No video

WAJERUMANI WABAHILI | NILILIPIA MTANDAO MARA NNE LAKINI WAPI

  Рет қаралды 47,000

Official Dating Assistance

Official Dating Assistance

Күн бұрын

Tuppy ametupatia darasa kabambe leo kuhusu safari yake nzima ya kutimiza ndoto yake ya kua na mzungu na kuishi Ulaya.
Sio Safari rahisi, lakini ni Safari iliyojaa ujasiri mkubwa na kutia moyo.
Thank you Tuppy for allowing this to be online
www.Oda.international

Пікірлер: 424
@zidadumbepo1486
@zidadumbepo1486 Жыл бұрын
Nafatilia Sana vipindi vyako Ila Cha huyu mdada namba 1 kawa open Sana Na Kaja ulaya hata mwaka ajamaliza kajua vitu vingi Kwa mda mchache Sana mwenyewezi mungu amjalie ndoto zake
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 11 ай бұрын
Amen! Kusema kweli me pia kanifurahisha sana..Msema kweli mpenzi wa Munhu na atafanikiwa sana.
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 10 ай бұрын
Umehonae hadi raha mungu amtangulie
@myself4128
@myself4128 10 ай бұрын
ndoto zipi za kujiuza???
@marthatito3510
@marthatito3510 10 ай бұрын
Yupo vizuri sana kaongea kwa wazi
@user-td3rn2su8f
@user-td3rn2su8f 10 ай бұрын
@@myself4128 we ni x wa Tupi wa Kiswahili kaja na hasira 😂 bado hujasema Toka hapa na kichogo chako😂😂😂
@maria_mutondioriginal5
@maria_mutondioriginal5 9 ай бұрын
Dada the straggle was really for you 😂 ila asante Yesu ndoto zako zimetimia 👏👏👏 wishing you all the best in your life ❤
@betsyjimmy231
@betsyjimmy231 Жыл бұрын
Nimependa sana huyu dada very charming very open, the best interview, congrats da Shena your the best
@user-mr7gl5ox6u
@user-mr7gl5ox6u 9 ай бұрын
Namshukuru Mungu kwakwel kwa kunitoa gizani maaa nilipata chance nying za wazungu nikakataa kuolewa na wazungu wenye pesa zao na watu wanataka chance kama nilizopata na hawapat au wanapata kwa shida sana ila nishapata mume wa kijeruman nikiwa na mtot mchanga Mungu ni mwema kwakwel
@BarakaBitariho
@BarakaBitariho 4 ай бұрын
Naoenda anavyoelezea na inafurahisha na kukufabya uendelee kusikiliza. Very engagingkwa kweli. Asante, @simamiatv
@mamaharry15
@mamaharry15 5 ай бұрын
Yaani nimempenda sana huyu Mnyakyusa mwenzangu. Yaani Kanichekesha hadi machozi yametoka alivyokuwa anawafuata watu wanaokimbilia ndege zao. Yaani huyu unakaa nae siku nzima huchoki story zake. Mungu azidi kumpigania katika maisha yake. Nampenda sana ❤❤
@gillianwilliam5688
@gillianwilliam5688 3 ай бұрын
Nacheka Mimi jamaniiii uwiiiii 😅
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar Жыл бұрын
Mungu wangu leo ni.echeka sina mbavu lakini Prisca nimempenda sana
@hellenmwasalwiba6555
@hellenmwasalwiba6555 11 ай бұрын
Tuppy you are so sincere, may God bless you so much. Unaweza kujielezea sana kwa kiwango cha juu. Na pia ni muwazi sana.
@godfreyshirima9123
@godfreyshirima9123 Жыл бұрын
Hii interview nimeipenda sana.Mungu awabariki !
@mohamedmwavuguto8276
@mohamedmwavuguto8276 Жыл бұрын
Nimempenda sana Prisca . Nimcheshi mno.
@annakailembo6063
@annakailembo6063 11 ай бұрын
Thanks my for this interview nimejifunza kitu, mwambie nampenda sana
@janethmanene1446
@janethmanene1446 Жыл бұрын
Best interview ever 🎉🥰
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 11 ай бұрын
Tuppy msema kweli mpenzi wa mungu ....ww mkweli sana mungu akuwrke juu zaidi. Me nimekupenda sana Vibe lako liko juu❤❤❤
@tusekilemwambona842
@tusekilemwambona842 Жыл бұрын
Tuppy umeongea vitu vizuri sana, i hope wasichana wakibongo au wanaoishi bongo watajifunza sana life sio easy hivyoo ulaya umenifurahisha sana.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Kaongea vizuri sana
@skithaskitha3902
@skithaskitha3902 4 ай бұрын
Tupe😀chuma kimeingia ulaya, nimejifunza sana kupitia tupe, shena Mungu akutunze kwakweli nimecheka mpaka mbavu zimeniuma
@leahmwalubalile12
@leahmwalubalile12 Жыл бұрын
This lady aisee, she is such a vibe, '' chuma kimeingia ulaya'' 😆🤣🤣🤣
@sporastica7174
@sporastica7174 Жыл бұрын
Wajeruman wabahil au bwana unaempata ndo mbahili wako na mahesabu taxes ni kubwa kwao😢kila mtu na experience yake sawa Ila haifanyi ujumlishe nchi nzima ........ Yuko vizuri she's a fighter interview nzuri welcome to Germany 🤗 mengi bado hujayaona hope you keep the same energy 🥰
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Naomba interview Kwa Experience yako, watu wengi watajifunza
@sporastica7174
@sporastica7174 Жыл бұрын
@@Tupilike niko ujeruman miaka sita sasa mpenzi na usome hiyo comment kwa ufasahau sio kukurupuka tu kujibu tupilike hajasema kama mume wake mbahili Ila aliambiwa nazan hilo jibu linakufaa ahsante 🤗una lingine nikujibu hata sijui unatesekea wapi 😂
@rose_Winchester86
@rose_Winchester86 Жыл бұрын
Huyo kakutana na mwanaume ambae hajampenda. Wagerman sio wabahili
@leahzuu6468
@leahzuu6468 10 ай бұрын
Sio kweli wa Germany sio wabahili nahisi kakutana na kishuka wangu hayuko ivyo😊
@sporastica7174
@sporastica7174 10 ай бұрын
@@leahzuu6468 hajakutana na traditional men huyu wakijeruman kutoka Bayern🤭
@sinzannenmisquee1425
@sinzannenmisquee1425 10 ай бұрын
Nimekupenda sana Tuppy unahadisia vizuri mwaya
@MissKaliz
@MissKaliz Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mbavu zangu Mimi, I love her level of naked truth 😍.The struggle of searching is real so patience is the major key wapendwa LAKINI pia kila mtu na Baraka yake kuna wanao pata ndani ya muda mchache waki join dating apps or kwenda sehemu za wazungu. Mwenye kuji funza na aji funze “ no matter how much you hustle kufikia ndoto/malengo yako …. Usi Kate tamaa , Yani ipo Siku tu Mungu ata kubariki “.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Yani amejua kutuongezea siku za kuishi She is amazing 🥰
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 11 ай бұрын
Waambie ukwweli nimekupenda sana mkweli. Kizuri Ujerumany kuna oputunite ya kazi. Aach Nina miaka 6 mashalaah Mungu mkuu ameniwezesha . Ulaya mume wako ni kazi hawa warme unawatumia kutengeneza maisha yako tu
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 9 ай бұрын
​@@priscambwambo1030safiiiiii kazi ndio kila kitu Dear
@Zuu673
@Zuu673 4 ай бұрын
​@@OfficialDatingAssistanceanatumia jina gani kwa mtandaoni?
@loicekoster3901
@loicekoster3901 5 ай бұрын
Hi, thank you so much. I really love you that interview with her. It was so good. Good luck for her.
@dianamatungwa
@dianamatungwa 9 ай бұрын
She spoke so well and truly, the best interview, I laugh because she was saying the truth..
@joslinchuwa1298
@joslinchuwa1298 Жыл бұрын
Nimempenda huyu Dada ni mkweli muazi sana nimejifunza kitu kwake
@WinfridaJuma-vm2wp
@WinfridaJuma-vm2wp 11 ай бұрын
The Best interview da shena 🇹🇿😊
@jessicagervas4075
@jessicagervas4075 Жыл бұрын
She's so funny mecheka mpaka, hakuna kukata tamaa kwakel
@rithersospeterkati3355
@rithersospeterkati3355 Жыл бұрын
Ni mzuri, hapa watu wa Afrika wamepata elimu. Maana walikuwa wanatulaumu sana sisi ambao tuko kuwa hatuwasaidii. Asante. ❤❤❤❤.
@ramlaomar147
@ramlaomar147 4 ай бұрын
NIMEKUPENDA SANA MDADA UPO MCHESHI NA HISTORIA YAKO INAFURAHISHA
@elizabethkilango9180
@elizabethkilango9180 2 ай бұрын
Hongera sana Prisca. Nimekuwa interested na story yako, kweli ukiwa na ndoto yako usikate tamaa.
@user-qb3hx2ku9v
@user-qb3hx2ku9v Жыл бұрын
Leo sijalala nimeishia kulia😢😢 kucheka 😅😅😅mbaka nimejip moyo nami ipo siku nitapata
@enjoybenjamini4713
@enjoybenjamini4713 Жыл бұрын
Leo nimeona hii interview imenitia moyo balaa, hongera Tumpilike
@roseeuphrase3853
@roseeuphrase3853 7 ай бұрын
Ninapenda vipindi vyako kwa sababu vinaburudisha. Hiki cha leo ni kizuri sana kwa sababu amekuwa muwazi na mkweli. ❤❤❤❤❤❤❤❤
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Nimempenda sana uyu Dada, anafunguka vizur 😅😂 yani leo stress zimeisha 😅😅na uyu Dada 😂
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
She is amazing kwakweli
@stellaprotazibashaijaban-gq4mb
@stellaprotazibashaijaban-gq4mb Жыл бұрын
Nimekupenda sana uko muwazi 🤩👍
@EpiphaniaMallya
@EpiphaniaMallya 10 ай бұрын
Mnyakyusa uko vizuri hongera sana unafunguka hadi raha
@DorethMselem
@DorethMselem Ай бұрын
Tupilike kama jina lako kula mbalaga nakuletea juice ya kakata pela😂❤❤
@salminasalim5630
@salminasalim5630 10 ай бұрын
Jamani Prisca Yaani Mungu akujalie sana umetufundishs mengi and i loved you for your transparency may Hod bless you bless you abundantly
@olivianiwagila3109
@olivianiwagila3109 Жыл бұрын
Mcheshi sana huyu dada, story nzuri inatia sana moyo
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Mnooo
@AZIZAHAMUDU-bp7zp
@AZIZAHAMUDU-bp7zp Жыл бұрын
@@OfficialDatingAssistance ujezi
@stellamangendo8810
@stellamangendo8810 4 күн бұрын
​@@OfficialDatingAssistancedada mbona Mimi nashindwa kulipia kwenye application ya bantu mwezi sana, naomba unisaidie
@EpiphaniaMallya
@EpiphaniaMallya 10 ай бұрын
Hongera Dada P. Kwa kuwa muwazi story ya maisha yako nimeioenda saana
@nureyna629
@nureyna629 5 ай бұрын
Jamani nimempenda huyu dada, mcheshi sana na msema ukweli, aisee ntairudia rudia sana hii interview sichoki kumsikiliza😊
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 5 ай бұрын
She is amazing 🥰
@Zuu673
@Zuu673 4 ай бұрын
​@@OfficialDatingAssistanceanatumia jina gani kwenye mitandao ya kijamii?
@SteshAties
@SteshAties Жыл бұрын
Waah nimefuraiii hajabu Asante sanaaa
@estersaul8180
@estersaul8180 11 ай бұрын
Nice story..
@ipyanaangetile38
@ipyanaangetile38 11 ай бұрын
Tupilike ! Mma nsekile jamani. 😂😂😂😂😂😂 uko muwazi sana .Barikiwa
@nicekweba9920
@nicekweba9920 Жыл бұрын
Amenifurahisha anajua kusimulia 🤣🤣😍
@user-em6ss4mi5v
@user-em6ss4mi5v Жыл бұрын
Ila sisi wanyakyusa tuna vibe sana jamani😂😂😂yani tunaongea balaa
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Mmetisha sana 🥰😁
@klaussteiner94
@klaussteiner94 Жыл бұрын
Wakukhaja😅🤗
@jackietony9566
@jackietony9566 Жыл бұрын
Yani tunaongea mpaka basi
@sabrinakamikazi2142
@sabrinakamikazi2142 3 ай бұрын
Nimecheka sanaa wakati alipo fika Holland .Storry nzuri kwakweli alafu muvumilivu sanaa.
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 Жыл бұрын
This is the best interview ever Shena yani dada amejua kunifurahisha sana sanaaa nlikua na mawazo yameisha yoteeee unajua yoteeee🤣🤣🤣 dada kachangamka sana sanaaa
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
She is amazing kwakweli
@user-gz9mt5jd6f
@user-gz9mt5jd6f Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 amejua kunifurahisha hadi raha muongeaji sana anafurahisha sana❤
@tupilikeallan8990
@tupilikeallan8990 5 ай бұрын
hongera sana wa jina( Tupilike
@halimateuwissen8619
@halimateuwissen8619 11 ай бұрын
Very charming lady nimempenda sana, yuko very open 😁
@rhodajackson2213
@rhodajackson2213 11 ай бұрын
Jamani mnanifurahisha sana , Tupilike umetisheer
@ashakassanga1
@ashakassanga1 4 ай бұрын
I just like this girl nimechekaaa sanaa😂😂😂😂
@doreenniver6643
@doreenniver6643 10 ай бұрын
Daah Dada nimejifunza vingi sana da p❤❤❤❤❤❤❤
@ElizabethYudda
@ElizabethYudda 4 ай бұрын
Aki nimecheka pia nimefulai sana nakupenda sana mpenzi
@annamussa185
@annamussa185 Жыл бұрын
Shena,huyu Dada akili yake kama yangu kabisa yani mume wangu nilimpapasa harafu nikaanza kujishtukia kumbe kanipenda uwiiiii nikawa najiongelesha mwenyewe si aniombe number kumbe kanipenda kitambo nilikuwa sijuwi si akaniomba number yesu wangu nilikuwa Kaa nimechanganyikiwa nyie achani tulinge ni haki yetu safari ni ndefu sana😂na kazi nikaachishwaaaaa🤣
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Hahaha hii Kali Naomba tufanye interview tafadhali jamani 🥰
@Nipa9107
@Nipa9107 Жыл бұрын
Ok😢I
@stellaishengoma9548
@stellaishengoma9548 11 ай бұрын
Nimecheka sana umepambana uko Germany mji gani?
@muhammedjuma8966
@muhammedjuma8966 4 ай бұрын
Tunakushukuru tunajifunza mambo mengi wanayo pitia wenzetu kwenye maisha
@marielulu2439
@marielulu2439 Жыл бұрын
Hongela zako bana tatamani ningekuona uwanja wandege ningegucheka namimi nirichekwa😂😂❤❤❤
@RebecaIsdory
@RebecaIsdory 6 сағат бұрын
😂😂😂😂😂 haki wewe dada ni comedy
@SamSPROStudio
@SamSPROStudio Жыл бұрын
😂😂 tupilike kiboko. Nipatie instagram yake aisee, naona kama mimi na yeye tuna kitu in common....she is a comedian just like I am.😂
@shejamy06
@shejamy06 3 ай бұрын
Shena ubarikiwe na hii platform ikue zaid ya hapa😂😂😂😂 tuppy katuvnja mbavu i manifest someday i’ll share my story❤❤❤
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 3 ай бұрын
Amen dear 🙏
@janethmafie7721
@janethmafie7721 7 ай бұрын
Wow naangalia sana interview zako napenda Ila hii y’a huyu dadaI LOVE HER. Very funnyyyy😅😅😅😅😅
@loicekoster3901
@loicekoster3901 5 ай бұрын
I really enjoyed that interview. Please stay in Germany one day we'll meet.
@joyce55727
@joyce55727 Жыл бұрын
Dd Shena unafanana na yule dd Joyce kiria mwanaharakati wa tz ❤❤ sana
@MadinaMalk-yd6kp
@MadinaMalk-yd6kp 10 ай бұрын
Nice interview 😘😘😘
@trueone_tz
@trueone_tz 5 ай бұрын
Best interview ever ❤❤❤
@PureSoul-rf4xd
@PureSoul-rf4xd Жыл бұрын
Very nice moshi siyo wewe tu hata mimi nimekuwa natafuta japo sikuwa serious ila napenda kuwa na mzungu tokea kitambo sana ,hata mimi niko na miaka 33 hiyolkabda shena atupemuongozo tuendele kufight for our dreams ,naomba ushauri tu shena
@jamlaashiri372
@jamlaashiri372 4 ай бұрын
Hongeza Sana mungu Skype wepesi ufunge ndoa
@lucysampa3325
@lucysampa3325 11 ай бұрын
TULY nimekupenda sana❤❤❤❤
@shamsakiobia6421
@shamsakiobia6421 Жыл бұрын
Niko peke yangu chumbani nilokuwa na mawazo kibao ila huyu bint kanichekesha kweli😂😂
@annatemu4488
@annatemu4488 9 ай бұрын
Tuppy nimempenda sana,yupo really
@user-oq5lc5jc3x
@user-oq5lc5jc3x Жыл бұрын
Best interview ever.. nilikua nimechoka nusu nikate tamaa now nainuka tena
@jessicamwasandube944
@jessicamwasandube944 Жыл бұрын
Wewe ni mpambambanaji na ni mkweli,nimekupenda 😂😂
@BasilEMongi
@BasilEMongi 10 ай бұрын
Jamani Uwiiii huyu dada, kwa mara nyingine nakuona huku. From Badoo - WhatsApp - now KZbin Interview 😊😊👍😘. Prisca miss you so much
@user-td3rn2su8f
@user-td3rn2su8f 10 ай бұрын
Mhh Shobo mmeanza 😅😅😅
@zainabufeka87
@zainabufeka87 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂yaan tupy nakupenda bure we dada😅😅😅❤❤❤❤❤
@joslinchuwa1298
@joslinchuwa1298 Жыл бұрын
Dada umenifurahisha sanaa
@ocenathrkalwans6545
@ocenathrkalwans6545 Жыл бұрын
Dada amenifurahisha sana nimempenda bure 🤣🤣
@miriamkasebele4727
@miriamkasebele4727 11 ай бұрын
Jamani Tupy yuko wapi hapa Ujerumani nimtafute? Yaani ana vibe juu ya vibe 😅😅😅😅😅😅
@zuwenaomar4201
@zuwenaomar4201 4 ай бұрын
Na mm nije
@tausilifestyle795
@tausilifestyle795 Жыл бұрын
Tanajifunza sana Asante sana
@WinWilly4162
@WinWilly4162 10 ай бұрын
Super interview ❤Ahsanteni sana
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 9 ай бұрын
Interview yangu pendwe shukran sana aise nafatilia vipind vyako pendwa
@issackoxley3939
@issackoxley3939 Жыл бұрын
Karibu sana Berlin
@CiscaRecaps2015
@CiscaRecaps2015 Жыл бұрын
Dah hii interview nimecheka sana
@marywambui3008
@marywambui3008 7 ай бұрын
Kweli dada umegaramia sana ndoto yako.pia Mimi umenitia moyo Nita ndoto zangu
@habisnasalum-nz4zo
@habisnasalum-nz4zo 11 ай бұрын
Jamani natafuta kazi maisha magumu sana nafanya kazi za ndani naona sifikii marengo
@mimiinvestments8406
@mimiinvestments8406 9 ай бұрын
Duh! Huku sasa ndiko kutafuta! Kweli atafutaye hachoki! Hongera sana, at the end of day........ it was done!
@julianayesayamwailolo8240
@julianayesayamwailolo8240 Жыл бұрын
Nimempenda sanaa huyu dada
@user-fe5cn8bv8y
@user-fe5cn8bv8y 10 ай бұрын
Nimekupenda sana dada
@hawababy120
@hawababy120 10 ай бұрын
😅😅😅story nzuri nacheka mwanzo mwisho😂😂😂
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 10 ай бұрын
Enjoy dear
@eshu-tanzania2791
@eshu-tanzania2791 11 ай бұрын
Duh yaani nimecheka kwa nguvu, 😅😅😅😅😅😅😅😅😅 stori nzuri dada, wa tz wengi hawajui tabia za wazungu, kupitia hiki kipindi watajifunza kitu
@tinanicholasligwile6972
@tinanicholasligwile6972 Жыл бұрын
Nimeipenda sanaa ihii
@zainabufeka87
@zainabufeka87 4 ай бұрын
,😂😂😂tupy I love you somuch sister 😅😅😅😅😅😅😅😅😊
@hellensaronga4259
@hellensaronga4259 Жыл бұрын
Nimeipenda sana
@elizabethkilango9180
@elizabethkilango9180 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂we dada nimecheka sanaa, story yako inafurahisha sana na nimejifunza kitu
@user-jl1ik6vn3e
@user-jl1ik6vn3e 9 ай бұрын
Mungu akulinde cha cha msingi kuwa Mungu unaishi popote kwani dunia na vyote ni mali ya Bwana
@user-qo5vn9xl8v
@user-qo5vn9xl8v 7 ай бұрын
Hongera sn Robi wewe nimarikia wa nguvu
@tinamwasekaga9571
@tinamwasekaga9571 10 ай бұрын
Mnyakyusa mwenzangu kafika ulaya ipo siku ntaenda🛫🛫🛫🛫🛫🛫
@user-yf9fg8jp6b
@user-yf9fg8jp6b 9 ай бұрын
Dada nimchechi jamani nimekupenda bure🥰🥰🥰
@user-mr7gl5ox6u
@user-mr7gl5ox6u 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂hhhhh huyu Dada ni comedy 😂😂😂
@dorahmcharo3083
@dorahmcharo3083 10 ай бұрын
Tuppy nimekupenda sana
@RahmaAwadh-ul9yu
@RahmaAwadh-ul9yu Ай бұрын
Kuna Prisca na Janeth nimewapenda mnooo🤣🤣🤣
@RACHELJONATHAN-vp2gl
@RACHELJONATHAN-vp2gl 3 ай бұрын
ahahaa umetisha
@marielulu2439
@marielulu2439 Жыл бұрын
Da shena umegusa mwoyo wangu ndomana hujanijibu whatsapp urikua unanitaftia majibu😂❤ asante leo nimefulai❤❤😂
HAKI YA NDOA KWA TIMETABLE | NIMEUZA MKOJO MAREKANI
53:51
Official Dating Assistance
Рет қаралды 17 М.
WAJERUMANI WABARIDI | SIO KILA MZUNGU NI TAJIRI | NI BORA KUKUTANA ONLINE DATING
1:12:55
Official Dating Assistance
Рет қаралды 23 М.
What will he say ? 😱 #smarthome #cleaning #homecleaning #gadgets
01:00
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 52 МЛН
7 Days Stranded In A Cave
17:59
MrBeast
Рет қаралды 90 МЛН
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 76 МЛН
Unaenda Marekani Unarudi Tanzania???--My Real American Experience
9:34
"Kwakweli Nilikua sijawahi Kusafiri " / Visa na maisha ya Uholanzi.
59:27
What will he say ? 😱 #smarthome #cleaning #homecleaning #gadgets
01:00