Allah akulinde Shekh na uendeleekututoa ktk giza tupatekukutana na nuru
@ShaameMBakar2 жыл бұрын
Mashaallah
@mulhamjihadi94082 жыл бұрын
MASHA ALLAH
@wskn90612 жыл бұрын
JazakAllahu khairan
@aminasaid32052 жыл бұрын
شكرا
@abuyunusmohamed69612 жыл бұрын
Màwahabi ndio wanatuharibia dini yetu ya kiislamu
@thulaniduku3218 Жыл бұрын
Wambie ukweli hawo watu wa bidah
@موسعلی-ه8ث2 жыл бұрын
wapiga ngoma hawaelewi
@omarsakawa20702 жыл бұрын
Mimi namshangaa huyu sheikh kaunga mkono bank ya gulf Allah akbar njaa ni mbaya.mwisho atahalalisha bar,itaitwa islamic bar.
@yasirshee3152 Жыл бұрын
Kindly share hio link tuskie
@shariffhabshy67702 жыл бұрын
Aduktur wale wazamani walikua hakuna connection na walikua na hishma lakini Muhammad Abdulwahab ndio wakaribu na alikuja na fujo na akasaidiwa na serikali ya saudia na watu wakatoka huku kuenda kusoma.
@karimabdoul76192 жыл бұрын
Sheikh Muhammad Abdulwahab ni mwanachuoni wa Sunnat na TAWUHID Katowa shiriki na kaleta Tawuhid katika mchi ya Sudia Allah amhifadhi Sheik wetu Abdulwahaba aka tunga vitabo tegemewo sana katika Itiqadi sahih. Ka msome vizuri utafaidika.
@coyancodavao4004 Жыл бұрын
@@karimabdoul7619 katoa shirki saudia kwani saudia kulikuwa ni dola ya kishirikina?
@hamisisalimu6908 Жыл бұрын
Kuwachinja waislamu wenziwe ndio kuondoa shirki?? Fuatilieni tarikh vizurii
@amuraneibrahim27762 жыл бұрын
Ujinga wa maulidi uku msumbiji atayajui sisi alhamdulillah uwo uzushi umija tanzânia na Kênia
@kibiritichekundu83052 жыл бұрын
Huyu ni Wahhabism hana Moja hana Mbili.
@ayubuayubu63472 жыл бұрын
Pole sheikh hujui usemacho htakusikiliza tunajuwa hujasikiliza vizuri
@seifkhalfan31902 жыл бұрын
Tafuta elimu kwanza ndungu usiige kipofu soma dini yako kwanza