Good inatoshaaaaaaaaaa Jiambatanishe na Mungu wako acha kujielezea ifike mahali itoshee
@Tina-b2b1n6 күн бұрын
Thanks for clearing the air. May God guide you n continue serving Him
@AliCompressors4 сағат бұрын
Mungu akulinde hongera kwa mamuzi yako songa mbele na kazi ya mungu ❤
@JaneMujuni-je8wv7 күн бұрын
Mtumishi naona muda wa kuendelea kuhojiana na watu umetosha,Songa mbele na kazi ya Mungu na zaidi tafuta muda wa kutosha utulie mbele za Mungu,
@SalomeMpota8 күн бұрын
Pole sana Goodluck YESU AKUSAIDIE
@YunussuHAkizimana7 күн бұрын
Huyo mungu amekuwangazia mwanga peke yako muwe munaacha usenge
@SalomeMpota7 күн бұрын
Mwenye F za rohoni hawez elewa haya mwacheni Gozbert
@jescamartin39947 күн бұрын
Ukiwa rohoni ndio utamuelewa goodluck hongera sana kijana rudi kwa mungu alie hai atakuponya
@SalomeMpota7 күн бұрын
@@jescamartin3994 MUNGU SIO mungu
@jastinmkoba6 күн бұрын
Mimi ni mtumishi wa Mungu wa mbinguni ....sikia godlck Bwana asema ivi simamia ulichokiamua ....usitafute watu wakuoneje au wakuchukiliaje maana nao ni wanadamu tu, songa mbere acha kujielezea sana imeandikwa umenaswa kwa maneno ya kinywa chako....wasije kukunasa kwa maneno yako🙏
@jastinmkoba6 күн бұрын
Na utakuja kumshukulu baadae
@conradsayi91797 күн бұрын
Mungu akulinde, Mungu akuongoze Na pia Mungu akuinue zaidi, Maadui zako wameshindwa.
@John-lp9zk7 күн бұрын
Goodluck sina neno juu yako ila MUNGU WA MBINGU NA NCHI, AKULINDE NA KUKUTUNZA SANA, nashukuru Mungu kwa hilii Jambo jema alilofanya BWANA
@frankmsangi8 күн бұрын
Pole sana kaka daah Dunia sio mbaya ila watu ndio wabaya😭😭😭👏🙏🙏
@SamwelMtasiwa-t6y7 күн бұрын
Pole kaka.. Musa akasema ikiwa uso wako hautaenda nami hatuendi safarini basi tujifunze katka hili
@JestinaMponzi3 күн бұрын
Mungu akubariki naakulinde
@aliericchim4217 күн бұрын
You have great spirit and faithfulnes in God.
@rachelbahige26096 күн бұрын
Pole saana ndugu, Mungu akulinde, namiye Mungu anizungumuziye kama wewe,miye tafaataka nyimbo zako saana.
@lazaromwala94988 күн бұрын
Mambo ya kiroho ni ya mtu binafsi na Mungu wake mtu asingilie mambo ya kiroho cha mtu
@GudMpanda7 күн бұрын
Yeye mwenyewe Gozbert ajitafakari maisha yake na ate geneze na Mungu wake
@AgapeCharles-j8e3 күн бұрын
Mungu akulinde nakupenda sana
@ShaylinAhingwa4 күн бұрын
May the lord guide you and show you His ways
@RahelGervas5 күн бұрын
❤nimekupenda Kwa ushuhuda huu nilianza kukuogopa ulipojiunganisha na na Joe dev Ila mungu akubariki karibu geita
@rosesapi68316 күн бұрын
Mungu ni mwema sana kwako songs mbele
@CheronoJudith-f7n6 күн бұрын
your songs really bless me. may God continue to raise you to another level.
@rafaellnacioadamo63896 күн бұрын
Mungu akubariki sana. I appreciate your deed.❤
@francoisemashimango81777 күн бұрын
Umefanya vinzuri sana, Mungu akubariki sana kaka kwa ku unguza iyo gari,
@JULIETAVICTORSHITUPA7 күн бұрын
Ubarikiwe sana ndugu yangu
@otwinakayega97256 күн бұрын
Mungu anakupenda msikilize mungu usisikie maneno angalieni na kuombea zawadi zote mnazopewa wa rohoni tunakuelewa kabisaa
@194summer7 күн бұрын
Uko sawa mtumishi wa Mungu good decision mimi nakuelewa sana,,
@DAVIDNELSONKILUZIA5 күн бұрын
Ulipunguza au kufa kihuduma kibali kweli mpaka nimejia kumbe ilikuwa na jambo Hilo ASANTE YESU Kwa kumpenda gozbert utainuka kuliko jua Kwa JINA la YESU amen
@JustinaCosme-m9p2 күн бұрын
Isso mesmo 👍👍👍
@japhetdaudmaneno84407 күн бұрын
Watu wana shida kuchoma gari,wanaona gari ni kitu kikuubwa,rohoni si kitu chochote..muulize "Elisha,alitokosa jozi kumi na sita za ng'ombe,na kisha akamfuata Eliya🔥🔥🔥🏹📖💪
@sarahmwasyoge18307 күн бұрын
Si kila kitu cha kupokea kutoka kwa watu hata wakina petro na paulo mtume walikataa baadhi ya vitu kutegemeana na nia ya mtu aliye wapa...biblia inakataza kupokea fedha ya aibu vitu vya aibu!( kuaibisha jina la Yesu kristo). Acha uroho utakufa vibaya! Goodluck amefanya tendo la ujasiri sana namtukuza Yesu kwa ajili yake
@japhetdaudmaneno84407 күн бұрын
@sarahmwasyoge1830 😆 Siyo uroho,dunia ya wasanii,bila Yesu ndani,inakuwa hivyo,sasa hivi ndo katoka usingizi wa MAUTI ya kiroho ndiyo maana kacoma gari🔥📖💪
@AugustineSamwel7 күн бұрын
Hongera sana mtumish wamungu umerud kwamungu wetu alie hai saiv lazm ufanikiwe
@JustinaCosme-m9p2 күн бұрын
Isso é verdade homem de Deus 🙏🙏🙏🙏
@RhodaKibona-w9j8 күн бұрын
Mungu atusaidie sana,kwa wakati huu!!!
@AnnaDaniel-lz1wf6 күн бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi wa MUNGU nimefurahi sana MUNGU akubariki sana
@AdveraMapera8 күн бұрын
Rudi kwa mtumishi wa mungu wakweli bishop elibariki sumbe arusha kisongo waya naamini mungu wa bwana wetu yesu kiristo atakufungua
@rehemaanderson8328 күн бұрын
Ameeen
@DativaFilimbi4 күн бұрын
Napenda nyimbo zako pole sana
@HildaAlen5 күн бұрын
Mungu anakupenda sana songs mbele
@NjileKanudaКүн бұрын
Mungu ni mwema mtumishi
@frankmsangi8 күн бұрын
Unaongea vitu vya msingi sana kaka ubarikiwe sana 🙏🙏💯
@selaphineevalister7 күн бұрын
Pole sana. Watu wanaogopa miujiza kuliko neno la Mungu. Neno linasema siku za mwisho manabii watakuwa wengi na msiwafuate.
@MageAwe-hl5zb7 күн бұрын
Bora ameichoma yule Mzee siyo mtumishi wa kiroho wanaotaka gari pesa nendeni mkachukue mbona mnalalamika Bora ameichoma kuliko angekufa furaha yenu ipi vipofu wa kiroho
@NuruEria6 күн бұрын
Mbona umekonda sana au ndomiujiza ya ya nabii mkuu
@JackyMuthoni7 күн бұрын
Wooi pole mungu aku-bless naya kwako🙏lkn siyo yakupewa😢
@NyustaFrank8 күн бұрын
Polee ,
@AtanasiCharlesi7 күн бұрын
Poleee sana mtumishi wa Mungu
@VeronicaShonyera-fd7ef5 күн бұрын
Damu ya Yesu ikufunike MTUMISHI wa Mungu
@kilalamuhumba46125 күн бұрын
Nimekubali leo, wewe ni mtumishi wa Mungu
@asiahsichilima66864 күн бұрын
Mwanangu asante umeitii sauti ya mungu hutafungwa, maana neno la mungu linasema hakuna hukumu juu yao walio katika yesu kristo tena Kitabu cha NAbii Isaya sura ya54:17 ujumbe huo ukutie nguvu endelea kumtumikia mungu
@theitabagroupcompany9985 күн бұрын
Munguakuokoe
@penuelypetro1096 күн бұрын
Kaka Mungu akulinde na akutunze Songa mbele na Huduma Mungu Atakuinua Zaidi
@SylvanusLemi7 күн бұрын
Ubarikiwe sana Mimi siku unapewa gari nilisema basi umeisha bahati nzuri inaonekana Mungu anamakusudi na wewe
@WitnesAmos5 күн бұрын
Songa mbele mtumishi Mungu atakua pamoja nawe
@ngelelanangale67987 күн бұрын
Bora kula chakula duni cha mtama kisicho cha mwovu. Kuliko kula chakula cha ubora wa kifahari cha mtu wa shetani. Tunakupongeza kijana kwa maamuzi kama ya Danieli
@SalomeMpota8 күн бұрын
Mimi nakupongeza....sasa nitaanza kusikiliza nyimbo zako
@emmanuelmayunga15187 күн бұрын
Binafsi nakupongeza sana kupata huo utambuzi,,Mungu akujaalie neema zaidi
@SmilingHoneyBadger-mp2uk9 сағат бұрын
Mungu aliye kuonyesha hilo pia atakupa mlango wa kutokea
@ErickBenjamini7 күн бұрын
Namwelewa zaidi yuko sawa
@AbdalahMaganga-z8l5 күн бұрын
Mungu nimwema kaka
@williamssempoli22948 күн бұрын
Umepokea mwaliko nawe ukaenda bila kumuuliza Mungu! Hiyo ndiyo hasara ya kwenda kimwili! Anyway, utakua umejifunza jambo hapo.
@TobiasBruno-v1m4 күн бұрын
Acha mungu akutendee mwenywe
@CharlesMashenene7 күн бұрын
Nakumbka sana nyimbo zako zilivyokuwa zinawagusa watu mbalimbali .Mungu akutumie tena
@DianaDeusdedithpetro7 күн бұрын
pole mwaya ayo ni majaribu rafiki ukiona majaribu ya namna yoyote jua mungu anakupima imani yako na kwo kaka mungu atakuinua mpaka maadui zako washangae endelea kumwamini mungu atakusaidia make vita ya kiroho kubwa mno mungu akulinde mwaya
@ildephoncevicent15687 күн бұрын
Uko vizuri lazima usikie sauti ya Mungu
@christianhussein89903 күн бұрын
hi or the one you 😊😊😊😊😊😅 19:40 😊😅😊😅😊😊
@ObedMtama-ci7rp6 күн бұрын
Mungu akubariki kaka
@ThedyDoriye-d4f5 күн бұрын
Mwenyez mungu akulinde mtumishi wa mungu 🙏🙏🙏
@deliveranceandhealing4 күн бұрын
Simama kwenye huduma Mungu aliyokupa kila mtu Mungu alimpa chakwake
@MageAwe-hl5zb7 күн бұрын
Huyo Mzee hafai Janani hakuna manabii wa Mungu
@EliaMwaipopo-s6j5 күн бұрын
Mungu anasema ktk Neno sitafanyanenololote bilakuwajulisha watu wangu jeikuajeuendemahali pasipo sahihi wewe ukiwamtoto wa Mungu chunguza sana mahusiano yako na Mungu yakoje?
@AdveraMapera8 күн бұрын
Mungu amemtafuta kondoo aliepotea amewaacha tisini natsa akamfuata mmja aliepotea
@elizabethfatuma90537 күн бұрын
Amen Baba Mungu Hahendeleye Kuku Linda
@JustinaCosme-m9p2 күн бұрын
👍👍👍👍👍👍👍👍🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@kaumbaAndré5 күн бұрын
ukona hoor yakuchunguza endelea mpaka vile vile mungu wetu atakupa inhibe Niko ha Congo
@SamNyale-t4t7 күн бұрын
Mtumishi wa Mungu amekubariki tu kwakuwa anakuona ukiimbia Mungu anafurahia sasa wewe wachoma Gari yeye anakuona kwa tv anakupenda mbona ufanye upumbavu huo aki aswa wewe ukiwa mmoja wasanii mko washerati umefanya upumbavu From Kenya ❤
@NeemaWillson-z5q7 күн бұрын
Bora kidogo Cha Hali kuliko kng Cha halam from Tz
@SweetStanford-jo8xj6 күн бұрын
endelea mbele heri umeamua kuufwata msalaba YESU KRISTO NI YEYE YUKE JANA LEO NA MILELE BWANA YESU ni tajiri sana endekea kukaa mbele za MUNGU penda sana kukaa rohoni
@AnnaNgei6 күн бұрын
Nakuelewa sana kaka
@Onethcorporation6 күн бұрын
Hii... Dunia ukiishi maisha ya kiroho, basii maisha ya kimwili hayatakushangaza maana pesa, nyumba na magari ni yakupita ila roho zetu ndizo zasafiri na mafanikio tunayopasa kutafuta ni ya kiroho sio yakimwili.....
@annaclethankwabho-x9w4 күн бұрын
MUNGU zaidi kukutumia
@DinnahElias5 күн бұрын
Dah
@Keyozsilas7 күн бұрын
Usiwahi kubali vitu bure Tu Mungu akubariki
@ANNASTEMBELA7 күн бұрын
Mungu akulinde na maaduwi zako
@giftgift-g4x15 сағат бұрын
MUNGU ninae mwabudu hangefanya njia pasiponjia,napia vitanivya BWANA.kushindana kwetu sisi sijuu ya damu na nya ma balini juu ya falme na mamlaka juu ya wakuu wagizahili,juu ya Majeshi ya mapepo mabaya katikaulimwengu waRoho.
@salomemakene44465 күн бұрын
Duuuuh ee Mungu,mtetee Goodluck amepungua sana lakini roho inastawi usiogope
@AlbertMushi-g5i6 күн бұрын
Huyu wala hana Mungu, huyo Mungu aliemwambia asiendeshe gari kwanini asimwambie asipokee hiyo zawadi huyo Mungu wake ni mfu yaani miaka miwili anayo anaendesha anakuja kumwambia leo. Ok.
@PeterJoseph-j3m8 күн бұрын
Muuombe sana mungu akutoe huko, huyo sio mtumishi wa mungu bhana achana naye
@rastamaghula31428 күн бұрын
Achana nae gar lenyewe si amesema amekupa na alikuwa alitumii Sasa limemuuma nn
@RwachiryoraWema6 күн бұрын
@@rastamaghula3142wewe jua hiyo sio nabii wewe ndio ufungue macho
@nataemsuya7 күн бұрын
Anachoulizwa na anachojibu ni tofauti.Ameongea na mungu?!🤔mtangazaji ungemuuliza mungu alikuwa anaongea nae kwenye njozi? au mungu alikuja kwenye sura ya namna gani?! 😇Alikuwa anajinsia gani?! Muonekano wake?!Je!alisikia sauti ikimsemesha, yeye alikuwa wapi?!👩🏿💻
@MariaEvance7 күн бұрын
Wewe mbona hatujqkuhona unamuhoji hacha ujinga wa kiro
@princejosephat83167 күн бұрын
Mambo ya Rohoni huwezi kuyajua mpaka uko rohoni, hivyo upepo unapovuma uwa unauona au unaushika ukijibu hapo ndo utamjua Mungu ni wanamna gani
@FrankworldwideTV7 күн бұрын
Before uendesehemu yoyote kwa muriko muulize roho mtakatifu shida mnakuwa bendera humuendi kiroho mnaenda kimwili 😢
@MageAwe-hl5zb7 күн бұрын
Yule Mzee wa arusha siyo wa kawaida hukuna uwepo wa Mungu
@MageAwe-hl5zb7 күн бұрын
Mungu akulinde huo uamuzi ni sahihi kama ulikuwa inageuka kama jeneza au joka nyakati za usiku Sasa watu wanaoongea hawajui aliyoyapitia Gugluck mauzauza
@mickchaz3417 күн бұрын
Hongera sana kwa uamuzi wako
@KamgishaIsaya7 күн бұрын
NAOMBA NO. YAKO GOOD LUCK. NAITAJI KUONGEA NA WEWE.
@regnethmtemanyongo22377 күн бұрын
Pole
@espoirsafari4427 күн бұрын
Wewe, hungechoma siunamutegemea Mungu, ungerudisha Kisha kukaa kwa maombi Mungu angekusaidia, fikiria kabla ya kufanya jambo
@Rm2024-x3d7 күн бұрын
True
@MariaEvance7 күн бұрын
Wewe hayajakukuta unaogea tu
@daudidaniella25147 күн бұрын
Alilia sana yule dada wa kusini
@Aminamayalla6 күн бұрын
Bora ulivyochoma. Limekukondesha sana
@BeatriceVahaye7 күн бұрын
Pole sanaaa
@lydiakivuyo-b3l6 күн бұрын
mtegemee Yesu rafiki ako awe muumba ,tuliposhuhudia umepokea ndinga tulikutoa kwenye list
@REUBENFABIAN7 күн бұрын
Nakuelewa mtu wa Mungu songa mbele.
@HabybaAthumani6 күн бұрын
Arudishe na hela alopewa..ukiwa uko rohon mbona gar ulipokea muda wote huo .itakuwa unashida ya kiroho
@helenarhobi12507 күн бұрын
Sawa tu. Lakini Goodluck kwakweli hukufanya vizuri ungechukua ukamrudishia mwenyewe aliyekupa pesa kubwa hiyo mtu amekupa kituncha gharama hivyo unaamua kuchoma. Sasa kusema kwa watu kunakutisha nini wewe Mtoto wa kiume mbona bado utasikia mengi tu. Kweli umefanya makosa kaka hata ungejiteteaje!!
@PelagiaMayengo7 күн бұрын
anajitetea kwa nani?kwani kuna anaemdai?
@DansonMwayele5 күн бұрын
Ww unasema arudishe sasa unajuahuko lilikotoka angerudi unajua ngefanywa nn mm na support sana alifanya poa kuchoma kabisa. Kwanza siako nagariyake mwenyewe. Kwaji mpaka lakubarikiwa? Kwanza hawajatumwa wamuletee kihereherechao tu.
@gibsonjosephat63527 күн бұрын
Huyu ana Depression tu. Kumbuka alianza kushiriki FIESTA na WASAFI Festival na akina Diamond. Nyimbo zake pia zilikuwa za kudunia zaidi kabla hata hajaenda kwa Nabii Joedavie. Mbona wengi wamepewa vitu na fedha na wako mbali sana kwa sasa. Juzi juzi amekarabati magari 4 ya polisi kwa zaidi ya million 30. Anaishi kwa mitandao. Ngoja tuone baada ya kuchoma kama atainuka Tena. Aache pombeeeeeee