Endelea kujaribu kadri unavyojaribu ndo unazoe kufanya kitu mwisho unaweza kabisa
@Yunisi-Sylivester3 жыл бұрын
Nice video dear
@simplyzacky3 жыл бұрын
Thanks dear
@ernestdaudi31462 жыл бұрын
Mambo??
@georginakomba6250 Жыл бұрын
Saf dada
@steliamwaigaga6223 жыл бұрын
Hongera kazi nzuri hivi twiza mnanunua wapi
@simplyzacky3 жыл бұрын
Asanter dear. Twiza unapata kariakoo maduka ya urembo wanazo
@priscamuhunda85442 жыл бұрын
Naomba namba zako plz nahitaji kujifunza zaid
@simplyzacky2 жыл бұрын
Karibu sana... nicheki instagram @simply_zacky
@maryammazige20202 жыл бұрын
Sorry dear hv unabandika juu ya nyama hapo juu ya jicho au unabandika juu ya huo mstar wa eye line msaada pls dada
@simplyzacky2 жыл бұрын
Unabandika kwenye eyeliner dear. Ukibandika juu sana kutaweka uwazi kati ya kope yako na uliyobandika na kuharibu muonekano wako so hakikisha kope ya bandi iko sambamba na yako