Huyu mama ana roho wa MUNGU na ana nguvu za MUNGU sio kawaida na ndo amemuambukiza na mwanae kuwa hivi YESU awatunze 🙏🙏🙏
@gladnesstemu61316 ай бұрын
Ee BWANA YESU nijalie niwe kama mama huyu kwa watoto wangu🙌🙌🙌🙏
@trophywilson72114 ай бұрын
Ongeza Juhudi
@magiehermess99496 ай бұрын
Wazazi wote wangekua hivi kwa kweli tusingeteseka sana katika laana.😭😭Mungu nisaidie nitamkie wanangu baraka nakuwalea vyema
@judyngowi3916 ай бұрын
Kweli kabisa dear
@cristamelahashimu36796 ай бұрын
Aiseee kweli kabisa
@helinahenry23636 ай бұрын
Kabisaaa, Sisi vijana tujifunze kumtumikia Mungu
@HAAM6706 ай бұрын
Nimeliaaaaa weeee, mwanzo hadi mwisho wa Maombi ya mama Ipyana. Sijui hata nalia nini. Thank you Lord Jesus
@annjami79905 ай бұрын
I wish mamangu angeona hii😢
@MargaretNdisha-c3q4 ай бұрын
Nimeguswa sana na maombi ya huyu mama, nimejipata natokwa na machozi mengi tu sana😢..mwenyezi Mungu unapozidi kumbariki mama Ipyana usimpite pia mama yangu Salome Moneni. Umlinde na attack zote za kiuchawi. Uwalinde wamama wote uwape hekima ya kuwaongoza watoto wao kwenye njia za kiungu. Natokea 🇰🇪🇰🇪Amen
@MichaelElisha-zi9ly4 ай бұрын
Hichi ndo kilichomfanya kaka yetu apone kwenye hii ajali, Asante Mungu. Maombi ya wazazi wetu ni muhim.
@tulibakokyoma11326 ай бұрын
Ipyana alinishuhudia huku Marekani kuwa aliungua vibaya sana..karibu are akiwa na miaka miwili..Kweli Mungu ni wa ajabu alimponya.
@MugureHellen6 ай бұрын
Kutoka kenya nimetamani mama yangu angekuwa hai aninene maneno ya mbinguni kama mama Dr ipyana. May our good lord bless you mama am a praise teamet in our church and I love to sing your songs , mungu akupeleke mbali ndungu yangu kutota Tanzania, Mimi Sina ndundu mungu kamchukua mama heko kwako nimejifunza kutabili maneno ya baraka kwa wanangu
@aminaluoga45786 ай бұрын
Mama mwenye uhafamu wa kiMungu natamani na mm Mungu anipe ufahamu wake niishi maisha ya kumtumaini kristo na watoto wangu kuwalea katika maisha yakumjua kristo wawe na upendo kwa watu wote na wamuheshimu Mungu na watu rika zote pasipo kuangalia uwezo wao Kingine nimejifunza nikiwa kama mama naweza kutengeneza kesho ya wanangu kwa maombi nakuwatamkia baraka katika kila jambo lililo jema. Nimelia sana nikafika mbali nikamuogopa Mungu kupitia clip hii Itoshe kusema asante Mungu kwa yote
@judyngowi3916 ай бұрын
Unavyoramani hivyo na Mungu atakupa kadri ya matamanio yake
@maedencohen90006 ай бұрын
I have cried, what a wonderful mum she is his intercessor. May God bless her she is bold and full of wisdom.
@francis05106 ай бұрын
Nilikuwepo iyo siku ila nimerudi kuangalia tena kuna mambo mengi yananigusa sana nimekuja kujua bila mama Ipyana asingekuwa kwenye wito wake
@yusuphluyungu81426 ай бұрын
Amina
@BlessingBaraka-i1s4 ай бұрын
Mungu amtie nguvu kwenye huduma yake na amwongezee kibali from Kenya🇰🇪
@winnifridangahyoma91274 ай бұрын
Mungu Baba naomba nijalie Neema kama ya huyu mama ili nami niweze kubariki watoto wangu na watu wengine.
@harriethkinjoli54596 ай бұрын
Najiungamanisha na hii neema ya maombi ya mama Ipyana kwa jina la Yeau.❤❤
@ruthkiaulilo-tz7 күн бұрын
Dr Ipyana is such a Humble man ever.. the level of Calmness that God has put inside this man is immesurable🥹🙌🏻🙌🏻🙌🏻Mungu azidi kukuinua kwa Neema yake mtumishi wa Mungu🙏🙏
@annemyombo80894 ай бұрын
Maisha yako Dr Ipyana, is a living Testimony. Shetani ameshindwa kukuua tangu ukiwa mtoto, hata sasa kashindwa tena kukuua kwa ajali, utaishi zaidi na zaidi, ili Yesu aendelee kutukuzwa.
@mambandahandofcompassion97276 ай бұрын
Sina mengi ya kusema, Dr Ipyana ndo mwimbaji wa gospel nampenda, namba mbili kutoka kwa mke wangu muimbaji pia. From kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@esmeldahkarani19716 ай бұрын
Napokea Neema hii ya kuwa mama wa hekima na kumcha Mungu zaidi kuwalea watoto kwa njia inayofaaa ❤❤❤❤❤
@DorcasTemba6 ай бұрын
Mama ameongea mambo ambayo yamenifunza sana Mungu akutunze mtumi shi wa Mungu amtumze na Mama nimetamani sana Mama yangu angekuwa hai alikiwa anapenda kunipa maneno ambyo Leo yamekuwa msaada kwangu
@aloycemaps54304 ай бұрын
Jesus ! nawezaje kunyamaza mama huyu si wa mchezo ana Mungu ndani yake
@estherelius91486 ай бұрын
Touching and loving words Mungu nijalie kuwa mama mzuri kwa watoto wangu wakujue wewe Mungu wa kweli na kushika njia zako
@rebecauseni48215 ай бұрын
Yaani najiskia kumpenda huyu Mama yetu.tena ku penda ipyana zahidi, nawaombea Maisha marefu kwaajili yakuwa mfano kwa wazazi wengine,na hasa kwa kizazi cha sasa. Mama yetu niombee mimi pia mwanao nitobowe🤗🙏🙏🙏🥰🥰🥰❤️ Mungu wetu azidishe Neema yake, na awalinde daima Amen.🙏
@salomemwangi4064 ай бұрын
His lady is a true definition of a MOTHER!! SHE HAS GODLY WISDOM. Motherhood is a calling which many women don't have. Mama ya doctor is the kind of mother everyone needs. Long life and gud health to you mama. ❤
@MariamLeonar4 ай бұрын
Asanteee mungu hata kwa kunipa kibali kuona hii video wako wapi wazazi kama hawa katika hii dunia mungu tupe hekima ya kukujua wewe zaidi na si dunia
@silvianjoroge57244 ай бұрын
This lady is filled with the Holy Spirit. Wow... Lord, I pray for the same anointing that is on this lady to be upon me. I desire to be a prayerful mother, amen 🙏
@leahmanyasi54856 ай бұрын
Sikuweza kuyazuia machozi Toka rohoni mwangu pindi tu nilipotamatisha kuitizama video hii...😭 Nimeguzwa na kubarikiwa sana na ujumbe wa mama..🙇🙇 Mungu amhifadhi zaidi... Daktari uinuliwe zaidi katika huduma na kwa Kila ufanyalo lipate kibali na neema machoni pa Mungu!!🙇 Asantee sana kwa kuwa wa baraka! I connect to this grace in Jesus Mighty Name!! Ninalo tamanio rohoni mwangu la kumtumikia Mungu wangu...and I believe God had a reason for me to come across this video. May it be so as He wills! AMEN!
@gisellekavira89666 ай бұрын
The joy of a mother is to see her children doing well. I salute you mother. Dr Ipyana ..nyimbo yakoya ya umefa hili umefanya Lile umenipa jina Baba Nina kushukuru.. Baraka zako zako hasiesabiki...neema Yako haizoeleki...😭😭😭😭😭 Machozi yanitoka. Barikiwa sana.🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🙏🙏
@judithoran6 ай бұрын
Hakuna maisha yenye Baraka kama ya kulelewa na Wazazi wote wawili WAKIWA wameshikamana. Huyu mama nimempenda sana anachekesha hana makuu
@angelaswai19636 ай бұрын
Aisee hadi machozi ... ndomana huwa nasema maombi ya mzazi kwa mtoto ni powerful kwa destiny ya mtoto
@shekinahglory-n9c4 ай бұрын
Ooh waoo God I wish my mum is alive . Dr Ipyana shukuru Mungu kwa ajali ya mama yako, distance is not a barrier may God bless this woman for me many more years mama
@shanealivitsa58835 ай бұрын
Wooooooow ,mimi naomba mungu anipe hekima kama mama lypana ya kulea mtoto wangu Euler CEO.In Jesu's Almighty name.Ameeeeen am so blessed
@faithnasira30616 ай бұрын
Kenyan love ipyana🎉 You are a Blessing mum
@lilyabel23206 ай бұрын
We love you too Kenyan people❤
@obeyngorima45886 ай бұрын
Kwamaombi kama hayo Mutumishi haataweza kuogopa chochote hata kama nisimba ama mlima gani mbele yake kwasababu amebalikia namama ake 😢 Oooh Jehovah God it touched my soul
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA6 ай бұрын
nimelia . Ila Nimemuona MUNGU kupitia huyu mama . MUNGU akubariki mama Yangu nakupenda❤
@deborahsimon45695 ай бұрын
Nimetoa tuu,machozi....nimekosa cha kusema lakini nimejua Mungu sio mwanadamu🎉
@sarahyaro47536 ай бұрын
Dr ipyana n mnyenyekevu mno, na inaonekana Mama Mungu akupe umri mrefu Dr ipyana roho azidi kukutumia kwa ajili ya taifa na ulimwengu
@victoryrogers98876 ай бұрын
Nimetokwa na machozi nimejifunza kitu kikubwa sana na nimebarikiwa .Mungu akutunze mama Ipyana.Dr Ipyan Umebarikiwa sana sana Mungu akutunze na akuinue zaidi na zaidi kwaajili ya Utukufu wa Mungu.
@janethmwansasu58476 ай бұрын
Asante Mungu kuniwezesha kumsikiliza mama ipyana nimekumbuka ninavyomwambia mwanangu amtangulie Mungu kwa kila Jambo mtoto akimjua Mungu ktk roho na kweli ni Raha Sana Mungu naomba unisaidie wanangu wakujue na kutambua kuwa wewe ni mwokozi wa maisha yao na akatawale ndani yao
@hopezawadida6 ай бұрын
Nimependa❤ Tafuta kuwa na amani na watu wote.Tuitazame msalaba. Nimejifunza mambo mengi kutoka kwa mama huyu mwenye busara. Mungu akubariki Dr Ipyana. Wakenya twapenda injili unayoeneza kupitia nyimbo zako.
@devithabenedict44486 ай бұрын
Aiseee nami nimelia sana...namimi mwanangu aliungua wakati baba yake hayupo.....Amina lakini Mungu alinishindia pia
@farajaMezza-qn4be6 ай бұрын
Nimemkumbuka sana mamangu, kupitia huyu mama na yeye aliokoka 1988 na alimpenda sana Mungu, alitufundisha sana sana kumpenda Mungu, R.I.P mama nashkuru sana kutufanya tumuheshimu na kutambua uwepo wa Mungu katika maisha yetu!❤
@veronicamahenge72564 ай бұрын
Mpaka na mimi nimelia jaman❤
@eliayunga77666 ай бұрын
Kiukweli Mama ipyana ni mama wa kuingwa katika jamii
@belinderoluoch40396 ай бұрын
aaaaawwww...my heart is full. They are both lucky to have each other. I came to know Daktari through his song "kama sio mkono wako". May God continue using you to bless us
@modesterluvanda51215 ай бұрын
Mungu ni mkuu sana na Yeye ni sababu ya sisi kuishi. Asante mama Dr Ipyana. It has been great to hear you out. Nampenda mama yake Lemueli anavyoshauri kijana wake ktk Biblia niikisikia ushuhuda wako mama Dr Ipyana ninatiwa moyo sana kuwa maombi yangu si bure mbele za Bwana kwa ajili ya watoto wetu na Evangelist Frank Kuchibanda.
@mariawandiba67366 ай бұрын
Asante sana Mama Ipyana kwa maneno ya hekima na maarifa. Dr Ipyana ukawe baraka daima uwe mnyenyekevu
@SinaidaOkwaro4 ай бұрын
Woow!This mama is awesome,nimependezwa na advice yake..sijui mbona nalia😢😢😢ila najua Mungu anatenda jambo jibu pia kwangum...Asante sana mama Ipyana kwa mawaidha yako Mungu akujalie miaka mingi duniani...Lots of love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@princeshafeen-official6 ай бұрын
Wooooow😭😭😭😭😭😭😭😭. What a Testimony❤❤❤❤❤❤❤. Man of God Dr Ipyana,you're God's Seed.....Thank you Mama Ipyana for your GREAT FAITH Since his Childhood!!!
@nellychissi16345 ай бұрын
Kwakweli usifanye mchezo na living testimony mambo yao huwa ni makubwa....Keep shinning mama ipyana umeusimama sana kuulea muujiza ambao ni Ipyana...
@SylvierMugure3 ай бұрын
Dah yaani aisee 🙌 neema ya MUNGU iendelee kumtunza huyu mama
@mirriammusilaofficial6 ай бұрын
So touching! Mungu akubariki mama Ipyana kwa hizi shuhuda.❤ Dr Ipyana umebarikiwa sana. Mungu aendelee kukutumia
@pendosamwel12555 ай бұрын
Kupitia ushuhuda Huu wa mama, Mungu yuko sawa sawa kukufunulia tungo za wimbo umefanya Hili umefanya lile umenipa jina baba nina kushukuru, Hakika MUNGU wetu tunakushukuru kwa maisha ya Dr ipyana umempa jina
@YustaOsward4 ай бұрын
Mungu ni mwaminifu mama atapona Kwa jina la yesu amina
@NosdaelMmanyi6 ай бұрын
Nimefurah kwakwelii MUNGU nibariki na mimi BWANA 🙌
@anithabatamuliza12685 ай бұрын
😢😢😢😢😢 oh Jesus….bless this mother with long life. What a wise mommy have you, Dr Ipyana. I’m loss of words
@bumimwamasage54632 ай бұрын
Daktari Ipyana, mshukuru sana Mungu kwa kukupa mama mwenye hofu ya Mungu na kukulea katika wokovu. Usije ukaiacha njia hiyo kamwe, ni njia sahihi. Nami pia nakuombea kwa Mungu akutumze katika Imani.
@beatricenyiro59136 ай бұрын
Ubarikiwe mama Mungu amekupa hekma ya hali ya juu .Let God protect you 🙏 watching from USA
@michaelulisaja6 ай бұрын
BEING A PARENT IT'S A CALL
@moniquedesign92795 ай бұрын
True
@sarahluvai65806 ай бұрын
Uhimidiwe MUNGU wewe wa ajabuuu matendo yako makuuu sanaa , nipe na nguvu naujasiri wakuwalea wanangu kwa njia inayokupendeza Mungu wanguuu,, Ipyana you're blessed 🙌 such a mom a wonderful mom 😢laiti wazazi wote wangalikuwa namna hii ooh God ,, nipe nguvu nikawe kielelezo kwa wanangu.....baraka tele
@rwampororosamuel23294 ай бұрын
Mama wa mtu kweli,,,,Raha kusikia matama ya mama ukiwa mkubwa❤...kaka ipyani get well soon to see your mother grow old
@ntakirutimananaomi75936 ай бұрын
Dr Ipyana is really blessed ,much love from Burundi ❤
@matparakalenga10656 ай бұрын
I came across the song : Bwana minakushukuru first week of June 2024 and it has lifted up my soul and am grateful to God. Though i don't understand much Tanzanian Swahili am watching this testimony from Zambia 🇿🇲 am a single mother of four and am learning something from our mom🙏🙏 i believe the first prophet of a child is the mother 🙌🙌🙏
@nancydenis.92315 ай бұрын
What a mama..❤❤❤Ipyana ur blessed to have an amazing mother the best best best ever in thz world..Mungu nisaidie niwe mama wa magotini kwa wanangu😢
@maryminja16686 ай бұрын
I pray this grace to be upon my Son in JESUS Name!
@Aminmwansile-we8vn2 ай бұрын
Amina mama yetu maombi yako ya upako yametuponya wote kupitia ipyana Amina mama yetu
@twiseghekisilu88456 ай бұрын
Nimelia!!upendo wa mama hauna kifani!!Mungu baba naomba Nitunzie mama yangu!Mungu uwatunze wa mama wote na waliokuja kwako uwapokee!
@dianadaudi11846 ай бұрын
Mjue sana Mungu ili uwe na Amani Oh hallelujah Mama Asante hakika Mungu mama yu nawe nimemuona Mungu pia nimejazwa Roho mtakatifu kwa kuangalia video KZbin hakika Yesu unaishi ndani Yetu
@anwylwalter79094 ай бұрын
Mungu nipe neema ya Unyenyekevu, This mother is just a Blessing , ... Ohh Yesu tawala.,napokea hii neema kwa jina la Yesu.
@marygorretnekesa39973 ай бұрын
Mummy DR Ipyna has taught me to pray for my children. She literally speaks life through the scriptures. Words of wisdom and impartation is top notch.🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️ Starting tonight am lifting my children intentionally through prayer 🤲
@SarahUvambe3 ай бұрын
Atukuzwe kristo Yesu ktk yote. Am real blessed
@obedjillo39486 ай бұрын
mum your surely annointed..,i love you mama..
@isaacsimon35805 ай бұрын
Mama bora huombea watoto wake! Mungu akubariki sana mama yetu
@salomemkeni60526 ай бұрын
Asante Mama umenipa nguvu ya kusonga mbele kama Mama wa familia😢😢😢
@sayunilyego6 ай бұрын
nimelia sana 😢😢😢😢 Mungu akubariki sana mama ipyana R.I.P mama yangu Mungu akupe pumziko zuri🙏🙏🙏🙏
@fionafavourofficial5095 ай бұрын
Upendo wangu kwa Mama Dr Ipyana,nakushukuru Sana kuwa muombezi. Si wamama wengi wako kama wewe mum.nakupenda na mwanao tunampenda Sana huku Kenya.Huduma yake ni Mungu pekee amemuita. God bless you mum,God bless Dr Ipyana and his nuclear family too.
@BTJ_foundation5 ай бұрын
Mungu ni mwema..katika shuhuda zake nimekumbuka mafundisho aliyonipatia katika kipaimara changu Mungu aendelee kukutunza shangazi na asante kwa kutoa ushuhuda wa Edward Chilale baba yangu mzazi..Huyu mama ni mama wa maombi..
@happymushi22196 ай бұрын
Mungu Ni mkuu Sana - Mama Mungu AKUBARIKI na atunze hii neema kwa Dr
@amosmandi23036 ай бұрын
What an inheritance from the mum To Dr Ipyana, this is the greatest of all.. Jesus Christ the hope of Glory
@selinathomas-p7u4 ай бұрын
Mama haneni yeye ela aliyendani yake alinena Mungu amubariki sana sana sana
@robertsimiyu69526 ай бұрын
Mama wa busara , powerful
@joshuamariki17346 ай бұрын
Nimemuelewa zaidi pale aliposema Mjue saana Mungu ili uwe na amani. .... Ni Muhimu mno kuendelea kumjua Mungu licha ya yale mema yote tunayoyapata
@wilper63185 ай бұрын
Hata sas ni mwema, tunapita ni mwema,Mungu wa Mama. Mungu nipe kuvumilia- ithibitike kabisa ya kuwa naishi kwako na vyote ni vyako. Nakupend Kristo.
@ireneleonard47395 ай бұрын
Aiseeeew kwa hii Imani aliyonayo Mama lazima shetani aondoke tu ! Blessed to hear this ! Powerful Mungu akutunze
@fidelisernest35236 ай бұрын
This day was amazing aisee ,Mungu aliniudumia mapema Sana,Glory and Honour belong to God Almighty
@judithlejalearnmore22366 ай бұрын
Like mother like son, be blessed man of God
@ulumbielias6 ай бұрын
Hata Sasa mungu Bado mwema Sana kwako mpendwa okoka tu mama zako wapo wengi katika imani
@isaya43.126 ай бұрын
Dah nimelia na sijui kwa nini nimelia Mungu mponye mama yangu na saratani ya koo
@fionamakubo26006 ай бұрын
Tayari amefanya
@estanaftali55106 ай бұрын
HIS WILL BE DONE 🙏
@pulikisia79636 ай бұрын
Kwa jina la Yesu, Amen!!
@hurumalawrence49896 ай бұрын
Apokee uzima kwa jina la Yesu
@veronicajm5 ай бұрын
Mama mwenye saratani ya koo pokea uponyaji kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti.
@jeanmiruho47705 ай бұрын
❤❤Amina kijakazi wa Bwana Mungu awabariki sana na awatiye nguvu kwayote na awalinde kwayote 5/5 från Stockholm Sweden
@consolatandunge24775 ай бұрын
Mama mwenye hekima ee bwana nisaidie niwe mama mwenye hekima kama huyu.... Help me be a good mother to my chidren...from kenya
@bushman0-yo8uf6 ай бұрын
What a motherly love. Mother's love is very important 🙏
@norwickwmandu70626 ай бұрын
Wow, Najifunza kutoka kwa MAMA. Mafunzo mazito, Mungu akuhifadhi mama Ipyana. Uishi miaka mingi na uzidi kuzungumza kwa hekima za Mungu.
@MariamLeonar4 ай бұрын
Mungu akutunze mama kwa ajili ya sisi wengne
@margaretmuthoni61436 ай бұрын
Oh my God I need to nature my motherly prayer and guidance for my children.what a blessing 😢🙏
@RehemaMoses-w3m6 ай бұрын
Mama Mungu akubariki sana Kwa upendo wako,umenibariki sana Mungu akuongezee maisha marefu
@evasinkamba83036 ай бұрын
Asante Mama kwa ushuhuda mzuri nimejifunza kitu.Mungu aendelee kukuongoza mtumishi wa Mungu
@AsukuluEtabo-sr1ix2 ай бұрын
Mungu akubariki sana mama yangu,uwe na uzee mwema
@deboradaniel52856 ай бұрын
Hallelujah. Proud of you mom. Mungu awabariki family ya Mzee Kibona
@speranzakiragu34914 ай бұрын
Maombi ilimuokoa kweli, But God....... ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ You will not die before your time sir😢😢😢
@linahminyikha85535 ай бұрын
Amen neno la Mungu liinuliwe,nimeguswa mno 😭😭😭🙏mamake Dr.Ipyana barikiwa ❤ watching from Kenya
@BupeElly4 ай бұрын
Asante mnooo mama Kwa ushuhuda powerful, ee Mungu nisaidie na mimi niwe mama Bora Kwa wanangu namna hii,
@InnocentAutumnTrees-ux1jj6 ай бұрын
Mungu ni mwema...moyo wangu unalia naomba Mungu anipee neema pamoja na wazazi wangu yakumtumikia Mungu siku zote😢😢