiriskitchenswahiliflavo17235 жыл бұрын
Naleta coffee tu hapo sasa😋👌
@zakiaxaji30195 жыл бұрын
Thanks sisty my role model cooking 😍❤👏
@hamidaissa86095 жыл бұрын
Zakia xaj
@edgarbazzu42163 жыл бұрын
Amaizing
@bsackey844 жыл бұрын
wow this was awesome reminds me Mombasani
@سعدسعيدسعدبو4 жыл бұрын
Naulizia biriani inatiwa maziwa ya mgando au
@pauljosephmashaur47954 жыл бұрын
@@سعدسعيدسعدبو ndio
@hopemartinmartin90925 жыл бұрын
Amazing
@saudafakir54213 жыл бұрын
Helpful
@midianarushuli56123 жыл бұрын
Vitu rahisi jamn na mm lazima nipikie
@halimamasatu54125 жыл бұрын
NAzipenda sana hizi kashata jamani ntajaribu na mm
@justinakaronge52702 жыл бұрын
Napenda kukusikiliza,wewe ni mwalimu
@amourbadhway42384 жыл бұрын
Nice job nitajaribu😘
@majidmasud69604 жыл бұрын
Kwa sukari nusu kilo natumia kiasi gani cha maji na nazi ngapi?
@julyanerkajitanus74204 жыл бұрын
Habari Mbona kukauka inachukua muda mrefu?
@anasiamaruwa16844 жыл бұрын
Samahani napenda kujua naweza kutumia rangi ya ice cream?
@lykamlaki71205 жыл бұрын
Khaaa nilijua ngumu kumbe rahisi
@mziwandabakers82975 жыл бұрын
Natamani wallah 😋😋😋
@gustavemandela12414 жыл бұрын
Shukran mabuyu je?,
@ikamalle4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/r3urq5Vng71mf6c
@dorlinehumphrey10333 жыл бұрын
Asante
@pizzowizzo39974 жыл бұрын
Dada wewe unajua kwamba unajua!? Mungu akabariki
@ikamalle4 жыл бұрын
Amen
@alimuhamadali21104 жыл бұрын
You just earned a subs for life...where can I contact you I have a real question to ask
Kz nzuri dia,samahani naomba unisaidie nimefungua blog yangu ya mapishi natumia camera kurikodi naomba nitajie camera gani nzuri ni download ambayo haina watermark plz nijibu
@leilaali00724 жыл бұрын
Asante dada
@sarahjulias18642 ай бұрын
Machicha naweza tumia makavu yale ya spesho
@josephinamarijan55674 жыл бұрын
Yaan nimekuelewa asntee naanza kuuza sasa
@shanelioptatus14714 жыл бұрын
Nimeipenda mamy
@hooyoqaalichannel98365 жыл бұрын
So nice
@khalidmbatata12594 жыл бұрын
Umetumia vikombe gan kwny kupima maj sijaviona mpendwa bora uwe unatupa na vipimo kwny recipe
Jamn my dea mi nimejaribu ila kukauka imekua ni.shughul.ingine.sielew ni baridi ya uku kwetu au ni nn ,,
@hopemaluba47882 жыл бұрын
unaweza kutumia machisha ambayo yamechunjwa tyr
@ikamalle2 жыл бұрын
Ndio
@abdularafat20494 жыл бұрын
Ndio tupate kujuwa vitu vivyaavyo
@irenengombo39694 жыл бұрын
Hi..nimejaribu lakini zangu hazikukauka na kushikana..nimekosea wapi?
@midianarushuli56123 жыл бұрын
Ulieka maji mengi kuliko sukari au sukari ikunata yani kuwa nzito
@rehemakapaya55654 жыл бұрын
Naomba tusaidie hapo kwenye kilo ya sukari inaendana n Nazi ngapi yaani ingekuwa rahisi ata tukipika ..na kiasi cha maji pia kinaendana n kilo ngp y sukari na Nazi
@ummbintayn47385 жыл бұрын
Nazi tatu kubwa,umetumia ndg au kubwa kipnz ama kw cups naweza kupima cups ngap?
@ikamalle5 жыл бұрын
Weka 3cups
@mkundemsuya25044 жыл бұрын
😋😋😋😋🔥
@ummuhkhalfan55423 жыл бұрын
Me jaman naomben mnisaidie ndugu zangu napika hizo kashata za machicha ya nazi ila zangu hazikauki nakosea wapi ndugu zangu yaan wallah naweza pika zinakaa siku 4 zimekauka tu juu chini bado yaan ndani bdo mabichi kabisa
@magrethjulius84613 жыл бұрын
Hiyo rang unawez kuipata wap na utasema rangi ya kashata auu
@ikamalle3 жыл бұрын
Unaipata sokoni ama madukani hata super markets.... Ni rangi ya chakula (food colour)
@momepeter91614 жыл бұрын
Jamn me nime pika lakin hazijawa ngumu🥵🥵🥵
@ikamalle4 жыл бұрын
Hakikisha shira inachemka vyakutosha...
@momepeter91614 жыл бұрын
@@ikamalle Sawa nita jaribu tena kesho😊
@ritharobert46602 жыл бұрын
Mbona mi hazijakauka au maji nimezidisha sukari nusu, Nazi tanoo maji nimewekaa nusu kikombe