Usiache kusubscribe chaneli na kushere kwa watu uwapendao mambo haya Muhimu kwa kizazi chetu na kijacho. Mwalimu Vincent Mwakisyala
Пікірлер: 7
@ivonaevarista46543 ай бұрын
Maneno mazito haya Mungu atusaidie Sanaa
@mtemagodfrey51476 ай бұрын
Eeeh Mungu tusaidie
@Ghazal-d3p6 ай бұрын
Broo samahani unatumia mic gani 🙏🙏 nisaidie jina yake.
@PstrDanngratuit6 ай бұрын
Watatu mkiniona mnisalimiye
@mtemagodfrey51476 ай бұрын
Wakwanza mkinikuta mnisalimie
@fedinandnjeleka41026 ай бұрын
Acha kutumia picha za wazungu hao wametengeneza filamu hawana uwezo wa kutengeneza Safina kama watu wa kwanza weusi kina Nuhu hata wangepewa miaka 100.
@mwlvincentmwakisyala6 ай бұрын
Hivi kaka upo timamu kweli? Kwa hiyo kilichokuuma ni kuona picha za wazungu kuliko ushoga tunaouzungumzia. By the way historia ya mtu mweusi huijui.