Powerful message ubarikiwe Sana mtumishi wa Mungu 🙏🙏
@michaelpunduka80867 ай бұрын
Mtumishi wa mungu wewe wasema kweli kabisa na mungu wa mbinguni akutunze
@rosemarymwanitega79267 ай бұрын
Amen Hallelujah,Asante Mtumishi kwa kutuzidi kutukumbusha kila wakati
@jacobmahona1877 ай бұрын
Amina baba nakupata vizuri kutoka nyakagwe Geita lazima uje kwetu kabla Yesu hajarudi
@cmoshi70147 ай бұрын
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu. Inasikitisha sana yani wachungaji wala hawawambii waumini Yesu anarudi wako busy na kujenga makanisa eti yatatumiwa na vizazi baada ya vizazi .Mungu atusaidie
@HemedyJoseph6 ай бұрын
Mungu akuzidishe mtumishi
@dastankalinga4427 ай бұрын
Ubarikiwe hii package ni yako mtumishi endelea kutukumbusha
@GidoGisbeth7 ай бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji
@JacquelineMetili7 ай бұрын
Ee Yesu mwana wa Daudi uirehemu familia yangu uikumbuke kwenye ufalme wako usiotetemeshwa.
@davidjuma-xf7le28 күн бұрын
Kutoka hapa eldoret nakupata vizuri barikiwa sana Mtumishi wa MUNGU
@byusaajumapili67507 ай бұрын
Mungu akubariki mchungaji
@madopriyan65767 ай бұрын
Amen katika kristo yesu
@DauphinEmmanuel-m3o3 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akume kibali ili kuisikia mwaliko wa parapanda utakapo pigwa na malaika wake,ubarikiwe mpendwa.
@LydiaNasimiyu-h1n5 ай бұрын
Mungu tuhurumihe Kwa hizi nyakati za mwinzo
@kjownkjown69416 ай бұрын
Je! Tutajitetea aje mbele za Mwenyezi Mungu, tunapo hubiriwa na mtumishi wa Mungu atokaye kwa mti huyo( original) Jamani? Bwana akubariki sana Mpakaliwa mafuta. Asante
@afredfodogo78577 ай бұрын
Unachosema ni kweli kabisa ila kwawengine ni mafumbo neno limefichwa mioyon mwao HAWAELEWI KAMA WAKATI WA NUHU HII NISAWA NA SAUTI YA NUHU.
@rahelpaul42737 ай бұрын
Mafundisho haya ni adimu
@frolamatogoro39473 ай бұрын
Nataman injili hii ingekuwa inahubiliwa kwenye makusanyiko makubwa .nabarikiwa sana hii injili ya kweli ya kutuamsha Eee YESU mwana wa MUNGU usiniache na nyumba yangu parapanda ikilia.
@monicawagunda77515 ай бұрын
Aminaaaaaa 🙌
@DorothyChilembo3 ай бұрын
Naogopa Mungu nisaidie 😭😭
@LydiaNasimiyu-h1n5 ай бұрын
Hakika ulitwa na Mungu wa kweli kabiza mutumishi wa Mungu Glory to God ❤❤❤❤❤
Nlikua najiuliza ni injiri gani inafaa Kwa watu wa kizazi hiki angalau sasa nimeona nguvu kwenye injiri ,,,Bwana aipeleke mbali injiri hii watu waisikie