KUTANA NA BEATRICE, MUUZA KEKI MWENYE MASTERS MBILI

  Рет қаралды 85,013

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 199
@rosekiwale8302
@rosekiwale8302 4 жыл бұрын
Congratulation malkia wa nguvu mpambanaji sana kielimu na biashara Mungu akulinde na akutangulie kwa kila jambo
@eddycheune6547
@eddycheune6547 4 жыл бұрын
Kama umegundua anafanya matangazo ya Unga wa Azania gonga like tujuane wadau
@WASHATube
@WASHATube 4 жыл бұрын
TOP 10: WAREMBO WA INSTAGRAM WANAOTAMBA ZAIDI 2020 👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/o3uYkHpml6tgq9k NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥
@goodluckmasige5276
@goodluckmasige5276 4 жыл бұрын
Ungesikia azam wala usingekuwa nashaka
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 4 жыл бұрын
Ya watu tunajiajil hata mimi nilijiajil
@phoebejobando852
@phoebejobando852 4 жыл бұрын
Great job girl so proud of you,so sad our economy in Africa don't have jobs for graduates you were my younger sister in College and am so glad you found your way,hope you visit us here in California one day..
@simonwanyama749
@simonwanyama749 4 жыл бұрын
God bless you,great woman,watching you from kenya
@amenemhurt8817
@amenemhurt8817 4 жыл бұрын
Respect for this hardworking young lady. God bless you and all the best🙏
@beaugosseadam6831
@beaugosseadam6831 4 жыл бұрын
Afu mrembo aisee!!! Mungu yupamoja nawe, akufungulie milango zaidi na utafanikia. Penda na fanya kwa bidii unachokifanya hata kama baadaye utakuja kupata ajira yakile ulichokisomea. Vijana wengi wavivu wa kujiongeza, ndio maana utasikia hakuna ajira hakuna ajira!!!!
@sandranabakka2646
@sandranabakka2646 3 жыл бұрын
Wow! That's nice,cakes from a beautiful baker must be yummy 😘
@clementk.2561
@clementk.2561 4 жыл бұрын
Hongera Beatrice kwa juhudi zako. Kwa kweli wewe ni mjasiriamali. Sina shaka utafika mbali siku za usoni! Congratulations nyingi sana!
@ashleymipawa995
@ashleymipawa995 4 жыл бұрын
Woow when she smiled I had too. 😂 She's actually cute
@abdullakhamis792
@abdullakhamis792 4 жыл бұрын
Unapika keki nzuri na ww mwenyewe mzuri mashaallah 🌺 Ila jitahidi na biashara tu mana kusoma sio kupata kazi Ila kusoma nikupata mbinu ya kuitafuta kazi
@eischerschwederm7876
@eischerschwederm7876 4 жыл бұрын
Hii ndo inaitwa kusoma na kuelimika sio tu tusubiri ajira za ofisini
@nixongerson8905
@nixongerson8905 4 жыл бұрын
Tz sio nchi ya kumsomesha mtoto imekuwa ni nchi ya ajabu duniani unamsomesha mtoto miaka 15 aje apike keki na asifiwe
@africanhappyadventure6951
@africanhappyadventure6951 4 жыл бұрын
Mmmmmm..!Nimependa hko kadude huko kwa Nyuma kako Poaa..
@angeljoseph922
@angeljoseph922 3 жыл бұрын
Hongera sana dada nimehamasika kupitia ww👍
@samiraali5505
@samiraali5505 4 жыл бұрын
Congrats sis!!!,after all uve proved that not having only masters can make u successful,,,,, may the lord always make u prevail
@Ibrah287
@Ibrah287 3 жыл бұрын
Mtoto kafungasha! Wakubwa wanafaidi. 😋
@ghostelmendez7206
@ghostelmendez7206 4 жыл бұрын
Mimi wa kwanza kama unamkubali Millard ayo kwa uandaaji wake wa habari gonga like
@WASHATube
@WASHATube 4 жыл бұрын
TOP 10: WAREMBO WA INSTAGRAM WANAOTAMBA ZAIDI 2020 👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/o3uYkHpml6tgq9k NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥
@gracemsangi7672
@gracemsangi7672 4 жыл бұрын
Nataka uwemwalimu wangu ntakupatajee Dada.ney Geita.tuwasiliane
@jacksuleman4609
@jacksuleman4609 4 жыл бұрын
Ww mirard njoo nkonyeshe dem mwenye masters anauza utam huku
@pericykiko6198
@pericykiko6198 3 жыл бұрын
Haaaaa
@devotamutayoba9373
@devotamutayoba9373 Жыл бұрын
Congrats, I m proud of you Beatrice
@taturajabu5977
@taturajabu5977 4 жыл бұрын
Mastas hiyo kwiyoo,unaambiwa kusoma si kazi kazi kubadili elimu kuwa pesa mamàa
@selinamwakiluma7968
@selinamwakiluma7968 4 жыл бұрын
She is to cute, congration girl
@fatimayoussouf4878
@fatimayoussouf4878 4 жыл бұрын
Hongera sister my congretulations from comoros islands
@ashakhamis5645
@ashakhamis5645 4 жыл бұрын
mamb
@ashakhamis5645
@ashakhamis5645 4 жыл бұрын
mambo
@WASHATube
@WASHATube 4 жыл бұрын
TOP 10: WAREMBO WA INSTAGRAM WANAOTAMBA ZAIDI 2020 👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/o3uYkHpml6tgq9k NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥
@theophilwilliam6906
@theophilwilliam6906 3 жыл бұрын
Congrats young lady. Pongezi pia Milard Ayo kwa kumfanyia promo Beaty.
@joetz2019
@joetz2019 4 жыл бұрын
Ticha:ww ujugu kwanini Kila siku unachelewa ww tu hivi ni kwann? Ujugu:Mie nakaa mbali Mwalimu😢 Ticha:mbali huko mbinguni?😠😠 Ujugu:kwa mbele kidogo mwalimu😢 Ticha:unasemaaaaaa? Ujugu:mbinguni kwa mbele kidogo Ticha:sheeeeeenziiiii 😂😂😂😂😂
@joviangeofrey7212
@joviangeofrey7212 4 жыл бұрын
ilo shep sasaaaaaaa
@petrochengula9480
@petrochengula9480 4 жыл бұрын
Bro uko vzr kuchunguza
@josephnjoroge5649
@josephnjoroge5649 4 жыл бұрын
Weeeeeee ! Kaumbwa kaumbika😁😁
@marcokanyama4533
@marcokanyama4533 4 жыл бұрын
Kumbe tuko wengi tulio zoom back
@nelsonaloyce168
@nelsonaloyce168 4 жыл бұрын
Wachaga Wana shepu na wowowo bhana chek ilo shep Sasa Kama umeelewa chapa like hapo
@geofreymsengi9971
@geofreymsengi9971 4 жыл бұрын
Huyo saf ameangalia Kaz za kuajiriwa amuna so ameangalia fursa kaiona hongera kwake
@badmanno.1650
@badmanno.1650 4 жыл бұрын
Pisi kali... Aliekataa kudanga
@yunyun799
@yunyun799 4 жыл бұрын
😂😂😂
@luluafrica
@luluafrica 4 жыл бұрын
Beatrice...mdogo wangu wa visitation
@amosmahona433
@amosmahona433 4 жыл бұрын
Dada anapika keki viZuri Mwenyewe mzuri Sana
@bilcutehmwax9311
@bilcutehmwax9311 4 жыл бұрын
😅eenh Wachagga watabaki kuwa juu... 🙌🙌🙌
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 4 жыл бұрын
Mtoto unavutia kitandani
@maryamm7765
@maryamm7765 4 жыл бұрын
Hongera mdada mim pia najifunza kushona kupitia KZbin
@WASHATube
@WASHATube 4 жыл бұрын
TOP 10: WAREMBO WA INSTAGRAM WANAOTAMBA ZAIDI 2020 👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/o3uYkHpml6tgq9k NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥
@shau78
@shau78 4 жыл бұрын
Maryam kama una youtube link nzuri ya mafunzo ya kushona tafadhali naomba link
@maryamm7765
@maryamm7765 4 жыл бұрын
@@shau78 ngoja nikupe jina KZbin mim ninazo nyingi tu
@maryamm7765
@maryamm7765 4 жыл бұрын
@@shau78 Mirra DIY na Stitch & style hizo mbili tafuta KZbin
@juliussanane1860
@juliussanane1860 4 жыл бұрын
Vikoba nomaaa
@yaedlifemedia3203
@yaedlifemedia3203 4 жыл бұрын
jaman muuza cake mashaalla😍😍😍😙😙
@eddimwamba4208
@eddimwamba4208 4 жыл бұрын
Congrats Beatric keep moving
@namsamson3443
@namsamson3443 4 жыл бұрын
Napenda sana wanawake wapambanaji
@musatbobius5472
@musatbobius5472 4 жыл бұрын
Honger San mdada
@pamelauwera3830
@pamelauwera3830 4 жыл бұрын
Mwili wake na msambwanda haviendani ila hongera kwa upambanaji
@aichaabdul5844
@aichaabdul5844 4 жыл бұрын
Duuuu!!! Msambwanda ndio nini tena jamani?
@RioIpo
@RioIpo 4 жыл бұрын
@@aichaabdul5844 buno
@jamalimkokoto6805
@jamalimkokoto6805 4 жыл бұрын
Duu!wejamaaa!Aviendani kivp
@jamalimkokoto6805
@jamalimkokoto6805 4 жыл бұрын
@@aichaabdul5844 wowowoo.
@nrwawanndeny7394
@nrwawanndeny7394 4 жыл бұрын
Amekosaje ajira jamani wakati hapo buza mambo safi?
@balasisiterezia1609
@balasisiterezia1609 4 жыл бұрын
Nmempenda bure hyo Dada
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 4 жыл бұрын
Mi nipo znz betris naomba nikuone tupange uwe muislam nikuowe inshallah
@LukeUrioNEWS
@LukeUrioNEWS 4 жыл бұрын
Good sana .........hakuna mchaga Mzembe.
@WASHATube
@WASHATube 4 жыл бұрын
TOP 10: WAREMBO WA INSTAGRAM WANAOTAMBA ZAIDI 2020 👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/o3uYkHpml6tgq9k NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥
@shau78
@shau78 4 жыл бұрын
sio kweli. mm pia ni mchaga. wako vilaza kibao uchagani. sema wengi wanapambana kufanikiwa na wanapenda maisha mazuri
@andrewmmbaga1665
@andrewmmbaga1665 4 жыл бұрын
Hongera sana sister!
@dizodi_vituko
@dizodi_vituko 3 жыл бұрын
cheki hapa utajifunza wasanii wanavojituma li.sten.to/vxpblw2
@starboytz3622
@starboytz3622 4 жыл бұрын
Hii inchi maskin.... Jaman mdada wa wa2.. amesomaaaa wee duh...Amna Cha Maana 😯😯😯
@namsamson3443
@namsamson3443 4 жыл бұрын
Unasoma ili upate maarifa au uajiriwe, utasubiri sana
@rose_Winchester86
@rose_Winchester86 4 жыл бұрын
Sio lazma ukisoma ufanye kazi
@devidpanja115
@devidpanja115 4 жыл бұрын
Hiko anafanya n zaid ya kuajiriwa uskariri maisha
@Mpakauseme
@Mpakauseme 4 жыл бұрын
Aisee
@Nambenjere
@Nambenjere 4 жыл бұрын
Very encouraging.
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 4 жыл бұрын
Huo mzigo nyuma sio mchezo dada kabeba sio kitoto Cake Kama Cake😋😋😋😁😁
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 4 жыл бұрын
Kichuguu cha ukweli..
@peterkailembo4101
@peterkailembo4101 4 жыл бұрын
Hongera sana ndo mpango mzima kufanya unachotaka kufanya maishani mwako. Ushauri wangu anzisha youtube channels utapata viewers wengi sana
@nrwawanndeny7394
@nrwawanndeny7394 3 жыл бұрын
Mtoto ni mtamu huyu..sio kwa huo msambwanda!
@AlexDizonga-ut2lw
@AlexDizonga-ut2lw Жыл бұрын
Bongo elimu Yako kipaji tu
@abdulazizsharif2984
@abdulazizsharif2984 4 жыл бұрын
Hongera sana Mrs Beatrice
@anethnico4537
@anethnico4537 4 жыл бұрын
Nimependezwa sana
@agnesmajura2267
@agnesmajura2267 4 жыл бұрын
Hongera Beatrice
@bensonkaile9606
@bensonkaile9606 4 жыл бұрын
Naam!
@abasadmtopa6246
@abasadmtopa6246 4 жыл бұрын
Ila mh, ana mzigo,
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Utafanikiwa!!
@ليلىفاكي
@ليلىفاكي 4 жыл бұрын
Hongera sana
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
👌🏽
@kyaro5945
@kyaro5945 4 жыл бұрын
Hey Beatos vipi dear!
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
So cute!!!
@kingnicky2568
@kingnicky2568 3 жыл бұрын
Sma nn kafunga kuma nyoko
@fauzishma8033
@fauzishma8033 4 жыл бұрын
Kwa huo mzigo kesho tuko hapooo kwa sababu ya huo mzigoo
@rasheedabby2871
@rasheedabby2871 2 жыл бұрын
That Bunda Though
@tamimwatamim3427
@tamimwatamim3427 4 жыл бұрын
Zgo Kubwa
@bonneytv9441
@bonneytv9441 4 жыл бұрын
nyuma ya kila mafanikio ya mwanamke Kuna mwanaumee😄
@samirambarouk8249
@samirambarouk8249 4 жыл бұрын
Kumbe tupp wengi tuliokosa ajira tukaingia kupika ee
@noveehermany
@noveehermany 3 жыл бұрын
Relation status?
@K25795
@K25795 4 жыл бұрын
Afu daa beatrice ana mtambo mkubwa afu dar ukiwa na mtambo huwa ufeliii 🤣
@rukundoibrahim807
@rukundoibrahim807 4 жыл бұрын
ajira nihiyo hiyooo.
@Planet_Zong
@Planet_Zong 4 жыл бұрын
Kama umeona mgongo gonga like
@kyaro5945
@kyaro5945 4 жыл бұрын
La kichaga! unooooo
@humphrey477
@humphrey477 4 жыл бұрын
Ebana Mliokalia michongo hamjamuona na huyu
@WASHATube
@WASHATube 4 жыл бұрын
TOP 10: WAREMBO WA INSTAGRAM WANAOTAMBA ZAIDI 2020 👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/o3uYkHpml6tgq9k NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥
@wilberforcewilpower3254
@wilberforcewilpower3254 4 жыл бұрын
Hapo ntaenda kununua keki ... Kwa sababu ya ya huo Urembo tu
@judamsaki5609
@judamsaki5609 4 жыл бұрын
great Beatrice
@halifahamimu4059
@halifahamimu4059 4 жыл бұрын
God bless you
@nelsonmichael2195
@nelsonmichael2195 4 жыл бұрын
Jamani mimi nimempenda sana huyu mrembo natamani hata kumuoa nani mwenye connection jamani nimfikie mbona sasa naumwa hisia kwaajili yake.
@bellabakera
@bellabakera 4 жыл бұрын
Na ni mrembo haswa
@rajabhussein4088
@rajabhussein4088 4 жыл бұрын
Mmmh yaani acha bwana!
@taturajabu5977
@taturajabu5977 4 жыл бұрын
Kwani ajabu?
@wambiewaerewe5967
@wambiewaerewe5967 4 жыл бұрын
Masita yaupishi niharali .je chakushanga nnhapo
@raphaelsamwel2640
@raphaelsamwel2640 4 жыл бұрын
Milad niunganishe na huyo dada naweza fanya biashara za keki hizo!!!
@dmsknb1541
@dmsknb1541 4 жыл бұрын
Mtoto wa sinza huyo namjua
@raphaelnkwabi9676
@raphaelnkwabi9676 2 жыл бұрын
Kuna comment flani naitafta😂😂😂
@shahuzamapishi5965
@shahuzamapishi5965 4 жыл бұрын
Mimi ninashida .nielekeze jinsi ya kukopa kikoba .Apo ndip nunashida napo
@joetz2019
@joetz2019 4 жыл бұрын
Karibu Tanzania nchi ambayo mdada anaazima dela ili aende kwa bwana ake Na bwana ake nae anaazima ghetto kwa rafiki yake ili alale na demu wake Huyo. 😂😂😂😂😂
@burundisgottalent2184
@burundisgottalent2184 4 жыл бұрын
nimpenda ushuja wa uyomu dada. Ivi hakuna gisi afunguwe youtube channel yakufunza kupika kake?
@erickjulius8644
@erickjulius8644 4 жыл бұрын
Mpenzi wake ajamsaidia chochote
@zuberikamote2078
@zuberikamote2078 4 жыл бұрын
Nipeni namban yke nampenda huyu binti
@humphreykarua5241
@humphreykarua5241 4 жыл бұрын
Hi dadq B,unauza keki za aina gani hasa!na being ni sh ngapi?asante H
@nurukhalifa9413
@nurukhalifa9413 4 жыл бұрын
Mi sion cake naona tako tu
@WASHATube
@WASHATube 4 жыл бұрын
TOP 10: WAREMBO WA INSTAGRAM WANAOTAMBA ZAIDI 2020 👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/o3uYkHpml6tgq9k NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥
@geofreymsengi9971
@geofreymsengi9971 4 жыл бұрын
😂😂😂🤣😂
@daellykimaro8509
@daellykimaro8509 4 жыл бұрын
Strong girl💪
@newtonmalle4185
@newtonmalle4185 4 жыл бұрын
Nitumie namba yako ya simu Beatrice
@RioIpo
@RioIpo 4 жыл бұрын
Mmmmh una ngongingo Dada weye
@WASHATube
@WASHATube 4 жыл бұрын
TOP 10: WAREMBO WA INSTAGRAM WANAOTAMBA ZAIDI 2020 👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/o3uYkHpml6tgq9k NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 4 жыл бұрын
Unajua maana ya ngongingo? Wale wenye vimakalio vidogo au vimodo ndo ngongingo. Huyu ana wowowo 😊😊😊
@yunyun799
@yunyun799 4 жыл бұрын
@@timothmwakakusyu4563 😂😂😂
@bonneytv9441
@bonneytv9441 4 жыл бұрын
Pisi kali afu inaakili👍
@deejeydaev
@deejeydaev 4 жыл бұрын
Ana makalio makubwa
@jacklinejames1050
@jacklinejames1050 4 жыл бұрын
Mbuzi mwingine wewe umezaliwa kuona makalio tuu
@yunyun799
@yunyun799 4 жыл бұрын
@@jacklinejames1050 😂😂😂
@allyhamisi5034
@allyhamisi5034 4 жыл бұрын
Hapo danganya toto huo mzigo nyuma si mchezo. Millard ayo hawa watu waongo
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 жыл бұрын
😆😆😆 LoL
@agathathobias8690
@agathathobias8690 4 жыл бұрын
Wenzio wanapambana we kalia hayo hayo
@wambiewaerewe5967
@wambiewaerewe5967 4 жыл бұрын
Unamuonea huruma kwavile nimweupe
@taturajabu5977
@taturajabu5977 4 жыл бұрын
Pambana tuu
@DjmubaTechServices
@DjmubaTechServices 4 жыл бұрын
huyu ni mrembo na hii interview tu, tyr ime m-mpromote, ila tusidanganyane wakuu ktk mafanikio ya watu wengi kuna vitu vingi sana vimejificha ambavyo huwa hawavisemi.....
@fatimayoussouf4878
@fatimayoussouf4878 4 жыл бұрын
Safi sana samahani milard naweza kutumia picha ya mwana dada huyu kwa kutumia mfano I'm in comoros your interview with her really impressed me so i would like to write something about the life suprises story and post it by using her story and picture as a example. I would like to know if can or not.
@simonchristian6319
@simonchristian6319 4 жыл бұрын
MI Shingo yake tu
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 4 жыл бұрын
Hilo_tako_ni_lake_kweli_ mana_haendani_nalo
@abdulkihanza4431
@abdulkihanza4431 4 жыл бұрын
Upo Bomba ww ni mlkia was nguvu,umeenea Kila secta, hongera Sana, kwa kujituma, yupo mwingine mwanza anapika na kupeleka maofisini , upo bomba
@agathathobias8690
@agathathobias8690 4 жыл бұрын
Kama sio lake litakuwa lako umemuazima
@cecilialyimo2113
@cecilialyimo2113 4 жыл бұрын
Umeonaeee,!!!
@nrwawanndeny7394
@nrwawanndeny7394 4 жыл бұрын
@@agathathobias8690 mi nataka hiyo keki yake hapo ndichi
@omarymbalamwezi8250
@omarymbalamwezi8250 4 жыл бұрын
Siyo lake
How to make calabash cake.
8:16
Lomash Confectionery
Рет қаралды 34 М.
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 11 МЛН
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 14 МЛН
MPANGO WA BIASHARA(BUSINESS PLAN)
30:18
Ngowi TV
Рет қаралды 38 М.
CAKE SHOP AND BAKERY TOUR /UJENZI NA MPANGILIO WA BAKERY NDOGO
11:18
Mziwanda Bakers
Рет қаралды 9 М.
MREMBO AMESOMA MASTERS MAREKANI ILA ANAUZA MAKANDE MWANZA
18:47
Millard Ayo
Рет қаралды 597 М.
SABRA MACHANO: Nilifukuzwa kazi ZSSF kisa natembea na RAIS
11:45
NG'ARING'ARI
Рет қаралды 54 М.
KAZI NI KAZI | Msomi wa chuo kikuu aliyeamua kuuza matunda
24:29
MWANAFUNZI MTUKUTU NA MAPENZI SHULE (muendelezo)
9:43
BabaJoan
Рет қаралды 1,6 МЛН
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36