Young Africans ni mabingwa wa CAF champions league na NBC premier league
@AthamanRamadhani19 күн бұрын
Inshaallah
@LeylaSaria19 күн бұрын
😂😂hatilikiii chezea dube❤😂
@MaryThomasMary-x4e19 күн бұрын
Yanga mbele nyuma mwiko kila la heri timu yangu❤
@AgnesKachiwela19 күн бұрын
kalumbu nimeipenda hiyo hatiriki 😀😀😀😀😀
@happypiusi380119 күн бұрын
Asaanteeeee
@BasraMaisara-ke8kk19 күн бұрын
Amin inshallah
@herieldauson598719 күн бұрын
Huyu baba juz nilimuona ndugai 😂😂😂😂
@LindaMbilinyi-n3n19 күн бұрын
😅Kwa Dodoma lazima mkalishwe😂😂😂😂😂😂
@fettiemaganza148419 күн бұрын
Andaa macho yako ndugu usije ukalia tu
@IbrahimBinbenya19 күн бұрын
Kama tulivo kukalisheni nyinyi na kukupakateni
@nurusaid469819 күн бұрын
Shidwa Shetani Kwa Lija La Yesu Ushidwe Pepo Mbayaa Insha Allah
@JamesPhiri-sz5qn19 күн бұрын
Gusa achiya twende kwwo💚💚💚🙏🙏🙏🇿🇲🇿🇲
@zachariamishai725819 күн бұрын
Hatiliki 😂 ila wananchi 😅🙌🙌
@RamadhanYusuph-xi3rh19 күн бұрын
Yanga tupeni raha jumatano
@neemaemanuel105819 күн бұрын
Hatiliki, raha kama hizi zipo yanga
@BeaSHAYANAHunterson19 күн бұрын
kila la.heri
@CasianJoseph-z3n17 күн бұрын
Kila la kher yanga africans katika mchezo wenu zidi ya dodoma jiji
@tiffan280719 күн бұрын
Naon chrismas ikiwa chunguu kwa mtuu😂😂😂
@idanysedrc120019 күн бұрын
Hatilikiii mwananchi yuko motoooo
@rayisadesigns264619 күн бұрын
HUYU MTANGAZAJI MUHUNI... ANAMWAMBIA DADA ETI DUBE AKUPE UTAM... YAOYAO AKUPE UTAM... NA YEYE ANAJIBU NDIYO WOTE WAMPE UTAM... HILI JAMAA JINGA KWELI 😂😂😂
@PetroDotto-d1i19 күн бұрын
Yanga inampa utamu kuliko mme daa
@stapinuswilliam86019 күн бұрын
Utamu kuliko mume dadeki npo na zawad Yako apa
@BishiraMunga-ey6jx19 күн бұрын
Hata tuburuze mkia is none of your business,fanya yanayokuhusu,useless.
@AminaTanzania19 күн бұрын
Upanga mwaaaaa
@JamesJohn-on6yr19 күн бұрын
Kuna sehem mnaburuza mkiaaa msisahau
@LindaMbilinyi-n3n19 күн бұрын
😂😂😂😂😂hawapendi comment za hv
@salmamlokela198719 күн бұрын
Alafu mimi sijui kwann sijawai kukoment kwenye page ya simba na wala siwafatilii sababu siwapendi lkn nyie simba kufatilia ya watu hamjambo@@LindaMbilinyi-n3n
@ElizabethWamcha19 күн бұрын
Tunafuraha ya Leo ya kesho ni majaaliwa poleni kwa maumivu kufungwa wafungwe wajela jela madunduka kiti moto fc mnaumia😅
@johnkigina169619 күн бұрын
Uko sawa
@LindaMbilinyi-n3n19 күн бұрын
😅Kwa Dodoma lazima mkalishwe😂😂😂😂😂😂
@winifridarugayana731219 күн бұрын
Unaota wewe
@IbrahimBinbenya19 күн бұрын
Kama tulivo kukalisheni nyinyi na tukakupakateni marane