KWA NINI MUNGU AMEKATAZA KULA NYAMA YA NGURUWE? LAKINI WAKRISTO WA SASA WANAKULA WANADHARAU BIBLIA?

  Рет қаралды 17,980

MWALIMU ISAYA BENSON

MWALIMU ISAYA BENSON

Күн бұрын

Пікірлер: 232
@msafirimwenetombwe8819
@msafirimwenetombwe8819 Ай бұрын
Nimekuelewa Vizuri Ndugu Isaya Beson Ubarikiwe Sana Chukua Mauwa Yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Erastojules
@Erastojules Ай бұрын
Amen 🙏 nimekuelewa vizuri mtumishi
@Brunoh90Tv
@Brunoh90Tv Ай бұрын
Nisahihishe kidogo, kambale na baadhi ya samaki hawaliwi kwasababu hawana magamba na sio mapezi. Somo zuri sana mtumishi👏👏🙏
@Last403
@Last403 18 күн бұрын
Leo mtumishi umeongea vizur kabisa safi sana na hongera kwa kufuata maandiko😂
@farajisewe7416
@farajisewe7416 28 күн бұрын
Mungu akubariki mtumishi Nakufuatilia sana. UMKWELI NA MUWAZI. ENDELEA KUONGEZA MAARIFA NA KUJIFUNZA ZAIDI.. UMEWAFUNUA AKILI WENGI. NAPENDA KUJUA JEE WEWE NI DHEHEBU GANI??!
@HenryTindwa
@HenryTindwa Ай бұрын
Mtumishi apo apo mungu alitaja wanyama safi pia Nuhu aliwaingiza ktk safina
@GideonNzige-k7i
@GideonNzige-k7i Ай бұрын
Ubarikiwe
@alphoncealmack9240
@alphoncealmack9240 Ай бұрын
Safiiiiiiii mtumishi wa MUNGU umelichambua vzur sana neno kwa wale wa rohoni wameelewaa
@Last403
@Last403 18 күн бұрын
Hakuna lolote hajui huyu anawadanganya watu anatuletea sheria za wasabato kwenye neno la mungu.
@KingHercules-ci1rr
@KingHercules-ci1rr 27 күн бұрын
Mimi naomba Kuna. Aya katika bibia mungu anasema kuleni nguruwe
@JOHNCENA-lc2ju
@JOHNCENA-lc2ju 20 күн бұрын
Maneno ya mungu hakana maneno mapya! Ukisema kuna maneno ya mungu yacale na ya Sasa anadanganya watu.
@athumanikindutu5657
@athumanikindutu5657 15 күн бұрын
Kwahiyo Mchungaji anazani mungu alisahau kuwa kilakitu amekiumba yeye.ila waklisto jamani mmmmmh
@omariSaidmoon
@omariSaidmoon Ай бұрын
Maneno ya paulo mungu hageuki geuki
@wilhardvawunge-ns2ks
@wilhardvawunge-ns2ks Ай бұрын
Nguruwe no nyama tamuuu sana,nimekubali
@gndunguru
@gndunguru 29 күн бұрын
Mkishika neno moja , msipozingatia nyakati . Kwa Sasa nguruwe hatolewi kafara, na si mchafu na anapikwa vizuri. Mungu katupa maarifa ya kuepuka magonjwa
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 20 күн бұрын
Alieharamisha ni Mungu halafu unasema kakupa maarifa? Labda shaitwani ndio alokupa maarifa hayo ya kujidanganya mwenyewe
@TYAMTv
@TYAMTv 26 күн бұрын
Mwl, kwa kusema hivi alivitakasa vyakula vyote, vilivyotakaswa ni vyakula vyote sio najisi zote zitakaswa. Uzuri Mungu alishatofautisha kati ya chakula na najisi. Je Petro alichinja na kula au alishika msimamo wake wa kutokula najisi.
@sindabahabwoyaanacret660
@sindabahabwoyaanacret660 Ай бұрын
Absolutely mnamudharau Mungu
@goodluckkenneth2137
@goodluckkenneth2137 Ай бұрын
Very disappointed, how are you sure about that.
@jacksonsemit7154
@jacksonsemit7154 Ай бұрын
Kwa kusema hv alivitakasa vyakula vyote kec haikuwa vyakula najic bali kunawa bila kufuata mapokeo yao MARKO 7:5(Hapo umetudanganya) 2 kisa Cha Petro Mungu alitaka apeleke ujumbe wa neno lake kwa watu wt bila kubagua kwani ilikuwa marufuku wayahudi kuchangammana na WA mataifa na Wala c kwamba aliruhusu vyakula najisi,yachunguze maandiki.MATENDO 10:28
@AliAbdallah-i6h
@AliAbdallah-i6h 28 күн бұрын
Ww unaakili san
@hezronpeterhongoli9060
@hezronpeterhongoli9060 27 күн бұрын
Kilicho umbwa na Mungu si Najisi, Kitabu hiki Kiliandikwa na Binadamu ndiye aliyetuwekea taratibu hizi, kilicho umbwa na Mungu nikulatu, viazi mhogo kuku njiwa, chakula chote ni salama, ila Sumu ni hatari
@RamlaMburi
@RamlaMburi 18 күн бұрын
😂😂😂
@hancymachibbula4355
@hancymachibbula4355 Ай бұрын
Mungu gani anayegeuka geuka Mbona hakubadilisha Sheria za Mungu, si vyote vifaavyo, wewe mwenyewe ulikiri bible ilifichwa Kwa mda wa miaka 300 ilipotudishwa ilikuja na mabadiliko kama mkiristo kutokuoa wake wawili je unajuaje kama na hilo andiko lilieditiwa
@goodluckkenneth2137
@goodluckkenneth2137 Ай бұрын
Mungu yetu ni mkubwa kuliko njama au fikra za mwanadamu, kuna story moja kweny biblia kuna mganga alikuwa anafanya uchawi kwa kulaani wana wa israel ila mwishowe aliishia kuwabariki. Kwa hiyo hizi fikra kuwa biblia imebadilisha ni akili za mtoto wa kiimani. Mungu yetu ni mkubwa sana atakukataza vitu na kukuruhusu vitu kutokana na moyo wako na tamaa yako ilipo.
@georgekyando885
@georgekyando885 Ай бұрын
Mtumishi upo vizuri hata hapo nilipo napiga kiti Moto kipo Safi kimeiva vizuri.
@azizymachadeson3577
@azizymachadeson3577 28 күн бұрын
Kama iyo picha ni wewe kweli 😂 endelea kula tu mana unafanana nae😂😂😂
@DamasjoachimPetro
@DamasjoachimPetro 22 күн бұрын
Halafu hiyo sheria walipewa Walawi kwani sisi ni walawi? Umelijibu vizuri Isaya
@DanielMaguge
@DanielMaguge 21 күн бұрын
Kongo wanakula hadi nyoka na nyani. Wahehe mbwa, wafipa , panya. N.k Kila kinachokubalika katika eneo fulani, ni halali yao wala Mungu hana shida na hilo.
@GwidoSinsungwe
@GwidoSinsungwe Ай бұрын
Na mbwa wote walee mtumishi
@goodluckkenneth2137
@goodluckkenneth2137 Ай бұрын
Bishana kwa neno acha mizaa
@innocentmathias8668
@innocentmathias8668 Ай бұрын
Hata ww ukiamua kula unakula tu mbon Kuna kabila linakula hapa bongo
@JoswamBalongo
@JoswamBalongo 19 күн бұрын
Anayesema MUNGU anakataza kula nguruwe hajui bibria.asome MWANZO 9:1-4 atapa jibu.
@fredrickgitonga1972
@fredrickgitonga1972 Ай бұрын
1 Corinthians 10:23 [23]All things are lawful for me, but all things are not expedient: all things are lawful for me, but all things edify not. Vitu vyote ni halali; bali si vitu vyote vifaavyo. Vitu vyote ni halali; bali si vitu vyote vijengavyo.
@peterngatunga1527
@peterngatunga1527 29 күн бұрын
Marko 7:18 [18]Akawaambia, Hivi hata ninyi hamna akili? Hamfahamu ya kwamba kila kitu kilicho nje ya mtu, kikimwingia, hakiwezi kumtia unajisi; And he saith unto them, Are ye so without understanding also? Do ye not perceive, that whatsoever thing from without entereth into the man, it cannot defile him;
@goodluckkenneth2137
@goodluckkenneth2137 Ай бұрын
Wachristo wengi mnabishana bila maandiko na mnatumia akili zenu kuna maandiko nayaweka chini hapa. Kama unayo ufahamu utaelewa. 1.Warumi 14:14 [14]Najua, tena nimehakikishwa sana katika Bwana Yesu, ya kuwa hakuna kitu kilicho najisi kwa asili yake, lakini kwake yeye akionaye kitu kuwa najisi, kwake huyo kitu kile ni najisi. I know, and am persuaded by the Lord Jesus, that there is nothing unclean of itself: but to him that esteemeth any thing to be unclean, to him it is unclean. 2. Matendo ya Mitume 10:15 [15]Sauti ikamjia mara ya pili, ikimwambia, Vilivyotakaswa na Mungu, usiviite wewe najisi. And the voice spake unto him again the second time, What God hath cleansed, that call not thou common.
@jacksule7557
@jacksule7557 Ай бұрын
Ww hujui biblia kaulize watu wakufundishe maana ya mafungu hayo
@goodluckkenneth2137
@goodluckkenneth2137 Ай бұрын
@jacksule7557 sijakurupunga hili swali ambalo mtumishi kaulinzwa si swali la kwanza, watu wengi wameuliza na linafundishwa, kwahyo sijakurupuka. Nenda kasome na fuatilia .
@AliAbdallah-i6h
@AliAbdallah-i6h 28 күн бұрын
Basi kma kila kilio hai kitakua chakula chetu basi mpaka vibwengo tuvikamateni tuvile madam mungu kakukataza usile ngurue ww ukila unampinga mungu
@fredrickgitonga1972
@fredrickgitonga1972 Ай бұрын
1 Corinthians 6:12 [12]All things are lawful unto me, but all things are not expedient: all things are lawful for me, but I will not be brought under the power of any. Vitu vyote ni halali kwangu, lakini si vyote vifaavyo; vitu vyote ni halali kwangu, lakini mimi sitatiwa chini ya uwezo wa kitu cho chote.
@Visionofeagle9689
@Visionofeagle9689 27 күн бұрын
Mimi natwanga mpaka supu nakunywa😂😂
@patrickmunisi7234
@patrickmunisi7234 Ай бұрын
Hapo ndipo tunapokosana mimi na wewe mwalimu ISAYA,Usiendelee kutoa siri za utamu wa hii kitu,embu waache wanaokataa kuila waendelee kukataa ili tubaki wachache tuendelee kufurahia uumbaji wa Mungu,Mnyama hachoshi utamu wala haumizi meno,Ata kkibogoyo anaweza kumung'unya nyama ya hii kitu mdudu,
@frida-oi6kw
@frida-oi6kw Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂nimecheka walai
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 Ай бұрын
Ata kama sote binadamu tunafanya makosa lakini Baadhi ya watu wamezidi,imefika wakati mtu unapata nguvu ya kukubali Ati Manabii wa Mungu wamefanya uchafu? Nabii kama Ibrahim kipenzi wa Mungu,Baba wa imani leo kuna watu bila kupepesa macho wanasema eti alifanya zinaa na mjakazi wake wa ndani,na mtu ata haogopi? Au kujiuliza
@SmilingAnacondaSnake-sp8ct
@SmilingAnacondaSnake-sp8ct 20 күн бұрын
Mungu hajakataza kula nguruwe na nguruwe ni chakura halali kabisa kwa waislam na wakristo wote tunakula na haina madhara kwa binadamu hao wanaosema nguruwe halamu wazushi tu waache kufuga majini
@binseif2216
@binseif2216 12 күн бұрын
Tupe andiko ndani ya vitabu mlevi wewe
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 20 күн бұрын
@gnduguru. Mungu ameharamisha halafu unasema kakupa maarifa? Shaitwani ndio anaekudanganya mwenyewe ukiyaita maarifa
@Mahene-w1l
@Mahene-w1l Ай бұрын
😁😁😁 ko madhehebu mengi yametia unajisi wao wenyewe kwa Mapenzi yao wao wakati Mungu alishavitakasa,Mungu Tusaidie Tuelewe neno na sio kukariri
@selemohd9060
@selemohd9060 Ай бұрын
Acha kumzulia Mungu uongo
@goodluckkenneth2137
@goodluckkenneth2137 Ай бұрын
Bishana kwa maandiki​@@selemohd9060
@goodluckkenneth2137
@goodluckkenneth2137 Ай бұрын
Warumi 14:14 [14]Najua, tena nimehakikishwa sana katika Bwana Yesu, ya kuwa hakuna kitu kilicho najisi kwa asili yake, lakini kwake yeye akionaye kitu kuwa najisi, kwake huyo kitu kile ni najisi. I know, and am persuaded by the Lord Jesus, that there is nothing unclean of itself: but to him that esteemeth any thing to be unclean, to him it is unclean.​@@selemohd9060
@saimonsilwimba8036
@saimonsilwimba8036 Ай бұрын
unahisi utaelewa kwanamna hyo siorahisi mwombe mungu akupe uelewa kweli niwap andiko gani mungu kavitakasa alivyo viharamisha twambie nasisi tujifunze kupitia wew
@saimonsilwimba8036
@saimonsilwimba8036 Ай бұрын
Wew ndo unakariri andiko gani mungu alivitakasa alivyo viharamisha? Ujue mungu sikama mimi naww habadiliki wala hasahau analijua jambo kabla halijawa na mwisho wake utakuaje hvyo jifunze kwautulivu acha papara
@EndobileHerman
@EndobileHerman 29 күн бұрын
Kasome Warumi 141-5. Alive dhaifu wa Imani usimuhukumu wawazo yake bali mkaribisheni
@isayaanthon7063
@isayaanthon7063 21 күн бұрын
Mwalimu naomba namba yako. Nahitaji kuelewa neno zaidi kupitia wewe
@CharlesMisungwi-f8t
@CharlesMisungwi-f8t 18 күн бұрын
Yesukitisto anasemaje katika vitabu vya enjili kuhusu najisi?
@Last403
@Last403 18 күн бұрын
Someni agani jipya kitabu cha Malko 7- mstali wa 17 hadi wa 21
@kristofuraha
@kristofuraha Ай бұрын
Ngiruwe ni lugha ya picha, sio kwamba Mungu alikataza nguruwe kama nguruwe nyama chakula. KWA MUKTADHA WA MUNGU NGURUWE ILIKUA INAWAKILISHA MAFUNDISHO POTOFU! KWAHIYO MUNGU ALIKUA ANAMAANISHA WANA WA ISRAELI WASISIKILIZE MAFUNDISHO POTOFU!
@GwidoSinsungwe
@GwidoSinsungwe Ай бұрын
@@kristofuraha aisee Mtazamo wako huo ni Balaa, soma tena Bible ndugu
@jacksule7557
@jacksule7557 Ай бұрын
Na samak wasio na mapez
@rubenmsimbe934
@rubenmsimbe934 29 күн бұрын
Kama ni kweli basi nguruwe hafai kabisa ndio maana ametumika kwenye mfano mbaya..😮😮
@GilbertNhigula
@GilbertNhigula 3 сағат бұрын
Soma Isaya Sura 65 , Mtumishi kwani Majini yaliyo kuwa yamempagawisha yule jamaa Aliye kuwa Anaishi kule Makaburini Yesu alipofika pale yale Mapepo yalimwambiaje yesu ? Na yesu alisemaje Sialiwaamuru wakaingia wale nguruwe Wakaenda kufia Baharini , je Nguruwe walikufa wote ? Maana kama wangekufa wote leo hii nguruwe wasinge kuwepo , inakuwaje Wewe ule nyama ya nguruwe Wakati nguruwe waliingiziwa majini ! Na ndiomana Kulia kwake nguruwe ni Kama Mtu aliye pagawa mashetani , ! Harafu Biblia inasema yapata nguruwe Zaidi ya 2000 , hii inamaana nguruwe wengine hawakufa ndiomana Kizazi chao kipo mpaka leo , Mtumishi Mi Sili iyo kitu ,.
@masanjaelias5829
@masanjaelias5829 Ай бұрын
Huyu mpuuzi anatafuta sana sifa
@venancemwanya4212
@venancemwanya4212 Ай бұрын
Unafundisha kiurahisi mno. Sasa kwa ufundishsji huo bila shaka vihiyo watakuwa wengi mno. Ukisoma zaidi utaona maana ya maono yale ya petrol. Unapofundisha fundisha watu kwa usahihi.
@shaykhmulabasalehlulat4909
@shaykhmulabasalehlulat4909 Ай бұрын
Kwa kweli unatumia maandiko bila ya kuyaelewa. Kisha unatumia maandiko kwa dogma. Ogopa Mungu. Nani alisema kwamba wanyama wote wanafaa kuliwa??? Hoja eti ni wa Mungu??? Nani anaakili anaweza kuthubutu kusema eti kila mimea inafaa kuliwa huu ni wazimu!!?? Jamani, maandiko sio biashara yako ya kutafsiriwa kwa akili zilizotawaliwa na uduni. Kisha huna aibu unathubutu kutaja eti Ibrahimu, mbele yake akiwa na nguruwe anakula. Bila woga!!! Wapi katika maandiko mababawakuu manabii hawa walikula uchafu huo??? Unatumia mantiki ya kijinga. Sasa soma haya uelewa: 1. Kila kiumbe ni cha Mungu na kina kazi yake katika ecosystem yake. Kwa Mungu hakuna kibaya wala najisi. 2. Mwanadamu ni sehemu ndogo ya uumbaji. Mwili wake na roho yake vina mahitaji maalumu. kuna vitu ni vizuri kwake na vingine ni vibaya vyenye madhara. Hivi vyenye madhara ndiyo haramu kwa maana havitakiwi. Miongoni mwa hivyo kuna ambavyo ni najisi. Utaratibu huu ni wa milele kwa zama zote. Nguruwe ni najisi kwa wanaadamu toka baba yetu Adamu. Acha kupotosha watu.
@Last403
@Last403 18 күн бұрын
Someni pia matendo ya mitume 10- mstali wa 10 hadi 15
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 Ай бұрын
Petro lkn hakuchunja, Mungu si kigeugeu kama alisema tusile hakuna kuhoji kibinadam, jua cc wakristo haturuhusiwi ila wewe unaleta tafisiri yako yako tu
@ShabaniRashidi-d2v
@ShabaniRashidi-d2v Ай бұрын
Walioanzisha ukristo(waroma)ndio wamehalalisha ulaji wa nguruwe,sababu mungu mtoto, wa wapagani TAMUSI aliuliwa na nguruwe kwaiyo iyo ni kulipa kisasi,mana ukristo ulianzishwa na waroma uko antiokia uturuki matendo 11.26,ata yesu ajawaifika,tena yesu aliingia kwenye sinagogi (luka.4.16)msikiti)wala kanisa halijui
@hopenatura
@hopenatura 16 күн бұрын
Naomba uje na jibu la juu ya uhalali wa sadaka ya kuchinjwa kama inavyotajwa na prophet IPM je ni sawa kwa ukristo wa sasa?
@hajiramadhani2060
@hajiramadhani2060 Ай бұрын
Isaaya HAPO umekosea Kama Kila KIUMBE kula HALALI, basi BINADAM ni HALALI kuliwaaaa😮😅
@ShebbyTheparadiso-hf6fz
@ShebbyTheparadiso-hf6fz Ай бұрын
Aise mungu anakumbushwa ? 😀
@HamisaSaidi-e9y
@HamisaSaidi-e9y 27 күн бұрын
Wakristu tunaamini kuwa yesu ndiye mungu asa kwann biblia imeonyesha yesu akimuita baba na akimuomba mfano pare aliposema wakati wakusurubiwa kama ikiwa kwa mapenzi yako na itimizwe asa apo alikuwa akimwambia nani inaniweka njia panda kidogo iyo
@Patricemcwise
@Patricemcwise Ай бұрын
Volume is low 🎉❤
@KingHercules-ci1rr
@KingHercules-ci1rr 27 күн бұрын
Mbwa ana miguu 4 je. Unaweza kula
@ramakizito4934
@ramakizito4934 16 күн бұрын
Kula tu hata paka ukitaka kula we si ndio ulieshusha maandiko
@hajiramadhani2060
@hajiramadhani2060 Ай бұрын
Ina MAANA AGANO LA KALE KWENYE BIBLIA HALIFAI? Au kitabu Cha WALAWI HALIFAI? Itolewe Andiko kwenye Bibliaa😊
@nkondihamis2008
@nkondihamis2008 15 күн бұрын
Mchungaji huna Logic Mungu kusema viumbe vyote ni vya kwake haimaanishi kavunja agizo la kutokula, kama kutokula ilikuwa ni sheria ni andiko gani lilitengua?
@MchungajiPauloEliasiwizaWizabu
@MchungajiPauloEliasiwizaWizabu Ай бұрын
Ili mtu aweze kuitambua vizuri bibila na maana halisi ya kutafsiri neno la Mungu asipotoke na kupotosha umma ya watu wa Mungu lazima kwanza utambue maagano ya Mungu na wanadamu tangu mwanzo mpaka mwisho wa dunia ni mangapi na kila agano lilikuja kipindi gani, kwa mkono wa nani, kwa sababu ipi na kwa makusudi gani ya Mungu ndani ya agano hilo,!!!. mfano biblia agano la kale biblia inaonyesha kula nguruwe ni najisi,Isaya 66:) lakini agano jipya linaloanzia kitabu cha Mathayo mpaka Ufunuo sharti la miiko ya chakula ambacho ni si kilevi ,sumu ya kudhulu afya ya mtu,ni mafundisho ya mashetani, 1Timotheo 4:1-4, na na Kolosai 2:16.Usipojua kuitafisiri biblia ni hatari sana.
@petersulle1937
@petersulle1937 Ай бұрын
Unaposema wayahudi walikatazwa waliookuwa waingia Kanaani, unasahau kuwa wanyama safi na najisi waliagizwa tangu wakati wa Nuhu, wakati akiwaingiza katika safina.
@Mahene-w1l
@Mahene-w1l Ай бұрын
Watu Wengi Na Madhehebu Mengi wanasoma Biblia na kujikataza vitu ambavyo Mungu alishavitakasa
@fredrickgitonga1972
@fredrickgitonga1972 Ай бұрын
Leta andiko la utakaso wa nguruwe
@fredrickgitonga1972
@fredrickgitonga1972 Ай бұрын
1 Corinthians 6:12 [12]All things are lawful unto me, but all things are not expedient: all things are lawful for me, but I will not be brought under the power of any. Vitu vyote ni halali kwangu, lakini si vyote vifaavyo; vitu vyote ni halali kwangu, lakini mimi sitatiwa chini ya uwezo wa kitu cho chote.
@frida-oi6kw
@frida-oi6kw Ай бұрын
​@@fredrickgitonga1972kasome warumi 14..anza mwanzo
@omariSaidmoon
@omariSaidmoon Ай бұрын
Mwalimu hapo ukweli hujui jifunze mandiko vizuri bbla inasema mungu habadiliki badiliki nyinyi vpi inasema yaliyo tukia yame tukia wala hakunajambojipya chini ya jua wewe bado
@goodluckkenneth2137
@goodluckkenneth2137 Ай бұрын
Wewe ndio unatakiwa usome biblia, usimzingizie Mungu kwa kutokuwa na maarifa usiyonayo. Na pia unavyosema Mungu abadiriki soma neno. Kipindi cha wanaisrael mataifa yote yalikuwa ni najisi kwao na Mungu wao, kwahyo kwa mindset hii unatakiwa kutokuwa mchristo
@HenryTindwa
@HenryTindwa Ай бұрын
​@@goodluckkenneth2137huna kitu umenifumbua balikiwa
@venancemwanya4212
@venancemwanya4212 Ай бұрын
Sasa usome biblia kwa ajili ya kushindana na mwalimu huyu kipofu kabisa! Mbona tafsri ya maono ya petrol yapo vizuri na yapo.
@daudimwakatobe2064
@daudimwakatobe2064 Ай бұрын
Kwani Mungu anakaa Kwenye Nyama? Kiingiacho hakimtii mtu najisi Ila kitokacho,,, so kila kitu kula kwa imani
@nurumwashinga3662
@nurumwashinga3662 Ай бұрын
Wewe kama vipi uhamie huko maana kila siku unajifanya mwalimu wakati hujui kazi kuuponda ukristo tu nenda tu usitochoshe
@maximusalnono6425
@maximusalnono6425 29 күн бұрын
Imeshawahi kujiuliza why Yesu aliwaamuru mapepo wawaingie ngurue na wale nguruwe wakakimbilia baharini wakafa ni kwa nini Yesu alifanya alivyofanya? Tufkirie Yesu kawadhulumu wachungaji nguruwe au Yesu alijua nguruwe wamekatazwa na hawafai kuliwa
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 Ай бұрын
Tafuta kazi ya kufanya acha kudanganya watu,hujui chochote fuata maisha yako hakuna mtu utakayembebea dhambi
@alonemakanyaga6016
@alonemakanyaga6016 Ай бұрын
Wew uji mandiko lete fact
@Kidahwesdachoir
@Kidahwesdachoir Ай бұрын
Mbn unazunguka
@rubenmsimbe934
@rubenmsimbe934 29 күн бұрын
Unatumia nguvu kubwa sana kuhalalisha nguruwe,andiko limetaja direct nguruwe usile wala mzoga wake,ww unahangaika mno kutafuta andiko lililosema kuleni na halipo hilo andiko maana yote unayoyasema hayakutaja nguruwe....
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 22 күн бұрын
Benson leo umechemka, huyo Petro kitabu chake kipi?
@hamynas
@hamynas Ай бұрын
kwa hali ilivyo nguruwe hawezi ishi ktk mazingira hamna wanyama wengine sababu yeye ni mnyama anaekula mizoga...ataishi vipi peke ake bila mizoga?
@TallTallest-e2v
@TallTallest-e2v Ай бұрын
Wanaokaririshwa pasipo kuyasoma maandiko WATABISHA
@EmmanuelSimion-d3e
@EmmanuelSimion-d3e Ай бұрын
Mnakula kuleni tu ipo siku utanielewa atakaye sikia NENO LA MUNGU haya!!
@OmaryAlly-h3h
@OmaryAlly-h3h 29 күн бұрын
Wewe hujui kitu , ungejibu haramu au ni halali, alafu ndio utupe maandiko, wapi Yesu amehalalisha ama kula yeye nyama ya nguruwe
@NdulaMakoyekasakulilo
@NdulaMakoyekasakulilo Ай бұрын
Kwa hiyo mnaluhusiwa kuzini maana mnaishi kwa neema
@goodluckkenneth2137
@goodluckkenneth2137 Ай бұрын
Si kila uwazalo ulitoa bila kufikiria. Omba hekima sana, ulichocomment ni mzaa kwa Mungu na hata kwa jamii yako.
@JudicateShuma
@JudicateShuma Ай бұрын
We ujui maandiko ni mnyama Gani ni msafi atang,ombe ni mchafu akuna mnyama yoyote Mungu aliyemuumba najisi wanyama wote kwa Mungu nisawa, mbona ngamia katajwa kua afai lakini waislam wanakula, soma kitabu Cha mambo ya walawi vizuri hacha kusoma biblia kama gazeti,
@ShebbyTheparadiso-hf6fz
@ShebbyTheparadiso-hf6fz Ай бұрын
Ushasema mwanzo kuwa nguruwe ni nyama mchafu na maradhi na pia wanasayasi wamekiri nguruwe wanamafuta sanaa upeleka kupata maradhi ya moyo mungu atupa akili tumsome nguruwe vizur
@haidhabushiri9558
@haidhabushiri9558 Ай бұрын
Mental disorders eg epilepsy
@DesderiusHaule
@DesderiusHaule Ай бұрын
Nguruwe ni mchafu kulingana na anayemfuga, lakini yeye mwenyewe ni mstaarabu Sana anapachagua mahala pa kujisaidia pawe mbali na anapolala pia Hali chakula kilichobaki cha Jana.
@BatazalNdifwa-nk2hl
@BatazalNdifwa-nk2hl Ай бұрын
Elimu Elimu Elimu. @ Alimkataza nani ? Ktk Aya Gani ? Ok
@saimonsilwimba8036
@saimonsilwimba8036 Ай бұрын
Emb watangazaji taften ushahidi wa kisayansi kwani nguruwe ananini hasa tofsuti na wanyama wengine ukipata majawabu liweke hewan ili uchaguz ubaki kwa mlaji mwenyewe
@chiefmajai9345
@chiefmajai9345 Ай бұрын
Mungu walimuona wapi haonekani hadithi
@allythabiti8150
@allythabiti8150 Ай бұрын
Sema ukwel hata kama watu wengi wanauuchukia huo ukwel
@saimonsilwimba8036
@saimonsilwimba8036 Ай бұрын
Nanyie watangazaji watu wakiuliza maswali yakijibiwa jaribun kusimamia majibu yajibiwe ilivyo ulizwa swali msilete ushabiki mnachekachka tu ilihali ninyi mnautambuz wa kutosha au nanyie ndowalaji nguruwe mnafurahia fursa
@JamesMajaliwa-c6q
@JamesMajaliwa-c6q 28 күн бұрын
Waisilamu niwaongo nguruwe wanakula tena ndiyo walioipa jina la mdudu na Kila mwezi wa ramadhani ufikapo wafanyabiashara wa nyama za nguruwe Huwa wanalalamika biashara ngumu lakini wakifungua tu mambo mchakamchaka.
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 26 күн бұрын
Inaonekana Uislamu unakushughulisha sana. Mbona wasabato wamaharamisha ulaji wa miguruwe?
@marcobulili4341
@marcobulili4341 Ай бұрын
Nyoka je, haruhusiwi kuliwa?
@saimonsilwimba8036
@saimonsilwimba8036 Ай бұрын
Mtumishi unajitahidi lakini huna uwezo wa kujibu maswali, bado sana unajua usiongee kitu bila kufikiria umesoma andiko ya kua mungu alisema hayawani wote niwangu na katka makundi kadhaa, uliambiwa uwale mbona mbwa ni hayawan wake kobe punda, n.k mbona hukuzungumzia hlo au ww na jamii yako mnakula kila hayawani madam niwa mungu?
@ibrangowo6185
@ibrangowo6185 22 күн бұрын
SASA NYIE MNAOKULA INA MAANA MNAPINGANA NA MUNGU? AU NYIE MNAJUA KULIKO MUNGU?
@ShebbyTheparadiso-hf6fz
@ShebbyTheparadiso-hf6fz Ай бұрын
Agano ya kale ni haramu kula nguruwe kama Yesu alivyosema kuwa hakuja kutangua shari’ah na mafundisho ya manabii bali kukamilisha Lkn mbona agano jipya ni halali kula nguruwe paulo amelalisha Je hapo kuwa Yesu ni muongo na kuvunja sharia au Paulo ndio aliyovunja sharia ? Tumwamini nani hapo? Kisha ukasema kuhusu ibrahim a.s kwenye hiyo andiko hapo hakuna kitu nguruwe alikuwa hapo mezani
@Kushnade
@Kushnade Ай бұрын
Nguruwe wa kiyahudi walikua hawacheui wasasa wanacheua kuleni
@FarouqNnanguje
@FarouqNnanguje Ай бұрын
Mwalimu hivi ni kwa nini ? Wakristo wanaingiaa kwenye nyumba takatifu na viatu ?? Ambavyo vinakuwa na uchafu ?
@PascalMsafiri-x1f
@PascalMsafiri-x1f Ай бұрын
🇺🇲🇺🇲🇺🇲 usirudiye kuwa danganya wanadamu wenye akilizao...kamawewe auna akili wengine wanakili timamu...kama nyoka inaliwa . nguruwe ndo sumu?.........watazamaji mnisaidiye kumjibu huyu mwenye akili mingi yakuzidi wengine
@user-gq8ox7wb7f
@user-gq8ox7wb7f Ай бұрын
Ki ukweli nilikua nakuelewa sana ila kwa leo umepuyanga yote hiyo ni sababu ya uroho wako wa kula ngurue
@salehrashid-fx9rq
@salehrashid-fx9rq Ай бұрын
Wewe usiuongelee uislamu, nenda oawaulize masheikh kuhusu maana ya hiyo aya
@jacksonsemit7154
@jacksonsemit7154 Ай бұрын
Ikiwa Mungu ameruhusu tule vyakula najic kwa nini ck ya hukum walaji wahukumiwe.Isaya 66:15-17
@muhammadmpahi338
@muhammadmpahi338 Ай бұрын
Wala nguruwe wamekasirika humu kwenye comments
@joachimjames5070
@joachimjames5070 Ай бұрын
Unapotosha maandiko na wala hujui unachokisema
@isayahlesurwa307
@isayahlesurwa307 Ай бұрын
Mwelimishe zaidi juu wewe unsjuwa
@richardnganya2311
@richardnganya2311 Ай бұрын
Huyu mtoa majibu bado sana. Mnadonyoa mistari na stori kibao bila kuja kwenye hoja!!
@JOHNCENA-lc2ju
@JOHNCENA-lc2ju 20 күн бұрын
Huyu mwalimu anatetea nyama ya nguruwe anadanganya watu tu!
@hamynas
@hamynas Ай бұрын
umesema waislamu wamerubusiwa kula nguruwe ktk suratul baqara?kasome vizuri umedanganya, hawajaruhusiwa sababu wameambiwa ikitokea wamekula(siyo kuruhusiwa) kwa dharura zao, basi watubu ...hivi kuna ruhsa halafu waambiwa utubu?soma vizuri koran uache kuropoka
@GwidoSinsungwe
@GwidoSinsungwe Ай бұрын
Alianza vizur ila Biblia hamna kichwani
@SaleheKijazy
@SaleheKijazy Ай бұрын
Yani kwenye kujibu nguruwe haramu ume toa andiko vzr tuu na nguruwe katajwa. Iweje kwenye kuthibitisha kwamba ngurue NI halali maneno mengi sana mtumishi. Unge toa andiko mungu ansema ngurue kuleni lkn maneno tele. Toa andiko kila kinacho tambaa kuleni mle hata binadamu mwenzio. Wewe ume feli ndugu
@mhandodanny4256
@mhandodanny4256 Ай бұрын
Vyakula vilivyotakaswa ni vile vilivyoruhusiwa na c nguruwe
@MichaelEusebi
@MichaelEusebi 5 күн бұрын
Acha kupotosha watu. Hubiri injili ikiwa wewe ni mtumishi wa Mungu. Hakuna mnyama najisi. Unajisi unaitika ndani ya moyo wa mwanadamu na sio kwenye kitimoto au mbuzi katoliki.
@hajiramadhani2060
@hajiramadhani2060 Ай бұрын
NAKUSAHIHISHA KAMA VIUMBE WOTE NA BINADAMU KIUMBE, KWA HIYO. BINADAMU KULIWA RUKSA?
@Q_lax255
@Q_lax255 Ай бұрын
Hata maulama tunakula nao mbna
UBATIZO WA YOHANA NA YESU TOFAUTI YAKE NI NINI?
17:25
MWALIMU ISAYA BENSON
Рет қаралды 451
# LIVE: MWL DANIEL VS MWL NDACHA: JE WAKRISTO WANATAKIWA KUITUNZA SABATO?
3:22:51
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
YESU ALIKUNYWA MVINYO JE WAKRISTO TUNARUHUSIWA KUNYWA POMBE?
21:06
MWALIMU ISAYA BENSON
Рет қаралды 12 М.
KWA NINI WAISLAMU HAWAMKUBALI MTUME PAULO?
17:44
MWALIMU ISAYA BENSON
Рет қаралды 21 М.
KUMBE YESU NAYE ANA DHAMBI?  ANAWEZAJE KUTUOKOA SISI WAKATI NAYE SIO MWEMA?
15:40
MASWALI NA MAJIBU KUHUSU MUNGU WA BIBLIA // BUKAVU, DR CONGO
31:55
SAUTI NYIKANI MINISTRY
Рет қаралды 7 М.
MAFUNDISHO SAHIHI KUHUSU KITABU CHA UFUNUO WA YOHANA
31:06
Mwalusambo International Ministry
Рет қаралды 8 М.
NI NINI TOFAUTI KATI YA ROHO NA NAFSI
25:26
MWALIMU ISAYA BENSON
Рет қаралды 2,4 М.
LILITH ALIZAA NA ADAMU WATOTO 200 AKAWAGEUZA VIUMBE WA AJABU
21:30
MWALIMU ISAYA BENSON
Рет қаралды 8 М.