Barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu Mimi na nabarikiwa Sana mutumishi wa Mungu hakika ulliitwa na Mungu ugaidika God bless you
@ryobanchagwa24994 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤Nakuoenda sana na ninakuombea usimame zaidi
@LydiaNasimiyu-h1n3 ай бұрын
Shalom mwana wa Mungu barikiwa sanaaaana namushukuru Mungu Kwa kazi anayoifanya kuondoa madhabeli inch ya Tanzania, watumishi WA mushuma WA upango na maji Ya uzima na jiwe la Moto Nini ingine,wamesahau kwamba Yesu ndiye maji Ya usima WA milele yaaani tumefurahiya saaana namushukuru Mungu Kwa kazi nzuri hiyo Babaku barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu
@MariJosee-um7oe4 ай бұрын
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu
@johnnguttu95164 ай бұрын
Shalom Rabbi. Asante kwa neno la maarifa. Hakika Kristo YESU hajawahi tuacha tuko naye siku zote. Amen Amen
@LydiaNasimiyu-h1n4 ай бұрын
Hakuna jambo lolote litakalo nidenga na upendo WA Kristo Yesu, hakuna silaha itakayo inuka kinyume chaku itakayo faulu hakuna uchawi wowote utaoniga na upendo WA Yesu Kristo wanasareti hakuna silaha itakayo inuka kinyume chaku itakayo faulu hakuna jambo lolote litakalo nidenga na upendo WA Kristo Yesu hakuna hakuna hakuna ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@LydiaNasimiyu-h1n4 ай бұрын
Naamiini na iweivyo kwaku Mimi sitakusha na wachawi Kwa jina la Yesu Kristo wanasareti
@LydiaNasimiyu-h1n4 ай бұрын
Asante sana Yesu mwokonzi waku Kwa musamaha Asante sana mwokonzi waku Asante sana Yesu mwokonzi waku Kwa ushindi wako muzalabani Asante sana masiyaa mukombozi wetu
@ev.eliezangiruketv89024 ай бұрын
AMEN AMEN MTUMISHI WA BWANA YESU, MUNGU AKUBARIKI SANA.
@LydiaNasimiyu-h1n4 ай бұрын
Ndiyo Bwana ndiyo Bwana ndiyo Bwana ndiyo Bwana ndiyo Bwana ndiyo Bwana ndiyo Bwana ndiyo Bwana ndiyo Bwana Asante sana Kwa kunishidaniya Vita vyooooote Sasa Mimi Niko huru hakuna silaha itakayo inuka kinyume chaku itakayo faulu Kwa jina la Yesu Kristo wanasareti
@NeemaHamissi4 ай бұрын
Ameen
@agnesyjoseph39064 ай бұрын
Amen kwa fundisho lote amen🙏🙏
@MariJosee-um7oe4 ай бұрын
Amen amen amen
@LydiaNasimiyu-h1n4 ай бұрын
Kwa hakika aliye ndani Yaku ni mukuu kuliko vyooooote vyenye viko inche Yaku ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤