Pole sana Mtumishi wa Mungu unaitaji kujifunza tena
@zambeckmbwagha239012 күн бұрын
Baba ubarikiwe sana❤
@TabithaMalisa3 ай бұрын
Amina bishop, nabarikiwa sana na mafundisho yako, mafundisho hya yaninifundisha tabia za watu wa beloya
@StephenLewanga11 ай бұрын
Barikiwa mtumishi kwa ufafanuzi mzuri, songa mbele.
@ZephaniaMwalusambo6 ай бұрын
Nakushukuru kwa kuuelewa ukweli, ubarikiwe na Bwana!
@MjumbeAgano10 ай бұрын
Ndugu nakuonya kwa jina la Bwana Yesu Kristo,Acha kutanganya Jifunze kwa Mjumbe wa agano duniani mwenye kweli yote ya Mungu angalia KZbin Mjumbe Agano upate semina ya mwisho wa Dunia na jinsi kanisa halisi linavyojengwa na kunyakuliwa barikiwa sana. Soma Mathayo 17:11, Marko 9:12.
@AdamBartholomew-op8dc8 ай бұрын
Unamuonya kwa kipi ndugu yangu? Huu ndio ukweli ndio maana hiki kitabu kinaitwa ufunuo sio unabii basi kama kitabu hiki tukikisoma kama unabii hakika mambo hayo yatafunuliwa kwa watu gani kama sio sisi?
@footballbrain746 ай бұрын
Ufunuo wa Yohana 1:3 [3]Heri asomaye na wao wayasikiao maneno ya unabii huu, na kuyashika yaliyoandikwa humo; kwa maana wakati u karibu. .
@footballbrain746 ай бұрын
Neno unabii linefata nini hapo!? Tumieni hekima na kujifunza zaidi itawasaidia
@IsayaSanga-oi2ii5 ай бұрын
@@MjumbeAgano tafadhari sana jifunze vizur na uelewe umuonye baba kama Nan wewe kama haujaelewa uliza ujibiwe na Mungu wetu wa mbingu na nch akusaidie
@RuthSoleil23 күн бұрын
Mungu akubariki sana baba naakuzidishiye ufunuo tena 🙏🏻
@YonaAdson-ze4wv Жыл бұрын
Babaangu ubarikiwe sana kwa mafundisho haya mazuri unanifungua sana ufaham wa kuielewa biblia
@fredrickgitonga197211 ай бұрын
Soma ufunuo 1:3
@christianremnantsda530411 ай бұрын
Huyo ni muongo anapotosha watu na theojia yake ya ujanja ujanja tu
@ZephaniaMwalusambo6 ай бұрын
Mungu akubariki kwa kupokea kweli, asante sana!
@NehemiaNzowa4 ай бұрын
uko vizuri mkuu
@AzizalucasMbiduka7 ай бұрын
Amina
@GraceSambula6 ай бұрын
Ubarikiwe sana mutu wa Mungu
@pastorbensonnyalusitv.1013 ай бұрын
Mzee wangu mimi nimesoma ufunuo 11 lakini nina maswali machache mizeitini ya ufunuo mbona walikufa wakalala siku tatu na nusu wakainuka je hao unaosema ilikuwa hivyo? Ufunuo 22:19 Biblia inasema unaabii wa kitabu hiki wewe unasemaje si unabii? Naomba pia ufafanue ufunuo 11:3 unamaanisha nini Je Yohana na Yesu walihubiri majuma 42 au siku 1260 tu? Mzee kama kweli un lengo la kutuelewesha elezea sura hiyo moja mpaka tuelewe maana tuna maswali mengi sana juu ya unachofundisha hapo jama shetani alisha fungwa twambie mwisho wa dunia itakuwaje? Na ni nadharia gani unayoitumia katika kutafsiri kitabu cha Ufunuo?
@perezakinyi60393 ай бұрын
Philosophical thougts😢
@RwelamiraPascal10 ай бұрын
Asante kwa ufafanuzi mzuri
@joshuaedward27510 ай бұрын
Mengi Sio kweli lakini umenifikirisha nimeingia kusoma zaidi Nakushukuru
@amelinelyimo82638 ай бұрын
Nakupata vyema baba barikiwa sana tuongeze uwezo.
@ZephaniaMwalusambo6 ай бұрын
Ubarikiwe sana ndugu Msikilizaji.
@AlexGodfrey-hs5zp11 ай бұрын
Acha upotoshaji mzee kitabu cha ufunuo kimeandikwa kwa nyakati 3 wakati uliopo wakati ujao wakati uliokwisha kupita ufunuo 1:19 huu ndiyo ufunguo wa kitabu cha ufunuo
@joshuajohn85337 ай бұрын
Huyu Ni muongo sijui kasomea wapi theolojia mbovu hivo. Ni kipofu huyu
@footballbrain746 ай бұрын
Mwalimu nina Swali. Kama kitabu cha Ufunuo sio unabii wa Agano jipya. Je, (Ufunuo wa Yohana 1:3 [3]Heri asomaye na wao wayasikiao maneno ya unabii huu, na kuyashika yaliyoandikwa humo; kwa maana wakati u karibu. .) kwa nini anesena unabii!? Na kama Agano Jipya hakuna Unabii Je, Mathayo 24 yote kwa nini inaongelea Ujio wa Yesu Mara ya Pili na Mambo Yatakayokuwako kabla ya kuja kwake!?? Na vipi Yesu alitudanganya hapa!? Ufunuo wa Yohana 1:1 [1]Ufunuo wa Yesu Kristo, aliopewa na Mungu awaonyeshe watumwa wake mambo ambayo kwamba hayana budi kuwako upesi; naye akatuma kwa mkono wa malaika akamwonyesha mtumwa wake Yohana;
@CasmiryJames5 ай бұрын
Ukipata kitabu alichoandika Cha ufunuo utapata majibu ya maswali yako
@footballbrain745 ай бұрын
@@CasmiryJames kitabu cha Ufunuo alichoandika nani,??
@praisesamson24062 ай бұрын
Nilitaka kuwa nakufuatilia lakini kwa hiki unayofundisha kinathibitisha hayo mengine mengi ni uongo, Sasa kwa wasiojua na wachangamke ,maana waweza lishwa vizivyoliwa na matokeo yake yakawa magumu sana,,,,,, Kitabu cha Yohana kimegawanyika seheme kuu tatu na sehumu hizi zipo Sura 1:19
@johnsonjasson252610 ай бұрын
Mzee nimekuelewa sana ubarikiwe
@ZephaniaMwalusambo6 ай бұрын
ASANTE kwa Kuelewa, maana ni rahisi kwa wengi Kuelewa uongo kuliko ukweli; ubarikiwe!
@Revelation1412.11 ай бұрын
Ati Yesu hakutabiri ??😂😂😂 Mzee unachekesha bana Hebu Soma hili Andiko kisha utuambie ni Unabii au Ufunuo? Mathayo 24:15-33
@costantinemihayo10 ай бұрын
Hapa mathayo alikuwa anadhibitisha unabii uliitabiliwa na Daniel Hakuna ambacho Mzee amejibu vibaya Yuko sahihi Mengi Sana watu mnangojea yatokee kumbe yalishatokea
@Revelation1412.10 ай бұрын
@@costantinemihayo MUNGU AKUSAIDIE UFUMBULIWE MACHO
@bankuwihasaimoni99812 ай бұрын
@@costantinemihayo😢
@NanahJadili5 ай бұрын
Mtuuu Ana unanganisha unganisha vifunguu ili awa changanyee zaidiii hao mashaid wawilii watakuja ndio na Wata uwawa na baada ya ya siku tat nanusu Wata uwaaa jamn angalien msije mkajichanganyyaaa
@AlexGodfrey-hs5zp11 ай бұрын
Mzee umetaja ufunuo sura 11 kuhusu mizeituni miwili eti ni yohana na yesu acha kupotosha hawa atakua elia na henoko kwa sababu elia alichukuliwa hakufa 2 wafalume 2:1-11 na henoko pia hakufa wanzo 5:22- 24 wataludi wakati wa miaka 3 nanusu ya kwanza ya mpinga kristo watakua wakihubili ijili maana wanatakiwa waludi wafe ili wavae mwili wa mbinguni 1 wak 15;40
@ZephaniaMwalusambo6 ай бұрын
Mimi nimekupa maandiko, wewe unakisia,
@CasmiryJames5 ай бұрын
😂😂kwani Eliya si alikuja tena akafa soma marko9:13
@LoshaLosha-z9s5 ай бұрын
Walio weng wametoa maoni yenye mashiko na maswali ndani yake lakin ndugu zetu wengine wametiwa upofu macho yao maana wanapenda kusomewa na kuhadithiwa than kutafuta ukwel wa biblia wao wenyew# binafsi nabii isaya alisema wachungaj kama hawa kwao hapana asubuh maana wananena yaliyo matakwa yao ...kwanza haelewek anachofundisha kama kuna mtu amemuelewa anieleweshe
@MichaelMathew-j3f2 ай бұрын
Mzee sawa nimekuelewa, tunaona kabisa kwenye hii kitabu cha ufunuo wa Yohana 16:12, kuwa mto Frati utakauka, na sasa tunapozungumza huo mto umeshakauka. Je huo sio unabii kutimia? Kwa maelezo yako bado kuna utata sana.
@Revelation1412.11 ай бұрын
Duuh, Mzee ungekubali kujifunza ndo usalama Wako.
@NicksonMnasa9 ай бұрын
MUNGU wa mbinguni akutunze Baba ninapenda sana kujifunza kutoka kwenu nipate na Mimi kuwaachia kizazi kijacho injili halisi kabisa
@ZephaniaMwalusambo6 ай бұрын
Nimefurahi kusikia kutoka kwako, pamoja na kuwa nimechelewa sana kujibu comment yako, ubarikiwe!
@RachelAbel-d4v7 ай бұрын
Jina la Yesu na makanisa lipo kwenye ufunuo wa Yoh.) .Ufu.22 :16.Mimi Yesu nimewatuma Malaika wangu kuwashuhudia ninyi mambo hayo katika makanisa . Mimi ndimi niliye shina na Mzao wa Daudi, ile nyota yenye kung'aa ya asubuhi.
@AureaKimati7 ай бұрын
Meambir basi ili arudie maana ananikoroga kabisa au ndo amevuviwa na roho mtakatifu
@edenparkhealingministrytz10 ай бұрын
Jalibu kuwaza, hawa ndio waalimu wa vyuo vya biblia. Sasa anatuambia nini kuhusu huduma 5 waefeso 4:11-14
@IsayaSanga-oi2ii8 ай бұрын
Baba jipe moyo mkuu ha yohana alipingwa na yesu alipingwa songs mbele
@TaulenMwanuke6 ай бұрын
Mungu akubariki kwa mafundisho sahihi T Mwanuke
@ZephaniaMwalusambo6 ай бұрын
ASANTE sana kwa comment yako nzuri, ubarikiwe!
@IsayaSanga-oi2ii5 ай бұрын
@@ZephaniaMwalusambo Amina baba Mungu wa mbingu na nch akutumze
@perezakinyi60393 ай бұрын
Ufunuo unapoandikwa unaanzishwa hivi👇👇 Revelation 1:1 (KJV) The Revelation of Jesus Christ, which God gave unto him, to shew unto his servants things which must shortly come to pass; and he sent and signified it by his angel unto his servant John: Things which must shortly come to happen...... Spiritual things are spiritually docerbed nor carnally.Mungu wa Neema akuonekanie unaposoma neno lake
@RaphaeliSikumbiАй бұрын
Baba tumekuelewa
@fabianmkimbu88010 ай бұрын
Kutoongozwa na roho ni shida sana,yaani Wakati wote wanatumia akili zao wenyewe.
@GOSPELLAND.ONESMO10 ай бұрын
Na usichangaye neno na akili ata vyuo ivi vingaliwe mitaala yao itakuwa inashida adi wapentecost hii ni hatali... kitabu cha ufunuo huo ni unabii ufunuo 1.3
@NanahJadili5 ай бұрын
Ila wew mchungaji ni muongo saan wew na nyie mnao msikilizaa msikubali kusimewa jufunzeni kusoma na kuelewa mtu Ana kuchanganyia vifunguu vifungu ili atengenezee maana yake mwenyew jiangalien msije mkarubuniwaa
@bennymkubwa61965 ай бұрын
Umenifanya nisome zaidi maana mh!!??
@MarryMbilinyi-h7e7 ай бұрын
Fuata bib Lia usifuat akili Yako mambo ya Mungu hayapo ivy utapotosh weng kutokana na kufwat akili yak ufunuo ni unabii kama ilivy andkw
@joshuaedward27510 ай бұрын
Soma ufunuo 1: 3 na Ufunuo 22: 19 Hiki ni kitabu cha UNABIII. NA KUNA ONYO LA MTU AKIONDOA UNABII WA KITABU HIKI.
@ZephaniaMwalusambo6 ай бұрын
Je, unajua kwanini neno Unabii linapatikana Mwanzo na mwisho wa kitabu?Je, unataka kusema kuwa kujua tofauti ya Unabii na Ufunuo unamhitaji Mungu akufundushe?
@AureaKimati7 ай бұрын
Je samahani kwahiyo mi sjaelewa kabisa ivi ndo kutakuwa hakuna mwisho wa. Dunia? Kama ufunuo ni rejea ya mambo yalio pita???
@josemtataofficial2 ай бұрын
Hiki ni chakula kigumu kwa ajili ya watu wazima watoto wadogo wanahitaji maziwa kwanza hawawezi kukuelewa mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana
@MtumishiwaWakati-c6m9 ай бұрын
Kitabu iki kinatoa onyo kwa kupunguza au kuongeza maneno katika kitabu iki kwa Sababu ni Cha watu maarumu ACHA kabisa
@AdamBartholomew-op8dc8 ай бұрын
Ndugu hiki ni kitabu cha ufunuo. Unabii uliishia kwa Yohana mbatizaji na kama ufunuo ni unabii je kipi kilichofichwa na kitafunuliwa kwa kizazi kipi wakati unabii wote ulishatimia?
@joshuajohn85337 ай бұрын
Huyu mzee apuuzwe anapotosha watu.
@bensonmwaikuju9226Ай бұрын
Mpuuze wewe unayefikiri ni mafundisho potofu waache watu wajifunze na wachuje wenyewe. Kazi ya ibilisi ni kushawishi wengine. Leta hoja yako kimaandiko acha mihemko. Hakuna mtu anayezuiwa kujifunza acha uvivu wa kufikiri. Ongeza maarifa ikibidi shida iko wapi?
@TOMTOM-t3y10 ай бұрын
Sijakubaliana na ww...kama shetani amefungwa mbona uovu bado uko
@AmosiMsemaКүн бұрын
Mchungaji naomba nisaidie kupata soft copy ya kanuni za usomaji wa biblia
@mwalusambointernationalmin9065Күн бұрын
@@AmosiMsema Wasiliana nasi: 0769007328
@AmosiMsemaКүн бұрын
@mwalusambointernationalmin9065 okay
@frankjohn870610 ай бұрын
ANGESEMA MAFUNDISHO KUHUSU KITABU CHA UFUNUO.KAMA ANAFUNDISHA KITABU CHA UFUNUO. LKN KAMA ANAFUNDISHA KUHUSU UFUNUO WA YESU KWA MTUMISHI WAKE YOHANA KWAAJILI YA NYAKATI.... ANGESEMA
@AureaKimati7 ай бұрын
Sasa baba mbona ufunuo 1:3 inasema unabii na wewe unasemaa ni ufunuo? 😱🙄
@fredrickgitonga197211 ай бұрын
Wataka kumfanya YESU KRISTO mwongo, wakati kasema katika ufunuo 1:3
@vicentstephensongita5209Ай бұрын
Huyu baba mi sjamuelewa kabisa
@AureaKimati7 ай бұрын
Sasa baba ebu sema kwahiyo tuseme wokovu ni bure kwakua kila kitu kimetimia sasa alafu na yule Montana alafu na kuhusu moto wa milele na kwa habari ya uzima wa milele je vimeshatokea na tukifa tunaendawapi??? Je hakuuna hukumu??? Ya wenye haki na wasio haki maana biblia inasema tutahukumiwa kwakadiri ya matendo na kila mtu ataendakutoa hesabu je vimetimia au???
@CasmiryJames5 ай бұрын
Wokovu ni bure tena ni Kwa Njia ya kumuamini Kristo Yesu tuu hakuna wokovu ulioupata Kwa kulipia gharama haupo na ungeijua gharama ya kumkomboa Mwanadamu aliyoilipa Kristo Yesu Wala usingeweza kuweka Hilo Jambo mtukuze sana Kristo na kumuheshimu wewe jiondoe kwenye kazi yake alikupa wokovu na wewe unaupokea
@AlexGodfrey-hs5zp11 ай бұрын
Ufunuo sura 1 inaeleza wakati ulikwisha kupita na ufunuo sura 2na sura ya 3 inaeleza wakati huu uliopo tunaoenderea nao mpaka wakari wa dhiki kuu na hapa yanatajwa makanisa 7 yalio kua ASIA ndogo kwa sasa ni icnh ya utuluki sura 4 mpaka 22 inaeleza wakati ujao au wakati wa unyakuo wa kanisa sasa mbona unakichanganya hivi kitabu hiki?
@ZephaniaMwalusambo6 ай бұрын
Hivi kujua tofauti ya maana ya maneno, Unabii na Ufunuo, unamhitaji ufundishwe na Mungu?
@AureaKimati7 ай бұрын
Rudia somo
@AlexGodfrey-hs5zp11 ай бұрын
Kaka nikusahihishe wanatheogia sio waongo muongo ni huyo na wengine kama yeye
@edenparkhealingministrytz10 ай бұрын
Kwakweli theology inavituko.
@AllanLyombile-r6y10 ай бұрын
Unabii ni jicho la kanisa sasa ukitwaambia agano jipya hakuna manabii tafsiri yake kanisa linaupofu halina macho? kama ndivyo basi hiyo itakuwa ni dini iliyokufa mara mbili.
Usiogope kumjua Mungu. Ufunuo hauwezi kuwa unabii. Kizazi chetu hakikuja na unabii mpya basi utimilifu wa unabii ambao upo kwenye vitabu vya agano la kale
@user-mwl.marashi12710 ай бұрын
Kwahiyo mzee 666 imeshapita ayari? Au bado?? Je vipi kuhusu uzima wa milele na adhabu ya jehanamu zilizonenwa?? Zimeshakwisha kupita au bado?? Je kuhusu mpinga kristo??, Na kama yapo tunayo sasa,, je kama siku zile yalinenwa sio unabii kuhusu ya leo ?
Unahitaji elimu bado uko mbali hujaeliwa hata bibilia
@elishayuda410511 ай бұрын
Hakka wewe mzeee theology yako bado haijakusaidia kabsa na unajiita doctor cjui ulipata wap hyo maana nakuona unazidiwa na mtoto wa aliehitimu form four
@christianremnantsda530411 ай бұрын
Muongo tu huyo
@costantinemihayo10 ай бұрын
Bado neema ya kristo hamjaipata Mzee Yuko sahihi
@christianremnantsda5304 Жыл бұрын
Yaani watu wa theology ni waongo sana kwakwel, kwaiyo hichi kilichoandikwa hapa ni nini👇 Ufunuo wa Yohana 1:3 Heri asomaye na wao wayasikiao maneno ya unabii huu, na kuyashika yaliyoandikwa humo; kwa maana wakati u karibu. Acha uongo ,tena acha kupotosha kabisa
@joshuaedward27510 ай бұрын
Asante ndugu nawe umeona hilo na la nyongeza ni Ufunuo 22:19. " NA MTU YEYOTE AKIONDOA MANENO YA UNABII WA KITABU HIKI, MUNGU ATAMWONDOLEA SEHEMU YAKE KATIKA ULE MTI WA UZIMA
@christianremnantsda530410 ай бұрын
Ubarikiwe sana ndugu
@JosephuSwai8 ай бұрын
Kweli ndugu
@joshuajohn85337 ай бұрын
Huyu theology yake Wala sio Msingi wa Pentecostal sijui katoa wapi huu upofu
@CasmiryJames5 ай бұрын
@@joshuajohn8533mi nilijua unasema siyo msingi wa Neno kumbe pentecostal 😂😂hakika kuwa na dini bila kuijua Neema ya Kristo ni mzigo sana ila nawaombea Kwa Mungu mzidi kukua katika Neema ya Kristo
@GOSPELLAND.ONESMO10 ай бұрын
Na usichangaye neno na akili ata vyuo ivi vingaliwe mitaala yao itakuwa inashida adi wapentecost hii ni hatali... kitabu cha ufunuo huo ni unabii ufunuo 1.3